kwa nini Harrier, Kluger, VanGuard na Rav 4 zina bei sana kuliko hizi outlander na ukiangalia kama zinakaribiana uwezo na hizi outlander nyingi ni 4DW/2WD OPTIONAL, naona hizi outlander zina uwezo mkubwa sana kuliko Toyota SUV, ila sina uhakika kama CVT ina nguvu kuliko Automatic na Manual. kingine CVT ina unlimited gear ratios so hiyo idadi ya gear 6 sijui kama iko sahihi
Swala la bei za Toyota kua juu ni Branding yao iko vzr hivyo wanauza kwa bei ya demand waliyotengeneza sokoni….. Pia CVT inanguvu zaidi na ulaji mdogo wa mafuta na Ndio dunia ya magari inahamia huko polepole.
Mr Sabby emu tusaidie utupe riview
Ya Toyota Van guard 2010
Bei zinatofautiana na ubora wa gari mfano hiyo outlander unaweza kununua 25m ad 50m muundo huo huo
Tupigie review ya outlander na forester sh5 xt
Sawa inakuja
Mimi yang ni kama hiyo ila imechukua 45m km 25 seat.7.2012,cc1990
kwa nini Harrier, Kluger, VanGuard na Rav 4 zina bei sana kuliko hizi outlander na ukiangalia kama zinakaribiana uwezo na hizi outlander nyingi ni 4DW/2WD OPTIONAL, naona hizi outlander zina uwezo mkubwa sana kuliko Toyota SUV, ila sina uhakika kama CVT ina nguvu kuliko Automatic na Manual. kingine CVT ina unlimited gear ratios so hiyo idadi ya gear 6 sijui kama iko sahihi
Swala la bei za Toyota kua juu ni Branding yao iko vzr hivyo wanauza kwa bei ya demand waliyotengeneza sokoni….. Pia CVT inanguvu zaidi na ulaji mdogo wa mafuta na Ndio dunia ya magari inahamia huko polepole.
Faida zake na hasara zake
Za nini ? Swali haliko vzr
Outlander ina nia 6
🎉🎉🎉❤
🙏🙏🙏
kwanini outlender used zimekuwa nyingi mtaani
Si watu wanazipenda
Outlander nikali sana mzee
Alafu ni value for money