kisomo cha kuangamiza majini na uchawi (yaasin mubiyn)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2020
  • Hiki ni kisomo cha kinga dhidi ya uchawi majini hasad,
    utasikiliza kwa muda wa siku saba
    biidhnillah Allah atakufanyia wepesi
    #kisomochawiki
    #kingauchawimajinihassad
    #sheikhsharifyussuf

ความคิดเห็น • 828

  • @FIRDAUSAWADH
    @FIRDAUSAWADH 2 หลายเดือนก่อน +6

    Allah atuondoshee matatizo mawazo hassad majini na masheitwan atufungulie milango ya barka na mafanikio Soote jamii ummat mohd yaraaby mpe sheikh wetu umri mrefu azidi kutukomboa kwa visomo..Allah akulipe kher kwa barka yahiki kisomo

  • @MariamSaid-kl1mi
    @MariamSaid-kl1mi 11 หลายเดือนก่อน +4

    Yallab nikubalie dua yng km kuna mkono wa mtu katika ndoa yng kukataliwa kwa wanangu kupitia kisomo hiki mwenyezimungu kanifungulie kila palipofungwa 😭😭🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @fatmafarijalayusuph5338
    @fatmafarijalayusuph5338 ปีที่แล้ว +20

    Mwenyezi mungu kupitia dua hii naomba uondoe husda zote mwilini mwangu na uwavunje moyo wote wanaonikusudia kwa ubaya na unilinde dhini ya nguvu za mashetwani na unipe heri katika maisha yangu unifanyie wepesi katika kazi zangu unipe watoto wema

  • @macho_autosound1accessorie126
    @macho_autosound1accessorie126 ปีที่แล้ว +21

    Kwa Kupitia Dua hii Allah Atusaidie Ummat Muhammad Pamoja Na Ndugu zetu walio Tutangulia🙏

  • @aishamunga3056
    @aishamunga3056 3 ปีที่แล้ว +11

    Eweee muumba wangu naomba ukaniponye maradhi niliyo nayo na ukanifungulie milango ya kheri. Aamin Aamin

  • @gmwanaabc7492
    @gmwanaabc7492 3 ปีที่แล้ว +42

    Mashallah shekhe allah azidi kukuweka maana wengi umetukomboa kwenye matatizo mazito sana mimi nilikua silali kabisa sio mchana wala usiku ndani ya miezi sita au saba nahangaika tu baada ya kusikiliza hiki kisomo alhamdullah kirakitu kikakaa sawa nalala kama kawaida allah azid kukuweka shekhe wentu amiina rambi amina

    • @iddyramadhani7202
      @iddyramadhani7202 ปีที่แล้ว +2

      9

    • @rukiaomary
      @rukiaomary ปีที่แล้ว +5

      Mie kuna siku nilikuwa nakabwa na ata anaenikab simuoni ila kwa uwez wa Allah akanipa ufahamu wakuingia TH-cam nikakuta kitson iko nikasikiliz bas uwez amin kunakit kilikuwa kinanivuka milini mwan adi nikaa saw na sijaacha kusikiliz dua za uyo shekhe mungu ape ujila wake

    • @user-xn6hs1qk3y
      @user-xn6hs1qk3y 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa hakika na mm leo nitalala inshallah Mungu yupo nami

  • @lucygasper5547
    @lucygasper5547 3 ปีที่แล้ว +48

    Mashallah Molla anijalie nami niwe muislam ...

  • @nasramiraji7716
    @nasramiraji7716 ปีที่แล้ว +39

    Ya Allah kupitia kisomo hiki niondoshee matatizo na unafungulie kizazi changu unipe watoto wenye kher na mimi, yarabbi najua hushindwi na lolote niepushie dhati zote na unipe kila lenye kher na mimi

  • @swahibuomari176
    @swahibuomari176 3 ปีที่แล้ว +11

    Ya Allah kwa kupitia kisomo hiki naomba unijaalie nikisikilize cku zte7 ili unifungulie milango ya heri na uniondoshee ziki katika familia yangu na umati Muhammad na unijaalie mm na familia yangu tuwe miongoni mwa wenye kufuata muongozo wa laa ilaa hailakahu;

  • @MauaMbaraka
    @MauaMbaraka 23 วันที่ผ่านมา +2

    Amina yarab naanza kisomo hiki nina amini nakwenda kupona nimeteseka mpka nakata tamaa basi leo naenda kupta upya wa mwili wangu amina alhamdulillah yarab❤

  • @seliidrashio6968
    @seliidrashio6968 3 ปีที่แล้ว +11

    Wasalamalykum twawapongeza masheikh wote mutatusaudia sana mana ubaya upo sana hapa duniani nahata uko wazi ambae hajafaninyiwa uhadui ashukuru mwenyezi."

    • @idrisaali5618
      @idrisaali5618 3 ปีที่แล้ว +6

      Allah awaweke mashehe wetu

  • @emmygabriel2469
    @emmygabriel2469 3 ปีที่แล้ว +34

    Inshaallah Mwenyezi Mungu naomba ukaniponye maradhi nilonayo na ukanifungulie milango ya kheri, Inshaallah

  • @zynbtnzanya9870
    @zynbtnzanya9870 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyez Mungu kupitia kisomo hiki niondoshee shida zote zinazonisumbua zinazoniumiza nafs yangu ukanifungue kila kilichobak fungwa ktk maisha yangu amin

  • @empress236
    @empress236 หลายเดือนก่อน +1

    Assalam Alaikum
    Namwamba ALLAH kupitia dua hii iniondelee majini mashetwani wote ambao wamwsukumwa kstika maisha yangu wadudu kutambaa kwa mwili kuuumwa kwa kichwa Yaa Allah kupitia dua ikaondoe kila baya kwa maisha yangu wanangu jamii yangu inshaallah
    Mwenyezi mungu akufanyie wepesi kws kila jambo waitaji
    Sheikh sharif🤲🤲🤲🤲
    Amiin

  • @user-by9uv6nf1o
    @user-by9uv6nf1o 27 วันที่ผ่านมา +1

    Ya Allah nijalie mema na uniondolee kila kilichopo ndani ya mwili wangu kilichoingia kwa ubaya inshallah

  • @annakasada1454
    @annakasada1454 3 ปีที่แล้ว +16

    Kwa kupitia dua hii mungu aniepushie mabaya yote na aniepushie na husuda za walimwengu maisha ni mwangu

  • @hirman2k03
    @hirman2k03 3 ปีที่แล้ว +38

    Bismillah mashallah nitasikiliza dua hii kwa uwezo wa m.mungu na malaika wote aniondoshe majin na maradhi makubwa na hasada mim na family yangu na wengine wote inshallah 🙏👐😍

  • @tabumussa6705
    @tabumussa6705 3 ปีที่แล้ว +22

    Yarabi M/MUNGU tuepushe na husda za walimwengu kupitia dua hiii nakuomba ya allah mpatie shekhe uyu kila kilicho chema hapa duniani kesho aelah

    • @mwanajinacayemite2336
      @mwanajinacayemite2336 3 ปีที่แล้ว +1

      Alhamdulillahi rabbil a'alamina. Mwenyezi Mungu akusimamie Innshaallwah. Wengi tuna matatizo makubwa sana lakini hatujui jinsi ya kujikwamua. Mwenyezi Mungu ukujaalie kwa kila ulitakalo lenye kheri na wewe

    • @abdifatah9129
      @abdifatah9129 3 ปีที่แล้ว +1

      Inshaallah

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @islamislife2556
      @islamislife2556 2 หลายเดือนก่อน

      Amin yaraab

  • @khadijaahmed6411
    @khadijaahmed6411 4 ปีที่แล้ว +12

    Asalam aleikum warhamtillahi wabarakat,shukran sheikh,inshallwa mungu akujaze kila la kheri,na Allah atukinge na wachawi na mahasid yarab..

  • @annethmhina5731
    @annethmhina5731 2 ปีที่แล้ว +11

    Mwenyezi Mungu naomba unifungulie vifungo na husda zote nilizowekewa katika Ndoa yangu na shughuli zangu kwa ujumla. Malaika wa Mbingu naomba mnisimamienkatika kisomo hiki.
    Ameen

  • @Niyiturinda
    @Niyiturinda 3 ปีที่แล้ว +7

    Allahuma amiini.....kwa kisumu hiki kinisaidie.....kwa maisha yangu...na kizazi changu...

  • @wombozipashua63
    @wombozipashua63 ปีที่แล้ว +5

    Alhamdulilah Allah akulipe kila la kheri shekhe kisomo leo siku ya pili lakini majini wanatoka wenyewe, namshuku sana Allah kwani Quran ndio ponyo ya kweli. Amiin

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +1

      Quran ni ponyo la majanga yote ya dunia maana mm nimemfutilia uyu shekhe allah amzidishie maana nilikua niko kma sipo wasiwasi ulinitawala sna nimeskiliza kisomo chake alhmdullah.

  • @michatv239
    @michatv239 3 ปีที่แล้ว +4

    Namuomba mungu anifanyie kila wepesi kopitia kisomo hiki changamoto zote mbaya ninazopitia mungu aniponye nakunibarik aaamin. Ubarkiwe Sheikh

  • @hinakhan3562
    @hinakhan3562 10 หลายเดือนก่อน +2

    I return again...sasa nataka uponyanji withini 7days...and I believe it.🙏

  • @rukiammangammanga1166
    @rukiammangammanga1166 3 ปีที่แล้ว +12

    Mungu asaidiee yarabi❤️❤️❤️❤️❤️❤️😭😭😭

  • @asyaabas1037
    @asyaabas1037 3 ปีที่แล้ว +5

    yarrab baraka zako na utukufu wako nijalie kisomo kiwe dawa kwang kiwe ndo kisomo cha kuniondolea mattz yot nilonayo na kiwe ufunguzi wa kheri kwang amin yarrab yaan nakiskiliz machozi yananitoka

    • @ahmedthabit6935
      @ahmedthabit6935 3 ปีที่แล้ว +1

      tatizo pengine ni nini dadangu?

  • @ElizabethLizzy-pk3zj
    @ElizabethLizzy-pk3zj หลายเดือนก่อน +1

    Ewe mwenye Mungu mponye bwanangu anamaumivu makala ya oparesheni 🤲nami uniondolee maumivu

  • @GloriaMillinga
    @GloriaMillinga 10 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezi Mungu naomba uniepushe na majini wote na uniondolee vifungo vya aina zote

  • @abbyits1178
    @abbyits1178 3 ปีที่แล้ว +29

    A.aleykum....Namshukuru Allah kwa Dua hii kupitia Sheikh Shar Yusuf nasema asante kwani nimeteseka sana na ndoto za kuzaa kila baada ya muda zinanirudia,Mara Niko sehem za bahari, nakuwa MTU wa hasira Mara kwa Mara ugomvi kwangu hauishi muda mwingine kuhish nyakat za usiku kuingiliwa,,,,Namshukur Allah toka nimesikiliza Dua hii sijapata tena na Hata zile hali za maumivu maumiv ya mwili hakuna tena Shukran sana Shekhe Allah akuzidishie kheri ikadumu zaidi na zaidi.... Kupitia kisomo cha kinga zidi ya majini na wachawi nimepata kheri...Mwenyezi Mungu akupe mwisho mwema!!!! ISHA ALLAH ^( Habibt'y Said)~from Rwanda Kigali

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 3 ปีที่แล้ว +2

      Mashallah

    • @zenaahmedi8857
      @zenaahmedi8857 3 ปีที่แล้ว +2

      Mashaallah

    • @user-sv9mo5dt1t
      @user-sv9mo5dt1t 29 วันที่ผ่านมา

      Mashallah shekhe sharif mungu akupe umri mrefu na siha kwa dua yako nzuri mashallah

  • @delaizermsafi1442
    @delaizermsafi1442 2 ปีที่แล้ว +3

    Yallabi kwadua hii niondolee khofu katika nyoyo yangu niwe yakuwa nawasiwas sn naomba uniondoree maradhi niliyokuwa nayo yalabi mimi simkamirifu nisamehe pale nilipokosea wewe ndio mjuzi wayote na mtekerezaj niwew amiin

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      Assalam alaykum mm nilikua zaid yko alhmdullah naskiliza nikiwa nipo tohara natulia kwenye msala alhmdullah nipo swa leo ya tatu.

    • @salmaally2252
      @salmaally2252 5 หลายเดือนก่อน

      Hii shida hata mm naipitia

  • @user-xk1xw5qo5v
    @user-xk1xw5qo5v ปีที่แล้ว +1

    Inshallah sheh duana takhabballii ❤

  • @rizikihaji800
    @rizikihaji800 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe kheri za dunia na Akhera na akuepushie kila mabalaa inshallah ,naamin Allah atanisaidia kupitia kisomo hiki inshallah

  • @SwaumuShirima-ye7qr
    @SwaumuShirima-ye7qr 14 วันที่ผ่านมา

    Yarabi aniondishee maradhi yalikuwa kwenye mwili wangu milango ya baraka na mafanikio ukanifankishe yarabi yarabi yarabi

  • @hadijajohn7434
    @hadijajohn7434 2 ปีที่แล้ว +3

    Shekhe unatupa duwaa nzuri mungu akujaalie afya njema shekhe yussuf

  • @magrethhillary5449
    @magrethhillary5449 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba munguu anijalie kupitia kusomo hiki nitoke nakila uchawi kwenye mwili wanguu unitoke .najini maaba linatokea amina🤲🙏

  • @salimajuma5530
    @salimajuma5530 3 ปีที่แล้ว +3

    Jazakalahu heri Allah akupe pepo yadunia nakesho ahera ameeen

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว +5

    Maa shaa Allah shukraan sana tuko pamoja in shaa Allah

  • @thuwaidamaulid3915
    @thuwaidamaulid3915 3 ปีที่แล้ว +12

    Maashaallah shekh Allah akufanyie wepesi Kila Jambo na akulinde na Shari zote🙏

    • @ashamohamed8248
      @ashamohamed8248 3 ปีที่แล้ว +1

      A.alykum sheikh Masha allah mungu a tupe wepesi kwa kilajambo

    • @allynassor8853
      @allynassor8853 2 ปีที่แล้ว +1

      Shekh nataka kujuwa duwa ya kusomea maji kwa ajili ya mtu anaesumbuliwa na shetan

  • @Lulu-wt9dd
    @Lulu-wt9dd 25 วันที่ผ่านมา

    Ya Allah naomba 🤲hii dua iwe tiba kwangu nipone malazi yote yanayo niandama amin🤲

  • @mgeniali941
    @mgeniali941 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah atufanyie wepes mashallah nimeianza leo na mm

  • @user-xn6hs1qk3y
    @user-xn6hs1qk3y 2 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli nashukuru can shekhe SHARIF dua zako zimenisaidia can wallah Allah akupe mwisho mwema inshallah 🙏🙏

  • @muhammadsalim4485
    @muhammadsalim4485 3 ปีที่แล้ว +4

    Allhamdullillahi Allah atuondoshe matatizo mi na family yangu nawaislam wote amiin

  • @LilianAchieng-yl7ms
    @LilianAchieng-yl7ms 6 วันที่ผ่านมา

    Allah tulinde na wachaw, majini,ndoto mbaya, husda na hasad... amin

  • @user-bh6rt7xm6w
    @user-bh6rt7xm6w 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yarab kupitia Dua hii niondoshea hasad zote katika mwili wangu na u ipe Nuru nameangaza unijalie ridhiki unitinizie hitaji LA moyo wangu unisamehe nilipo teleza nikakukosea mola wangu amin😢😢😢😢

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha allahh najifunza kitu katika maisha yangu jazaq wahu kheir Allah atakulipa kwa jambo jema

  • @amyna2024
    @amyna2024 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaa rabbi tuhifadhi na Kila baya la dunia kupitia dua hii...aaamiin

    • @habibujamali5746
      @habibujamali5746 3 ปีที่แล้ว +1

      amin.. mungu akubariki inshallah!!!

  • @judymwangi9027
    @judymwangi9027 4 ปีที่แล้ว +5

    Shukran sheikh Allah akupe umri Mrefu, duniani uzindi kulingania ummah.

  • @adamluwambo1494
    @adamluwambo1494 3 ปีที่แล้ว +2

    Kupitia kisomo hiki mungu anijalie aniepushe na wachaw na majin na anipe kheri na hitaji lamoyo wang yarabby

  • @khadijaidd9032
    @khadijaidd9032 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah sheikh yusuf.mimi nilikua naumwa na sikia kitu kinatambaa mwilini.na.gas.nyinyi.nateuka Sana mpaka nashuka.kama.mshipa waja mbele yakifua na nyumba mgogoni.leo.ni.siku.ya.tatu.na.zikiliza kisomo .naona chanisadia Sana nimekula.dawa.sikupata.nafuu.lakini.dua..ni.dawa.mashalllah.mungu.akupe.umri..ameeen

  • @hassanidaki6029
    @hassanidaki6029 3 ปีที่แล้ว +5

    Naomba mahombi sheikh kwa majina ni Hassan idaki kutoka kenya

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah kwa kisomo hiki tulinde Yarrabi waja wako na utuepushe na husda na shari za sheitan,na wachawi na viumbe wote walio wabaya,tunajikinga kwako subukhannah wataalah pokea dua hizi yarrabb

  • @tabassamhemed1027
    @tabassamhemed1027 3 ปีที่แล้ว +5

    Shukran sana usdhadh.Allah akulipe mazuri hapa duniani na akhera

  • @user-sm2un4jt1d
    @user-sm2un4jt1d 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu naomba kwenye kisomo hiki niingoshe roho zote za kichawi

  • @user-xg6tc6nx6e
    @user-xg6tc6nx6e 8 วันที่ผ่านมา

    Ehh Mola Wangu nakuomba uniondole Matatizo yangu mwililini eeh mwenye zimunguinshallah Amin uliopo kichwani mwanngu

  • @janetmutua4275
    @janetmutua4275 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu aniodolee mamjini yanayo nipa mangonjwa ata Sina amani Amen

  • @humudingilante4460
    @humudingilante4460 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah awaongoze duniani na akhera awakinge na shari ya mahasd wa kijini na kibinadam inshallaah.

  • @mariamsaid617
    @mariamsaid617 3 ปีที่แล้ว +5

    Kupitia kisomo hiki yallab niondolee kila aina ya shari juu yng na familia yng

  • @user-sq8pq1xj7m
    @user-sq8pq1xj7m 2 ปีที่แล้ว +3

    Laaila haila Mohammed rousolu Allah atuondoshee mitihan na awe kinga bora kwetu Ameeen ameeen inshaaAllah

  • @samirasadasalum5974
    @samirasadasalum5974 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah akulinde na akuzidishie elimu zaidi uzidi kutusaidia,Shukrani sana sheikh

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah shukran sana..Allah akuzidishie..kheri.

  • @zakialean3864
    @zakialean3864 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah mwenyenzimungu akufanyie wepesi ktk mtihani ya dunia

  • @bishakadhi3358
    @bishakadhi3358 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah wal alhamdulilah kwa kisomo hiki Allah akujalie kla lenye kheir nawe InshaAllah👌👌👌💕❤💓💞

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yah Allah nifanyie wepesi katika kisomo iki kiwe mwisho wa matatizo yangu niponye hii Hali nilikua nayo ewe mungu nisaidie

  • @umfarid247
    @umfarid247 3 ปีที่แล้ว +9

    Asalaam aleykum shekh tunashukuru mungu akulinde na maadui na hasada akupe umri mrefu yaaraab shukraan

  • @sheikhmussa4421
    @sheikhmussa4421 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu mkubwa pia mwingi Wa huluma Atuhulumie Tupate Rehema Zake IIshallah

  • @zeinabjay4047
    @zeinabjay4047 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran shekhe sharifu najihisi mwenywe Amani mwepesi kila ninapo fuata na kusikiza dua zako Mola akujaalie kwakila Jambo lako inshallah

  • @aminahamis9343
    @aminahamis9343 4 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah jazaka Allahu kheyran sheikh wetu Allah ajalie umri

  • @safiyaalrawahi7526
    @safiyaalrawahi7526 3 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante sana kwa kisomo chenye nguvu sana. Jazaka llahu khair

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว +3

    Ameena Yarrabi ' allameen
    Shukrran sheikh Yussuf Allah akupe kheri na barka na afya na umuri i'nsha Allah

  • @naimamohammed2534
    @naimamohammed2534 3 ปีที่แล้ว +3

    Allh anitatulie dhiki nilizo nazo na hasad za waja amiiiin thumma amiiin

  • @mzeemagwira7727
    @mzeemagwira7727 4 หลายเดือนก่อน

    Kwakupitia duha hii yalabi niwekee wepesi nipunguzie azabu yamimba nipate usingizi niwe namani uniepushie namabalaa yausiku na mchana amina

  • @DeffoNotGarfield
    @DeffoNotGarfield 3 ปีที่แล้ว +4

    Shukran Shekh kwa msaada wako Allah akupe mema ya hapa duniani na Akhera.

    • @hawahawa6676
      @hawahawa6676 3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin

    • @kadijahajali3918
      @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina mungu atuonfosheye maradhi kwa sote ishaala🙏🙏🙏

  • @ashanjango9937
    @ashanjango9937 3 ปีที่แล้ว +3

    Jazalallahu khairy. Inshaallah Rabby zidinan Elman Warzuquna fahama

  • @rahmasaid762
    @rahmasaid762 3 ปีที่แล้ว +3

    Kupitia kisomo iki mungu nionyeshe njia nipe mwisho mwema 🙏🏼♥️

    • @kimolohammy3887
      @kimolohammy3887 3 ปีที่แล้ว +2

      𝑎𝑚𝑚𝑒𝑒𝑛

    • @rahmasaid762
      @rahmasaid762 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kimolohammy3887 kwa sote

  • @bidallahamadi4076
    @bidallahamadi4076 3 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah Allahuma Barik🤲🤲🤲
    JazakaAllahu kheir

  • @user-ws9ek8dj5n
    @user-ws9ek8dj5n 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwenyezi Mgu atupee shifaa na atufanyie wepesi kwa kila jambo la kheir tutakalo amilia kulifanya,na wewe Mwenyezi Mgu azidi kukupa uzima na umri mrefu kwa kutupa faida kwa kila jambo la kheir,shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh Shariff Yusuf

  • @hafidhimakele5489
    @hafidhimakele5489 3 ปีที่แล้ว +5

    Jazacka Llahu lkhair

  • @ebrubed6040
    @ebrubed6040 4 หลายเดือนก่อน +1

    ‎بِسْمِ اللّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ
    Bismillahir rahmanir rahim.
    ‎وَقُل رَّبِّ أَعُوذُ بِكَ مِنْ هَمَزَاتِ الشَّيَاطِينِ
    Ve kul rabbi euzu bike min hemezatiş şeyatin.
    ‎وَأَعُوذُ بِكَ رَبِّ أَن يَحْضُرُونِ
    Ve euzu bike rabbi en yahdurun.

  • @mariyashadiashadia714
    @mariyashadiashadia714 3 ปีที่แล้ว +5

    mashallh dua nzuri mungu akupe uzima na afya ostazi wetu

  • @husnadjuma2525
    @husnadjuma2525 3 ปีที่แล้ว +2

    Manshaallah Tabarak'Rahman shukran jazzillah sheikh wetu kwa visomo mbal mbal Allah akujaze kheir na baraka?

  • @nyihajjialiy2287
    @nyihajjialiy2287 3 ปีที่แล้ว +7

    SHAREEF... MashaAllah! MashaAllah! Tafadhali naomba ukirudie kisomo hiki kwani kuna kituo kimoja katika vituo ''MUBIIN'' uliruka bila du'a katikati yake. kama sikosei MUBIIN YA 4 AU YA TANO... Shukran, mie nasaidika na hiki kisomo ALHAMDULILLAHI..JAZAAKALLAHU KHEIR....

    • @karimasalahudeen334
      @karimasalahudeen334 2 ปีที่แล้ว +3

      Assalam Aleiykum. Naomba unifahamishe MUBIIN ni nn mm ni nislimu mwaka jana

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 ปีที่แล้ว +4

      @@karimasalahudeen334 mubiin ni part ya sentence mwenye hiyo sura. Surah inaitwa yasin. Ina mubiin 6. Kila kwenye mubiin anatia dua, ila kwenye mubiin moja kaacha kutia dua

    • @munirahemedi4340
      @munirahemedi4340 2 ปีที่แล้ว

      Ukamilifu niwa mwenyeezi mungu

  • @bittybitty2712
    @bittybitty2712 4 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah tabaraka Allah Allah akupe kila la kheri shukurani sheikh

  • @faridamoha5796
    @faridamoha5796 3 ปีที่แล้ว +2

    ewe mola wangu kupitia ichi kisomo kikavunje uchawi, usda, chuki na matatizo yote yaliyo tanda kwny kizazi chng na mm mwnyw kiwe kisomo cha kunifungua vifungo vyote mm na watoto wangu yaarabbi 😭😭 na milango ya liziki kwny maisha yng

  • @AgnessDotto-nz8tm
    @AgnessDotto-nz8tm 3 หลายเดือนก่อน

    Yallab nifungulie kila kilicho fungwa kwangu maisha yangu kizazi ndoa yangu

  • @thuwaibahafidhjuma5848
    @thuwaibahafidhjuma5848 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah .mola akulinde na husda akupe na uwezo ili uzidi kutuelimisha katika mambo mema

  • @blemisheclat4969
    @blemisheclat4969 3 ปีที่แล้ว +10

    Shukran Sana shekh walai nimeumwa na mkono miaka miwili nimefatilia duwa hii kwa siku mbili naendelea vzr Mola akulipe inshallah

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 ปีที่แล้ว +6

    asante Shekhe mwenyezi mungu akubarik

  • @abubakarkassim6369
    @abubakarkassim6369 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah Allah hafidh kulu amin

  • @aminakassim409
    @aminakassim409 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah allah akubarik..

  • @reemyaswaleh833
    @reemyaswaleh833 3 ปีที่แล้ว +3

    Aslm.alkm my brother shukran.ilayka allaaah. Ebarik.feeky sheik.sharif.yusuf

  • @tatuathmani883
    @tatuathmani883 3 ปีที่แล้ว +2

    asante maishala nimesikiliza sikusaba leo nshaalla mungu anifungulie milngo yaheli

  • @ShaomoShahomi
    @ShaomoShahomi หลายเดือนก่อน

    Yaa Allha kupitiaa kisomo iki uniondolee mitia yotee mm pamojaa na watoto wanguu

  • @zaitunfaizalawadh2787
    @zaitunfaizalawadh2787 2 ปีที่แล้ว +4

    Assalam aleykum warrahmatulah wabbarakatuh, shukran ustadh Allah akujaze kheri ufanikiwe na ufungukiwe katika maisha yako na jamaa zako wote kwa kunifanyia wepesi kitaka shida zangu kupitia kisomo chako

    • @sharonvihenda4396
      @sharonvihenda4396 2 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah mungu haniondolee kila maradhi na ubarikiwe sheikh yusuf

  • @ndayizeyehafsa3473
    @ndayizeyehafsa3473 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah na muomba allah akujaze heri inshallah

  • @marinamooh4055
    @marinamooh4055 3 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah,Shukran Jazeeran Sheikh🤲🏿

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 3 ปีที่แล้ว +4

    Amn amn🤲 mashukura jazakaheri Mungu akubark Inshallah 🤲🙏

  • @ktggtvgvtghadijaalifanichi1301
    @ktggtvgvtghadijaalifanichi1301 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah Allah akuzidishie dua nizuri sana jaza yako iko kwa Allah

  • @hamishamis922
    @hamishamis922 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atufanyie wepesi kila la kheri shekhe wetu amiin akuulinde na fitna na husda za walimwengu amiin amijna

  • @ramilialiy3725
    @ramilialiy3725 4 ปีที่แล้ว +3

    Subkhallakh subkhallakh yarrab yarrab mzidishie elim sheikh wetu ameen

  • @laylahasshim827
    @laylahasshim827 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah shukran shekhe🙏🙏🙏🙏🙏🙏Allah akulipeee inshaAllah