The best singeli ever ...sio mpenzi ila hii imekaa kiutofauti ❤❤big up brother...ila next time ukiitwa na media nenda na dancers wako ..hii brand ya kiutofauti
Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema😆
Hivi kati ya dj na dancers hao nani alietangulia kutrend mim binafsi nilianza kuwaona hao dancers dj kafuata, japo efm anatajwa dj nawew dj usiwaache wahuni wako....
Kama unamkubali miso misondo gonga like yako hapa 👍
Jamaa apewe dj bora wa funga mwaka na ujao piga like zako apa zifike 5 tu apewe maua yake 🔥🔥🔥💪 *333#
Ukienda kwenye hizi media kubwa usiwaache hao wanao. Nenda nao kama dancers wako hao ndio brand ya mziki wako
amini
True
🎶🙏👍masasi moja hiyooooooooo
Sure yaan waoo jamaa wananongeshaa kwa sehem yaoo
Kweli kbs,tene napendekeza jina liwe Misso Misondo na Wazee wa Makoti!!
Utafika Mbali Sana Msingi Umekuja Mjini Endelea Kujituma Kama Ulivyokuwa Unajituma Kijijini...... Barikiwa Sana DJ Misso.
Im South African sema namkubali sana miso misondo 🇿🇦🇹🇿🇹🇿
We miso misondo upepigaje hapo love you more from kenya lakini hao wana safiri nao popote usiwaache
Mungu akisema Yes, hakuna wa kusema No. jamaa ndo katoka hivo from Zero to Zero
Zero to Zero tena
From zero to zero really 😂
misso tuletee kideo na wanao wakudance 🔥🔥🔥🔥🎶😊
me nawaitaga wazee wa Busara
I cant wait sema lile vumbi lazima liwepo lisipokuwepo aitanoga😂😂😂😂
Am Kenyan but nimemkubali 🔥🔥🔥🇰🇪
Welcome tanzania
Style ya uvaaji ya hawa jamaa wa makoti. Ndio style kali sana na inaendana na burudani yenyewe msiache iyo code wazee wa makoti mnaweza sana salute
We miso misondo umepigaje hapo
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😋😋😋
Weeee Misoooooo weee una atari 🔥🔥🔥🔥🔥
Ufanye ukuje Dar sasa, ila hao jamaa muhimu pia😅
Nakubali sana miso misondo umepigaje apo
The best singeli ever ...sio mpenzi ila hii imekaa kiutofauti ❤❤big up brother...ila next time ukiitwa na media nenda na dancers wako ..hii brand ya kiutofauti
Safi Sanaa. Anachokifanya ni kuonyesha uwezo. Akiwasahau hao wazee wa Makoti anapotea
Safi Sana miso
Nakubali dj misso misondo ume pigaje apooooo!!!
Usiwaache wazee wa Makoti hao missondo hao cheza yao ndo imekupa brand kaka
Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema😆
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
hahaaa
Wejamaa Moko ujue😂😂
😂😂😂😂😂
nakubali mzeee wa misondo
Keep shine bro good work 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢
Unyama mwingi sana💯💯
Weee Missoo misondo umepigaje apo unyama sana mwamba
Salute 👊
#misso misondo ww kiboko hii dunia mpinzani
DJ Tito haingii hata thumni kwa huyo dogo, Misso ni moto wa volcano 🔥
Miso noma sana
Mdgo wtu nenda na hao dancers coz hao ndyo baraka yko na wamekufanya uwake Zaid one love
Safiiiii👏🏼
Poa kamanda wangu miso ❤
Daaaah dj hiki kigongo umeua sana
God bless you bro and your team. Bonge la beat. Peace.
ume trend we fala
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Misooo misondoooo❤❤❤
Wa kwanza like zangy
Wazee wa makotii usiwaache hao ndoo wamekupa brand
Miso misondo unahatar nitakupa dadaa😂😂😂masasi kubwa
❤❤ hongera mno miso
Weee miso Misondoo #UMEPiPiPiPigajeee hapoooo
Much ❤❤❤❤❤❤penda Xna2 😂😂😂😂😂😂😂from 🇰🇪 said apa
Ukishaenda kwenye hizo media kubwa kubwa wataanza kukuambia wakupelekke international ili wakutoe kwenye njia tu nawanako mumetoka naosiachane
nakubali Mzee mwenzangu
Miso nakukubali bloody ww nahio gang yko hatariii sana....ila hio keyboard yko umeitoa wapi dah
Yani misso asijarbu kuwaachaa Hawa jamaaa .....😂Hawa jamaaa wa makot hawaaa .....aiseee😂
Nakuelewa misondo
Sahihi kabisa hawa dance wako ndiyo waliokuweka mjini kiukweli ukiwaacha utakuwa umekosea mnooooooo
Unajua sana sasa ni wakati wako wa ku toka
Umepigaje hapoooo😂😂😂
Misso misondo anatisha namkubali sana
❤❤❤❤❤❤🎉😂 hataliiiiii
Hongela xan kaka
Ao jamaa zako usiwache ndowanacha unajulikana misondo
Miso unaatariiii nakupa mama
Natamani niwaone wazee wa Makoti sana
Dogo kwa hongwa na beat hadi akotayari kupeana dadake kwa dj😂😂😂
🔥🔥🔥
Big up dogo
Umepigaje apo 🕺🕺🕺🕴️
Noma mzee
🔥🔥🔥🔥
Kijana mungu akuaimamie
Nice work
Misso umepigaje apo!!
Umepigaje apo🎉
Nakupa dada
Ukiwaacha hao jamaa umepoteza mashabiki
Nawakubari sana
Mwamba unatisha nimeupenda upekuja nakitu tofauti
Miso kanyaga tuondoke chuma kwa chuma
Iyo kweli
Kideo tunaitaji na wanao
Umepigaje Hapo
Hivi kati ya dj na dancers hao nani alietangulia kutrend mim binafsi nilianza kuwaona hao dancers dj kafuata, japo efm anatajwa dj nawew dj usiwaache wahuni wako....
❤❤❤
We misso misondo humepigaje apo
hawa washikaji wenye makoti wako kwenye dunia yao ase
Wee missondoo
Ukali mwingi miso
Miaka buku haichuji
❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😊
Auna baya mwamba kwa masela
Kali sana.... Thank u so much misso misondo
Une très bonne beat
Please please hawajamaa ukiwaacha Mzee utaharibu uwabebe wananipa raha sana hawa jamaa natamani nionane nao
Tumetoka mbaliii tumemfata dj. Misondo una kiti chako ikulu
Umepigaje hapooo
Tumetoka mbali ya moto Sana 😂
unatisha mzee 😅😅😅😅
Ukienda kwenye media yoyote hao Wana usije ukaacha hao ndio nembo yako hakuna misso misondo bila hao jamaa
Wee dj umepigaje hapoo
Weeeee misso ume shinduaje apo 😅
Asiwaache wazee wa makoti
We miso misondo wamevaaje apo
0:35
Unatisha
Hii kali aise wazee wa koti
ndo unatoboa hvo ila hao uwe nao ndo walikufany uonekane
Miso ana hatari