DAKIKA 30 ZA VITUKO Ally kamwe, Ahemdy Allya na Hashim ibwe UTACGEKA UFE/ WAPIGANA MIKWALA MIZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe TH-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

ความคิดเห็น • 16

  • @adelmassamweli2657
    @adelmassamweli2657 15 วันที่ผ่านมา +3

    Nmekubari sana kaz yao aliewakutanisha safi kabisa na anaetufikishia youtube blessed sana mpenja

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 15 วันที่ผ่านมา +8

    Aisee Hawa jamaa wanapendeza wachape kazi yaani wanautani Hadi wanafanya tuone hakuna ugomvi ni kazi tu

    • @arafatmbaruku8927
      @arafatmbaruku8927 15 วันที่ผ่านมา

      Yule zeruzeru alifnya mashabiki wa simba na yanga tuwe maadui ila hawa wasom sana

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 14 วันที่ผ่านมา +1

    Nimependa Umoja Wenu.

  • @SHAFIIMWEHEMBA
    @SHAFIIMWEHEMBA 14 วันที่ผ่านมา +2

    Ahmedi Alli ni comedian, maana kila sekunde ni kuyumbayumba

  • @kadito-o3j
    @kadito-o3j 15 วันที่ผ่านมา +3

    I say mmetisha wazito❤

  • @SubiraMohammed-ks6qg
    @SubiraMohammed-ks6qg 15 วันที่ผ่านมา +2

    Nawapenda Sana awa watu wakikutana huwa naandaa mbavu kwanza kwa kucheka

  • @KaswahiliTz
    @KaswahiliTz 14 วันที่ผ่านมา

    Nashukuru sana Aliewakutanisha hakika mpira wetu unaendelea

  • @BonifaceMwanjala2025
    @BonifaceMwanjala2025 14 วันที่ผ่านมา +1

    Ally kamwe akili mingi sanaaaa....sanaaaaa

  • @DANMORATA
    @DANMORATA 15 วันที่ผ่านมา +3

    Ally kamwe hajawai kunidissapoint😂😂😂

    • @Ancy-kq6qi
      @Ancy-kq6qi 14 วันที่ผ่านมา +1

      hana maajabu

  • @mzalendootv2939
    @mzalendootv2939 14 วันที่ผ่านมา

    Hivi masau bwile anakosaje hapa?

  • @godnhohenry7779
    @godnhohenry7779 15 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa jamaa bhana😂😂 wangese kweli

    • @Ancy-kq6qi
      @Ancy-kq6qi 14 วันที่ผ่านมา

      mngese ni ww

  • @arafatmbaruku8927
    @arafatmbaruku8927 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hao wasanii mgewatoa tuu

  • @berthamwakalebela7604
    @berthamwakalebela7604 14 วันที่ผ่านมา

    Yan nkiwaona watatu naanza kucheka kabla