Kanumba tangu ameua au tangu amefariki tena kwa kukazia mama hampendi lulu waziwazi cyo vzur anatakiwa asamehe haikuwa kusudi la lulu angeweza kufariki hata kwa njia nyngine
Yaani uzuri Kanumba alikuwa Africa inchi za inje Kanumba alikuwa PEDOPHILE sababu alianza toka kimapenzi na LULU na bado Lulu alikuwa mdogo KANUMBA alikuwa amezidisha miaka 18 afadhali alikufa maskini hakuacha majumba wala utajiri wowote LULU angekuwa na haki ya kulipwa Fidia ya Mtu mzima kanumba kumdanganya mtoto wa chini ya miaka 16 kufanya nae mapenzi sababu haajakuwa na uwezo wakufikiria mbali
Nampendaga saana mama kanumba usidjali mama Mungu yipo pamodja nawewe kwakilakitu kamakawahida yako mtangulize Mungu mbele yeye ni djibu
Very nice interview first time mama amefanya healthy interview
mtabgazaji. upo vyema snaa. kama salama jabil good
Mungu aendelee kuwatia nguv family ya mama kanumba
Mama mzuri sana mungu akubariki
Mtangazaji yuko bomba sana hongera dada❤
Mtangazaji nmempenda❤.mama kanumba anampenda wema.nahic wema angeolewa na kanumba❤❤Niliipenda sana couple yke.ETI AMEUAWAWA😂😂😂JAMAN sku mama akiskia lulu kafa atafurahi😢
Yp wema alipendezana na kanumba sana
Hii interview Inaliza Bhn Da!😢 Nakosa Nguvu ya Kuimaliza😢😭
Love u mate u're doin good job and congrats wishing u more success
Mtangazaji🔥🔥🔥
Aamin
i love you mama
❤❤
Aliuawa na nani
Wakwanza mimi nipe like zangu
Kanumba tangu ameua au tangu amefariki tena kwa kukazia mama hampendi lulu waziwazi cyo vzur anatakiwa asamehe haikuwa kusudi la lulu angeweza kufariki hata kwa njia nyngine
Ni kweli aliuawa na freemason
@@shangwefisima3993 Lulu kamutowa kafara 😢😢😢
Atakama ingekua wewe ungekua ivoivo Sisi binadam n'a iyo Lulu kafiliwa nama ex wengi
Kazi yamung haina makosa😅
Mama kanumba hajauliwa bona yeye alikuwa Petersfield kwa lulu😢
Yaani uzuri Kanumba alikuwa Africa inchi za inje Kanumba alikuwa PEDOPHILE sababu alianza toka kimapenzi na LULU na bado Lulu alikuwa mdogo KANUMBA alikuwa amezidisha miaka 18 afadhali alikufa maskini hakuacha majumba wala utajiri wowote LULU angekuwa na haki ya kulipwa Fidia ya Mtu mzima kanumba kumdanganya mtoto wa chini ya miaka 16 kufanya nae mapenzi sababu haajakuwa na uwezo wakufikiria mbali
Did you me pedofile?
Lulu kamutowa Kanumba kafara be smart I told you true , Lulu muchawi
@@michelinemapendo6652 Jieshimu Sana, Hakuna Kitu Kama Iyo Acha Kupotosha Jamii Kwa Maarifa Finyu Yaliokosa Busara.!
Kweli lulu ni mchawi??
Kwani kanumba ni marehemu? Hajafa yeye yupo offisi za kuzimu anafanya kazi za shetani
Wakwanza mimi nipe like zangu