KIBAO CHA SHULE-AICT BUJORA CHOIR-(official video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024
- Shalom wapendwa katika Bwana.
Tumekuletea baraka nyingine Tena ya neno la Mungu Kwa njia ya uimbaji.
KIBAO CHA SHULE ni wimbo unaotukumbusha kuijua kweli ya Mungu na kuyafahamu maandiko yake viziri Ili tusipotoshwe na mafundisho ya uongo ambayo Kwa Sasa yametapakaa ulimwenguni kote na mengi yakilenga kujipatia fedha na si kuitangaza kweli ya Mungu.
Ubarikiwe na wimbo huu kutoka AICT bujora choir #aic #gospel #music #trending #world #wide #aict
Karibu kua nasi:
INSTAGRAM: aicbujora_choir_official
FACEBOOK: aicbujorachoir.
Mungu awazidishie mzidi kumtumikia Mungu katika rock na kweli. Munarikiwe sana Bundle.
Hongereni sana mimi nimebarikiwa sana na nyimbo zenu mnaimba vizuri sana kazi yenu ni nzuri.Bujora Mungu awainue tena kwa viwango vya juu zaidi.
Mwalimu Alie Tunga hi nyimbo mungu aendelee kutumia
Mungu awabaliki sanaa
Barikiweni kwa wimbo wenye ujumbe mzuri, aliyetunga huu wimbo nampa maua yake🌹🌹
Nyimbo zuri sana natamani kuwaona. Live
Hongera sana waimbaji na mtunzi wa huu wimbo iko na ujumbe wa busara kwa kwa maisha ya wakristo mubarikiwe sana
Amina kwa ujumbe mzuri
Maaana yake sawa ..
🎉🎉🎉 congrats wanakwaya wa AICT Bujora
Mungu awabariki sana Kwa maono ya wimbo huu, kazi yenu ni njema , Mungu awakumbuke katika hitaji la mioyo Yenu
Amina Asante sana mpendwa.
Jameni wakristo tusiwe kama kibao. Tuwape ujumbe wa Mungu tunayemjua. Asanteni watumishi wa Mungu kwa ujumbe huu
Amen kaka karibu
Hongera sana AIC Bujora
Asante Santa meslyvoice production Kwa support yenu
Wimbo mzuri..... Wakristo tusiwe vibao
Utunzi mkali❤
Amen kaka karibu
Amina endelea kubarikiwa mtumishi
Kibao Cha shule very nice song
Barikiweni Sana Ndugu zangu Kisesa, Wana AICT BUJORA
Asant mpendwa katika bwana
Amen barikiwa
Tunaomba mtuwekee nyimbo zote na mbarikiwe sana
Amina tutalifanyia mpendwa
Wew ben...na hilo sollo guiter daah..
Kijana wetu yupo vzuri Asante san.
Amen...c kwa nguvu zake mwenyew ila alie juu....najivunia yey kijana kudumu katika kazi ya Mungu...
Great
Amen
Amina
Utunzi uliyotukuka vilivyo.
Amen
Nice Song with a very thrilling message.
Here in in our church in Kenya we have we have a guy from there bujora who is doing goog in training our Choir .
We are proud of you guys from TZ.
An example of of his work
www.youtube.com/@AICIKOLENIMAINCHOIR
Amina kwa ujumbe mzuri
Jameni wakristo tusiwe kama kibao. Tuwape ujumbe wa Mungu tunayemjua. Asanteni watumishi wa Mungu kwa ujumbe huu
Amina mpendwa