Nimeishi in these 2 cities. In mwanza, food is cheaper than in kisumu. Mwanza imejengeka tu mwanza mjini lakini maeneo kama pasiasi, igoma, Busisi nk bado angalau igoma kidogo.. ila kisumu bado ipo mbele ya MZA
Mwanza ameonyesha robo ya mji, mfano hotel kubwa kuliko malaika zote hajaonesha(gold cres,mwanza hotel,jb belmont hotel nk, hospital selectors, hulu nk. Masoko soko kuu mbona hajaonesha hata picha yake wakati Kisumu kaonesha zingine ameweka project. Stendi mpya ya Nyegezi na stendi mpya ya bururuga, kuna daraja kuliko madaraja yote africa mashariki na kati, madaraja ya juu yako 2 barabara, pia airport mpya hajaweka, Kweli Kisumu ni kuzuri ila sio ya kufananisha na mwanza sema Mombasa, kumbuka mwanza ni JIJI LA PILI KWA UKUBWA TANZANIA NA SIO ARUSHA
Hawa jamaa siyo kama hawajui bali wanapotosha kwa makusudi ili kupromoti nchi yao, lakini wacha wapige kelele kwenye mitandao kiama chao kinakuja, sisi mambo yetu ni kimya kimya, juzi tu baada ya treni za umeme kuanza kazi kuna mayoutuber wa Kenya wapumbavu wamekuja na kushuti video ktk treni za zamani za MGR zilizoharibika na kuposti wakidai eti ndiyo treni zetu hizo huku wakidiliki kudanganya eti treni zao za Dizeli za SGR ni zuri na za kisasa zaidi ya treni zetu za umeme. Yani hawa jamaa kwa jinsi walivyo wapumbavu kila kitu wanafeki tu. Lakini mwisho wao unakuja, projects zote za kimkakati za Tanzania zikikamilika watakuwa wadogo soon na upuuzi wao wote huu watauacha.
Your video is nice, but kindly you will to take more videos of Mwanza for the sake of the arising complaints of our lovely Brothers and Sisters from Tanzanian, me as a Kenyan i would also like to see more of Tz because i like the Tz's and we are Brothers and Sister's. Thanks in advance.
Mwanza big in size and population but kisumu much developed, highly industrialised and well paved in terms of road, railway and airport. Both cities are uniquely beautiful
Good but you gave your time more to Ksm than Mwanza. You only featured Malaika Beach and left three good down town hotels. I know both towns like the back of my hand.
Kama hizo picha zote nilizoona ni Kisumu basi kisumu inaizidi kidogo Mwanza. Mwanza hakuna ghorofa la maana. Kama ule ujenzi uliofanyika Dodoma hii mika 3 iliyopita ndiyo ungefanyika Mwanza hapo ndiyo Mwanza tungeipita kisumu. Ukweli usemwe Mwanza ni kubwa na Mwanza mjini yaani wilaya za Nyamagana na Ilemela zinawatu wengi na majumba mengi sana kuliko mji wowote TZ ukitoa Dar lakini maghorofa na barabara nzuri za 4 ways hazipo. 4 ways ni moja tu mji mzima, uwanja wa mpira ni wa CCM hivyo hauendelezwi hauna paa hauna taa, majengo ya uwanja wa ndege hata hili linalojengwa ni kituko. TZ ina mji mmoja tu ulioendelea Dar, na mpaka sasa sioni mji wa kulingana na Dar kwa maghorofa ya maana hapa EA.
Am Kenyan en now living in Addis Ababa, Ethiopia..... Mwanza is somehow developed compared to Kisumu, it's a big city... Am nat judging based on my nationality... Am just talking the truth
@@geofreygeorge5086 nivile umeishi addis huelewi nchi yako.ricently kisumu imejengwa sana.standard ya barabara za ksumu ni zile za nairobi ila mwanza barabara bado niza chini.
Fanyeni disvaluing kadri mtakavyo weza kuhusu tanzania lakin sisi hatuna shida ya kugombana nanyie wakenya ... Nawashauri tu tupendane achan na hayo mamb yakucompare btn us ...mbn tz hatuna shida nanyie hatujishindanishi nanyie na tunajua Kenya Mpo vizuli Mpo juu economically so what Tanzania do to u? Adi muanze kujishindania nasisi
Mwanza ina hoteli nzuri sana. Looking towards visiting, mwakani.Ni vizuri ushindani wa ndani ya Afrika ukiendelea ku kuzwa, miongoni mwetu.Bila ya kuvikumbatia sana vya wazungu. Ila naomba tafadhali. Ushindani uwe wa haki, pasipo, kudharauliana. Watakao faidi kwa ushindani huu mzuri,watakuwa ni sisi tu wana wa Afrika.Let us keep encouraging each other,as we add value to our lives.
@@sweetlisious 😂😂😂😂 mwanza ni city ama town ? Kisumu ni city hapa kenya lakini cjai skia mwanza city ,,, ata dodoma ambayo ni capital iko nyuma sana kushinda dar .Hatuna wivu ,,tuna tetea our pride Kenya
Ni kweli hawajaonesh gold crest hotel moja ya hotel nzuri pia kubwa mwanza pia bugando ya sasa imeboreshwa zaid. Although kisumu is also good looking we should be proud of being all africans
Mbona naona kama kisumu iko juu ukiangalia vitu vilivyopo kwa ajili ya huduma za kijamii ,hotels,hospital,supermarket, nk mtazamo Wang lakini si sehemu ndogo het ndo wameonyesha ila kwa usafi mza inaongoza kisumu pachafu

Yani tunalinganisha Mwanza city na kamji kanako tumia baiskeli kama public transport karne hii ya 21.??Wakenya wabishi utadhani walisha rahaniwa kwa ubishi tangu dunia inaumbwa.Kisimu yenyewe hailingani na manispaa mpya ya kisesa asielewa ndie anabisha.
Mi ni mkenya,lakini hizi miji zote ni majirani,ni bora watu watembee wajionee dunia yao,kuliko kushinda ukitusiana hapo, umekalia tu wangoja uletewe picha na matusi yasiyo iisha
Daah!!!... I can't help feeling like this was a cheap shot at TZ... Its like you gave your best photography skills for Kisumu, nice night light photos sunset pic's on the other hand you got lazy with Mwanza its cool though 😅 its all fair in love and war btn KE n TZ ausio?
I am from Kenya, but Mwanza has certainly developed more than Kisumu. It has a lot to offer. I know it like the back of my hand. In this video, they have not done justice to the beauty of growth of Mwanza
@@kenyandamu The way you reason continues to confirm you know nothing about Mwanza. I have plots in Kisumu as well as a house in Mwanza. I have lived and worked in both places. In fact, Kisumu is my hometown. Now, I have also lived in the US for 20 years. When I say that Washington DC is more developed than Nairobi, I am not demeaning Nairobi. I am simply stating the facts. If I say Nairobi is more developed than Bomet, I am not demeaning Bomet. I am simply stating the facts. But I gather that this way of reasoning may be too much for you😂
@@onelife7850 Of course nearly all the 200+ Cities in AMERICA are more developed than nearly all the Cities in the AFRICA. I live in California and so don't scare me with baseless comparisons of Washington DC and Nairobi. Of course it's more developed than Nairobi. Kaongea matope na kichwa kimejaa mavi mshikaji. Acha niende forodhani nile pweza badala ya kujibizana nawe. Uchokonoaji itakupeleka wapi ... Mwehu wewe!
Mwanza is much more ahead compared to Kisumu...you've gathered little scenes on the beauty of Mwanza than you've done to Kisumu...a lot has been done to Mwanza even the longest bridge built on the lake Victoria though it's not completed but this talks a lot on how much Mwanza is beautiful and developed than Kisumu...go for more research
I'm Tanzanian but what I can say .....Kisumu iko zaidi kidogo. 1. Kisumu stadium ni ya kisasa 2. Buildings ni za kisasa zaidi kuliko mwanza 3. Hotels ni poa sana kuliko Mwanza 4. Mji uko busy than Mwanza Nimesema ukweli bila kuwa shabiki wa upande wowote ...Ingawa Mwanza umeonyesha kidogo sana ila napajua phiscally
Kisumu kubwa ina Kila kitu dar yenyew haija ifikia kisumu mwanza Ina mabanda mengi angalia picha ya juu utaona majengo mengi yaki zamani paa zake za kutu kisumu noma tuache ushabiki
@@aishaasumany561 Mimi sio mkenya mm ni mtanzania nime zaliwa mabibo Tanzania yetu tuna ijua labda mshamba kutoka kijijini ndio ata shangaa sisi tuliozaliwa mjin tunajua nchi yetu bado Sana miundo mbinu hapa Tanzania sehemu ambayo imaekaa imejengwa kimpangilio ni wilaya ya Moshi peke yake
Actually jinja city in Uganda is more famousand has potential than those cities ,with ots source of the nile tourism,Hydropower plants,industrial complexes
Great presentation but you wrong music. Kisumu / Luo Nyanza is home to great music from Benga to Ohangla and our counerparts from TZ have Bongo so it would have been fitting to use the local music for this great presentation
Mmeibeba sana kisumu but bado mwanza inakuwa first so mda mwingine angalieni mda kuonesha madhari ya pande zote mbili.Huwez kuionesh kisum kwa dk 2 na sehem afu unaionesha Mwanza kwa dk 1 na sehem Ni Upumbavu.but Mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿
@@mkude Wakenya kwa sifa Mmejaaliwa na ujinga lkni mnafuujo namnaishi kwakutegemea wahindi wamipe unga wa sima kira jumanne jumamos wake zenu wanaenda kupew. mobali ya unga wa sima mtandaoni mwajishauwa sijui nazani kenya ni Dubai????????
I don't think that a researcher has done a deep investigation concern Mwanza.listen my brethren, you can't compare Mwanza with Kisumu but Mwanza with Nairobi,And compare Dar es salaam with Dubai,Qatar,Doha because Tanzania is going to put whites under our feets,that's why no Covid 19 in Tanzania. Have you got me? But we have to feel good on our Africa. We are brethren,let us love each other
@@elikanazacharia4905 project gan ndugu Yang project zenyew zina jengwa sehemu ambayo tayar ishakuw uswahilini hakun mpangilio lio wowote watu wetu mipango miji sijui wanafany nn hawajui kupangilia miji yetu
@@lydiakeyshly3761 pause the video at 0:55 you will see Mombasa cbd and at 1:41 is Mombasa Port, Kisumu is my home town and I have also been to Mombasa several times. Let's just be sincere, of course I would want Kisumu to win because that's my home town
mwanza haujaifanyia fair kwenye picha, mfano bugando hujapiga picha full ya majengo ila kisumu umefanya hvyo, majengo mengine hujayaonyesha. so you made stupidity
I have leaved in kisumu,but honestly speaking mwanza not only for kisumu but its among five fastest growing cities in Africa,its not comparison but mwanza soon can be dubai of Africa.u haven't showed even quarter beautify of great city in Africa,its unfair.
We auijui mwanza nandiomana unaonyesha hotel moja tu tena kwa picha ya malaika. Njoo ujionee nitakulipia fair ya ndege uje uione mwanza na hako kasumu kenu.
Mwanza bado iko nyuma barabara ya Shinyanga mwanza haina hadhi ya jiji la mwanza nimashimo matupu hiyo njia iwe basi hata njia nne au sita.juhudi zipo kama ujenzi wa reli ya kisasa na daraja zake labda baada ya miaka mitano ijayo itapendeza zaidi.
whats this bullishit? what do u mean 3rd beautiful cities??no wonder u have 33 subs?stop comparing these two countries..mtaanza kuuliza mbwa wa Kenya na mbwa Tz nani ana mkia mrefu..
@@Iam_gatie this kind of people exist...do what makes you happy....dont do what few love...do what you love...if it will make you happy then the whole universe will be happy..
Channel ya kijinga na mtangazaji ni mjinga. Hali ikiendelea hivi tutaanza kuambizana watanzania tuwe tunaipuuza na kuisusia hii channel ili iwe inaangaliwa na wakenya wenyew
Mwanza hoteli ni mbili tu? 😂😂😂😂 am done..hii ni Mwanza ipi unayoinyesha hapa? Nadhani unahitaji kufanya utafiti vizuri kama unataka kulinganisha sehemu..hii video imevutia Kisumu, Mwanza hujapatendea haki kabisa. Pamoja na hayo, watu wa Mwanza ni wakarimu na tunakukaribisha tena 😊
@@alexchrispinus3001 ok we right next door plus both cities Surround lake Victoria and also Kisumu is in Southern Kenya at the border of Kenya and Tanzania I will just drive there don’t late me down. www.distancecalculator.net/from-mwanza-to-kisumu
Mimi nimefika kote kisumu nimekaa na mwanza nimekaa lakn kisumu ni bora kuliko mwanza kisumu imeendelea kuliko mwanza alaf ni kubwa sana kisumu kuliko mwanza
Hui jui mwanza ww nyamaza tunao ijua tume kaa kimiya kawa acha wa kenya wajipe moyo ila tz ni mpelempele bendera bado ina pepea na kazi ina endelea waswahili tuna msemo wetu Tonge la mwisho ndio ukomba mboga
You know nothing about Mwanza hivi ninyi wakenya mbona mnapenda kujitekenya wenyewe kwa Tanzania wewe unaonesha hotel moja tu kwa Mwanza.You just deal with your Kenya most tribalism country stop making comparison with Tz.
Kenya is not tribal but a complex society....we have cushites..nilotes..bantus. semites..whites and asians calling kenya home...it is a rich diversity...the rest of east africa may lack one of the language group..or if it is there is so small for recognition...we have lived 60 years as a nation with such balance...unlike sudan who decided one to let it go..
Nimeishi in these 2 cities. In mwanza, food is cheaper than in kisumu. Mwanza imejengeka tu mwanza mjini lakini maeneo kama pasiasi, igoma, Busisi nk bado angalau igoma kidogo.. ila kisumu bado ipo mbele ya MZA
video dont shoo all place of mwanza Tz why ?
What is the song name please
So Mwanza airport is all about that old PAX terminal how about most modern n the largest cargo terminal in the whole of EAC?
Why compare? Is there a competition? Each city has it's unique beauty.
0:54 I don't think that is Kisumu
my friend thats kisumu
That is mombasa
Rocky city woow beautifull tz
Sasa kasarani stadium.iko.kisumu? And y show the port of mombasa and parts of mombasa city as kisumu??
Worst comparison video ever
Masha Allah mwaza 🇹🇿🇴🇲
Mwanza ameonyesha robo ya mji, mfano hotel kubwa kuliko malaika zote hajaonesha(gold cres,mwanza hotel,jb belmont hotel nk, hospital selectors, hulu nk.
Masoko soko kuu mbona hajaonesha hata picha yake wakati Kisumu kaonesha zingine ameweka project. Stendi mpya ya Nyegezi na stendi mpya ya bururuga, kuna daraja kuliko madaraja yote africa mashariki na kati, madaraja ya juu yako 2 barabara, pia airport mpya hajaweka,
Kweli Kisumu ni kuzuri ila sio ya kufananisha na mwanza sema Mombasa, kumbuka mwanza ni JIJI LA PILI KWA UKUBWA TANZANIA NA SIO ARUSHA
Hawa jamaa siyo kama hawajui bali wanapotosha kwa makusudi ili kupromoti nchi yao, lakini wacha wapige kelele kwenye mitandao kiama chao kinakuja, sisi mambo yetu ni kimya kimya, juzi tu baada ya treni za umeme kuanza kazi kuna mayoutuber wa Kenya wapumbavu wamekuja na kushuti video ktk treni za zamani za MGR zilizoharibika na kuposti wakidai eti ndiyo treni zetu hizo huku wakidiliki kudanganya eti treni zao za Dizeli za SGR ni zuri na za kisasa zaidi ya treni zetu za umeme. Yani hawa jamaa kwa jinsi walivyo wapumbavu kila kitu wanafeki tu. Lakini mwisho wao unakuja, projects zote za kimkakati za Tanzania zikikamilika watakuwa wadogo soon na upuuzi wao wote huu watauacha.
The video was fair,I wonder why you guys complain alot just accept kisumu is the best
Your video is nice, but kindly you will to take more videos of Mwanza for the sake of the arising complaints of our lovely Brothers and Sisters from Tanzanian, me as a Kenyan i would also like to see more of Tz because i like the Tz's and we are Brothers and Sister's. Thanks in advance.
Mmmm
Kenyans are always behaving like clingy exes. You never want to hurt the feelings of Tanzanians even if what you're saying is true. Smh. 🤣🤣🤣🤣
Mwanza big in size and population but kisumu much developed, highly industrialised and well paved in terms of road, railway and airport. Both cities are uniquely beautiful
Mwanza mnalinganisha na uchafu jaman??
Wivu itawauwa enyi wa-TZ
@@fredrickmwazuna7342 sio wivu, anaweka hoteri tu wakati mwanza ina maeneo mazuri kibaaoo, wivu gan sasa
Hata Eldoret imeshinda mwanza
@@dhakomodherooherokoko6037 na mbali Sana 🤣😂🤣
@@tanstudiotv usidhani hatujui mwanza 😂
Good but you gave your time more to Ksm than Mwanza. You only featured Malaika Beach and left three good down town hotels. I know both towns like the back of my hand.
Kama hizo picha zote nilizoona ni Kisumu basi kisumu inaizidi kidogo Mwanza. Mwanza hakuna ghorofa la maana. Kama ule ujenzi uliofanyika Dodoma hii mika 3 iliyopita ndiyo ungefanyika Mwanza hapo ndiyo Mwanza tungeipita kisumu.
Ukweli usemwe Mwanza ni kubwa na Mwanza mjini yaani wilaya za Nyamagana na Ilemela zinawatu wengi na majumba mengi sana kuliko mji wowote TZ ukitoa Dar lakini maghorofa na barabara nzuri za 4 ways hazipo. 4 ways ni moja tu mji mzima, uwanja wa mpira ni wa CCM hivyo hauendelezwi hauna paa hauna taa, majengo ya uwanja wa ndege hata hili linalojengwa ni kituko.
TZ ina mji mmoja tu ulioendelea Dar, na mpaka sasa sioni mji wa kulingana na Dar kwa maghorofa ya maana hapa EA.
Rock city 🇹🇿✔️
Mwanza
Mwanza
Mimi ni mkenya and I have been in both cities, but to be honest Mwanza is the best than Kisumu, wametuzidi
Ooliskia Wapi
@@nairobinyeusi5811 kwako
Wewe ni mtz
Am Kenyan en now living in Addis Ababa, Ethiopia..... Mwanza is somehow developed compared to Kisumu, it's a big city... Am nat judging based on my nationality... Am just talking the truth
@@geofreygeorge5086 nivile umeishi addis huelewi nchi yako.ricently kisumu imejengwa sana.standard ya barabara za ksumu ni zile za nairobi ila mwanza barabara bado niza chini.
Fanyeni disvaluing kadri mtakavyo weza kuhusu tanzania lakin sisi hatuna shida ya kugombana nanyie wakenya ... Nawashauri tu tupendane achan na hayo mamb yakucompare btn us ...mbn tz hatuna shida nanyie hatujishindanishi nanyie na tunajua Kenya Mpo vizuli Mpo juu economically so what Tanzania do to u? Adi muanze kujishindania nasisi
Mwanza ina hoteli nzuri sana. Looking towards visiting, mwakani.Ni vizuri ushindani wa ndani ya Afrika ukiendelea ku kuzwa, miongoni mwetu.Bila ya kuvikumbatia sana vya wazungu. Ila naomba tafadhali. Ushindani uwe wa haki, pasipo, kudharauliana. Watakao faidi kwa ushindani huu mzuri,watakuwa ni sisi tu wana wa Afrika.Let us keep encouraging each other,as we add value to our lives.
Japokuwa mmeionesha kdg mwanza. Is the best
Kwel
Wakenya wanawivu sana
@@sweetlisious 😂😂😂😂 mwanza ni city ama town ? Kisumu ni city hapa kenya lakini cjai skia mwanza city ,,, ata dodoma ambayo ni capital iko nyuma sana kushinda dar .Hatuna wivu ,,tuna tetea our pride Kenya
Mwanza is not the third but the second city in Tanzania
both are equally beautiful
mwanza wameonyesha sehemu ndogo sana hawajaionyesha mwanza vizuri
Ni vile mwanza ni ndogo...so utaonyesha wapi jamani
Hata kisumu wameonyesha sehemu ndogo
Ni kweli hawajaonesh gold crest hotel moja ya hotel nzuri pia kubwa mwanza pia bugando ya sasa imeboreshwa zaid. Although kisumu is also good looking we should be proud of being all africans
Mbona naona kama kisumu iko juu ukiangalia vitu vilivyopo kwa ajili ya huduma za kijamii ,hotels,hospital,supermarket, nk mtazamo Wang lakini si sehemu ndogo het ndo wameonyesha ila kwa usafi mza inaongoza kisumu pachafu
Mbona naona kama kisumu iko juu ukiangalia vitu vilivyopo kwa ajili ya huduma za kijamii ,hotels,hospital,supermarket, nk mtazamo Wang lakini si sehemu ndogo het ndo wameonyesha ila kwa usafi mza inaongoza kisumu pachafu
Yani tunalinganisha Mwanza city na kamji kanako tumia baiskeli kama public transport karne hii ya 21.??Wakenya wabishi utadhani walisha rahaniwa kwa ubishi tangu dunia inaumbwa.Kisimu yenyewe hailingani na manispaa mpya ya kisesa asielewa ndie anabisha.
Mkundu wewe.
@@sultanmswahilitv4864 😂😂😂
Kisumu iko juu
Mi ni mkenya,lakini hizi miji zote ni majirani,ni bora watu watembee wajionee dunia yao,kuliko kushinda ukitusiana hapo, umekalia tu wangoja uletewe picha na matusi yasiyo iisha
Mpumbavu ni huyu mwenye Chanel wallah
@@sweetlisious kisha nimtz anawachora Wa +254
Daah!!!... I can't help feeling like this was a cheap shot at TZ... Its like you gave your best photography skills for Kisumu, nice night light photos sunset pic's on the other hand you got lazy with Mwanza its cool though 😅 its all fair in love and war btn KE n TZ ausio?
Of course kwanza video imekuwa fupi kwa mwanza halfu nimeshangaa Bugando hospitla livyo display daaah locally kabisa
Wakenya wako so selfish mamae zao 😁😁😁 iyo bugando wameitoa kama choo
Kisumu wametumia old pictures. The Kisumu of 2021 is very advanced especially barabara na buildings.
I am from Kenya, but Mwanza has certainly developed more than Kisumu. It has a lot to offer. I know it like the back of my hand. In this video, they have not done justice to the beauty of growth of Mwanza
I am from Kenya and Mogadishu is certainly more developed than Nairobi
@@kenyandamu THEN GO LIVE THERE
@@onelife7850 Hata wewe nenda uishi Mwanza au sio mshikaji 😂😂😂.
Unafiki ukome mwenzangu!
@@kenyandamu The way you reason continues to confirm you know nothing about Mwanza. I have plots in Kisumu as well as a house in Mwanza. I have lived and worked in both places. In fact, Kisumu is my hometown. Now, I have also lived in the US for 20 years. When I say that Washington DC is more developed than Nairobi, I am not demeaning Nairobi. I am simply stating the facts. If I say Nairobi is more developed than Bomet, I am not demeaning Bomet. I am simply stating the facts. But I gather that this way of reasoning may be too much for you😂
@@onelife7850 Of course nearly all the 200+ Cities in AMERICA are more developed than nearly all the Cities in the AFRICA.
I live in California and so don't scare me with baseless comparisons of Washington DC and Nairobi. Of course it's more developed than Nairobi.
Kaongea matope na kichwa kimejaa mavi mshikaji. Acha niende forodhani nile pweza badala ya kujibizana nawe. Uchokonoaji itakupeleka wapi ... Mwehu wewe!
Mwanza, is a city like Dar and Zanzibar if you didn't already know!
In landmass mwanza is big, but the cbd of kisumu is much bigger and sophisicated than mwanza cbd
Mwanza is much more ahead compared to Kisumu...you've gathered little scenes on the beauty of Mwanza than you've done to Kisumu...a lot has been done to Mwanza even the longest bridge built on the lake Victoria though it's not completed but this talks a lot on how much Mwanza is beautiful and developed than Kisumu...go for more research
Mwanza is not the 3rd city in Tanzania
Usiifananishe mwanza na vitu vya ajabu
Poor shooting for Mwanza and much Egoistic for Kisumu poor
I'm Tanzanian but what I can say .....Kisumu iko zaidi kidogo.
1. Kisumu stadium ni ya kisasa
2. Buildings ni za kisasa zaidi kuliko mwanza
3. Hotels ni poa sana kuliko Mwanza
4. Mji uko busy than Mwanza
Nimesema ukweli bila kuwa shabiki wa upande wowote ...Ingawa Mwanza umeonyesha kidogo sana ila napajua phiscally
Kweli kbsa
icho sio kiswahili chetu. we ni mkenya
@@jacksonhamis4720 kwel huyu ni Mkenya anajifanya mtanzania na Mwanza anaijua,,,Tanzania hatuna Kiswahili kama cha kwako😂😂😂
Hawa Sukuma si wancomplain sana. What is? Your town looks beautiful too
The hotels in mwanza 👌
Mbn video upande wa mwanza imekua fupi ww ng'ombe 😁😁😁 the title should have been Kisumu and Kisumu comparison with single Mwanza
Ng'ombe
pueda ww
Mwanza hujaitendea haki inavitu vzur kuliko hivyo
Nyie ni mikundu kenye editi nyingi lakin mwanza amna ediyi
From Texas USA, Mwanza beautiful than Kisumu
Kisumu kubwa ina Kila kitu dar yenyew haija ifikia kisumu mwanza Ina mabanda mengi angalia picha ya juu utaona majengo mengi yaki zamani paa zake za kutu kisumu noma tuache ushabiki
@@lebronmbando201 Ugiriama utakuuwa pepo wwe
@@lebronmbando201 Sinikwenu huko kwenye nyumba za kutu giriama kwani kuna hata baraba zaidi yamnazi tuu
@@aishaasumany561 Mimi sio mkenya mm ni mtanzania nime zaliwa mabibo Tanzania yetu tuna ijua labda mshamba kutoka kijijini ndio ata shangaa sisi tuliozaliwa mjin tunajua nchi yetu bado Sana miundo mbinu hapa Tanzania sehemu ambayo imaekaa imejengwa kimpangilio ni wilaya ya Moshi peke yake
Video ya mwanza umechukua juu juu hujiamini au
Mwanza is great than Kisumu.
Mwanza ni kijiji tu
Mwanza takataka
@@dhakomodherooherokoko6037 Kenyan bwana kwani mmekula nn kibaya
@@lebronmbando201 mna tabu nyie
Mwanza umeionesha kidogo kwanini
Actually jinja city in Uganda is more famousand has potential than those cities ,with ots source of the nile tourism,Hydropower plants,industrial complexes
Huyu jamaaa itakuwa n mkenya mbna mwanza sehem nyingi sana aujaonyesha
Mwanza has more Lake Victoria than Kisumu!
Chanel ya mpuuzi mmoja kutoka kenya huwa wanafanya comparison za kinga sana!!!
Sijawahi kuona kenya wakashindanisha na Uganda kila siku Tz inamana Uganda amuwapendi mnapenda Tz tu🥺🙄🙄🙄🙄
Tz ndo Kuna mambo mzr
Uganda hakuna kitu , afadhali nyinyi 😂😂
Great presentation but you wrong music. Kisumu / Luo Nyanza is home to great music from Benga to Ohangla and our counerparts from TZ have Bongo so it would have been fitting to use the local music for this great presentation
copyright issue my dear
Both are east african cities and also neibours.They are doing more changes that's great.😁
Towns , not cities
Ww matako kweli mbona umeonyesha kidogo mwanza
Anae fanya comparison ni wa kisumu😂😂😂
Mmeibeba sana kisumu but bado mwanza inakuwa first so mda mwingine angalieni mda kuonesha madhari ya pande zote mbili.Huwez kuionesh kisum kwa dk 2 na sehem afu unaionesha Mwanza kwa dk 1 na sehem Ni Upumbavu.but Mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿
Wanazingua marayaawa
Mwanza hakun kitu Cha kuonesha zaidi ya dakika 2 Tanzania watu wamipango miji Wana feli sana mwanza Ina jengwa hovyo hata mikoa mingine hivyo hivyo
@@lebronmbando201 hata kibera pia imejengwa hovyo hovyo mathare,halafu wametudanganya wanatujengea sgr kumbe wametujengea na kutuwekea gari moshi,yani watanzania sijui wakoje
@@lebronmbando201 Ujalio wivu omera Yawa wivu niwanni mwanza nindogo wakujua
Ukatoka vijasho vyamkundu kwakubishana lnakuuusu????????????????????
@@mkude Wakenya kwa sifa Mmejaaliwa na ujinga lkni mnafuujo namnaishi kwakutegemea wahindi wamipe unga wa sima kira jumanne jumamos wake zenu wanaenda kupew. mobali ya unga wa sima mtandaoni mwajishauwa sijui nazani kenya ni Dubai????????
Kisumu Dala
Mwanza is a mile ahead of Kisumu best believe me...
I don't think that a researcher has done a deep investigation concern Mwanza.listen my brethren, you can't compare Mwanza with Kisumu but Mwanza with Nairobi,And compare Dar es salaam with Dubai,Qatar,Doha because Tanzania is going to put whites under our feets,that's why no Covid 19 in Tanzania. Have you got me? But we have to feel good on our Africa. We are brethren,let us love each other
You are a fool 😂
Tanzanians are so full of themselves😂 You want to compare Dar with Dubai....
@@natureworld295 fool mama yako
Most foolish comment on the internet 😂😂😂😂😂😂
You're not okay upstairs
Mimi ni mtanzania bila upendeleo kisumu wamejitahididi saana,
Yea 😊
Acheni uhuninwanja wa kasarani Nairobi mumeuweka Kisumu airport ya Nairobi mumeiweka Kisumu wakenya acheni ubabaifu ndegeles
MWANZA HANDS DOWN.
Bugando ndo iko ivyo nyie ni mikundu
Mwanza ni hatariiiii sana
Ujaona sehemu zingine majengo ubaguzi tu
MB zimeeda bure uongo mwingi ukweli kidogo
Mwanza mwanza
Mbona mwanza umeionyesha kidogo sana
Kwasababu ni ndogo
Thats all Mwanza has to offer😂
Mwanza haman kitu Cha kuonesh labda ange changanya na picha za dar Tanzania ujenzi gharama ndio maan inadumaa
@@lebronmbando201 unamawazo mgando subiri projects ziishe ndo utajua Tz gharama za ujenzi zpo juu au la
@@elikanazacharia4905 project gan ndugu Yang project zenyew zina jengwa sehemu ambayo tayar ishakuw uswahilini hakun mpangilio lio wowote watu wetu mipango miji sijui wanafany nn hawajui kupangilia miji yetu
Next time include ladies kwa these shots to atleast flavor abit, I like seeing those miniskirts
You're not sincere, I wonder what Mombasa pics are doing here yet the comparison was between Kisumu and Mwanza
Umeona Mombasa wapi, building zinafanana na mostly ukitaka kujua ni Mombasa huwa ni rangi nyeupe
Umeona Mombasa wapi, building zinafanana na mostly ukitaka kujua ni Mombasa huwa ni rangi nyeupe
@@lydiakeyshly3761 pause the video at 0:55 you will see Mombasa cbd and at 1:41 is Mombasa Port, Kisumu is my home town and I have also been to Mombasa several times. Let's just be sincere, of course I would want Kisumu to win because that's my home town
Mbona mnalinganish mwanza na vitu vya kijinga
mwanza haujaifanyia fair kwenye picha, mfano bugando hujapiga picha full ya majengo ila kisumu umefanya hvyo, majengo mengine hujayaonyesha. so you made stupidity
I have leaved in kisumu,but honestly speaking mwanza not only for kisumu but its among five fastest growing cities in Africa,its not comparison but mwanza soon can be dubai of Africa.u haven't showed even quarter beautify of great city in Africa,its unfair.
Tumia akili 😎
Linganisha mwanza na Eldoret.
Kisumu imezidi hicho kijiji 😂😂😂
Auxio mmtoto wamalayaww
Eldoret imeizidi pia , kwa ukubwa tu na population is where it beats eldi. But development mwanza is far much behind
@@eriaskb9168 Wwe nimtoto wa shetani
Tatizo wakenya roho zenu chafu kama matako yenu
@@aishaasumany561 mkimwaga mboga tunamwaga ugali
Why Kenyans always do this?
Good question!.
They are so jelousy
We auijui mwanza nandiomana unaonyesha hotel moja tu tena kwa picha ya malaika.
Njoo ujionee nitakulipia fair ya ndege uje uione mwanza na hako kasumu kenu.
you kenya your joy king so much you subiri sana ✅ 🇹🇿👌😜
Tanzania darsalam mzuri sana kweli
Umekula mb zangu bure fala ww
😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Watch ur tongue nani
😂😂 wewe ni wakisumu vitu vingi mwanza hujavionuesha MWANZA NI THE BEST
Kisumu ni Kubwa. Angeweka yote na Barabara za Kisumu ungetoroka
Kisumu is the best
Mwanza bado iko nyuma barabara ya Shinyanga mwanza haina hadhi ya jiji la mwanza nimashimo matupu hiyo njia iwe basi hata njia nne au sita.juhudi zipo kama ujenzi wa reli ya kisasa na daraja zake labda baada ya miaka mitano ijayo itapendeza zaidi.
Hiyo sio mwanza tunayoijua
Huoni hata aibu. Mwanza umeonesha hotel tu. Zunguka mwanza ujionee
whats this bullishit? what do u mean 3rd beautiful cities??no wonder u have 33 subs?stop comparing these two countries..mtaanza kuuliza mbwa wa Kenya na mbwa Tz nani ana mkia mrefu..
Why are you so bitter though😂😂
@@gatiepaula1372 coz it is silly..
Every journey starts with a step,it used to be 1subscriber and now at 33subscribers & 1.5k views! We are grateful🙏😊
@@Iam_gatie U SHOULD DO BETTER BY SENSIBLE CONTENT NOT WITH THIS KIND OF CRAP THOUGH
@@Iam_gatie this kind of people exist...do what makes you happy....dont do what few love...do what you love...if it will make you happy then the whole universe will be happy..
Kisumu roads
N buildings are more modern than Mwanza on the other hand Mwanza beaches are cool n great visiting there soon.
Mwanza is 100 times far from kisumu. Even arusha can beat kissumu 50 times
@@josephgodfrey194 i guess you are speaking from anger and not from expirience..right?
@@josephgodfrey194 😆😆😆ndoto
@@josephgodfrey194 kumbuka kisumu is the third largest city in kenya.while mwanza is second do dont compare arusha and kisumu
Umekula Bundle zangu ujue mm niko mwanzaa hapa
Hahahaaaaaa nadhani hajawahi kufika MWZ labda
Nani amekuambia hatujafika mwanza , yaaani huwezikuona hata barabara hamna , na airport pia 😂😂😂
We mkenya ni quuumaaa
Mwanza bado ipo juu tu
Channel ya kijinga na mtangazaji ni mjinga. Hali ikiendelea hivi tutaanza kuambizana watanzania tuwe tunaipuuza na kuisusia hii channel ili iwe inaangaliwa na wakenya wenyew
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 derby
Ki❤sumu
Mwanza hoteli ni mbili tu? 😂😂😂😂 am done..hii ni Mwanza ipi unayoinyesha hapa? Nadhani unahitaji kufanya utafiti vizuri kama unataka kulinganisha sehemu..hii video imevutia Kisumu, Mwanza hujapatendea haki kabisa.
Pamoja na hayo, watu wa Mwanza ni wakarimu na tunakukaribisha tena 😊
Mwanza will be number 9 in Kenya (if it was in Kenya)
What is this nonsense?
Kisumu wins🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪but one Long both cities Look the same and there Neighbors
@@alexchrispinus3001 ok we right next door plus both cities Surround lake Victoria and also Kisumu is in Southern Kenya at the border of Kenya and Tanzania I will just drive there don’t late me down. www.distancecalculator.net/from-mwanza-to-kisumu
Wakenya Wakikosa pakutokea....
Tz Ni stori Nyingine Duniani.....
Kisumu is the Best tz wametushindia food
Nyeri is developed than Mwanza
Hii Mwanza ninshida
Mimi nimefika kote kisumu nimekaa na mwanza nimekaa lakn kisumu ni bora kuliko mwanza kisumu imeendelea kuliko mwanza alaf ni kubwa sana kisumu kuliko mwanza
Hapana mwanza ni Kubwa kuliko Kisumu
Hui jui mwanza ww nyamaza tunao ijua tume kaa kimiya kawa acha wa kenya wajipe moyo ila tz ni mpelempele bendera bado ina pepea na kazi ina endelea waswahili tuna msemo wetu Tonge la mwisho ndio ukomba mboga
You know nothing about Mwanza hivi ninyi wakenya mbona mnapenda kujitekenya wenyewe kwa Tanzania wewe unaonesha hotel moja tu kwa Mwanza.You just deal with your Kenya most tribalism country stop making comparison with Tz.
Kenya is not tribal but a complex society....we have cushites..nilotes..bantus. semites..whites and asians calling kenya home...it is a rich diversity...the rest of east africa may lack one of the language group..or if it is there is so small for recognition...we have lived 60 years as a nation with such balance...unlike sudan who decided one to let it go..
Mkunduo
Huyo aliechukua picha ni mkenya ndio maana hajazubutu kuonyesha mwanza hata robo.
Kasarani stadium iko kisumu kweli everything is fine.