Uchekeshaji ni kazi kubwa sana tofauti na watu wanavyofikiria. Unatakiwa kuwa msomaji wa mazingira na mfuatiliaji mzuri wa mambo au mada unazotaka kutembea nazo. Ila jamaa ni mzuri.
Tuache ûtani; Eliudi atakuwa msupa balaa... Iyo sauti yake, story telling na contents za maisha ya kawaida ya kila siku.... Zitamfanya afike mbali sana. He's more than just a standup comedian! 😂
Ni kwel kabisa Ogapa sana mtu anabadilisha stori ya kawaida tu na kuwa kichekesho yaan namna anavyoiwasilisha na kama c mchekeshaj unaweza kuongea stor hiyo hiyo na watu wasicheke
Innocent Mathias Alex Cardo ni jina la muigizaji (Character) film za mapigano nchini marekani kama vile Bolo young au Tom poh alikuwa ni sterling kwenye movie ya Blood sport 3
Da nmecheka saaana, Eliudy anajua sana na nnachompenda yaan story zina mwanzo kati na mwisho......... mpangilio wa matukio kwa mtiririko unaofaaaaa
Huyu ndo best comedian kwa Sasa hv tanzania haijawhi kutokea a very good story teller
Sahihi sana,amewapita wote hadi sasa
Eliud siku iliyo zaliwa nilikuona sema ulishindwa kufungua macho ukaanzaa kuliaaaaaaa nakupendaa sana Yesu ndiye mchungaji mwema
Kwenye hii show huyu jamaa ndio aliua kuliko wote
Huyu ndio comedian mkubwa Tz kwasasa ambaye ninamuelewa sana
Sahihi kabisa kaka
Mashalillah leo mko vzr camera hadi sauti ❤👏
Lakn eliud alikuwa ndo mwanzoo..hawajui 2
Huyu mtu Ni mwishoo 🔥🔥🔥 big up MC ELIUD
Kabisaa
Kuna mtu nilimskia akisema kua eti eliud ndo aliatakiwa kua mshindi wa kwanza..et ni kweli!!?
Ndio
Ndio
kwani we unaoje
Nikweli ila tu yule kijana anaongea English cyaani walitaka wamuweke msomi
Ndio
Miaka Mia was jina wa Mbeya mwenzangu miaka Mia Kaka Nakukubali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Big up sanaaa broo
Uchekeshaji ni kazi kubwa sana tofauti na watu wanavyofikiria. Unatakiwa kuwa msomaji wa mazingira na mfuatiliaji mzuri wa mambo au mada unazotaka kutembea nazo. Ila jamaa ni mzuri.
Jamaa mungu kamjalia sana anaweza kuchekesha
Najisikia vizuri kuona unatuwakilisha vema....hongera sana kakaangu
Coy nakukubali kwa kuibua vipaji
Huuu anajuwa sana bwana weeee😍😍😍😍
Tuache ûtani; Eliudi atakuwa msupa balaa... Iyo sauti yake, story telling na contents za maisha ya kawaida ya kila siku.... Zitamfanya afike mbali sana. He's more than just a standup comedian! 😂
Yes
Hongera Sana Eliud mc kweli una kipaji hongera Sana umenitoa stress za maisha!
Huyu jamaa ndo alikuwa mshindi wa kwanza tukizingatia kanuni za uchekeshaji... anaelezea story zenye puch lines na sio kutamka sentensi tu
Ni kwel kabisa Ogapa sana mtu anabadilisha stori ya kawaida tu na kuwa kichekesho yaan namna anavyoiwasilisha na kama c mchekeshaj unaweza kuongea stor hiyo hiyo na watu wasicheke
Eliud bhana fundiii saaana 😁😁🤣🤣😆😆👏👏🔥🔥💪💪💪🙌😂😂💥💥🔥🔥
nonga like kama na wewe ulisubili kwa hamu sanaa hii show ya eliud bro kaua sanaaa
Nonga ndonn
Eliud hawezekaniki, ni balaa huyu mtu
ELIUD ulitakiwa uwe Mshindi Number 1💗💗.....MBEYA 🙌🏽
All in All jamaa wa Alex kado anajua
Unajua mwanangu hadi unakera 😃😃😃😃😃😃😃
Eliud kazi nzuri sana
Katisha sana ila mnazingua tumen show zote basi
nenda ukumbini ulipie uchek show nzima
Huyu ndo comedy wang
Eliud nakupenda sana kakaangu! Home sweet home!
maqn kaka
Huyu jamaa alistahili namba moja walimchakachua
Tuwakilisheee vyemaa from southern highland!!! 💪💪💪💪💪
We jamaa nakubr sana
Mbeya boy mwaisa alikiwasha
Kakaangu ukifika mbeya ntaomba nkuone jaman me npo kyela
Hongera Eliud mungu amekubariki eneo la uchekeshaji hivyo ufike mbali sana katika huo uchekeshaji
this guy is genius Story teller in Tanzania, what a great comedian🙌🙌🙌.
Uyu mwamba alitakiwa kua mshindi wa kwanza
Aki for sure that day I was disappointe
For sure ....ataukiangalia kazi zao utagundua kua eliud nimkali sana
Kabisaaa
Jamaa warimfanyia. Hujuma2 aritakiwa achukuwe tuzo namba 1 xema bx2
@@nationalbeautiful sio kweli wapi ama nawewe ndo wale wale tu
Hi ndy niliyo kua naisubil kwa hamu kubwa
Ukimtoa Leonardo ni mr midevu anafata Eliud nawakubali sana sana❤❤❤❤
Hahahahahha eliud unajua sana bro! Keep it up!
Unajua sana hongera
mbona eliud mmechelewa kumueka mtandaoni
Nilikuwa naitafuta hii ya Eliud, 🤔🤔👏👏
Ata mm
Tunaomb na ya haleluya
Umetisha bro
Nani anasubiria battle la mc madevu na eliudi
Dogo uku sawa mie nakukubali sana komaa
All the way from mbeya city big up naipenda mbeya
Uyu jamaa ananikumbushaga life la mbeya
Fantastic bro
Kweliiii dharau pia zipo kwetu mbeya lakin mpaka upewe dharau ujue umeitafuta mwenyewe. Wanyenyekevu kwa mtu sahihi
WaTanzania Tuna stresses sana.. Kwaiyo munacheka kweli😐😐😐
Kwnn ww ume view.. Nyie nd vichaw 2naowaongleag
@@mariammalongo7345😂😂😂😂😂😂😂
Tuliosubiri amtaje ALEX CARDO tujuane
😀😀hv ALEX CARDO yupo kwel au anazngua tu 😂
Innocent Mathias Alex Cardo ni jina la muigizaji (Character) film za mapigano nchini marekani kama vile Bolo young au Tom poh alikuwa ni sterling kwenye movie ya Blood sport 3
ALEX CARDO amesoma na ELIUD huko MBEYA
Huyu jamaa ni comedian kbs 😅😅😅
Sasa nyie chekatu imefanyika siku nyingi but MNA weka leo mmmmm pool management of responsibilities
Sio pool ni poor brooo
@@asedimaketa8694 😂😂😂😂
Tafuta ela
Ukijua nini maana ya biashara ya digital huta tukana tena
Noma sana
Nakkbal San broo eliud ww na ndalo nawafuatilia sanaa wanang
I love your storyline your the best on stage you kill the show ninifan wako pia
Eliudi yupo vizuri sana
😂😂😂😂 huyu jamaa namkubali sana from +245
Hahahahahha fundii Sana weusi wako saizi unang'aa😃😃😃😃😃🤣
Mule mule hhaaaa mbeya city stand up!! I love you home
Kumbe tupo weng ambao tulikua tunamngoja eliud
Ila mnazngua mnatuma kdg kdogo sannna
Mungu mwema azidi kukuinua katika viwango vya juu sana
Umetisha mbeya boy 🔥🔥🔥🔥
Coy mzungu i like you broo, you never dissapoint
Eliud Ni balaaa
Tuliisubiri kwa HAMU
Eliud bhna nakukbali sanaa 🤣🤣🤣 kipaji unacho
more congrats mc eliudi toka uje dar unajitahid kweli na kupendeza sokuiz😂😂😂
lit sanaa🔥🔥🔥🔥
Hela ya kwanza kaichukua kirahisi sana😂
🎉🎉🎉🎉 bomba sana kaka ❤❤❤❤
Unyakyusa mwingi mwaisaaa nakubali
Mbeya
Asante kaka yetu
😊😊😊😊
Eliud nampenda Sana I see
Ambao bando tunaitazama hii VIDEO MPAKA 2021 TUJUANE
Tisha sana
Tulikua tuna hisubiri kwa hamu 👌✌️
Uliudi ninakutabiria makubwa
dah..nilitamani uendelee tu❤️
Kazi nzr😂😂😂
Your the best comedian Mc Eliud
Mc eliud vs mc madevu bonge la battle
Kweli
Eliud mkali sana
Safi sana Eliud
Katishaaa
Kazi safi
Mwanzo mzuri👍
KAZI NZURI SANAAA
yaan huyu ndy alikua anafaa kua mshindi kabisa😂😂😂😂
mwana iz too natural😂😂
What we have been waiting 👏🏾
Mbeya boy!
mbeya boy
Huyu ndo mshindi sasa sio yule mngine
Ni kwer kabisa
Nakukubali mkalii
Nampenda uyu jamaa
Ndiooooo
Cheki miwatu 🤣🤣🤣🤣