Jaman siwashaur kutumia Hy tumerik sio nzuri kabisa Mimi nimetumia lakini ilinifanya kitu ambacho nilikuwa sitegemei kabisa ,, na sio Mimi Tu baadhi ya watu waliotumia wanalalamika sana
Habar dd mimi ninashida ya ngozi yangu ni kavu sn yani natumia lotion ila ngozi bd kavu na inajicha kwa ukavu muda mwingine inawasha .kunamuda natumia fafuta ya mgando ila bd na muda mwingine nachanganya na glisalin ila bd naomba msaada wako tafadhar
Jamani hii haitoi michirizi tena kama umepata michirizi inayotokana na mafuta ndugu zangu nawambia ukweli haitoi michirizi ila inakufanya ufifie na kuwa mweusi na hazing,alishi hiyo tumelik msijalibu labla kwa mtu mwenye weupe anae toka michirizi ndo itakusaidia
Habari mimi uso wangu wa mafuta naweza kupaka face cream usoni arafu nikapaka na tumeric oil usoni mm nina uso wa mafuta
Jaman siwashaur kutumia Hy tumerik sio nzuri kabisa Mimi nimetumia lakini ilinifanya kitu ambacho nilikuwa sitegemei kabisa ,, na sio Mimi Tu baadhi ya watu waliotumia wanalalamika sana
Waeza changanya na lotion na oil ya tumeric
Habari zenu Jmn kwa wadada mnao tumia vipodoz sumu acheni ludini kwenye vitu vyetu vya asili mtoke kwenye hizo changamoto za kutumia mapodoz meng
Habari dadaangu mm nipo Kenya na najipaka pawpaw cream na nime mix na oil yake ya pawpaw je inaezakuniletea madhara yoyote naomba unijibu
Yes sio nzuri
Iyo lotion itakuletea madhara baadae siyo nzuri
Banana kuchanganya turmeric oil Katina lisheni yoyote?
Yes
Samahan naweza maliza kusafisha uso kwa toner then nkapak tumeric oil then moisturiser???? Au naitumiaje kama natak ntumie na moisturiser yangu pemben
Dada nataka unipe tofauti ya feki na original coz fekizake zimetoka na tunauziwa lakini hazijulikani zipi ni original
Mbn nmetumia naendlea kuw mweus tuu jmn wkt ckuwa hvyo tena
Missfiah inatoka nchi gani?
Hyo witning oil inatoa michirizi?
Dada mi napaka Gluta white lakini inaniachia madoa meupe miguuni na mikononi na pia chunusi uso, je nikitumia turmeric itaniondolea hivyo vitu
Achana na lotion iyo dear…skuizi kuna lotion nzuri
Sasa mm nataka nitapataje hayo mtafuta my dear
Dada mm nina vitundu vyeus uson ni vingi nikitumia turmeric itanisaidia
Missfiah ni nchi gani?
Hiyo pure Egyptian oil ni shingapi?
Habar dd mimi ninashida ya ngozi yangu ni kavu sn yani natumia lotion ila ngozi bd kavu na inajicha kwa ukavu muda mwingine inawasha .kunamuda natumia fafuta ya mgando ila bd na muda mwingine nachanganya na glisalin ila bd naomba msaada wako tafadhar
Tumia vitu aina ya cocoa nazi, vitakusaidia sana hata mm ngozi yangu ni dry Sana, American dream ya cocoa, wix zitakusaidia.
@@faithfaith-zr6gzJe itanifanya niwe whitening?
Nimetumia turmeric jamani nimekua nweupe sanaaa duu wakat nilikua mweusi
Ulichangany na nn love
Je ni kweli inaondoa michirizi
Jamani hii haitoi michirizi tena kama umepata michirizi inayotokana na mafuta ndugu zangu nawambia ukweli haitoi michirizi ila inakufanya ufifie na kuwa mweusi na hazing,alishi hiyo tumelik msijalibu labla kwa mtu mwenye weupe anae toka michirizi ndo itakusaidia
Mimi natumia turmeric whitening ila imenifanya mweusi ila bweusi buzuri tu
Hizi oil hazifanyi whitening
Tu tv half😢😢😢😢😢😮🎉😮😮😮😮😮😅😮😮😮😮😮😮😮😮😮😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😅😊😊😊😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😢😢😢😢😢😢😢😊😮😮😮😮😮😂😊😂😂😂😂🎉🎉🎉😂😅😅😅❤😂❤❤❤❤❤❤❤😮😊😊😂😂@@malaikatvurembo
Dada mi natumia iyo oil lakini weusi unaongeza
Oil ya tumeric
Dada nipo dar maeneo ya banana hiyo tumeric ntapataje
Tupo sinza kumekucha
0786272249
Habari, hayo mafuta ya tumeric unaweza paka usoni
Yeees
Dada Mimi nimweusi sitak kubadili langi ila natak kung'aa tu natak kutumia hiyo tumeric je inafaa
Jaman usijalibu mwenzio nimekua mweupe duuu
Hyo 55plus ukichanganya kwenye american dream je inafanya whitening au
Yees
,mm mama doa inafaa
Ninashida na vipodozi nawapataje nipo daa
0786272249
Niko Kenya nitapataje
Jamani dada nitajuaje kama Tumerik og na fake
Tumeric na og na fec my mest nilinunua fek daaah atariiii
Angalia picha zake
Og inaanza na miguu fake inaaza na shingi au sula
Yaah@@LydiaRweyemamu
Inawaza kutowa sirichi maxi ama
Ayo mafuta ya tumeric kwa mtu mwenye uso wa mafuta unaweza kutumia
Mm imeniharibu
Sorry mummy portia oil inapakwa hadi usoni ?
Ndio nzuri sana
❤❤
Oil gani inafanya whetening?
Dada me naitaji
Hio mafuta itapata nairobi side za rogai
Unatumia what’s up?
jee kwa mtu mwenye mafuta usoni jee ana weza kutumia
Ni sh.ngapi?
Naitaji nko Moro napataje na inauzwaje
Turimerc ilichonifanya sina hamu nayo chunusi zimeongezeka michilizi kama yote weusi hautoki
Elfu 30 yangu inaniuma mpaka kesho
Fake ukiipata ndo inatoa mapele
Tafuta 7macles Itakusaidia
Inatoa michirizi
dada. me. niposumba. wanga. mtapata. je
Nitafute utayapat kwa bei nafuu mumy
My baby ❣️🌱
❤
@@malaikatvurembo naomba unisaidie mm chunusi zinanisumbua sana pia nikipaka Poda nakua km Nina mba nisaide
Niko Kenya nitapata aje
❤❤