LOVE BITE 《07》
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 พ.ค. 2024
- SUBSCRIBE BONCENA GOT TALENT
FOLLOW US IN
+255659096471
FACEBOOK; / angess.nsyengula
INSTARGRAM; boncena_tz...
TIKTOK ; / boncena_gottalent
YOUYUBE ; / @boncenagottalentfaceb...
OR BONCENA GOT TALENT
INSTAGRAM; BONCENA_TZ
IIKTOK ;BONCENA_TZ - เพลง
Wakwanza leo toka Mozambique sitaki ata like.
Wewe ndo mwamba sasa
Tuko pamoja na mm niko Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hahahahah umetisha sana
Unyama sana watu wanateseka sana na likes🤗🤗
Não
Anae mkubali happy gonga like hapo
Happy umemponza
Namukbal san
Happy anajuaaa,,, semaa mlinzii usikae kizembee😂
Rose n jasiri
daaa happy unajua jmn hongera sana
Mama Tifah umejitaidi Sana icho kipand maua yako ayo🎉
Love❤ Bite my favorite season naomba ata like 10 kwa ajili ya lutaman
Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hngeraa xanhaa brother boncn unafurahsha family zetu mungu akuzidishie mipango yko iendelee kuwa Zaid ya apo ulipo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi wakwanza Léo from Congo nataka liké hata 10 tu ❤
Dah tema ruta mnajua ila bayser mungu anakuona na kwa hii love bite inavyo zunguka nauona kabisa wakati wako unakuja na kitakuramba Ila nakupenda sana unavyo Act toka kwenye mganga wa kijiji much love from Kenya❤❤❤🎉🎉
Kenya ruta man 🎉
❤muniletee maua yangu❤😢😢kutoka ❤ Burundi 🇧🇮 ❤
Wa kumi kutoka Drc Congo sihitaji like zenu
We tena😂 sisi co wachoyo tutakupa tu
😂😂😂😂
Na mm wakwnza naomba like zangu
❤❤ got talent true
Wakwanza kutoka Kenya nipeeni likes zangu jameni 🎉🎉❤
Couple ya happy nzuri sana
Wanawake tinakitu Cha kujifunza hapa hasa sisi watafutaji👌
Tena kitu kikubwa
Kweli kbs aiseee
Sana tuuuui
Nakubalii maniga funiko kwishaaa ipo ivyooo
0:11 0:11 0:11 0:11 0:00 0:00
Boncena Unajua Kala
Kala ndio nini
Wa Kwanza Leo... Like kwa Team Rutta Man
Kweli Waandaaji muko fiti👍 Naona Rutaman anajiokotea embedodo chini ya mparachichi, Ila achunguze lisije kua limeoza likamuletea madhala😂😂
kwel inabd aaanglie lisij lkaoz kwak
Nimechelewa kidogo ila hacha niwape mauwa yenu kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
Nzuri sana ❤🇹🇿 ila inaumiza
❤❤
Kazi nzuri saaan hongeren wasanii
Kabaisa shida kabisa aachi kitu kabisa Duuuh ata mutumishi wa Ndani duuuh LIKE ZENU jameni
Wa kwanza aaaaaaa❤❤
Nawakubali sana sasa uyo gumba mbona anakuwa mbumbumbu sana😮 ana nikera
Anaboa
mwanaume bwege kqbisa
Kabisaaaa
We baysa wee acha utundu jamen tafuta kazi acha kula za wanawake
Mwambieni baisa yee wakiume ajitume
My man. You never get it wrong on short films. Keep it up, bro.
Gumba ajafavya vizuri ame tomba biti oyoo😂😂😂
Wakwanza apa kutoka Uganda 🇺🇬 🇺🇬 naitaji like zangu
Daaah hya mapenz bana yanatuvuruga wengi
🤣🤣🤣🤣
Hiyo mimba ya tiffah baadae itakua ya RUTHA MAN kama unahisi hivo gonga like🎉🎉🎉
Lazima iwe hivo. Tiffah mhuni hajamwambia kama kafukuzwa kisa mimba. 😄😄😄😄
Duuh umefika mbali aise
@@edwinpeter8442 yaaani wanawake sisi tuna plan sanaaaa
Wa kwanza leo like zangu
Mwanzo nilikua namuona Tifah muhuni ila kaniliza hii scene Katia huruma sana baadhi ya wanaume duh
Ni hatariii
We acha tu
lutaman brò you good at what you doing kila mtu akaua kwa role yake ifaavyo manze
Una akili humo tumboni 😂😂😂😂❤❤❤
WA KWANZA MIMI LEO TEAM RUTA MAN GONGA LIKE HAPA 😂😂😂😂
napenda Sana sehemu ya gumbwa inani Bamba Sana kazi nzuri bonsena
Yaah unaangalia move kwa muda unao faah 37 minets
Ongera sana Luta man kwa kaz nzur
hongera mama tifa upo vzr sana umejitahidi sana
Yooh Mr lovebite ❤ hapa watching lovebite😂😂
Kazi nzuri ila Gumbwa ndo kubwa jinga sanaa amekataa mimba yake na kukubali mimba ya mwanaume mwenzie nimechukia happy wangu anateseka mnoo gumbwa ungekuwa karbu yangu ningekuroga mdaa sana😂😂
Mimi wa kwanza from morocco rutaman hongera sana
Boncena kwenye ubora wake Never give up ❤❤❤ endelea kutupa burudan mashaki zako tuko pamoja
You are doing great work..naifurahia sana 🔥
Kenyan boy nko hapa,,, nipee huyu Happy nampenda sana
Kaz mzur wakubwa
nice
Happy nimekubali kazi yako unatisha sana pia unaletauzuni sana
Boncena on 🔥
happy unajua kuigiza 🎉ongera nitakuwa nafatiria kaziyako 🎉
Ep kaza moyo mi naamin utashinda tu.❤❤❤❤❤❤❤
Yani katika comedy ilofanya vzuriiii ni hiiii apa ruta man piga kaziiii kak😮
Leo nimewayi 💯🏃 jamn
Sema mwanangu man badili kwandaa ilo una tuzalishaa walinzii
Wow mashallah ruta man una roho nzr san man wallah❤❤❤❤
Wakwangu jamani tokea DRC apa bandale like ❤❤❤zangu
Pole sana happy aki utapata furaha baadae
Gubwa we cizi kabisa unganganiye mimba isiyokuwa yako ushupaliye mimba isiyo kiwa yako mama gibwa ongera sana kwamaamuzi ayo maana mwanao cizi kabisa😅
😂😂😂n chizi kwel huyo gubwa
yani mpaka nalichukia lijinga kweli
🔥🔥🔥🔥🔥💯pamoja xn man nakkubar sna man
Wa kwanza toka congo
From Congo i didn't want likes but we love this move bye here
All the way from Kenya 🇰🇪 nawakubali kishenzi
Mama tifa chikua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
On time safi sana
Nakubali wazee wangu
Kazi nzuri ❤❤ila tifa unavuna ulicho kipanda
Uyu mama amesheza karata kubwa sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Tifa shenani kabisaaa😊😊😊😊
Naombeni Like Zangu Wa Kwanza Kutoka India
huyo jamaa fala kweli anapenda kitonga😂😂😂😂😂
Aisee sipendi kubaki hung...kama kuna uwezekano wa kutoa episode kila siku naomba tu...kazi safi kweli #lutaman
Pole Njoo tupige story tu tukisubili ep nyingine
Gubwa umetisha sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kuna watu humu wanataka like ok mm nawapa like 5000 mgawane sasa ili mpunguze makelele
Hongeren sana kaz inapendeza ❤
kwenye hii movi alie gundua ma singo mother weng like hap🤣😀🥲
Jamniii tumeisubili sanaaa
Hiyo kali ya mwaka❤❤❤
Me nakelekwa kwann sku zote byser na gumbwa awaoneshani uyo mpenz wao wajue km wanashare ila ndio move tena😂😂
Gumbwa unajua lako Kali subilia tu
Nice one ruta mani❤❤
We Baisam Mungu anakuona😂
Gumbo. Sasa hapa utatii utajuwa. Ebby ndio amekupepea damu yako❤❤❤❤
Gumbwa noma sn❤❤❤❤❤
Good job ma brother..
Kazi mzury sana
Niwa mwisho bt nipeni likes pia
Nimeingoja sana man🇰🇪🇯🇲
Much love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇿🇦🤗
Kweli mkataa pema pabaya pamwita, unakataa minba ya happy dah😢 mtoto alikua analia kichina dahh, inshort Kuna kitu najifunza🙏 KAZI nzuri 👊👊
Very nice kaz nzur san 🔥🔥🔥
Good job RUTA MAN from +254 🇰🇪
❤ safi saana, mguvu kuenda bele
Sema uyo kaka anae muhonga pesa Latipha Kama hajui kuigiza Yaani Kama mtoto au mshamba hivi pia anajichekesha mnooo
😂😂😂wueee mama Francis jamani na mama Latifa ni kunoma yaani nmeshikilia hapo,, I really love you team boncena
Happy bonge la pic jamani nakupenda
Gumbwa anaenda kulea mimba ya baisaaa ila mimba yake kabisaaa anaikataaa duuuu hatari sana mimba ya rafikiake ndo anajua yake
Gumba anaboo sana iyo nafasi mpeni kobero
Much love from Kenya