Assalam aleykum sheikh pokea salamu zangu InshaAllah kutoka daula ya qatar. WALLAHI sheikh kwa maneno yako nimebubujikwa na machozi, InshaAllah ALLAH atupe husnul khatima na atuongoze. امين يارب
Sheikhe wetu tupo pamoja 🤝kwahilo atakaemshusha Mtume wetu hadhi yake ambiwe kweli tunahaki hata yakumshitakia Mungu na Mungu atamuhukumu kwa hukmu zake
Ni kweli kabisa unachokisema shekhe kishki Allah atazidi kumuhifadhi mtume Muhammad (saw) pamoja na dini yetu insha'Allah na Sisi Allah atulinde na ndimi zetu
Subhanallah Mungu akuhifadhi sheikh kishk sisi pia imetuuma sana.mjinga ni yey huyo mpumbavu aachane na mtume wetu S.A.W Kwan ilikuaje mpaka wamtaje bungeni msiba kwel
Shukran. Shekh Kishk Allah akulinde. Nimetiwa moyo sana kuona, kwa kutumia nafasi uliyonayo, umeinuka na kumjibu yule mzee mjinga wa Baraza la Wawakilishi aliye mdhalilisha kipenzi chetu Mtume Muhammad (saaw). La kusikitisha ni kuwa sijamsikia hata Sheikh mmoja Zanzibar, kulikotokea kadhia hii, aliye simama na kuutia angalau neno dhidi ya yule jahil. Masalafi ndio kabisa kimya wao bado wanazozana juu ya kutikisha kidole inafaa au la, wakati wale madhalimu kule wanamkashifu Mtume wetu pamoja na kuwalipa pesa zetu kupitia kodi wanafanya upiuuzi huu ndani ya Baraza
Sheikh mm binafsi nakupenda kwa ajili ya Allah. Nakupenda kwa kusema ukweli wazi wazi bila kuficha wala kuogopa binadamu. You're our sheikh, Prophet Muhammad Sallalahu Alayhi Wassalam is Our teacher...Allah Akujazie jazaa kwa kutetea dini ya Allah na Mtume wake...Nakuombea umri mrefu uendelee kusema haki mbele ya Allah. Nakupenda na Allah Akupende zaidi..hii mada ilifanya nikalia walahi...
Shekhe Kishki Allah akupe ujasili na hakulinde inshaAllah. Mamufti wetu wamekuwa waoga!!! Wanashindwa kutetea Uislam,Mtume na hata sisi Waislam kwa maslah duni ya hii Dunia. Allah hawaangamize wanafik ktk Dini yetu wanaojiita Waislam hali ya kuwa wanatudhihaki Waislam pamoja na Mtume wetu Muhammad (SAW) Taqabal ya Mannan iwe kun fayaqun Amin
Kishki nae Ana fanya Radd, Tena kwa mwislamu mwenzake? Kwanini asinge muhusia kwa hekma na busara? Akamfata private, duh! Anamwita mjinga, hajielewi? ..... Itakua kamuotea mjinga mwenzake. Kishki yeye akijibiwa ujinga wake anavo haribu katika dini wafuasi wake na yeye mwenyew wanasema masalafy Wana mwonea husda. Nlichogundua anawaogopa masalafy kuwajibu anakua Hana hoja za kielmu
@@abdullahmsuya665 sheikh kishki ALLAH amuhifadhi mawaidha yake ananufaisha watu hana tym ya ku radd wenzake wanaotafuta sifa yakumkashifu yeye wapate umaarufu vipi tumchukiye na sheikh kishki anajitahidi kufuata SUNNA ya mtume SALLALLAAHU ALEYHI WASALLAM wale waliyo na wivu na hasad na chuki na kueneza fitina watakufa na chuki zao omba hii dua sana EWE MOLA WETU TUSAMEHE SISI NA WALE NDUGU ZETU WALIYOTANGULIYA MBELE YA HAKI. NA WALA USITUJAALIYE NYOYO ZETU ZIWE NA CHUKI ZA KUWACHUKIYA WALIYO AMINI
Tunakupenda sana sheikh wetu nurdin kishk Allah azidi kukupa siha na afya njema na kuendelea kuitangaza dini ya Allah ewe kipenzi cha Allah nurdin kishki usichoke kuwakemea hao wanaoichezea dini takatifu kwani sauti yako inafika mbali mm nazidi kukuombea dua in shaa Allah Allah akupambe na uchamungu hapa dunian na kesho akhera
Mashaallah mashaallah shekhe mwenyezmung akujalie kheri hapa duniani na akhera pia tuko pamoja shekhe wangu nakupenda kwajili ya Allah na mtume wetu Muhammad S.a.w.
Nampa bishara njema sheikh Nurdiin allah akukubali... ila inasikitisha sanna masheikh zanzibar wamenyamaza kimya ila wewe allah kakupa taufiq kumtetea mtume s.a.w na kuonesha hisia zako mbele ya mola mie naungana na wewe allah akulipe kheyr na barka
Hongera sheihk Kishk kwa kumtetea kipenzi chetu Mtume Muhammad swalallahu alaihi wasal'lam. Allah subhanahu wataala akulinde na husda na shari zote. Tunakupenda kwa hilo tu sheikh wetu. Tupo pamoja kwa ajili ya Allah na kwa niaba ya Mtume wetu na Dini yetu. INSHAA ALLAH.
Asante shukrani sana shrikhe wetu kwakujitolea na kumtetea Mtume wetu kipenzi chetu Muhammadi s.a.w Allah akulipe kheri nyingi sana sheikhe wetu kishik Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha jamii umma waumini ulimwengu mzima
Sheikh wetu. Ahsante sana kwa msimamo thabit juu ya Dini yetu. Naomba tumuombee Waziri Said Soud. Allah amhidi. Tujitahidi tusimlani moja kwa moja Ataangamia huyu baba wa watoto wengi na wajukuu.
subhana Allah tuko pamoja in sha Allah wangejitokeza kama ww kenya dini yetu .tu ngefunguliwa msikiti mwezi mtukufu wa ramadhani.mola akuhifadhi in sha Allah
Mashaallah mungu akuzidishie kila baya wanaokosea binadamu na uwarekebishe na akupe umri mrefu kuwaambia ukweli wabaya wetu..nimejifunza .mungu atupe maisha mema yenye mafanikio...Ameen
Allah akuhifadhi Shekh Kishki na shari zao in shaa Allah kwa uwezo wa Allah na mtume wetu mpenzi wetu hakitokufika chochote kutokana na shari zao hao ni watu wanafiq sana bora raisi Makufuli anaiheshimu dini yetu
Tunashkuru sana sheikh wetu kwa kutuwakilisha ktk kusema na kukemea ALLAH akulinde na akuhifadhi na akuongoze ktk kheri na akuepushe na shari wewe pamoja na sisi
Mwenyez Mungu amsamehe madhambi yake na ajalie awe ni mwenye kutubia wallah nimeumia kias kikubwa na km angekuwa dini nyingine ningesema uenda katumwa lkn ss huyu ni kiki tu za kidunia na sifa ndyo zimemfanya aseme maneno hake yasiyo nakichwa Asante sn sheikh kishki Allah akujalie umri mref na afya njema na akulipe kila lakher
Mungu wetu mlezi wewe unatujua kuliko tunavo jijua hakika mioyo yetu inauma sana pale ambapo mtu anapo mtukana kipenzi chetu mfano wetu kiigizo chema sisi tunakuachia wewe ndio mwenye kujua maumivu yetu sheh wetu kisk tunakushukuru kwakutujuza haya mungu akupe maisha marefu sisi na wewe pia kwaajili ya kulingania uislam wetu dini yetu yahaki .
MashaALLAH SHEKHE KISHK UKO vuzur kututuetea dini yetu na pia .Uyo mzee ata icho kisa naona hakijui uzuri maana mtume alipoabiwa IQRAA hakubanwa roho bali amebanwa mbavu
Allah akuhifadhi na tukutane kesho peponi InshaAllah, hakika nakunga mkono shk wangu yyte atakae mkejeli habibullah,na Allah wadhalilike hapa dunia ni na kesho akhera kama kweli huyo waziri anajitambua hakika amrudie mola wake kwa kutuba twabatul nasuha!!
Allah akulipe kheri Sheik Kishki.Mimi naungana na wewe ktk kukemea suala hili la dharau kwa kipenzi chetu bwana mtume Muhammad (s.a.w),na kuwa huyo mzee anatakiwa aombe toba kwa kosa alilolifanya
Allahu Akbar...Sheikh unazungumza ukwli...na hii yaonesha ile ahadi ya Allah sw kua atailinda dini ya uislam...na ss tupo pamoja nawe ktk imani yetu ya kiislam..
Ameogopa waislamu waliomzunguka lakini hajamuogopa Allah لَأَنتُمۡ أَشَدُّ رَهۡبَةٗ فِي صُدُورِهِم مِّنَ ٱللَّهِۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمۡ قَوۡمٞ لَّا يَفۡقَهُونَ (Ali Muhsin Al-Barwani) Hakika nyinyi ni kitisho zaidi katika vifua vyao kuliko Mwenyezi Mungu. Hayo ni kwa kuwa hao ni watu wasio fahamu kitu. -Sura Al-Hashr, Ayah 13
Assalam aleykum sheikh pokea salamu zangu InshaAllah kutoka daula ya qatar.
WALLAHI sheikh kwa maneno yako nimebubujikwa na machozi, InshaAllah ALLAH atupe husnul khatima na atuongoze. امين يارب
Sheikhe wetu tupo pamoja 🤝kwahilo atakaemshusha Mtume wetu hadhi yake ambiwe kweli tunahaki hata yakumshitakia Mungu na Mungu atamuhukumu kwa hukmu zake
Masha allah... I am from Ethiopia.. wlh shkh wetu skhk nuridin kishki napenda sana sana tena zaidi.. shekh wetu allah akulinde na akupe umrii refu
Allah amsamehe kauli zake alozungumza kama kazungumza Kwa kukosea au Kwa ujinga. Allah atuongoze na atusamehe pale tunapokosea ameen
Ni kweli kabisa unachokisema shekhe kishki Allah atazidi kumuhifadhi mtume Muhammad (saw) pamoja na dini yetu insha'Allah na Sisi Allah atulinde na ndimi zetu
Subhanallah Mungu akuhifadhi sheikh kishk sisi pia imetuuma sana.mjinga ni yey huyo mpumbavu aachane na mtume wetu S.A.W Kwan ilikuaje mpaka wamtaje bungeni msiba kwel
Shukran. Shekh Kishk Allah akulinde. Nimetiwa moyo sana kuona, kwa kutumia nafasi uliyonayo, umeinuka na kumjibu yule mzee mjinga wa Baraza la Wawakilishi aliye mdhalilisha kipenzi chetu Mtume Muhammad (saaw). La kusikitisha ni kuwa sijamsikia hata Sheikh mmoja Zanzibar, kulikotokea kadhia hii, aliye simama na kuutia angalau neno dhidi ya yule jahil. Masalafi ndio kabisa kimya wao bado wanazozana juu ya kutikisha kidole inafaa au la, wakati wale madhalimu kule wanamkashifu Mtume wetu pamoja na kuwalipa pesa zetu kupitia kodi wanafanya upiuuzi huu ndani ya Baraza
Sheikh mm binafsi nakupenda kwa ajili ya Allah. Nakupenda kwa kusema ukweli wazi wazi bila kuficha wala kuogopa binadamu. You're our sheikh, Prophet Muhammad Sallalahu Alayhi Wassalam is Our teacher...Allah Akujazie jazaa kwa kutetea dini ya Allah na Mtume wake...Nakuombea umri mrefu uendelee kusema haki mbele ya Allah. Nakupenda na Allah Akupende zaidi..hii mada ilifanya nikalia walahi...
Allah akupe umri mrefu shekh wetu kishk , kwatusemea sisi wenye sautindogo
Shekhe Kishki Allah akupe ujasili na hakulinde inshaAllah.
Mamufti wetu wamekuwa waoga!!!
Wanashindwa kutetea Uislam,Mtume na hata sisi Waislam kwa maslah duni ya hii Dunia.
Allah hawaangamize wanafik ktk Dini yetu wanaojiita Waislam hali ya kuwa wanatudhihaki Waislam pamoja na Mtume wetu Muhammad (SAW)
Taqabal ya Mannan iwe kun fayaqun
Amin
Nakupenda Sana kwa ajili ya Allah sheikh kishki hata mm siwez nyamaza mtu akisema vibaya Allah ama mtume wetu Muhammad Allah atupe mwisho mwema
Baarakallahu feek
Laanatullah, wallahi arudi kwa Allah laa sivyo basi ameharibikiwa khaa! Kwahiyo yy ndo msomi kwakua ni waziri??? innalilah wainnailaihi raajiuun
Sheikh samahani mimi nashida yanamba zako za WhatsApp kunaswali nataka nikulize mana tuna bishana sana na mke wangu
Kishki nae Ana fanya Radd, Tena kwa mwislamu mwenzake? Kwanini asinge muhusia kwa hekma na busara? Akamfata private, duh! Anamwita mjinga, hajielewi? ..... Itakua kamuotea mjinga mwenzake. Kishki yeye akijibiwa ujinga wake anavo haribu katika dini wafuasi wake na yeye mwenyew wanasema masalafy Wana mwonea husda. Nlichogundua anawaogopa masalafy kuwajibu anakua Hana hoja za kielmu
@@abdullahmsuya665 sheikh kishki ALLAH amuhifadhi mawaidha yake ananufaisha watu hana tym ya ku radd wenzake wanaotafuta sifa yakumkashifu yeye wapate umaarufu vipi tumchukiye na sheikh kishki anajitahidi kufuata SUNNA ya mtume SALLALLAAHU ALEYHI WASALLAM wale waliyo na wivu na hasad na chuki na kueneza fitina watakufa na chuki zao omba hii dua sana EWE MOLA WETU TUSAMEHE SISI NA WALE NDUGU ZETU WALIYOTANGULIYA MBELE YA HAKI. NA WALA USITUJAALIYE NYOYO ZETU ZIWE NA CHUKI ZA KUWACHUKIYA WALIYO AMINI
Masha ALLAH tabaraka LLAH....tupo radhi kupambana na hata kufa kwa ajili ya dini ya ALLAH na mtume wake
Tunakupenda sana sheikh wetu nurdin kishk Allah azidi kukupa siha na afya njema na kuendelea kuitangaza dini ya Allah ewe kipenzi cha Allah nurdin kishki usichoke kuwakemea hao wanaoichezea dini takatifu kwani sauti yako inafika mbali mm nazidi kukuombea dua in shaa Allah Allah akupambe na uchamungu hapa dunian na kesho akhera
Mashaallah mashaallah shekhe mwenyezmung akujalie kheri hapa duniani na akhera pia tuko pamoja shekhe wangu nakupenda kwajili ya Allah na mtume wetu Muhammad S.a.w.
Nampa bishara njema sheikh Nurdiin allah akukubali... ila inasikitisha sanna masheikh zanzibar wamenyamaza kimya ila wewe allah kakupa taufiq kumtetea mtume s.a.w na kuonesha hisia zako mbele ya mola mie naungana na wewe allah akulipe kheyr na barka
Sheikh Nurudeen Allah aendelee kukupa msimamo wa kusimamia dini ya Allah na waislamu tupo nyuma yako inshaalah
Walhkm.msalam.warhmatulhah.wabarakatu
Subhanalha 😭lnnalilah
Amin
Swadakta sheikh kishk Allah akupe umri mrefu wenye kheri na wewe
Allah akupe umri mrefu sheikh wetu nakupenda zaid ya sana kwa ajili ya Allah tuko pamoja nawe Allah ndomtetez wetu inshaAllah
MaashaaAllah Sheikh wetu kishki Allah akujalie kauli thaabiti hapaduniani na kesho akhera
Na tujaalie sote tufe haliyakua tuko ktk kalmatuttauhiid ya Laailaha ILLALLAH.
Hongera sheihk Kishk kwa kumtetea kipenzi chetu Mtume Muhammad swalallahu alaihi wasal'lam.
Allah subhanahu wataala akulinde na husda na shari zote.
Tunakupenda kwa hilo tu sheikh wetu.
Tupo pamoja kwa ajili ya Allah na kwa niaba ya Mtume wetu na Dini yetu.
INSHAA ALLAH.
Asante shukrani sana shrikhe wetu kwakujitolea na kumtetea Mtume wetu kipenzi chetu Muhammadi s.a.w Allah akulipe kheri nyingi sana sheikhe wetu kishik Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha jamii umma waumini ulimwengu mzima
Subhanalaa!Allah amusamehe na amuongoze.Allah akulipe na akuzidishie umri sheikh uendelee kupigania dini.Inna Lillahi Wainna Ileihi Rajiuun.
Allah akupe umri Mrefu wenye baraka na akujaalie mwisho mwema Sheikh.
Mashaaallah......... Sheikh kishki Allah akupe kila la kheiri, kwa kumtetea mtume wetu Muhammad S. a. w. wolai pia Mimi siwezi nyamaza
Sheikh wetu. Ahsante sana kwa msimamo thabit juu ya Dini yetu.
Naomba tumuombee Waziri Said Soud. Allah amhidi. Tujitahidi tusimlani moja kwa moja Ataangamia huyu baba wa watoto wengi na wajukuu.
Ameen Ameen Ameen Yarabi sote InshAllah heri shukran.
Tunakupenda Sana sheikh wetu Allah akujalie mema daima wali Dunia wali Akhera
l
اللهم صلى على سيدنا محمد و على آله
Allah barik ya Akhiiy
subhana Allah tuko pamoja in sha Allah wangejitokeza kama ww kenya dini yetu .tu ngefunguliwa msikiti mwezi mtukufu wa ramadhani.mola akuhifadhi in sha Allah
Tunakupenda sn Shk wetu kishi mungu azidi kukupa umri mlefu nawenye afya yarabii akurinde kishi wetu msemeji wahaki
HUYO WAZIRI LAANA IMEMJAA NA ADHABU YAKE ITAMFIKIA IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN.
kishik ALLAH
AKULINDE NA KILA SHARI NA HASADI
Mashaallah mungu akuzidishie kila baya wanaokosea binadamu na uwarekebishe na akupe umri mrefu kuwaambia ukweli wabaya wetu..nimejifunza .mungu atupe maisha mema yenye mafanikio...Ameen
Allah akuhifadhi Shekh Kishki na shari zao in shaa Allah kwa uwezo wa Allah na mtume wetu mpenzi wetu hakitokufika chochote kutokana na shari zao hao ni watu wanafiq sana bora raisi Makufuli anaiheshimu dini yetu
MashaALLAH ALLAH akuhifadhi shekh wetu kishki tupo pamoja na ww
..
Tunashkuru sana sheikh wetu kwa kutuwakilisha ktk kusema na kukemea ALLAH akulinde na akuhifadhi na akuongoze ktk kheri na akuepushe na shari wewe pamoja na sisi
My all times shekh , Allah akutunze kwajili yetu waislam
Ikiwa haja omba tobaa kwa Allah. Allah amteremsheye laana na adhabu hapa duniani na kessho akhera.
Barakallahu fik imam wetu
Asante mwalimu kwa kazi nzuri unayoifanya mungu akutie nguvu nyingi zaidi katika jina la yesu .
Subhana llah atujaliye mwisho mwema uyo hanakili kalanika kiumbe bora nabi wetu❤❤
Shekhe wangu tupo pamoja
Amekosea sana huyo mbunge ametuuzi sana shukhan sana shekhe wetu
Shukuran twakuwonbeya Allah akuongoze ili uweze ku isimamaya dini yetu akupe umri murefu Allahumma Ameen
Sheikh nurdin kishki nakupenda kwa ajli allah nakunga kwa lolote kutetea dini yetu na kumnsuru kipenzi cha Allah mtume muhammad صلي الله عليه وسلم
Ndo mana nakupenda Sheikh Nurdin Kishki kwa ajili ya Allah,..
Bismillahi maaashaaallah Allah akuzidishie imani na umri mrefu wenye kheri khery kwako Shekh kishki Ahsante cna
Subhanallah allah akuhifadhi shekh wetu kipenzi
Mwenyez mungu atujalie afy njema naumri mrefu pamoja na mwisho mwema
MashaAllah sheikh wetu Alhamdulila Allah akupe umri ,tuungane waislamu tumtete kipenzi chetu mtume wetu.
Allah akulinde shekhe wetu na akupe afya
Mwenyez Mungu amsamehe madhambi yake na ajalie awe ni mwenye kutubia wallah nimeumia kias kikubwa na km angekuwa dini nyingine ningesema uenda katumwa lkn ss huyu ni kiki tu za kidunia na sifa ndyo zimemfanya aseme maneno hake yasiyo nakichwa Asante sn sheikh kishki Allah akujalie umri mref na afya njema na akulipe kila lakher
1
Sophia uko right atubie na Allah ndie mnyooshaji wa waja wake na sio kiumbe
Tupo pamoja Shee wng
Sheikh wetu twakupenda kwa ajili ya Allaah na
Allaah akujaze khery na baraka zake hili uzidi kutuelimisha
Mungu wetu mlezi wewe unatujua kuliko tunavo jijua hakika mioyo yetu inauma sana pale ambapo mtu anapo mtukana kipenzi chetu mfano wetu kiigizo chema sisi tunakuachia wewe ndio mwenye kujua maumivu yetu sheh wetu kisk tunakushukuru kwakutujuza haya mungu akupe maisha marefu sisi na wewe pia kwaajili ya kulingania uislam wetu dini yetu yahaki .
Allah akuhifadhi shekhe wetu tunakupenda kwa ajili ya Allah
Mkono kwa Mkono hadi peponi
Allah akuzudishie shekhe kishki mungu atamuhukum hapahapa waislaam tunakupenda sana
Innalilahi wainnailahi rajiun,mwenyezi mungu amuongoe km ni katika watakao Ongolewa, ajirudi aombe msamaha na atubu tawba ya ukweli!!
Salesmanship.alhahy.wasalam.😭😭😭
Huyu ni kuchinjwa tu
@@h.alshidhani8971 hapana kaka tumpe mda wakijirudi ,na kumuombea auone mwanga ,ila tunakemea jambo la kukejeli mtukufu ,kipenzi chetu mtume Muhammad (s.a.w)
@@hamidahamida1473 anahitaji dua huyu
MashaALLAH SHEKHE KISHK UKO vuzur kututuetea dini yetu na pia .Uyo mzee ata icho kisa naona hakijui uzuri maana mtume alipoabiwa IQRAA hakubanwa roho bali amebanwa mbavu
nakupenda kwa ajili ya Allah mwenyezimungu akupe umri mrefu inshallah
Mashallha
Amiin
Hongeren #channelntz na mhe shmiwa nadir kwa kusmaam kidete kututetea sisi waislam kwa ujumlaa na kumtetea mtume wetu MUHAMMAD S.A.W
Allah akuhifadhi na tukutane kesho peponi InshaAllah, hakika nakunga mkono shk wangu yyte atakae mkejeli habibullah,na Allah wadhalilike hapa dunia ni na kesho akhera kama kweli huyo waziri anajitambua hakika amrudie mola wake kwa kutuba twabatul nasuha!!
Shekh kishki mungu akulipe Lila lakheri Kwa kumtetea mtume mungu akakutiepepeni
Inna linlaah wainna linlaah lajiuun mungu amlaani ashushwe mpaka cheo chake inshaanllah
Inshallah tuko pamoja Sheikh kishki
Asante sheikh nimekusoma nimekukubali umenifurahisha sana wape ukweli kk Zanzibar ilikuwa zaman saiv Italy roma
Swadaqta shk ya rabii mungu akupe mwisho mwema
Mashallah sheikh wetu.sasa wasemee na masheikh wetu walotiwa ndani miaka sasa watolewe.
Mashaallaah Kishk msema kwel⭐🌙Allah akupe Nusra yake
Mbona sijaskia akisema kuhusu mashekh walio magerezani more than 9yrs
Allah akulipe kheri sheikh Kishki kwa kutimiza wajibu wako kwa kukemea uovu Allah akulipe unachostahili
Shukran Shekh kishki nakuunga mkono Allah akuzidishie inshaallah Allah amuongoe t aombe msamaha kateleza na Allah atamsamehe inshaallah
Safi sana Shekhe Kishik anamtusi Mtume kwa sbb ya kutetea masilahi tu
Tupo pamoja na wewe katika haki ya dini !! ameniumiza moyo wangu Mungu atamdhalilisha Fil dunia Wal Akhera!! Ameen
Subhanaallha Allah tuongozé njia ilinyooka nawali potea Allah awangoze
Allaah atuongoze .binaadamu hututakiwi kujisahau kwa maisha ya dunia .Allaah akulipe kheri sheikh
Shekhe kishki mungu akuweke
Tukopamoja na weye shaikh kishki uko mwanaume hodari uyo bunge awombe msamaha kama ana skili.shukran.
Salha Aaa ameen
Amiin
Ameen thuma ameen
Allahumma Swali Alaa Saydina MUHAMMAD Salallahu Alaihi Wasalam
Allah akupe umre mref shekh wetu hil uweze kuitetea din ytu pmoja n kuelimisha jamii y kiislam
Ashahadu Allah ila haillallah waashihadu ana Muhammadn wa Rasurullah
Allah akulinde shekh wetu
Inn shaa ALLAH ALLAH atamrudi amlipie Mtume wetu S.A.W
Sheikh allah akujaalie khery natamani mwanangu siku moja afate nyayo zako
Tunakushukuru shekh kishki kwa kulisemea hilo, labda ofisi ya mufti ya Zanzibar hawajaona wala kusikia.
Allah akuhifazi sheikh wetu
اللهم صلي سيدنا محمد وعلى آله
Mungu akupe umri shekh kishki
Shukraan👏❤
Allah akulipe kheri Sheik Kishki.Mimi naungana na wewe ktk kukemea suala hili la dharau kwa kipenzi chetu bwana mtume Muhammad (s.a.w),na kuwa huyo mzee anatakiwa aombe toba kwa kosa alilolifanya
Allah tupe kauri nzuri juu ya mitume yetu na mola wetu.tunashukuru kishki kwa kuweka ukweli hazarani.
Maneno ya kweli na nasaha zimeshamfika bora arudi kwa toba haraka na aombe msamaha kwa kauli yake.
Allahu Akbar...Sheikh unazungumza ukwli...na hii yaonesha ile ahadi ya Allah sw kua atailinda dini ya uislam...na ss tupo pamoja nawe ktk imani yetu ya kiislam..
SubhanaLlah.. yarabi tunusuru
Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akuhifadhi na hasad za watu jazaka Allahu khaira
Mashaallah umeniliza shekhe kishki naam hakuna kama mtume wa allah
Allah akuongoze shekh wetu tumtete mtume wetu na dini yetu bora kufa kwa jili ya Allah
Allah akubarik Maalim...
Masha Allah
Nakukubali Sana kwa kutetea dini ya Allah
Naickiliza hii habari Wallah machozi yana nitoka SubhanaAllah Allah atuongozi katika njia njema InshaAllah
Amiin yaa Rabb
Allah amsamehe kwa kauli yke allah amuongoze njia njema said soud
Ina Lilah waina ilaih rajiun wallah kwa ubora alionao Mtume Muhammad(s.a.w) hakuna kiumbe Wa kumfikia
Allah akujaalia umri sheikh na huyo waziri Allah amlaani
nakupenda kwaajili ya Allah❤️ na Allah akupe umri mrefu na atupe mwisho mwema Inshaallah
Allah atuongoze sote ktk njia sahihi ya muamala wa kiislam...amin
Kwa hakika wewe ndiyo shekhe wa kweli umenyoka maneno yako maalim kishki maashaallah
Ameogopa waislamu waliomzunguka lakini hajamuogopa Allah
لَأَنتُمۡ أَشَدُّ رَهۡبَةٗ فِي صُدُورِهِم مِّنَ ٱللَّهِۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمۡ قَوۡمٞ لَّا
يَفۡقَهُونَ
(Ali Muhsin Al-Barwani)
Hakika nyinyi ni kitisho zaidi katika vifua vyao kuliko Mwenyezi Mungu. Hayo ni kwa kuwa hao ni watu wasio fahamu kitu.
-Sura Al-Hashr, Ayah 13
Allah Azidi kukupe Afya na baraka sheikh KISHKI