SALIM KIKEKE AUNGURUMA: ZIARA YA KOREA ITASAIDIA NINI TANZANIA?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ค. 2024
- Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
Daaah hapa kweli ni nyumbani 🔥🔥🔥, Hii Media inaenda kutikisa dunia
Kweli kabisaa
Maasha Allah tabaraq Rahman hakika tumefika nyumbani
Leo wasafi wanazungumzia mada ya shilole.😀😀😀 big up sana crown media
Hahaha! Hatari sana
Khaa 😅😅😅😅
Hakika nyumbani kumenogaaa Crown media inaenda kuwa media kubwa sana yani💕
Hii crown 👑 itakua ya kimataifa maana so kwa taarifa izi ambazo tulikua tumemiss mda mrefu kwa kweli hapa ni nyumbani
Hii ni Dhahabu sio Radio Tena 🔥🔥🔥
😂😂😂😂😅
Crown media Radio Yangu pendwa🎉 Asante Sana Alikiba Mwenyezi Mungu Akubarik🎉🎉🎉
Crown inakuja na Kasi nzuri sana 🎉🎉🎉❤❤🔥🔥
Wallah toka niliposikia kikeke ameingia crown media wallah nilisema hii inakwenda kuwa tofauti sana na media nyingine sio kama nyingine sio kali lkn there's something new here I like it hii ni tofauti sana
king kiba
king keke
🇲🇿🇲🇿🇲🇿
We unadhani kiba anamiliki amka babu hii ndio bongo matajiri wanatumia wenye
Majina kufanikisha biashara usikariri
Nimefurahi sana kuiskia Sauti ya Kikeke tena katika vyombo vya habari.
Salim, ulipo tupo!✊
Wakati wao wamewaakiri kina juma lokele sisi tunaendelea in enjoy huku nyumbani kwetu crown media 👊👊
Uko uku na Unawaza wa safi😅😅😅😅 aiseee
Hapo chacha wasafi 😂😂
Crown 🔥🔥🔥
Hii ni BBC ya Tanzania Big up CROWN MEDIA
inaweza ikachukue África yakati hotel kupitia sauti ya Dhahabu ya Salum kikeke
kikeke nakukubali sana kwanza upon sehem nzur
Crown 👑 is the best media in tanzania 🇹🇿
Uchambuzi huu nimeuelewa ni waviwango vya juu❤🎉🎉🎉 #crownmedia hapa ni nyumbani❤
Crown 👑💖# hapaninyumbani
Mm ni salim kikeke crown media
Viwango vya JUU SANA...
Big Up CROWN MEDIA
M.mungu akubariki kikeke kwenye BBC nyumbani
Crown media Hapa ni Nyumbani 👏
Much love ❤❤❤
😊Crown
Mpangilio mzuri wa Habari, crown media mko vizuri👍👏👏👏
Crown
Noma sana crown
Tupo pamoja wana crown media
Wanahabari wengine wajifunze tuu kutoka kwa kikeke
Kujifunza sio ujinga wakuu
Sio kitenge kazi yake kupiga kelele tuu
Na oscar😏😏
Umetisha crown, for the first to comment in a media.I miss kikeke because you gonna rise crown media and brand it in a level of BBC
Safi sana Crown MEDIA Hizo ndizo info tunazotaka Kuona. Safi KIKEKE
Wooow so nice crown 👑..akika tunaitaji abari zaidi akika tyliopo marekani tumefurahii sana❤
Hkk ❤ hapa ni nyumban
Salimu kikeke crown 👑 media
Huyu jamaa anajua mpaka anakera
Mmmmmmh ,king crown
Hakika #HapaNiNyumbani kabisa
taarifa ya habari nzuri sana ongera crown hapa ni nyumbani🙏
Kikeke kama Salim kikeke Mungu akubaliki alikiba na media yako kwa ujumla kiukweli inaleta msisimuo kusikiliza sauti ya mwamba wa Africa katika tasnia ya habari
je regarde cette interview 10 fois vous êtes au top Crown 🙏🏿
Umetisha mzeę
Crown ni watu wakubwa
Camera 📸 nzuri saana
nimeelewa crown ni moto
👑 kikeke + 👑 kiba=🎉🎉🎉🎉🎉
kikeke ni 🔥🔥
Hapa n nyumbaniii❤
Keke uishi miaka mingi katika Tasnia hii ya habar
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana alikiba na kikeke
Kikeke, I used to listen BBC while you were there. Happy you're on air again with your Crown media. All the best
Hapa ni nyumbani ❤
Hapa ni nyumbani 🎉🎉🎉
Hapa ni nyumbani❤
Quality sana
Crown 👑 media🔥🔥🔥🔥🔥
Good one
Safi sanaa , proud of this revolution
👊 crown fm
Asante
Well it's big progress the Grown media in opening to the World for Tanznians also very inovatary
Crown media naiona Kimataifa na ubora wa hali ya juu sana
Crown Ni habar nyingne🎉
Crown 👑
Hapa ni nyumbani crown ni 🔥🔥🔥
Kaz nzuri
Wauuuuh 💪
Mashaallah🎉🎉🎉
Nakubali
Zaidi ya BBC ndani ya Tanzania
Kiswahili safi 🎉
Habari safi 🎉
Wahusika safi 🎉
Kikeke asante kwa taarifa yenye kueleweka
Dah Hatariii
Mapinduziii🥳👌
Mko vizuri 🎉
duuuh nilichogundua hii media sio ya kihuni.......itakuja kuwa moja ya media kubwa sana duniani asante alikiba.....sasaivi tunapakusemea
Wahuni Wahuni niwap😅😅😅kijana
Story nzuri sana
Makini Sana 👍 crown fm
Crown media is the best,camera za kisasa kabisa na bora sana💪💪💪
Safi sana ,Hii ndiyo media kubwa
Noma sana
Broo umeua kaka big up
Hii radio siyo ya umbeyaumbeya wala majungu
Asante sana Crown
Safi Taarifa nzuri ya maana.
nice news
First he
Amazing
RADIO YA DUNIA 💪
Bbc
Najihisi kama nasikia BBC ivi ❤
Crown mungu awabariki sana… hiii ni chombo ya kimataifa ndani ya bongo
Duuuh king kumchukuwa huyu jamaa ❤kaona mbali sana hii sauti hakuna mpinzani
Big crown❤
Nachokiomba kwenu crown msiingize hbr za kiumbea bari tunaomba habari kama hizi 🌏🌍 🇹🇿 to 🇸🇦🇵🇸
Tupo pamoja crown fm
Hapa ni nyumbani❤❤
Nmesikiliza sekunde 8 nikaona ni comment, this is more than proffesional media.
❤❤❤❤hapa ni nyumbani
King kikeke🎉🎉🎉
King kiba🎉🎉
Hakika hapa ni nyumbani✔️🔝
Safi sana kikeke nimependa
Mungu Mkubwa saana, wale walivyo ipeleka BBC Nairobi nikajua lazima wadau wajiongeze warudi nyumbani, Hongereni saana
mmm crown hatari