PART 3 KUMBI 23 ZA HUKUMU YA MUNGU BAADA YA KUFA/IBRAHIMU YAKUBU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @odetadaniel1744
    @odetadaniel1744 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtu wa Mungu,ninabarikiwa sana na shuhuda hizi za kweli,ila kuna shida sana kwa watu make ni ngumu kuwasikizisha,unapojaribu kumpa mtu askilize anakuwa na mambo mengi.

  • @vumiliawambula1716
    @vumiliawambula1716 5 หลายเดือนก่อน

    Ee Bwana Yesu tunaomba neema yako namafamilia zetu bila wewe atuwezi

  • @senyaelimungure1030
    @senyaelimungure1030 2 ปีที่แล้ว +11

    Mungu atusaidie watu hata wanapo hubiriwa kuhusu mavazi na vipodozi na nywele za bandia na kucha za bandia hawahelewi tena wanabisha sana

  • @mbarikiwaolestas7800
    @mbarikiwaolestas7800 2 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU atusaidie kuelewa umuhimu wa kuongozwa na kuitii sauti ya Roho Mtakatifu hapa duniani

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mungu akubari

  • @ShukuruHangi-re3gs
    @ShukuruHangi-re3gs ปีที่แล้ว

    Mungu wangu niurumiye kwa yote

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 ปีที่แล้ว

    Ooh my GOD...Bwana atusaidie

  • @yungharry2204
    @yungharry2204 2 ปีที่แล้ว +6

    Yesu utusamehe utupeneema na rehema utukumbuke kwenye ufalme wako ututakase utuwezeshe tufanye mapenzi yako na kuushinda ulimwengu kama wewe😞 Amen UFUNUO WA YOHANA 22:16

    • @dorcusamisi2926
      @dorcusamisi2926 ปีที่แล้ว

      Hallelujah Hallelujah AMEN Utukuvu kwa bwana YESU bwana YESU unirehemu mimi unisamehe

    • @dorcusamisi2926
      @dorcusamisi2926 ปีที่แล้ว

      BWANA YESU nisamehe maovu yangu na dhambi zangu

  • @user-mk9ii7nf5u
    @user-mk9ii7nf5u ปีที่แล้ว

    Mungu nisaidie kupita hizi ukumbi ni kali si rahisi🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 10 หลายเดือนก่อน

    Eeeeeeehhhh mwenyezi MUNGU wambinguni uturehemu

  • @HappyDrumKit-fn8yh
    @HappyDrumKit-fn8yh 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisamehee zambi zangu mm mkosefu 😭😭😭😭😭😭😭

  • @scoviascovia4403
    @scoviascovia4403 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @marymbodzembodze2707
    @marymbodzembodze2707 2 ปีที่แล้ว +2

    YESU turehemu tufanye mapenzi yako

  • @marypeter4584
    @marypeter4584 2 ปีที่แล้ว

    Bwana tusaidie sana tubadili tabia zetu tulizozoea na tufanane nawe. Tusijetupwa katika ziwa liwakalo moto na kiberiti

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 ปีที่แล้ว

    Njia ya mbinguni ni nyembamba imesonga sana kuingia hadi uwe mtakatifu sana.Mungu turehemu na utusamehe na uzao wetu.Ameen.🙏

  • @williammweta5539
    @williammweta5539 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie sana

  • @julianawanjala6495
    @julianawanjala6495 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wetu utusaidie

  • @peninahkariuki1136
    @peninahkariuki1136 ปีที่แล้ว

    Mungu nisaidie niuone ufalme 🇰🇪🙏

  • @williammweta5539
    @williammweta5539 2 ปีที่แล้ว +2

    Tutie nguvu Mungu wa Mbinguni

  • @michellesaronga8065
    @michellesaronga8065 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbinguni naomba unipe neema Yako nisije kupotelea katika jehanam ya milele

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeh Mungu tuhurumie watoto wako

  • @alexmbagwa1957
    @alexmbagwa1957 ปีที่แล้ว

    Mungu tusaidie

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU wa mbinguni atukumbuke

    • @salamadickson8108
      @salamadickson8108 2 ปีที่แล้ว +2

      Nani atapona kama ni hivyo naogopa sana maana nimevaa mwili wa dhambi

    • @user-vc1hx7mw7c
      @user-vc1hx7mw7c ปีที่แล้ว

      Eeeeemungu mimi nimwenyezambi naomba unisamee dhambi zangu zote nikowe na mwilihuu wa dhambi mwili wadunia nipe mwisho muzuri kuliko mwanzo baba

  • @romanamkelo2688
    @romanamkelo2688 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @emmanuelpeter9677
    @emmanuelpeter9677 ปีที่แล้ว

    Sasa ndugu zangu wapendwa sijaelewa huo ukumbi wa kwanza ulikua unakagua dhambi gani...kama mtu ukichukua kitu cha mtu na usirudishe si ni dhambi ya wizi...sasa mpaka ufike ukumbi wa pili io dhambi ya wizi haikuonekana au naomba kueleweshwa.

  • @barnabasmboya7688
    @barnabasmboya7688 2 ปีที่แล้ว

    Ushuhuda mzuri sana. Nawezaje kupata hiki kitabu Mtumishi wa Mungu??

  • @mbingumpya9602
    @mbingumpya9602 2 ปีที่แล้ว

    Hehe aa weachatu kunawatu wengi hawaziamin shuhuda hizi hata hivi leo kwasababu zinagusa kwenye mambo ambayo mtu amezoea kuyatenda

    • @michellesaronga8065
      @michellesaronga8065 ปีที่แล้ว

      Hayo mazoea ndiyo yatatupeleka pabaya Mungu tusaidie tupe mioyo ya nyama
      Itakayosikia sauti Yako na kuiitii