Duuh.. 😳😳😳 hawa matungu wawili wisho wake watakuja kuwana kutokea kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 team strong ya R....k mpo wapi mbona simuoni R..k wtu jamani nipeni like wenzangu msinitenge
nimshauri tu benson amwambie dem wa doktor iren aende kuishi kwa doftor alafu yeye amuachie nyumba yake aishe na huyu mwanamke aliyempa mimba na ampe mashart kwamba asije kurudu tena pale akirudi tu anatoa siri kwamba ile mimba ni ya RK kuliko sasa hv kutaka kulala nae
Yan leo km wameambizan nd kwanza namaliz kuanga chado master nakutan na hii 😂😂😂😂😂😂ila kz nzur allh atujaalie tumalize huu mwez tukiw na afy njm na tuingie mwak mpy inshaallah ❤❤❤❤
Mke wa doctor kisuu saan tunaomkuli likes ❤❤❤
Yule yoyote ametoka kutizama Chado master na Dunia😂😂tunakutana tena Siri ya huba, mungu awabariki tumalize mwaka vizuri 🙏🙏🙏🙏
Hata nikimaliza hapa naenda busati tv😂😂
😂😂 Amina sana
😂😂yn nilijua niko peke angu ,amiina kubwa
😂😂😂tupo wengi kumbe!
Mm apa akuna kupoa 😅
Jamn mlotoka kwa chado ,mwanyanya, mkaja hukuu 🎉🎉🎉
Mm apa my,umesahau na mtoto wa boss
Nipo
Kwenye hii movie kuna batltazar 😂😂😂
Wenae unamfananisha na Baltazar?
Daaah
😅😅😅😅😅😅 wanguvu haswa
😂😂😂😂 litamkuta jambo benlee
😂😂😂😂😂
mungu bariki kila atakaye soma comment hiii🫠🫠🙏kazi nzuri sanaaa
Amen
Amen
Amen 🙏
Dah hii move tamu kinomaaaaa ❤️
Amen 🙏
Jaman mke WA doctor n mzurii❤
Ni kwer mzur ana vutia kila kona
Xana
Sana🎉
Mzur haswaaa
Ila uvaanji wake ndio unashawishi wanaume
Léo nimefika wakwanza toka drc congo 👍👍👍 RK m'aura yako❤❤❤❤🙌
Aisha n mrembo jamn 😢😅😮
Chezea sisi ww😂
🎉🎉🎉 hii movie niya moto tunaomba muwe mna wahisha kuitoa jamn
Dakika ni kidogo sana RK
Okay na me leo angalau nimechelew masaa matano ila nipate 🎉 kidogo
Wakwanza Léo from drc uvira Kijiji cha kahororo tunawapenda sana
Mimi hapa wa kwanza kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi likes zenu jamanini😅
Kama umeamuka vizur kuja kutazama im siry yauba mwejezzy mungu awapeni barraka 🎉🎉
Wale mlotoka kwa Chado Masta na Manyanya Mungu awabariki🎉
Nimefurahi kumuona mchungaji💕💕💕💕💕💕🇴🇲
Mbona Benson umegongea watu wametulia lkin kwako uchungu😅😅😅pole Sana,,,,
😂😂😂😂😂Kwa mara ya kwanza nmemuonea huruma benson 😂😂😂😂😂😂
Hahahaha 😅
😂😂😂
Me pia jmn😢😢😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂wala sio ya pili
amechanganya wenzie mpaka wamekorea zam yake
Kali sana hii mnajua ee, so nataman ingekuw ina wahi kidogo, au hat ikichelew ina shuk hta na vipande ving kdogo tun kata kiuu
Courage ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Chado master, dunia Siri ya huba🎉🎉🎉
Mapenzi nigem nayo nzur me nazunguka umo😂
My favorite
Kwa chado kuna Nini Nako jamn bado sijataxama
Duuh.. 😳😳😳 hawa matungu wawili wisho wake watakuja kuwana kutokea kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 team strong ya R....k mpo wapi mbona simuoni R..k wtu jamani nipeni like wenzangu msinitenge
Nimewai jaman kama kweli munaipenda team rk weka alam ya sapoti apa🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿
Hongereni kazi nzuri sana❤❤❤
Kazi nzuri nlkua nimesubiri❤❤❤
Mimi wakwaza kutoka DRC Congo benll nili kuambiya hakuna siku Gombe ita cheza na ngurwe ila bila ku sahau malipo nihapa duniani nazani mume nielewa ❤❤
Jamani rk tuongezeeee mda 😂😂
Uyu si ni ule msaidizi wa mama rk wa maombi kwenye boss mchawi❤❤❤❤
Yeah ni yy
Good sana 🎉🎉 from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👍
Leo mie hapa wa tano ndugu majirani nipeeni likes jamani 🎉🎉
nimshauri tu benson amwambie dem wa doktor iren aende kuishi kwa doftor alafu yeye amuachie nyumba yake aishe na huyu mwanamke aliyempa mimba na ampe mashart kwamba asije kurudu tena pale akirudi tu anatoa siri kwamba ile mimba ni ya RK kuliko sasa hv kutaka kulala nae
Kwa kweliiii🎉🎉🎉🎉
Waooo nimefurah kumuona namchungaji ❤❤❤🎉
FROM KIGOMA BITALE 🇹🇿✅ KAZI NZURII MNOOOO✅✅
J'adore ça ✋❤❤❤from🇨🇩🇨🇩
Hongera sana brother kwa kaz nzr
Mungu alibariki kazi ya mikono yenu wote Amin
Wajina mambo
Kazi safi Rk watching from Kenya pokeeni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
❤❤from Kenya here we go
Wadau wangu wa 🇹🇿🇧🇮🇰🇪🇴🇲 tujuane msijifnye hamujaona comment yngu 😂😂
Uko wapi wewe
Tuma no yako
❤❤❤❤
Weka 10 zako plz
From kenya😂 ila huyu Benlee😂
waah nmefrahii kummwna pastor wa rk kwa movie ya boss mchawi🎉🎉🎉❤❤❤
Benson Benson bensoniii....mkuki kwa nguruwe kwa binadamu nimchungu Ila maisha ya Hawa ndugu wawili siyawezi mimi😢😢😢
Benlee wee anagongea watu bana na si mlango😂😂😂😂 Anyway much love from this side❤❤
Kumbe Ben anapenda aisha mpaka nimefurahia❤
Napenda kazi yenu hongera nyote mnaoshiriki kutuburudisha🥰🥰🥰
Ben umetisha sana hongela nakubal sana
🎉🎉washabiki wa penzi la mtoto waboss like 🎉🎉 Siri yahuba 🎉🎉
Boss mchawi mtaitoa kweli mbn mnachelewa
Duuuuuh Sema sir ya huba rk amejitaid san kutuliza kichwa god bless u utafika mbal zaid
Nawafata depuis congé 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Tuko Na ww pamoja 😂🎉
Drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Tumengoja sana bana 😂😂love from Kenya
Kiukweli benlee maisha yake yake hatarini sana asipo chunga atajipata pabaya
Kazi ni Moto Rk congratulations 👏🎉❤
Jaman pastor tushamuona bado daniel 😂😂😂 movie mbna ingenoga benlee kapatikana mzee wa totoz 😬😬
Duuu thamuthilia nzuri sana
❤❤ aya tumebakisha Daniel sasa move inoge zaidi 😊😊😊mkee wa Doctor mzurii❤❤❤
Yani mambo Moro banily apo ni chumbani tuu na kaka yake naye 😂😂😂😂❤
ila benlee ata ukitongoza den shv serious anaweza akukatae juu ya hii scene uliopewa yakutongoza tongoza kla dame😅😅😅😅
Leo umefumaniwa kaka mkubwa 😅😅😅😅 nacheka sana leo😅😅😅😅
Kazi nzuri sana Mr. Rk Tunga🇹🇿
Much love kwa rk na benleee❤❤❤ siku Moja nitaigiza kwa rk movies ipo siku
Kazi nzuri saaaana ndugu zangu...❤
Mtenda akitendewa jamani 😂😂😂 Benson ualia aky
Mke wa doctor ni mzuli ❤❤❤
Jamani hii mv nzuri sana ❤❤
RK asante Sana kwa kazi nzuri
Jaman samaani Asante ya kitale ni noma sana
Kazi nzur jomon nawapenda
Douuuh kumbe ben-l ana kitambi. Kkkk😂😂😂
Mkeo ana kuogopa wewe ni Babu kishoka😅😅😅😅ndio maana anaenda kwa benlly
mafunzo mnayotoa kwa jamii ni makubwa, mungu awape mwangaza zaidi kwenye kazi zenu
Kali sana Siri ya Huba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wow mpaka naimiss tunawapnda jamon🌹😍🛍️🇹🇿
Yan leo km wameambizan nd kwanza namaliz kuanga chado master nakutan na hii 😂😂😂😂😂😂ila kz nzur allh atujaalie tumalize huu mwez tukiw na afy njm na tuingie mwak mpy inshaallah ❤❤❤❤
Hello,,siri ya huba itatumaliza aki,,Ben lee noma sana
Leo wakwanza from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤️❤️
First one from Kenya wapi like
Napenda kazi ya harakey🎉🎉🎉😮😮😮❤
Jaman mnaweka vipande vina muda mchache sana mngeongeza muda atleast dk 20
Félicitations Rr wangu Conga like hapa 🥰🥰 tokea Congo 🇨🇩🇨🇩
Mi nakupenda Jack jamn ❤❤
❤❤team Rk mungu awabariki na azidi kuwapa nguvu kazi nzuri aky nimejifunza mengi much love gulf
Much love from the Kingdom of Saudi Arabia❤❤❤❤❤,team strong pitieni yangu huku💪💪
Kaz nzuri sana RK wapenzi wa plan B kesho yatoka mapema 😊
Benlee ni Balthazar haswaaaa, from drc 🇨🇩🇨🇩
❤❤❤
Kali sana mwanangu ila jidahidi kuongeza mda kidogo
Movie zenu ni Noma iyi kali nafatiliya vizuri 🇨🇩✌🏿
Sisi wa congo tuna zoeya sema kile unatso taka waku Tendeye usi ki Tendeye mwengine besone kime kukuta mwanangu😂😂😂
Hetieerh😂😂😂❤❤big cegra toujours chuda business🇨🇩
Leo patamu khaaah!!!!!😂😂😂😂😂
Kza nzur wanangu❤❤❤❤
😂😂😂😂😂Ben lee kimemshukaaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂
Babu kishoka yuko vile vile tu sura zake za kishoka shoka 😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂
Nikimwangalia babu kishoka ni kukumbuka ili move naogopa
😂😂😂😂 jaman
Nimemmiss rk jamani uko wapi❤❤❤❤❤❤🎉
Jana nilikuwa humu kuona kama washapost 😂lol nashuku mob love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Mmmmh benson sianaumwa mwenzako muelewe tuu nyama niwako
Nawapata vzr nikiwa pande za oman
Pole Sana Benson, Ila umewahi, siku nyingine usikabidhi fisi bucha😂
Leo nimewahi angalau kidogo chapo 5😂😂😂😂
Mwendelezo upo sawa na ss hatubanduki kila mahala tupo