Asante kwa somo lako mzuri mara nyingi nilikua nitumie rinju ya rangi iyo ulio nayo ivo kwa sasa natumia ya rangi nyeupe hapo patakua na matatizo kweny ngoz yang au maana huku niliko nisha tafuta ya rangi iyo wala hata siipate do maana nikatumia rangi tofafaut nipe mazar ya hii
Nakushukuru kwa ushauli wako kuhus mafuta ya rinju kwahiyo ukiwa mwanamke unakuwa na ngoz lain san hata ukikutana na mwanamme akikushika unamflahisha san anataman hata,,,,,,,,,,,,,,,kabla ya wakati wala mpango.
Thank you to your review, it’s real lotion to recommend to those who have oily skin. I’m using it and it nice.For good and quick results you can use it twice per day. 🤗
Jaman nikwel kabsaaa niliwai kutumia razac lakin ilikua na mfuniko flan hv wapinki ilinikubalsana, but now natumia rinju,sipauki na ngiz yangu nilain mmnooo😘😘😘😘 had bae anasemaga dah ninakangiz kalain mmno
@@gracebimz7935 yan sina lotion maalum japo fair & white lotion ndio huwa inanikubali sana ila ss sometym uchumi hausomi najikuta napaka vtu havieleweki😂😂..hiyo lotion ina bei sana
Does it lighten the skin
Does it brighten
We shamia uaichanganye paka hvohvo ipo vzr mnoooo
Nauliza dada je inakuwaka na feki yake?
And face you can use it please tell me
Mnaparikana wapi
Anti jee hii rinju haipakwi usoni?
Samahan dada mimi ngozi yangu ni ya mafuta na ninatumia carrot lotion je,, ni sahihi??
Tumia razak
@@nabiiyubelias133 oi
naomba namba yako
Je hauwi mweupe maana naogopa kuwa mweupe
How much is it
Asante dadangu,sasa nikitaka niwe Na ngozi mweupe nikipaka rinju nichange nanini Ama sabuni gani?
Linju inagarisha
Je inasaida kutoa weus machoni
Kweli Ina arufu nzurii lakini imeniunguza uson
English please
Asante dada nimependa naweza kutumia na sabuni gani naomba unijibu
Dada me nahitaji rinju mnapatikana wap
Rinju nzur mnooooo
Thank you dear rinju lotion can l apply to my face
Yes dear you can apply it
Please where can I get some
Kweli kabisa ni nzuri hata mimi ninaushuhuda nilikuwa na vipelepele lakini sasa niko vizuri sana
Hizo lotion mbili hazifungi vitundu vya jasho na zinamfanya mtu kung'aa? na zinafaa kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta? Oily skin?
Jmn mbona wanasema ngozi ya mafuta aimfai
Hayimwo hydroquinone ?
Eti English pls 😂😂😂😂
Asante kwa somo lako mzuri mara nyingi nilikua nitumie rinju ya rangi iyo ulio nayo ivo kwa sasa natumia ya rangi nyeupe hapo patakua na matatizo kweny ngoz yang au maana huku niliko nisha tafuta ya rangi iyo wala hata siipate do maana nikatumia rangi tofafaut nipe mazar ya hii
Rinju imenitoa mapele mpk najutaa😭😭😭😭😭😭
Nimetumia rinju imeniunguza uson sifai kabisa
Dada mimi Nina ngozi ya chocolat nimepaka rinju imenifanya mweusi kabisa ila sitaki mafuta ambayo ina hydroquinone nishauriye dada yangu
Hizo rinju original siku hizi zimeadimika, sorry naweza kuzipata wapi
Mimi Niko form two ninapewa sh;1500 kwa siku Sasa nitapataje hiyo hela ya kununulia rinju
Mimi nina ngozi ya mafuta ipi inafaa na inafaa usoni pia?
Asante Sana Dada
Karibu sana my dear
Price koto
Habar dada mimi natumia coroton inanipasua gonz nikitumia rinju inanifaa
rinju unaruhusiwa kupaka usoni?
Aiseii nilitumia razac wakati nipo foum 4 Kuna shogangu anapenda anisikilze harufu yangu 2
Naomba kuuliza dada.. nmetuMia rinju ya kopo dogo but upele uson hauishi.. wameniambia nijaribu kutumia kopo kubwa .. vipi kuhusu hili itasaidia??
Pole mamy. Upele umeanza lini?baada ya kutumia rinju au kabda?
Rinju ni fireee since 2012 until now ni motoooo ngozi nyororo💃
Wooow team rinjuuu
Kunanayo Rinju beaute Re'elle jee iko sawa ?
ni bei gani???
rinju nimafuta mazuli mimi niko burundi nayatumia kila mtu ananiuliza napaka nini burundi ni 45milles francs Bu
Dada yangu Mimi nilinunuaga 2018 nikapaka niling'aa lakini vipele vikaanz kunitoka kwahiyonili2mia rinju Hy ya Shea butter kwahiyo nitumie roaheni gan?
Pia mimi lkn badae vipel mpk bas shid n nn
Aki nmetafuta rinju sana sipati nko kenya
Tafuta kwa jumia
Nicall nikutumie
Mambo
Mambo
Inafafuta san
Habar nahitaji mafuta ya ngozi
Mm Nina Ngozi ya mafuta je itaanifaa
Mimi nilitumia razac iknipenda nikang'aa hadi raha😘 badae nikatumia rinju duuh ikanotoa mipele nikawa mweusi balaa,vipi nifanyaje?uso wangu hauna mafuta sana
Endelea kutumia Razac,siku hizi rinju no.feki.
Ungetulia na razac,nawe umezidi kuhangaika
Naombeni jibu la swahili hiyo
Je ni kichanganya na sonadem crem itakuwa sawa au
Rinjuu me imelainisha ngoz vizuri il imenitoa vipele
Your review would have been more helpfiul to me if it was in English
Aww okay, I will start putting subtitles dear
Mi nikipaka Rinju inawasha kama pilipili sijui kwa nn?
Mimi miguu ya nguu ina vidoda nambie siri
Yana faa uso
Utajue kwamba ni original
Mm ngozi yangu ya mafuta inanifaa mafuta gani kati ya hizo
Nakupendajeee aseeh 😀😂😘😍😍
Mimi nimweupe je nikitumia rinju nichngny na nn
Nita juwa Sasa rinju orginal na faux
Nakushukuru kwa ushauli wako kuhus mafuta ya rinju kwahiyo ukiwa mwanamke unakuwa na ngoz lain san hata ukikutana na mwanamme akikushika unamflahisha san anataman hata,,,,,,,,,,,,,,,kabla ya wakati wala mpango.
Asante dad yani mm natumia linju yan ningekuwa nangoz nzur jaman chunis zot zimeisha Asante San dada ubalikiwe
Dada mimi nina ngozi yamafuta je nikafanye ibadilike
Pakaa razac
Kweli kabis rinju nzuli mwaaa
Wow karbu sana mamy
Dada nmetumia rinju lakini cjaona matokeo mazurii yaan viupele vimenitoka kweli
Mimi. natumia. Papaya
Inanifanya vizuzi sana
Mimi nilikua napaka mafuta Clare skin sasa natumia rinju mbona nimekua mweusi gafla afu USO unaanza kuweka alama
Mm Ni mweusi kdg na na tumia razac na ninangozi ya mafuta rakini ngozi yangu aingai nifanyaje
Naomba jibu rinju waweza kupaka usoni
Kwa nn mim rinju imenigomea?
Thank you to your review, it’s real lotion to recommend to those who have oily skin. I’m using it and it nice.For good and quick results you can use it twice per day. 🤗
Ahsantee sana kipenzi nitanunua Linux MUNGU akubariki
Amen sawa mamy🥰
Je kwa mwanaume anataka kung 'a tuu unawez kutumia nn
Grece nitumie namb yako
😮asante dada
Hii dear mim ngoz yangu ya mafuta na Nina madoa sugu nifanyaje??
Kuna rinju za aina mbili Kuna yenye maandishi makubwa pembeni na Kuna zingine hazina maandish je? Zipo sawah
Ni kweli
Je rinju nyeupe ni nzuri kwa ngozi ya mafuta??
Ni nzuri pia dear ila ya brown ni nzuri zaidi
lakini dada rinju zipo feki na originar utajuaje orginar nisaidie please😊😊@@gracebimz7935
Nambie
Jaman nikwel kabsaaa niliwai kutumia razac lakin ilikua na mfuniko flan hv wapinki ilinikubalsana, but now natumia rinju,sipauki na ngiz yangu nilain mmnooo😘😘😘😘 had bae anasemaga dah ninakangiz kalain mmno
Wooow jmn hongera sana dear.. kwel zikikukubali ni nzuri
rinjuu ñi sh.ngapi
Me nina weusi je nikitumia iyo itanifaa
Sarah
Hata wanaume wanaweza kuitumia?
Ndio ni nzuri kwa jinsia zote
Unaweka glisalini dada
Sorry nilitaka kujua different ya fake na original jaman plez
Me ngoz yangu yamafut linju nimetumia lakin bado unanisaidiaj
Dad na
Geereeeeessss... Nakupenda 🔥🔥
hello
9ce
Samahan naomb kuliza jamen nawez kuchanganya grisa Lin kweny iyo rosheen ya linju
Kabisa
Mamb
Mimi imenikataa dada au nimechukua feki
uso wangu una viupele vidogovidogo he razac itafaa
Jibu
Sorry mumy mi ni mjamzito Sasa mwanzoni harufu za mafuta zirigoma na saizi ninamiezi minne sijatumia mafuta yyt je nikijaribu rinju itanifaa
Rinju pia ina kaharufu mamy.
Shi ngapiii
Mbona me rinju hainifai najipaka sioni matokeo
Pole dear una ngozi ya mafuta?
@@gracebimz7935 nina ngoz kav nitumie nn
Abari zako msamahani naomba kukuuliza yale mafuta ya rinju mazuri unayo tumia niyapi ? Nilikuta kuna ya rinju shea butter mwingine rinju cocoa butter mengine rinju vitamini C nilishindwa kununua nikaona nivema nikuulize kwanza yapi mazuri?
Hii ina vitamin C,E na Shea butter dear
Asante
Abari za siku dada tafazari naomba uniambie ivi rinju ya cream sio Nzuri adi ya loition ndio Nzuri unijibu tafazari nakutumainia.
@@rehemaboazi6918 zote ni nzuri
Naomba kuulza kuhusu mafuta ya queen Elizabeth kama yanafaa
Hapna
Queen Elizabeth Yana watu wake my
@@entertainmentroom.1472 daah saw
Me Nina ngozi ya MAFUTA
Linju
et unaweka grisalin
Okay
Rinju alikuwa anapaka rafiki yangu akawa na rangi nzuriii.. Anneth popote ulipo i mic u
Wooow nawewe inabidi utumie jamani
@@gracebimz7935 yan sina lotion maalum japo fair & white lotion ndio huwa inanikubali sana ila ss sometym uchumi hausomi najikuta napaka vtu havieleweki😂😂..hiyo lotion ina bei sana
@@halimamasatu5412 pole
Inauzwa shingap