I Appreciate this group. Kidundo mkari.
Respect Director said_majumba salute to all group
Nilikua najiuliza wap ilipo mwona sai toka episode ya kivuruge. Kumbe alisha cheza na isha buhet filam moja nzur sana.
Amtie mkono was sigiria c ushenzi huo
Heeee kidundo umefanya familia kugombana
Naomba nitumien na nyengne zaid
Ayo mambo yapo kugombanishana
Asante sana kwa kunita bwana....
Kidundo Acha ufitini uwooo
Hawa wananikumbusha nyumbani kabisa kula pamoja kwenye Mkeka na wala sio meza
Dah poleni sn ila wote wanamakosa kiuslam
Mwendelezo
Heee kidundo nakucha kiwingwi hasa
Kidundo hatari san
Nice one
Dooooh kidundo noma
mwanafunzi masha ana makeup
very nice love you😘😘😘😘
Good job
Nakubali
🤣🤣🤣kitojo•
Tuletee movie nyengine hii itatoa maji tena.
stay tune ikimaliza hii inakuja mpya, wavumilie na wale ambao hawajaiona
@@newstarrecords-pemba New star asanteni kwa burudani za kwetu ila maandishi hamjatuondoshea kwenye screen from 974
I Appreciate this group. Kidundo mkari.
Kidundo unafurahisha maansha Allah lugha yako ya kipemba mzuriiii