DOWNLOAD KUPITIA www.ikmziki.com/ Catch Up With IK MZIKI On: Instagram: / ikmziki_tza Facebook: / ikmziki Twitter: / ikmziki #Ikmziki #Singeli #MissoMisondo
Oyee bro misso no backwards bt forward bro hebu naomba umix nyimbo zz catholic zile za kasi haki utakuwa top kushinda wote bora beat itambaee bro bt hapa bado hawakuezi uko juu zaidi na wachape na hizo mix za catholic bro utakuwa umsema nao na kuwanyamazisha ile mbaya na wazee wa makoti wawe ndani luv your mix bro good job
Kweli twa uliza ume pigaje apo mana sja elewa ulivyo piga hebu piga treeeynaa umepigaje apoo💃💃💃💃💃💃nasikia waseme na bwana ina nipa pingamizi piga ya wote kama unaweza hahahahahahah dini yetu ina heshimika banaaa😂😂😂
Misondo usirudi nyuma kinukishe nakubali sana chapakazi nakupa mauwayako uyanuse ungali upohai🎉
a
We miso misondo akuna Kama we kwa upande wa kusin
Noma❤kusini kuchele
Oyee bro misso no backwards bt forward bro hebu naomba umix nyimbo zz catholic zile za kasi haki utakuwa top kushinda wote bora beat itambaee bro bt hapa bado hawakuezi uko juu zaidi na wachape na hizo mix za catholic bro utakuwa umsema nao na kuwanyamazisha ile mbaya na wazee wa makoti wawe ndani luv your mix bro good job
Miso mdogo wangu miksa inanimalizia mb baba
Mwanangu ombi kwako wazee wa makoti siku moja wavae unyama ili tuwaone vizuri.Ongera sana mimi shabiki yako No 1.By Mtwara Mikindani.
Song of the year
Misso dondonga❤ ngoma
We ni balaa boi
kwaya ya sangula la wapogoro🔥🔥🔥
Kusini kuna vipaji so pwa mung tubaliki Wana kusini wote tulokuwa na vipaji vizidi kuonekana na mafanikio yazid kuwepo mung nimwema akuzidishie miso
Misondo na kubali sna kijana pambana Bujumbura hiyi moja
Sultan cocktail bungoma Kubonda socor haaa chakacha
we mesondo.......❤
from malawi 🇲🇼 good 👍
Oya unampizanini 🎉
Atari sana wakumusii
Nipo Omani alafu Leo kunaharusi nimewapa nyimbo zako zinapigwa ukumbini wanarukaje waarabu😂😂😂😂😂😂❤
Boya sana wewe😅😅
Mungu akikuandikia fungu lako unalipata ata uwe mbali kiasi gani utalipata tuuu
Apewe mauwayake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kweli twa uliza ume pigaje apo mana sja elewa ulivyo piga hebu piga treeeynaa umepigaje apoo💃💃💃💃💃💃nasikia waseme na bwana ina nipa pingamizi piga ya wote kama unaweza hahahahahahah dini yetu ina heshimika banaaa😂😂😂
Acha udini wewe mwanamke.
❤❤❤ King down 🔥🔥🔥
Tayali
❤❤nakukubali miso
fantastic
Kweli we ndoo mwisho wa leli maana mi nipo njje ya nnchi Ila naipiga sana mix yako Bomba mpaka watu wanaulizia ni nyimbo gani hio 👍👍👍👍👍👍
Dh
🎉❤
Dogo moto sana
Amfai sana misooooooooo❤😉🎂
Aa😊a😊@@MauZiHassan-pb2tb
Nakubali misso rafk w nandonde
Iyo nikubwa kuliko zote umeuwa
😅😅 mhuuuuu wwemiso umepigajehap
Faya
😂😂😂😂😂yaan huyu jamaa najikuta nacheka tu 😅yaan anapiga ngoma mpk mtu unacheza peke ako ndan kama chizi iseee n kupekechuka tuu
😅😅😅😅😅😅
Misomisond ameiwakilisha hii nnch
🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂
Huyu dogo ni hatari
❤❤❤
Una hatari
Mie sio mpenzi wadingeli lakini hii kiboko najikuta tu nafatila dogo amejipata
Imeenda hiyo
Imeenda hiyo
Unatisha mwanetu, hauna mpinzan
🔥🔥🔥
💪💪💪🙏
👏
Mkn
🕖
🙏🙏🙏
😂😂😂😂😂