THE CLASSIC MH TEMBA: NLITOSWA JESHINI/NILIZAMIA KENYA NIKADAKWA/KUUZA SHATI/MIAKA 27 NDANI YA GAME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Toka Kiumeni TMK jina la Mh Temba linasimama na heshima kubwa katika tasnia ya Rap na Bongofleva,Mcheza kikapu aliekua na ndoto za kua mwanajeshi lakini zikayeyuka na kuibukia kwenye muziki,hii ni sehemu ya hadithi ya maisha yake.

ความคิดเห็น • 17

  • @madiesyd
    @madiesyd 2 หลายเดือนก่อน

    Majaniiii....Temba hapa!

  • @shabanshaban1259
    @shabanshaban1259 2 หลายเดือนก่อน

    napenda sana Interviews zenu ila upande wa Sound mnatakiwa kuboresha kdg nashauri watu wa Sound wajaribu kusikiliza vipindi vingne ili kuja kuboresha kipindi chetu,
    Ahsante

  • @Anuaryomary-su9cd
    @Anuaryomary-su9cd 7 หลายเดือนก่อน +1

    Muulize Temba alishawahi kuishi Zanzibar

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 7 หลายเดือนก่อน

    Temba moja ya msanii wangu bora anaendana na kila wakati

  • @brianbrayoo1590
    @brianbrayoo1590 6 หลายเดือนก่อน

    Daah, i remember KISOKI..great boller #jiteute 4life

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona fupi hii interview...much love from 🇧🇭

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 7 หลายเดือนก่อน +2

    Dah Temba, Hizo ngoma mikono yangu pia backyand, Rest in peace my bro Complex, Nimefurahi sana Temba umenikurupua huku Big up Temba, Mungu akupe Uwezo ndugu yangu Temba kitu nafurahi ni kwamba huwa husahau yaliyopita, Mungu akuongoze ndugu yangu.

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 7 หลายเดือนก่อน

    Temba anajua sana !

  • @bukuruyassini
    @bukuruyassini 7 หลายเดือนก่อน

    Inaish na story nzuri

  • @tajirilmole3092
    @tajirilmole3092 6 หลายเดือนก่อน

    Temba mwamba mwanaume mbado tuko nyuma ako

  • @kachboy254
    @kachboy254 หลายเดือนก่อน

    Toothpick kwa miaka zote❤😂😂😂

  • @khalidgugu4964
    @khalidgugu4964 7 หลายเดือนก่อน

    Vingunguti, ukumbi ulikuwa unaitwa "Mazuri Hall"

  • @wakikuba7
    @wakikuba7 7 หลายเดือนก่อน

    Tunamta matonya

  • @MohamedTuga-dn9su
    @MohamedTuga-dn9su 7 หลายเดือนก่อน

    Interview mbona fupi hii

  • @husseinthakeem4758
    @husseinthakeem4758 7 หลายเดือนก่อน

    Et

  • @user-bq2zn1wy1q
    @user-bq2zn1wy1q 7 หลายเดือนก่อน

    Hiyo issue ya mpakani wewe na jamaa mmoja tall anaitwa Kuber nakamura ulisumulia tukiwa Jiteute .Ulisema Kuber alivaa kijanja mkaonekana nyie siyo wanakijiji.

  • @niggahoodthemc9156
    @niggahoodthemc9156 7 หลายเดือนก่อน

    ✊🏿👮🏿‍♂️