Dada Habari nataka kuanza biashara hii kutokana na maelezo yako Ila nasikia kuna grade mbalimbali za nguo sijui 1,,2,-->10 sasa mimi mwenyewe nitazijuaje na kuhusu bei zake za jumla (lobota) Pamoja na viatu je hasa vya watoto kuhusu bei zake naomba na namba yako
@@BenjaminKabebo Hongera sana kwa kuamua ...... Anza kwa kupoint nguo kutoka kwa wafunguaji ili upate ujuzi na uelewa wa roboto , pia upunguze uwezekano wa kupata hasara , then hamia kwenye kufungua robota.
@BenjaminKabebo Kila kitu kinawezekana, unapofanya maamuzi ya kufungua robota zingatia , unafungulia wapi na unawauzia kina nani , na zaidi unamalizaje robota . Zaidi, kuna video zaidi zitakusaidiq kuamua baada ya kuzipitia 👇👇👇 th-cam.com/play/PLfh3cOgVK65kmOs9haGYTYqH2L2it9nhT.html&si=JmJPP5tTzjKZy_Zt
Dada
Habari nataka kuanza biashara hii kutokana na maelezo yako
Ila nasikia kuna grade mbalimbali za nguo sijui 1,,2,-->10 sasa mimi mwenyewe nitazijuaje na kuhusu bei zake za jumla (lobota)
Pamoja na viatu je hasa vya watoto kuhusu bei zake naomba na namba yako
@@BenjaminKabebo Hongera sana kwa kuamua ...... Anza kwa kupoint nguo kutoka kwa wafunguaji ili upate ujuzi na uelewa wa roboto , pia upunguze uwezekano wa kupata hasara , then hamia kwenye kufungua robota.
@@FralesDiana asante kwa ushauri
Je mimi siwezi kufungua lobota kisha nikawauzia warejareja?