IFAHAMU V8-VXR NA MAAJABU YAKE /
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- IFAHAMU V8-VXR NA MAAJABU YAKE / #review of v8-Vxr iG@ magari_chapchap #0676577711
TANZANIA ONE CAR DEALER
Sisi niwauzaji na waagizaji wa magari kutoka
Nchi mbalimbali ikiwemo japan,dubai, Uk na singerpol
Pia tunatoa gari kwa mkopo yani unalipia asilimia 50 tu unachukuwa gari lako na kiasi kilichobaki unamalizia taratibu ndani ya miaka 2
FOLLOW US
I'm on Instagram as magari_chapchap. Install the app to follow my photos and videos. www.instagram....
CONTACT US
Whatsapp & Call
+255 676577711
OFFICE LOCATION
Mwenge mpakani
Brother,,unajua sana,,wewe leo ndo nimekuona umeiwasha push to start kama inavyotakiwa,,,,,,watu wanashindwa kuelewa tofaut kat ya push to start na long press to start...big up sana broooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wew jamaa unajua garı yaaani wew ni fundi mwenzangu nakuja 🤣🤣🤣🤣🤣👍💪
Kaka hio ni gari ya zamani kidogo hio ni version ya 200 series. Sasa ni 300 series. Kisha hio ulonayo ni VX R. Pata ya ZX sahara uone ilivyojazwa chrome yaani inameremeta zaidi. Anyway enjoy
I like car expressions
wewe ni mjanja na msomi.unaelewa gari sana
big up
Bei yake
Naomba review ya V8 300 series nataka kununua hapa Nairobi
Mnyama huo mwanangu mimi mwenyewe naitaka hiyo land cruiser 300❤❤
Nabeiyake ikoje
jino moja tu chuma kinaitika
Bei gn hii V8 vxr?
Kwa ford vipiii anamkuta
soon
Wew acha ushamba,gar cardlac au rolly royce