SIMULIZI YA UKWENI I SIMULIZI YA KUSISIMUA I

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Kwa simulizi zaidi subscribe channel hii Ya MwambaFix Ili Kupata Simulizi Za Kusisimua
    #mwambafix #simulizi #simulizizamaisha #simulizizamapenzi #simuliziyakusikitisha

ความคิดเห็น • 58

  • @bertinaafonsorapaz8345
    @bertinaafonsorapaz8345 9 หลายเดือนก่อน +5

    Dahhh mungu akubariki Kaka,unatuondolea stress baada ya mihangaiko...tunajiliwaza na simulizi.. yaani hadi kieleweke

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 9 หลายเดือนก่อน +1

    Safi bro kazi after kazi mwamba tupo pamoja

  • @IshakaKhalifa
    @IshakaKhalifa 9 หลายเดือนก่อน +2

    Aiseee nilimsikia mwanangu flani anasikiliza simulizi zako ❤ saiv kila simulizi ikitoka... mimi ndo namshtua mshkaji 😂😂😂 tunakukubal sana kaka mungu azidi kukufungulia milango ya riziki 😊 one love from zanzibar ❤🫡

  • @HawaMansur
    @HawaMansur 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asnte Sana mwamba tunakufuatilia Sana kutoka Kenya hadi tusiposikiza simulizi zako tunaona Kuna kitu tumekosa mamangu anazipenda Sana simulizi zako ubarikiwe bro

  • @mariamsaid6334
    @mariamsaid6334 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nilimic hii sauti ikisimulia simulizi mpya asnt my brother

  • @aishaobo6186
    @aishaobo6186 9 หลายเดือนก่อน +1

    Thx Mwamba for this

  • @FadhiliAdam-t3h
    @FadhiliAdam-t3h 9 หลายเดือนก่อน

    Daaaaaaaaaa aiseeee simulizi nzuri na yakusisimua

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ningejua nisingesikiliza kwanza mpka uweke tatu, maana nzur mpka najuta kuskiliza kha❤

  • @cleophaxgeremy2148
    @cleophaxgeremy2148 9 หลายเดือนก่อน +2

    By the napendaga Simulizi za kutisha zaidi kama hizi,,asante kaka Mwamba Fix

  • @SAKINAJAMALI-o1p
    @SAKINAJAMALI-o1p 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwamba u ni noma san

  • @cleophaxgeremy2148
    @cleophaxgeremy2148 9 หลายเดือนก่อน +1

    Twende nalo from 🇰🇪

  • @DidaAlly
    @DidaAlly 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah musimulizi makini sana

  • @ashaali2853
    @ashaali2853 9 หลายเดือนก่อน

    Bro uko juu napenda sana simulizi zako nakufutilia sana asante sana

  • @abdulrazakmithu9690
    @abdulrazakmithu9690 9 หลายเดือนก่อน

    Hii story ni tamu sana asee👍

  • @Minahsimulizi
    @Minahsimulizi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Waooh nakubal kaka 🥰🔥🔥🔥

  • @ZainaDaba-j6p
    @ZainaDaba-j6p 9 หลายเดือนก่อน +1

    Vzr Sana kaka

  • @stanleytaura5425
    @stanleytaura5425 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana kaka 🎉🎉

  • @FatmFatmaiddy-qz7cf
    @FatmFatmaiddy-qz7cf 9 หลายเดือนก่อน

    Simulizi nzuli sana

  • @lightnessmsangi3148
    @lightnessmsangi3148 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba Happy new year

  • @MAICOLetema
    @MAICOLetema 9 หลายเดือนก่อน

    Ww co mwamba jina la sanaa tuu ila ww ni MWAAAMBA KWELI KWELI

  • @esterdaudi9614
    @esterdaudi9614 9 หลายเดือนก่อน

    Mwamba n mmoja tu good job kaka uko vyema🙏🏻

  • @MariamuMvungi-s2f
    @MariamuMvungi-s2f 9 หลายเดือนก่อน

    Sa ikitoka ntajuaje jaman

  • @MahakassimAli
    @MahakassimAli 9 หลายเดือนก่อน

  • @NaimaN-r8t
    @NaimaN-r8t 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @MohamedAlly-q6x
    @MohamedAlly-q6x 9 หลายเดือนก่อน +1

    Next please bro

  • @fainesmariot9844
    @fainesmariot9844 9 หลายเดือนก่อน

    Nice story

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 9 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @modrigasmeli2191
    @modrigasmeli2191 9 หลายเดือนก่อน +1

    👌❤️

  • @elizamhina1105
    @elizamhina1105 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe nakukubali sanaaaaaa

  • @lameckmagunya7013
    @lameckmagunya7013 9 หลายเดือนก่อน

    Nakukubar san kwel we mbamba nimekusikilz tok hadithi ya dereva wa lori

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 9 หลายเดือนก่อน

    To be continued

  • @jescabethina-dq3wx
    @jescabethina-dq3wx 9 หลายเดือนก่อน

    Nice one

  • @Missah
    @Missah 9 หลายเดือนก่อน +1

    2024❤

  • @GharshanLila
    @GharshanLila 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asant mwamb

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 8 หลายเดือนก่อน

    Dah simulizi mbona nzuri inaondoa mawazo na kuwa sehemu moja

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 9 หลายเดือนก่อน

    Duuh kulala na baba mkwe tena😢😢😢wachawi walaaniwe

  • @HopeMboya
    @HopeMboya 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nimesubiri kiniuma simulizi mpya😊 hatimae

  • @NenjaJacob
    @NenjaJacob 9 หลายเดือนก่อน

    Inaendelea 3

  • @Asha-gh5gs
    @Asha-gh5gs 9 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢

  • @abdulrazakmithu9690
    @abdulrazakmithu9690 9 หลายเดือนก่อน +1

    Na saut yako wakat wa kusimulia ndio inaongeza ladha ya simulizi

  • @youngmoney-nq9sn
    @youngmoney-nq9sn 9 หลายเดือนก่อน

    Unajua bob lete nyngne

  • @aminakhamis5078
    @aminakhamis5078 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nilisema nisiklze had vifike japo vipande vi 3 ila doh naona siwez 😂

  • @gracelugenge5954
    @gracelugenge5954 9 หลายเดือนก่อน

    Cjawahi jutia MB zangu kwenye simulizi za mwamba

  • @zuriathkajala2370
    @zuriathkajala2370 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ww mm jmn nimesubr hatr

    • @zuriathkajala2370
      @zuriathkajala2370 9 หลายเดือนก่อน

      Asanteh mwamba❤

    • @HopeMboya
      @HopeMboya 9 หลายเดือนก่อน

      @@zuriathkajala2370 duuuuh afu sio story ni trela 2

    • @jidier4148
      @jidier4148 9 หลายเดือนก่อน +1

      Haha nitumie namba nikupe simulizi zangu

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 9 หลายเดือนก่อน

    Unajua kaka ila usicheleweshe sana

  • @habibumbawala1173
    @habibumbawala1173 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nikiwa hapa naona huwa data zangu huwa zinaisha kwa uhalali😂😂😂

  • @cleophaxgeremy2148
    @cleophaxgeremy2148 9 หลายเดือนก่อน

    na hiiiii ya inakaa tu kichawi chawi,,

  • @alitoufik5477
    @alitoufik5477 9 หลายเดือนก่อน

    Nanga 😂

  • @AsminAmin-b2d
    @AsminAmin-b2d 9 หลายเดือนก่อน

    Story ni pambeee usiichelewesheee tafadhali

  • @martingaudence1799
    @martingaudence1799 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi stor unazitoa wap maana huna stor mbovu

  • @abdycavaniy5808
    @abdycavaniy5808 9 หลายเดือนก่อน

    🫡🫡🫡🫡💯

  • @clovisnyoni3333
    @clovisnyoni3333 9 หลายเดือนก่อน

    👍👍👍

  • @bae_amnah
    @bae_amnah 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤