Sina cha kusema yote ni juu Ya Uyu Yesu hakika wewe ni mbarikiwa bahati bukuku Mungu azidi kukutumia ili utupe neno kupitia nyimbo kila siku nyimbo zako ni za kujenga kiroho#NI FANANAE NAE YESU nifutdishe kuti mahadiko yako 🙏💘🔥💪hii yimbo imenibariki hadi natoa machozi ya furaha
Kwa hakika ni mungu tu tunafaa kufanana naye utaskia aje ukizaa mtoto na afanane na jirani hio siku tu watahama kwa hivyo watoto wa mungu wanafaa kufanana baba yao
bonjour les madames je vous aime trop , très très très bien belle chanson je passe beaucoup à vous écouter car vos chansons sont intéressons, mungu ni mwemaa yes yes It Is true , c'est toujours la prière de tous les chrétiens d'être proches de la grâce et de faveur de Dieu , Amina Amina Amina je suis très très contente de vous mungu mwema sanaaa thank you so much ❤❤❤🇨🇬🇨🇬🇨🇬🙏🙏🙏
Mungu azidi kuwatia nguvu. napenda na huwa nabarikiwa na nyimbo zako hakika Mungu amekupa kipaji sahihi na kutoa ujumbe wake kwa njia ya uimbaji.always God is Good
Sina cha kusema yote ni juu Ya Uyu Yesu hakika wewe ni mbarikiwa bahati bukuku Mungu azidi kukutumia ili utupe neno kupitia nyimbo kila siku nyimbo zako ni za kujenga kiroho#NI FANANAE NAE YESU nifutdishe kuti mahadiko yako 🙏💘🔥💪hii yimbo imenibariki hadi natoa machozi ya furaha
Kiukwel mungu awabariki nyimbo zanigusa mungu azid kuwazdshia nguo na afya njm
Napenda nifanane nawe Yesu.Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu kazeni mwendo mwiichuchumilie ile taji mlioandaliwa.
Nabarikiwa sana na nyimbo zako natamani kufanana nawew yesu ooo asante sana nikweli
Ameen mungu azudi kuwabariki kupia mahubiri ya nyimbo nitafanana Yesu Ameen
Yesu naomba nfanane nawewe katk maisha yangu nmebarkiwa sana dada
Kazi nzr???
Amen nifanane nawe yesu
Amina wamama wa Yesu kwa yesu raha sana nakuona mama salome ndilanha unawakilisha e a g t ushirika kwa baba yetu machimu mubarikiwee sanaaaaa
Nifanane nawe Yesu...ooh my God😥😥😥😥😥😥🇰🇪👍
Kwa hakika ni mungu tu tunafaa kufanana naye utaskia aje ukizaa mtoto na afanane na jirani hio siku tu watahama kwa hivyo watoto wa mungu wanafaa kufanana baba yao
Amen..nataka nifanane naye yesu.
Natamani nifanane na we we yesu sikuzote za maisha yangu oooooh god bless you mamy wangu
Jamani yesu ni mtamu na wala hazeeki
Mama zangu nawaombia mzidi fanikiwa cku zote za maisha ya duniani na mbinguni nice song
Amen Mungu akubariki
Nyimbo nzuri sana, Mungu awape neema zaidi ya kumwimbia, baraka tele.
patrick wesonga amen
Barikiwa sana Dada kwa huduma yako
Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory Glory
HALLELUJAH De Queen Of King
Imenigusa Sana Asante
Muwe na maisha marefu wasichana wangu kutoka TZ, nawasikia nikiwa Kampala Uganda
A men iko poa xaaanaaa
Amen kubwa mbarikiwe sana, Mungu azidi kuwatumia, naomba Nifanane nawe yesu nifanane nawe.
Nataka kufanana nawe yesu!nakupenda sna dada bahati bukuku mungu akurinde akubariki Sana uzidi kutangaza neno langu!
Mama Bahati eko wapi apoapo ? Que Dieu lui bénisse beaucoup merci akisante sana❤❤❤
Safi barikiwa daima
Nimependa huyo dada wa mwisho amemaliza vizuri sana Mungu awabariki kutoka Kenya
dah Mungu awabariki sana mama zangu alafu mmefanya kazi mnaoendana msiishie hapo
Amen Mungu akubariki pia BARAKA AUSTINE
Nakupenda Dada wa mfano nikikuona nabarikiwa sanaaa Mungu azidi kukutunza
Nice worship song. Nifananawe Yesu. Ubarikiwe Dada
Amen God bless you
nakupenda sana bahati bukuku kwa ninnies zuli mungu akubaliki sana
Mwenye hekima ni fahari ya babaye. ........unifanye fahari na uzao wangu .....Be blessed more and more. ..Amen.
Amen Bettrein Maryam
Long vie ,you are blessed , ujumbe mzuri ❤❤🇨🇬🇨🇬🙏🙏🙏 thanks
Blessing song amen nifanane na yesu
bonjour les madames je vous aime trop , très très très bien belle chanson je passe beaucoup à vous écouter car vos chansons sont intéressons, mungu ni mwemaa yes yes It Is true , c'est toujours la prière de tous les chrétiens d'être proches de la grâce et de faveur de Dieu , Amina Amina Amina je suis très très contente de vous mungu mwema sanaaa thank you so much ❤❤❤🇨🇬🇨🇬🇨🇬🙏🙏🙏
Nimewapenda bure mwenyezi Mungu aendelee kuwainua zaidi mbarikiwe wapendwa
Amen nifanane nawe Yesu nikujue zaidi nipite salama duniani amen barikiweni watumishi
Mwaipopo amekitendea haki kipande chake nampenda huyu mama mungu awabariki kwakweli
Doris Tuppa amen
Kabisa wimbo mzuri
Daniel Oguda r
Milpa Media and toxic
rozi.mhando
barikiweni sana nafarijika sana mungu azidi kuwainu kwa mahubiri kupia nyimbo
niifanane nawe Yesu nifanane nawe,amina Mungu awabariki sana sichoki kuusikiliza huu wimbo
Amen God bless you
Wallah nifanane nawewe yesu😍
Asante sana mum, nyimbo zako za busara zanijenga.....Mungu ainue huduma yako zaidi na zaidi!!
Amen God bless you
Amen, nifanane nawe Yesu
Nimekutana na sura za dubu na Simba .wow amazing song bravo
Amen God bless you
Amazing, what acolabo, Mungu awabariki .
Natamani nifanane na yesu
Mbarikiwe sana
Moses Mwaikwila Mungu akubariki sana
Ameniiiii asantee Yesu
Nice song na mimi nataka ni fanane nawe yesu
Nice song mbarikiwe na Bwana.
Bahati bukuku unajua kuimba hatari sana hongera sana mama
Nampenz sn bukuk ubarikiw sn mam🙏✨💓💓💓
Hugs from Kenya..❤nifanane nawe.
Mungu azidi kukuinua mum
Nyimbo zako na mavazi ya heshima ni ishara nzuri ya kuigwa Kenya twajivunia Dada zangu
Nyie watu nawapenda Sana Mungu awainue kila iitwapo Leo
Ameen mm pia napenda kufanana na yesu mungu awabarik
Naomba nifanane nawe yesu , God bless your s
God bless you Jennifer Mwongera
Umenibariki wimbo huu👆 jamani mpaka nahisi Machozi!! Mungu azidi kuwa bariki watumishi wa Mungu!
Amen maria chahe
maria chahe amen
ni fananenawe yesu tu sana
Thanks dada bukuku na nema wimbo poa mwaa
I love you so much mama Bahati ;your voice is powerful❤❤❤
Natamani nifanane nawe Yesu😢😢😢😢 Mungu wangu awatunzee
Wimbo huu unashusha kweli uwepo wa Mungu.,Mungu abariki kaz ya mikono yenu watumishi wa Mungu.
amen Mungu akubariki sana Rebecca keboye
Nifanane made mungu wangu, barikiweni sana na mungu
Mubarikiwe na Mungu Kwa uimbaji mnanibariki sana
Neema Cheyo amen God bless you
This is always the prayers of all christians to be near the grace and the favor of GOD.
Kabisa.
Hakika natamani nifanane Nawe yesu mbarikiwe na bwana yesu
Nataka nifanane nawae baba barikiwa bahati kwa huduma nzuri
Amen God bless you
Amina. Dada. Ubalikiwe. Sana. Kwaujumbe. Wako. Mzuli. Sana
Sarah Sarah Amen
Upendo nkone
Amen! Mbarikiwe vandu vya kyala
ahsanten!!! kwaujumbe mzuri Mungu azidi kuwatumia!!
ahsanten!!! kwaujumbe mzuri Mungu azidi kuwatumia!! Dostea Mkakatu
Good bless you
Amen mungu ni mwema mbarikiwe
Na farijika na mwimbo hihi nifanane na we yesu
grace pirachel God bless you Grace
Most beautiful song
Hongera sana wa mama zetu katika Kristo
Ujumbe mzur sn Mungu azidi kuwainua
Nyimbo nzuri nifanane na Yesu Amen
Mungu awe nanyi.Mumalize mwendo salama siku ile tuwepo wote Mbiguni....
Amen Mangala Mngele
Asante dada angu kwa wimbo wako mzuri mungu akubariki sanaaa
Amen God bless you
kabisa tufananeye yesu mbarikiwe sana
Neema mwaipopo😭😭😭😭 ubarkiwe sana
GOODWORK BAHATI MAY GOD BLESS U
Barikiwa Dada Mungu akubariki naazidi kukulinda kwakazi yako
Sandrine Sandra aminaaa
Haleluyah haleluyah upo juu Malkia wetu, Mungu aendelee kukuinua ktk viwango vya juu
Amen God bless you
Amen ubalikiwe lazima ufanane nae
Wimbo yenye hekima na busara... Shukrani Kwako na Mungu akuongoze
Ameni Mungu akubariki sana Tobias Wereh
Milpa Media AMEN
Tobias Wereh
Aksanti... Mungu ali wa ita .mi niko uku buraya, tu na nangaliya wa toto wetu. Mubakiziye Musuri
Nifanane nawe yesu
Amen
Mungu akuongezee kipaji
Amen God bless you
Mama wa maadili...nakupendaga tuuu Bahati
Rehema Mazuki Mungu akubariki
Amen amen
Asante Sana dada
Mungu azidi kuwatia nguvu. napenda na huwa nabarikiwa na nyimbo zako hakika Mungu amekupa kipaji sahihi na kutoa ujumbe wake kwa njia ya uimbaji.always God is Good
nilitaman siku moja niwaone mkiimba pmj hatimae imetimia mungu azidi kuwainua
daaaaa nimebarikiwa sana jamani Mungu awabariki sanaa
Amen
Waoooo wimbo mzuri sana
ni fananewe ni fanawe ni fananewe yesu kiukweli nikisikia hii nyimbo hua Nina barikiwa God bless you my mummies and let's protect you all
wimbo nzuri mungu awabariki
amen thank you kwa ujumbe mzuli.
Amaizing 💞💞 song God bless you
Iam listening from kenya
Woow nice song God bless you
Amen Miriam Anyango
Amen watumishi wa Mungu
wimbo mzuri sana na wenye mafunzo
The best collabo ever.... an amazing song for real be blessed sisters i love te vocals and the message in it blessed... much love
I realy appreciate. The. Vocals