LOVE BITE 《10》

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • SUBSCRIBE BONCENA GOT TALENT
    FOLLOW US IN
    +255659096471
    FACEBOOK; / angess.nsyengula
    INSTARGRAM;www.instagram....
    TIKTOK ; / boncena_gottalent
    YOUYUBE ; / @boncenagottalentfaceb...
    OR BONCENA GOT TALENT
    INSTAGRAM; BONCENA_TZ
    IIKTOK ;BONCENA_TZ

ความคิดเห็น • 511

  • @mmanuelsimbakayeye
    @mmanuelsimbakayeye 3 หลายเดือนก่อน +5

    namuelewa sana happy kwasababu mutu anaeza fanya kilakitu kwa sababu ya mapenzi kwetu DRC nakupenda sana

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 4 หลายเดือนก่อน +57

    Huyo jamaa alomshika gumbwa mkono akitaka kumpiga happy ameupigaje apo 👏 😂😂😂 maneno yake matamu sana 👍... kama unaliona hili gonga like

  • @hachslmhodari7406
    @hachslmhodari7406 4 หลายเดือนก่อน +14

    Maisha nikama gwaride uki sema nyuma geuka basi wamwisho ata kuwa wa kwanza 🇨🇩🇨🇩

    • @ThacienMUTABAZI-dr1qs
      @ThacienMUTABAZI-dr1qs 8 วันที่ผ่านมา

      Unanikumbusha hilo neno kibenten final 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @nkurikiyearodiedavid6255
    @nkurikiyearodiedavid6255 4 หลายเดือนก่อน +9

    Happy,mkubali selemara achana na huyo mgumba asiependa watoto.

  • @LeopoldBigirimana-f4g
    @LeopoldBigirimana-f4g 4 หลายเดือนก่อน +7

    Big up Ruta,dada una roho mbaya

  • @bernadethayamwaka1365
    @bernadethayamwaka1365 4 หลายเดือนก่อน +33

    Aya sasa tunao yaona maisha ya Baisa yakibadilika kikimlamba tujuane kwa ku like hapa ila uyu baisa anajua❤❤❤❤

  • @user-zadig
    @user-zadig 4 หลายเดือนก่อน +115

    Wakwanza wallahi tokea kwetu DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩naomba vima likes zangu chez nous lubumbashi

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 4 หลายเดือนก่อน +5

      Kuazia Leo akuna mambo ya likes,nmezima io kabsa,,

    • @Elkapmuadi
      @Elkapmuadi 4 หลายเดือนก่อน +3

      Safi sana mu kongomani mwenzanzu mi niko Haut uelé kwa sasa lakini nyumbani ni butembo.

    • @Chris17-chaihe_uw27
      @Chris17-chaihe_uw27 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli akuna mambo na likes tena uko sai

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 3 หลายเดือนก่อน

      @@Chris17-chaihe_uw27 sa kila mtu ni,Leo nmekua wakwaza nipeni likes,za kazi gani?

    • @JohnNzombo
      @JohnNzombo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Congo mboka makasi tuko pamoja

  • @bertha57
    @bertha57 4 หลายเดือนก่อน +31

    Nahomba liké jamani Niko Bujumbura mais Niko congolaise 🇧🇮🇨🇩🙏

    • @bertha57
      @bertha57 3 หลายเดือนก่อน +1

      Merci beaucoup 😘😘

  • @jeanclaudeakili2372
    @jeanclaudeakili2372 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo Mtoto wa Gumbwa lazma azaliwe akuwe na ajuwe ukweli wote wa Mr Gumbwa ! Big up sana kwa team yote kwa ujumla !❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @joelmhezi8039
    @joelmhezi8039 4 หลายเดือนก่อน +131

    Nachomkbali uyu lutaman kwanza clip zake ndefu pili hacheleweshi ambao wapo pamoja na mimi gonga like hapa

    • @Damara-f1s
      @Damara-f1s 4 หลายเดือนก่อน +4

      🙏🙏

    • @MICKEYBOYHB
      @MICKEYBOYHB 4 หลายเดือนก่อน +2

      Sahihi kabsa

    • @Ibrahshayo
      @Ibrahshayo 4 หลายเดือนก่อน +1

      Uwakikaaaaaaaa

    • @gracekayumba-z9l
      @gracekayumba-z9l 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli

    • @mxofmfk8406
      @mxofmfk8406 3 หลายเดือนก่อน

      Ndefu lakini hazijashiba

  • @PhiniasMarakanyi
    @PhiniasMarakanyi 3 หลายเดือนก่อน +4

    Happy achana na huyo njoo nakusubir

  • @Eliroster
    @Eliroster 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ruta man big up fo the good job men Yani hucheleweshi kazi zako afu ni refu tunavyo tena nzuri

  • @AyubuMwakalebela
    @AyubuMwakalebela 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uhusika wa Gumbwa angeucheza luta ningekua bomba sana, uyu Gumbwa anafaa kuingiza ukichaa tuu haendani na character mlompa japo mdada kafanya poa sana ❤

  • @Nyanchama-c1n
    @Nyanchama-c1n 4 หลายเดือนก่อน +2

    Happy apunguze kulia bana,,alf mima iz Avery good actress ananibamba feel loved watu wangu❤❤

  • @Queennuriya-q1h
    @Queennuriya-q1h 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ruta nimei penda sana hi love bite jamani Mungu awa saidiye malize haraka lakini Mimi kila mda na angaliya hi movie jamani keep going sister and brother ok

  • @isharaganechi6616
    @isharaganechi6616 4 หลายเดือนก่อน +37

    Mimi wa kwanza kutoka kongo naomba like zangu 🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿

    • @saddamalio9354
      @saddamalio9354 3 หลายเดือนก่อน

      Watu wa Kong wanaongea Kiswahili

    • @isharaganechi6616
      @isharaganechi6616 3 หลายเดือนก่อน

      @@saddamalio9354 ndiyo watu wa congo tunaongea kiswahili na lingala pia na francis pia no na english

  • @guidion.jorgedajudith8592
    @guidion.jorgedajudith8592 3 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani nimechelewa lakini nimefica naomba like japo 10 to

  • @MealiiMwinyi
    @MealiiMwinyi 4 หลายเดือนก่อน +15

    Wa kwanza leo naomben mauwa yangu

  • @Japhet_Baraka
    @Japhet_Baraka 4 หลายเดือนก่อน +45

    Wakawanza hapa kutoka Drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nipeni likes

  • @geraldlucasngoty2657
    @geraldlucasngoty2657 4 หลายเดือนก่อน +8

    Love bite hampoiiii 🔥🔥❤

  • @KalistoKalilile-v7l
    @KalistoKalilile-v7l 4 หลายเดือนก่อน +26

    wakwanza Mimi. apa gonga like

  • @juliodaniel1615
    @juliodaniel1615 4 หลายเดือนก่อน +2

    Story ilianza vizuri sana ilaa mbelee unavurugaaa sasaa aielewekii
    Yani maneno mengi lakin actio ndogooooo

  • @romanythomass
    @romanythomass 4 หลายเดือนก่อน +11

    ila hii tabia ya kumsaidia mwanamke alafu unataka mapenzi sio nzuri .yan mimi hapa nalala nje na chumba nimempa mdada aliyekosa pakulala ndio anaishi na pesa za matumizi kila cku nampa lakini sijawai kuwaza kama nitakuja kumwomba mapenz sasa nyie wezangu du mpka mpewe

    • @StanleyaStella
      @StanleyaStella 3 หลายเดือนก่อน

      Yani umenifanya nikuwaze uko wapi nakutaka

    • @JohariRamadhan-m1g
      @JohariRamadhan-m1g 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂utamu

    • @zuberiimamumhina5164
      @zuberiimamumhina5164 3 หลายเดือนก่อน

      mwanangu umesh kosa point 3 ume tangaza wema bro

    • @ZaylinahNindae
      @ZaylinahNindae 3 หลายเดือนก่อน

      Namimi nisaidie sina pakulala

    • @romanythomass
      @romanythomass 3 หลายเดือนก่อน

      @@StanleyaStella nipo

  • @niyomuremyijamal9866
    @niyomuremyijamal9866 4 หลายเดือนก่อน +5

    Gumbwa gubwaaa acaha unyama we kenge hahhahaaaaaaa nisamehe mii ni acter mwezako gumbwa umecheza vizuli

    • @JohnKarabu-dx5lj
      @JohnKarabu-dx5lj 4 หลายเดือนก่อน

      Napenda uchambuzi wako bt wengi ni likes wanataka

  • @ladymasika
    @ladymasika 4 หลายเดือนก่อน +6

    Leo nmewahi nakupenda sana ruta man❤❤❤

  • @Mnyaturu980
    @Mnyaturu980 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekuja na mm nimechelewa.sana ila sitaki chochote kikubwa move nzuri sana hongereni sana group la boccena

  • @JapharMakame-ex9lh
    @JapharMakame-ex9lh 3 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda vile vyenye mko fast kuachia ep ingine

  • @IlalaAgrovet
    @IlalaAgrovet 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mima kazi nzuri kwa kumtesa latifa ajifunze maisha

  • @AmaniComedian
    @AmaniComedian 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda Happy Anavoigiza❤❤

  • @MichaelJohn-ep2dw
    @MichaelJohn-ep2dw 3 หลายเดือนก่อน +1

    Move kali sana ruta man ongela

  • @AbdoulNiyubahwe
    @AbdoulNiyubahwe 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naitaji jiina ya iyi nyimbo imwo ndani ya iyi cinema

  • @mdarty7117
    @mdarty7117 4 หลายเดือนก่อน +29

    Wa kwnza kutoka Kenya 😁 nipewe likes jameni

  • @Frankmttu
    @Frankmttu 3 หลายเดือนก่อน +2

    kazi nzuli sana punguzeni maneno bas mana darekta anasikika duu utafikili mpo lokeshen duu

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 4 หลายเดือนก่อน +10

    Mimi ndo wa kwanza mimi😊

  • @NsobiLema-wq9vh
    @NsobiLema-wq9vh 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yani wewe kaka gumbo ivi umejiona ulivyo kweli kuanza kumtes happy

  • @vallesndayishimiye2396
    @vallesndayishimiye2396 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hilo li mima, li baunsa li gumbwa nimelichukia sana😢😢😢😢 japo ni igizo

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 3 หลายเดือนก่อน

    Tumemmiss madam wa ruta na mima yaan boss afu napenda uchelew mv zako na n ndefu had raha

  • @CycyConstaOg
    @CycyConstaOg 4 หลายเดือนก่อน +8

    Leo niko wa101 musema ukweri ni mpenzi wangu Like 👍 zimwagike kama magopo jararani😂😂😂😂tujuane

  • @ISSAHJONASSI
    @ISSAHJONASSI 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ruta man mwamba twende mberee usishukee mwamba aseeh mm nipo nawewe Dua zangu kwako Hawa uliocheza naoooo mko vizuli sana ila gumbo na happy aseeh so poa gumbo apunguze useraa amuonee huruma happy bc na vipi kuhusu. Mama ake na gumbo yupo hai au ilikuwaje alipo dondokaa timu nzima ya Ruta man gang nawakubali Sana

  • @AlfaCharles-e8h
    @AlfaCharles-e8h 4 หลายเดือนก่อน +10

    Kuna viwavijeshi humu ndani vinakela kwa kuomba like

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 3 หลายเดือนก่อน

    Ndugu yangu kazi nzuri sana watching from Kenya 🎉🎉❤

  • @Young_Tembo
    @Young_Tembo 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi wa kwanza tena

  • @ashfrederic3369
    @ashfrederic3369 4 หลายเดือนก่อน +8

    Wakwanza leo 🎉🎉🎉

  • @EdwardDismass
    @EdwardDismass 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ya wemujamuzito ufananii kbisa naroo mbaya

  • @justinbahati6789
    @justinbahati6789 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ruta Man ongera kwa kazi unayo, nawaza fwata kutokea Goma Drc

  • @SwediSymphorien-pm4en
    @SwediSymphorien-pm4en 4 หลายเดือนก่อน +6

    Wa kwanza from America, please naomba likes ata ngapi kwa uruma wenu

  • @BayubasireBertin
    @BayubasireBertin 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gumbwa jameni, kuwa na roho ya tu basi. Dada punguza shali piya ume zinguwa na hupendwi ume juwa ?

  • @SalimnganaMwamvula
    @SalimnganaMwamvula 4 หลายเดือนก่อน +5

    Love bite ni noma sana

  • @HansUkulwa
    @HansUkulwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awape mawazo mazur katika mafanikio yako ruta pambana gemu gumu

  • @UpendoRaphael-j9w
    @UpendoRaphael-j9w 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sii utoke kwanii huna kwenu unatogozwaa hutakiii pole 😭😭

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mima nawewe subiri yakukute kibao kitapogeuka utajuta

  • @onlinecomedy8420
    @onlinecomedy8420 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nakubal sijachelewa sana

  • @OmanBarka-x3i
    @OmanBarka-x3i 4 หลายเดือนก่อน +2

    Heee mimah we punguz mpe jpo kul mwenzko nayy wako wawl km ww 😢

  • @sarahmariah2371
    @sarahmariah2371 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hucheleweshangi kaka hongereni❤❤

  • @Nyakwakaallan
    @Nyakwakaallan หลายเดือนก่อน

    Kazi safi jameni. Hili tamthilia lina funzo nzuri kwa kizazi cha 2000s. Piga like kama una kubali ana nami❤

  • @PaulineJamooh
    @PaulineJamooh 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wa kwanza Leo from Kenya ❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AgartonMheza-ul3ww
    @AgartonMheza-ul3ww 3 หลายเดือนก่อน

    Rutaman umeshirikishwa au ni movie Yako yaani umeshiriki kidogo sana

  • @rukingamaboar802
    @rukingamaboar802 4 หลายเดือนก่อน +20

    Wa 47 jameni naombeni Like zenu ata 2 zinatosha from Burundi

  • @HussenRamadhani-g9w
    @HussenRamadhani-g9w 4 หลายเดือนก่อน +4

    Leo wa kwaza am from Kenya

  • @FlesbIgiraneza
    @FlesbIgiraneza 4 หลายเดือนก่อน +75

    Wakwanza kutoka Burundi naomba like zangu ata zikiwa 5 ntashukulu

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 4 หลายเดือนก่อน +1

      Likes za kazi gani aswa

    • @atotark3889
      @atotark3889 3 หลายเดือนก่อน +1

      kumbe burundi mna kiswahili kizuri ivi

  • @JamesMutegi-hz6df
    @JamesMutegi-hz6df 3 หลายเดือนก่อน

    Ruta man napenda show zako mno zinanibamba vibaya sana.

  • @valentinifaustini4203
    @valentinifaustini4203 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama kuna kijana mwenyo moyo kama wa gumbwa mungu anamuona, hii ni movie lakini nimebaki nalia kwa haya manyanyaso anayopitia happy 😢😢

  • @SibijaliLim
    @SibijaliLim 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ep😭😭 unanikumbusha mbalisan

  • @reginaIssa-m2j
    @reginaIssa-m2j 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢masikini happy pole Sana mwache aende tu huyo hakipendi

  • @AntônioTomás-x4x
    @AntônioTomás-x4x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenu nitandi nangu kwaloka kwetu ku MOZAMBIQUE

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 4 หลายเดือนก่อน +4

    Uyu mima kaitu100 vzr nafac yake duh like kwake bc❤❤

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 4 หลายเดือนก่อน +1

    Happy hongera kwa ufumilivu yote mabaya anayo kufanyia gumbwa ila hukati tamaa mimi siezi eti kitokee mwana ume anipende alafu alete tabia kama za gumbwa naeza muekelea makofo ajutie kunifahamu juu huusio mdawakulia kwenye mapenzi 😂😂

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nilijua ataishia ukimwi

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh 3 หลายเดือนก่อน

    Happy pokea mauwa yako 🎉🎉🎉 nimekupenda bule ❤❤❤❤

  • @rajabkiti896
    @rajabkiti896 3 หลายเดือนก่อน

    Mm kuna kitu nakiona mbna nkama gumbo na mke wake wanafana sana kaa mtu na dadake vile,,anwei kaz safi

  • @CalivinNjau
    @CalivinNjau 4 หลายเดือนก่อน +7

    Chuma fantastic❤ gonga like

  • @MouridiNizigiyimana
    @MouridiNizigiyimana 4 วันที่ผ่านมา

    Tifa muagizaji mzuli sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @mwanaishahamadi-lb1oy
    @mwanaishahamadi-lb1oy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah ruta man ww vitu tamu tamu

  • @mohannadmohammed6631
    @mohannadmohammed6631 4 หลายเดือนก่อน +2

    Director kua makini na sauti zako zinaskika
    Umeskika ukimwambia huyo mdada aseme "kua na huruma basi"
    Jutahidi

    • @StanleyaStella
      @StanleyaStella 3 หลายเดือนก่อน

      Arafu sio mara ya kwanza masauti yake uwa yanasikika tu

  • @Edith-rq3mm
    @Edith-rq3mm 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tifa watia huluma kwer ila hapo na bado Kwan unamashauz San na kumnyanyasa gumbwa malipo ni hap hap dunian

  • @daudimtafa3804
    @daudimtafa3804 3 หลายเดือนก่อน

    Tz jameniii...pombe mnakunywa na plastic

  • @LizenMaker
    @LizenMaker 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda kipepeo ❤❤❤

  • @yusuphmkomwa3427
    @yusuphmkomwa3427 3 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja mpaka mwisho LOVE BITE❤️❤️❤️❤️❤️

  • @MaryamSafi-vm6or
    @MaryamSafi-vm6or 3 หลายเดือนก่อน

    Happy nakupenda sana 🎉🎉🎉

  • @JuniorJunior-p8s
    @JuniorJunior-p8s 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi wakwanza kutoka kenya

  • @MagesaJunior
    @MagesaJunior 3 หลายเดือนก่อน +2

    Watoto wa 2000 nyie n washenzi kweli baada yakutoa maoni kuhusu kazi mnaomba like mafilauni ninyi. au izo like mnazila

  • @SadickFelix
    @SadickFelix 4 หลายเดือนก่อน +2

    Oyaaaaaa nani ameipenda move hi kamaumeipenda naomba likes hata 2 tu

  • @irakozeegide5544
    @irakozeegide5544 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mbwa sijui ni gumbwa ama gumbo anaroho mbaya hata sula yake inamuonyesha kwamba ana roho ya kikatili kwanini huna huluma mbwa wewe unanikela sana pumbavu zako nitakurowa mi muha kutoka mwandiga kigoma

    • @atotark3889
      @atotark3889 3 หลายเดือนก่อน

      Khaaa😂😂😂😂

  • @AbdiTuse
    @AbdiTuse 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani! episode kumi na moja na kumi na mbili Iko wapi.love bite

  • @MlingwaMasasila-ox4jv
    @MlingwaMasasila-ox4jv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan tifa namuoona anakonda tuuu

  • @ZaburiYohana
    @ZaburiYohana 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gumbo simuelewi kabxa kweny hii sirisi

  • @ElishaElibariki
    @ElishaElibariki 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ki pepeo hatar sana 🤣🤣🤣

  • @morenobdi9187
    @morenobdi9187 4 หลายเดือนก่อน +54

    Leo nimekua wakwanza naomba ata likes 10 kwa ajili ya love bite😊😊

    • @Zingizi15Makala
      @Zingizi15Makala 4 หลายเดือนก่อน

      Nimekuwa wa 60 Leo

    • @AdamTajiri
      @AdamTajiri 3 หลายเดือนก่อน

      Wa Kwanzaa 60

  • @OfficialAdaOnce
    @OfficialAdaOnce 4 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba subscribe ata 2

  • @SalumonEustace-cl4mk
    @SalumonEustace-cl4mk 3 หลายเดือนก่อน

    Mimaa kumbkaa ulikotokaa uwe na moyo wa fadhila na huruma kwa wengine, happy yanini kuishi maisha ya huzuni na masononekoo umependa usikopendwaa fahamu kuwa kuna maisha pasipo kuishi na Gumbwa

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z 3 หลายเดือนก่อน

    Hongeleni sanaa kwa kazi nzur sanaa pokea mauwa yako 🎉❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @dianaqueen7967
    @dianaqueen7967 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kipepeo 😂😂😂😂😂

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo Luther anajipakuli minyama 😅😅😅

  • @Mussadax
    @Mussadax 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ nawakubali Sana

  • @Young_Tembo
    @Young_Tembo 4 หลายเดือนก่อน +4

    Big Boss

  • @reylahCastory
    @reylahCastory 3 หลายเดือนก่อน

    Apooo Sasa kumekucha hahahaha 😂😂

  • @EnockRaphael-pr4db
    @EnockRaphael-pr4db 4 หลายเดือนก่อน +21

    Jamani Tena top 20 likes jamani

  • @SadickYahya
    @SadickYahya หลายเดือนก่อน +1

    Mimi leo nimekuwa wa mwisho naomba hata raiki hata 5 jaman

  • @Khalfan-q6q
    @Khalfan-q6q 3 หลายเดือนก่อน

    Gubwa unatoa macho sana😂😂😂😂

  • @HPZAYOZA
    @HPZAYOZA 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii sen nimeipenda jaman