KHUTBA YA MWISHO YA KUAGA YA MTUME MUHAMMAD S.A.W . SHEIKH NURDEEN KISHK
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2021
- Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Veternary Tarehe 15/10/2010 . Sira ya Mtume Muhammad s.a.w , ndani ya sira hii kuna, Mtume wetu Muhammad alitoa khutba ya kuaga ni Khutba gani fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika,pia tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.
Mashaa ALLAH tabarakallah jazzakallah kher shekh nurdin kishki Allah akuhifadhi hakika tunafaidika na mawaidha yako
Mwenyezimung akuzidishie elimu nakila jema dunian na kesho akher aaaamin shukran maalim❤❤❤❤❤❤❤❤💐💐🌹🌹
Jazakallhaahu khaira yaa ustadhuna
Allah akuzidishie elm mala 1000000000000 nakupenda kwa ajil ya Allah. Tangia utoton
Mashallah shukrain sheikh wetu allah akujalie afya njema akuifaidhi allah tujaliye mwisho mwema ss na vizazi vetu kwa ujumla allahuma meen 🤲
Mashaallah. Shekhe wetu Allah akufanyie wepes ktk maisha yako ya hapa dunia na akhera..
mashaAllah mungu akuifadhi akuzidishie umrii nasi mungu atuwezeshe wepesi wakufwata maelekezo yake
SubhanaAllah
ALLAHU AKBAR
LAILAHAILAH MUHAMMAD RASOOLALLAH
Mashaallah
Mashaallah jazakhalahu kheyra sheikh kishk
Mashallah Allah akuhifadhi akhy
Shaib mayuwe mung akuzidishie elm
Alla atufanyie wepesi
Jazakumullah sheikh
Mashaallh
Allah akuhifadhi ustadh Allah aliniongoza kuacha kuskiza nyimbo kupitia mawaidha yako tangu niliposlimu
Mashalla
Masha Allah
Jifunze quran kusoma kuandika kama hautojali
Asalaam aleyka yarasulallah
🎉🎉🎉🎉
xhaibu mayuwe
Mashaallah
🎉🎉🎉🎉
Mashaallah