Zijue bello za nguo za mitumba zinazouzika kwa haraka zaidi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 7

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 วันที่ผ่านมา

    Wachoyo kuelekeza

    • @FralesDiana
      @FralesDiana  วันที่ผ่านมา

      hahahaha japo sio wote watakunyima, wapo watasema, usikate tamaa kwa kuwa mmoja kakataa, jaribu kwa mwingine

  • @juliethmushi7428
    @juliethmushi7428 2 หลายเดือนก่อน

    Napataje mabalo

    • @FralesDiana
      @FralesDiana  2 หลายเดือนก่อน

      kuna maduka Dear yanauza Balo , Mengi yapo Mnazi mmoja , Pia kuna wengi sehemu tofauti tofauti wanauza , Hata online wapo wanaouza

    • @Languagepartners1
      @Languagepartners1 2 หลายเดือนก่อน +1

      Karibu

    • @subralugege7019
      @subralugege7019 วันที่ผ่านมา

      Nataka kufungua baloo ya baibui napata wapi ya Bei ya kawaida lln

    • @FralesDiana
      @FralesDiana  วันที่ผ่านมา

      @@subralugege7019 nenda mnazi mmoja au kuna dada anaitwa celine kim instagram, atakutafutia.yuko vizuri