Magufuli aagiza DC, Polisi Nkasi kumlipa Sh15 milioni mwanamke aliyeibiwa ng'ombe 25

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2019
  • Rais John Magufuli ameagiza DC wa Nkasi na askari polisi wilayani humo kumlipa Shilingi 12.5 milioni na Shilingi 15 milioni nyingine kama fidia mwanamke aliyeibiwa ng’ombe wake 25, ametoa siku tano fedha hizo kulipwa.
    #AzamTVUpdates #AzamNews #MagufuliRukwa
    Powered by #upholsterydesignsco

ความคิดเห็น • 10

  • @babacos8423
    @babacos8423 4 ปีที่แล้ว

    Kaz nzur Sana yaani wee ongoza miaka yote tyu uwe Kama mseven hatutaki rais mwingine

  • @fidelslick2086
    @fidelslick2086 4 ปีที่แล้ว +1

    Atari sana Lazima muzilipe Askari Lazima jasho litoke This is Magufuli times sit down and Enjoy the Show 😝

  • @samwelipetro3097
    @samwelipetro3097 4 ปีที่แล้ว

    vukuza kazi hapa hapa wakwanza Jamal💖💖💝💝💝💗💗💗💗💗

  • @habuhuwazinga3099
    @habuhuwazinga3099 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi njema raisi wawanyong

  • @felixmuzambele9031
    @felixmuzambele9031 4 ปีที่แล้ว

    Mungu anazipokea sadaka zako kwa wanyonge

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 4 ปีที่แล้ว

    Asanteee raisi

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 4 ปีที่แล้ว

    Fine kama zotee

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 7 หลายเดือนก่อน

    Mmoja kati ya marais wachache kutokea

  • @babaharunakipindula3895
    @babaharunakipindula3895 4 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @yohanajoseph9593
    @yohanajoseph9593 4 ปีที่แล้ว

    duh siasa ni kitu gani sasa cjawahi pata jibu haswa