Ata watalamy nama professa wanamukubali nakusema ni wonderful people wanayopinga ico basi hawajiamini nauisilamu wawo nahawana pakuanziya mpaka wautangaze uisilamu ba Allah akisema waisilamu wataja dunia nzima ataja aje bilakusema kubawatu tukisikiya MUHAMMADI tunataka ataruka nazamani tulikua hatujuwi cocote leo tunafurahi nae Mutumebmukubwa sana uyo tena ni rehema kwa watuwote
Mnakusanyika na kuanza kukosoa kazi zake Allah, mnajivua katika uslam bila nyie wenyewe kujua, kumsifu mtume sio jambo baya na wala haliitaji mkusanyiko huu, inaonekana kwamba shetani amewaita kwenye mkusanyiko haram na nyinyi kama waislam, mmemuitikia, na kuanza kukosoa kazi zake ALLAH
Hamisa Maundi kumsifu mtu si Ibada ......kumswalia mtume Niko Ibada..mnafanya mtume jinsi makafiri Na manaswara wanavyomfanya Isa bin Maria.jambo ambalo halikubaliki..
Mtume Muhammad s.a.w amesema ikhtilafu ni rehma.na suala hili la maulidi halikuanza Leo mjadala wake na hautokwisha ,je mnafikiri kufanya hivyo ndio kuendelea kwa uislamu au kuudidimiza zaidi ,nandio mnafikiri mtajenga umoja kwa namna hiyo.zindukani ikhwaani.
Hayo maneno umeyatowa wapi ya Kusema Ikhtilaafu ni Rehma!???Mtume hakusema Hivyo Mtume kasema Huu umma wake utakhitilafiana Mpaka Kugukia makundi 73 Lakin kundi moja ndio ni la Peponi aLipoulizwa akalitaja sifa zake kuwa ni watakaokuwa kama Sisi Tulivyo yaani Mtume na Maswahaba wake .Yaani wanaofuata Kitabu na Sunna kwa ufaham wa Maswahaba
Acheni kumpa nguvu shetani, mijadala kama hii inaondoa imani yako wewe muislam, mambo kama haya shetani ndio anayoyapenda na kumuonyesha kwa hamna imani na dini yenu, hebu muogopeni mungu katika hili tuwe kitu kimoja
Kabla ya kuja Sh Adam Eldoret Town miaaka ya 86, waislamu walikuwa Ahlu Sunnah Wa Jamaa. Lkn baada ya kueneeza sumu hii ya waahabiya, vizazi vilivo saliwa baada ya miaaka hii wakawa wanafunza kwa mbinu za kisheytaani na vizazi viza ma khawaarij katika mji huu
Mawahabi Ndio wamekuja Kuleta Tasfiyah Ule Uislam Wa Sawa sawa Sio hao wapotoshaji Kila wakiulizwa Wababisha kutowa majibu ya uhakika.Hawana Hoja Madhubuti
Nyny mnafanya happy birthday AMNA UTOFAUTI NA WAKRISTO WANAVYO MFANYIA NABII ISSA, YESU NYIE KILA KITU KUIGA IGA TU ATA AMUWAJUI WAANZILISHI WA IYO MAULIDI KAMA HAPPY BIRTHDAY NANYNY IMEBAKI SASA KUMUITA NABII MOHAMMAD KUWA MUNGU KAMA WANAVYO MUITA WAKRISTO NABII ISSA KUWA MUNGU KWAKUWA NYNYNY CMNAIGAIGA WAPI UMEPATA DALILI KTK QUR.AN AU HADITHI YA KUKUSANYIKA WATU KISHA WAKAMCFU MTUME AU TUWENI DALILI KWAWEMA WALIO TUTANGULIA KAMA WAME FANYA JAMBO ILO ANZANI KWA MASWAHABA MJE KWA MATABII NA TABII TABIINA AU KWAMAIMAMU WANNE KAMA KUNA IMAMU ALIE FANYA JAMBO ILO
A/s, nina waona ndugu zetu wa islamu Ku shinda na Ku poteza wakati na ku kufuru , tukarudi sifa zaa wasahaba wote walikuwa wanazo sifa zakupenda kwa ajili ya Allah na ku mpenda mtume S/w na sifazake zote , wasahaba wote wame nfayiya furaha mwulidi wakati ya mtume S/w kutoka makka ku hajirika maddina , nawasahaba wamekufuru wakati huwo kufanya sherehe ama furaha yamtume S/w kwa ajili ya Allah aw tuna zaidi yama somo kuliko wa sahaba? Nawa omba ndugu piganeni na shaitani siyo na ndugu zinu was islam, bahati mbaya tumeja naujauri na kukorofiana na matukano bila hishima hizo ndiyo sifa tulo baki Nazo, tuna tegemea jannatu fardosa, kweli hatuna Haya hata kidogo.
Ibn Kathir Praises the Night of Mawlid One of the most renowned scholars is Ibn Kathir. Ibn Kathir was a muhaddith from the followers of Ibn Taymiyya. Ibn Kathir, in the last days of his life wrote a book entitled Mawlid Rasul Allah (s) which was spread far and wide. That book mentioned the permissibility and recommendability of celebrating the Mawlid. In it Ibn Kathir says: "The Night of the Prophet's (s) birth is a magnificent, noble, blessed and holy night, a night of bliss for the believers, pure, radiant with lights and of immeasurable price."3 Ibn Taymiyya: "Laylat al-'Israa' wal-Mi'raj is Greater than Laylat al-Qadr" "Shaikh ul-Islam Ibn Taymiyya was asked, `Which is better, Laylat al-Qadr or Laylat al-'Israa'?' and he answered, `With respect to the Prophet (s), Laylat al-'Israa' is better than Laylat al-Qadr.'"4 This is Ibn Taymiyya's Salafi opinion, but we say, as Ibn Marzuq, the reknowned student of Imam Nawawi said: "Laylat al-Mawlid is better than Laylat al-Qadr."
فقال عمر: "يا بن رواحة أفي حرم الله وبين يدي رسول الله صلى الله عليه وسلم تقول هذا الشعر؟"، فقال رسول الله صلى الله عليه وسلم: «خل عنه يا عمر، فو الذي نفسي بيده لكلامه أشد عليهم من وقع النبل
Inaskitisha,kama sisiote waslam malumbano haya yanatoka wapi????????????? Waislam sisi wote ni kitu kimoja, wote tunatakiwa tufuate suna za mtume Muhammad, sasa mijadala kama hii inatoka wapi??
Tuwe kitu kimoja au Huo Umoja wa Wapi??Wakati Kuna Watu Wana kufru Wanatukana Maswahaba na Wamezama kwenye Shirki na Uzushi. Umoja wa Masufi,Ibadhi,Ahmadiya,Shia,Askaria,Qadiria,Doebandiyuuna (Matablighi) Na Ahlu sunna wal Jamaa??
Bado tunabishana Maulidi inafaa au haifai wakati ndugu zetu wanauwawa na kuuwana kila siku hapa hakuna nusra ikiwa tunaongozwa na watu kama hawa tunasubili kiyama tu.
Watu hawafahamu bado adabu za kiislamu wewe fuata yako kwann walazimisha watu wafanye mnavyotaka nyie pia mue na adab ktk masuala yenye ikhtilaaf na ALLAH NDIE MJUZI NA NDIE HAKIMU .
@@hassansingano1150 hahaha basi toa jina la maulidi. Sisi twanfanya kumswaliya mtume. Sisi twafanya kusoma quran. Jina la MAULID toa kabsaaaaaaaa. Je, bado wasema kumswaliya mtume s.a.w na kusoma quran ni happy birthday?????
Badala mjadiliane kuhusu mtaendeleza vipi dini yenu wasio waislamu mtawasomeshaje waujuwe uislaamu waingie kwenye nuru mwashindana Maulidi ni ibada jibu rahisi tuu, NDIO Maulidi niibada, maana ya Maulidi ni kuadhimisha mazazi, kwahiyo tukisema Maulidi ya mtume s. a. w, ni maadhimisho ya mazazi ya mtume s. a. w, niibaada
Sharti ya ibada ni lazima iwe ina igwa kutoka kwa mtume saw isipoigwa kwa mtume itakuwa ni kitu kilicho ongezwa kwa dini na hivyo ni bida... Sababu ukisema fajri nitasali rakaa tatu kisha useme si ni swalaa tuu ni ibada itakuweje? Tutasema sio ibada sababu umemkhalifu Allah na rasuli wake...sasa maulidi imeigwa kutoka kwa Nani? Haikusherekewa na rasuli mwenyewe baali alikuwa anafunga saumu siku ya jumatatu na alkhamisy alipoulizwa alisema ni siku niliozaliwa na ni siku nilioteremshiwa wahyi!!!! Sasa wewe ambao unasherekea maulidi umemwiga Nani??? Tumwogope Allah tusizidishe kwa dini kwa matamaniyo za nafsi
Chizo...mtume alikuwa anafunga siku ya jumatatu na alhamisi kwa sababu tatu ya kwanza ni haswa siku ya jumatatu ndiyo alizaliwa kutoka kwa Abu Hureira t kwamba Mtume ﷺ amesema: “Hupandishwa matendo (juu kwenda mbinguni) kila jumatatu na alhamisi, basi napenda matendo yangu yapandishwe hali ya kuwa nimefunga” [Imepokewa na Tirmidhi.].
mbona tunalumbana tena au hamuoni kuna mambo ya mhimu mbona mnakata mauldy je mnacho fanya hapo ni sahihi kweli si heri msome maulidi kuliko mnacho kifanya
Ibada ndo nini kila kinachofanywa na Allah anakirizia kwa vitendo, maneno, kama vile duwa, hija, kuchinja kwa jiili ya Allah sasa tujiulize maulidi km ibada je kitendo gani kinachofanywa kwenye maulid ni ibadaa.
Yani watu wanapinga kheri zinazofanywa kwenye maulid wakati vitu vingi vinafanywa na vilikua hakuna kipindi cha bwana Mtume SAW lakini vinafanywa dunia nzima kwa mfano kufanya mashindano ya Quran na kukusanyana watu kila pahali na kutoa mazawadi tele wakati jambo hili lilikua halipo lakini ni jambo jema
Hili ni tatizo kwa waislam, khitilafu kama hizi isiwe sababu waislam kufarakana. Wanaosoma maulid kama hawatoki nje ya mipaka ya kiislam waendelee na wasiosoma waendelee hivyo, kila mtu ana mapungufu yake wengine mashekhe wakubwa2 lakini mambo wanayofanya wakiwa falagha hata shetani mwenyewe hakuwahi kufanya, mijadala kama hii hakukua na sababu ya kurusha mitandaoni au kurekodiwa mngekaa wenyewe kwa wenyewe mkajadili, mkishindwa kufikia muafaka basi kila mtu abaki na kile anachokiamini, mnawapa nafasi makafiri2 ya kuongea
Wanatoka wasoma maulid na wanamsifia mtume kupita maelezo had sifa zingne za uongo na shirik ipo kweny maulid ndio maan tuna kataza ivi unazani allah kama atamrudisha mtume atakuja kupiga dufu
Bora wa Kenya hukaa wakajadiliana, natamani kuwaona masheikh wa Tanzania nao wakikaa kwenye vikao kama hivi kujaribu kuziondosha fitna ziliopo katika mujtma'a
عن أم المؤمنين عائشة رضي الله عنها قالت قال رسول الله صلى الله عليه وسلم من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد، رواه البخاري ومسلم، وفي رواية لمسلم،، من عمل عملا ليس عليه أمرنا فهو رد،،
Waziri Islam ndugu yangu , umekuja nadalili hadithi zamtume S/W, kupingana Siku ya kuzaliwa mtume wetu Mohammed unataka we we ujuwe hazi husiani na hizo hadith ndugu yangu, (1) mtume wetu S/W amesema katika hadi yake kila siku ya juma tatu napenda Ku Fanya ibada aw kufunga soum , kwa ma ana siku nilipo zaliwa, Hapa MTU wetu yeye mwenyewe AME sherehe siku yake yaku zaliwa natena kila juma tatu ma'ana yaki arabu muwalid, ? Kwa hakika waislamu maulidi ni ibada sio mwaka peke yake tu kila juma tatu kumkubuka mtume S/A.
mamito mamita UYO ANA HOJA ICPOKUWA WANA WABABAISHA WAISLAMU WASIO SOMA KAMA ANASEMA NI IBADA ATULETEE DALILI KTK QUR.AN AU KTK HADITHI MFN SWALA AYA INAYO AMRISHA WATU WASWALI IPO ZAKA HAJJI NDOA SWAHUMU NK SASA ATULETEE DALILI YA KUSHEREHEKEA MAULIDI
Badala mjadiliane kuhusu mtaendeleza vipi dini yenu wasio waislamu mtawasomeshaje waujuwe uislaamu waingie kwenye nuru mwashindana Maulidi ni ibada jibu rahisi tuu, NDIO Maulidi niibada, maana ya Maulidi ni kuadhimisha mazazi, kwahiyo tukisema Maulidi ya mtume s. a. w, ni maadhimisho ya mazazi ya mtume s. a. w, niibaada
Abdallah Omari NICKILIZE KAKA ABDALLAH DINI AIENDI KIUSHABIKI KAMA MPIRA DINI YAFATWA KIHOJA NA DALILI ZA KISHERIA KTK QUR.AN NA HADITHI ZA MTUME WETU MOHAMMED SWALA NA SALAM ZIMUENDEE UNAPO SEMA MAULIDI NI IBADA INATAKIWA ULETE AYA AU HADITHI MM NAKUAMBIA JAMBO ILO NI UZUSHI AU HARAMU KWASABABU JAMBO ILO ALIPO KTK QUR.AN WALA HADITHI KWANN ATUSEMI SWALA AU NDOA AU ZAKA AU SWADAKA AU HAJI, KUWA NIUZUSHI ATUSEMI KWAKUWA VITU IVYO VIPO KTK QUR.AN NA HADITHI
Abdallah Omari ANGALIA KTK KITABU CHA IMAMU ANNAWAWI KIITWACHO الأربعين النووية HADITHI YA TANO VP MTUME WETU MOHAMMED SWALA NA SALAM ZIMUENDEE ANASEMA KUUSU WATU WANAO ZUA KTK DINI YA ALLAH MAMBO AMBAYO MJUMBE ALIE TUMWA KUJA KUIFUNDISHA DINI HII MAMBO HAYO AKUYAFUNDISHA KWAHIYO NYNY MNAJUWA SANA KULIKO ALIE FUNZWA NA ALLAH
@@waziriislam2455 Tumia hekma na akili acheni mizozo mnapoteza muda wenu bureee hakuna hata chamaana hapo mnachokizungumza utumbo mtupu munao jadiliana kutengeneza matabaka. Tu ndio mnayofanya.
Allah akurehem sh msellem
Allah AKUONGOZE ww kaka yangu ktk imani namm ktk haki na waislamu wote kiujumla بارك الله فيك يا أخي الكريم
Allah amrehemu Sheikh Msallam
Maulid ni Islamic version ya Christmas😭
Subhanallah
Ata watalamy nama professa wanamukubali nakusema ni wonderful people wanayopinga ico basi hawajiamini nauisilamu wawo nahawana pakuanziya mpaka wautangaze uisilamu ba Allah akisema waisilamu wataja dunia nzima ataja aje bilakusema kubawatu tukisikiya MUHAMMADI tunataka ataruka nazamani tulikua hatujuwi cocote leo tunafurahi nae Mutumebmukubwa sana uyo tena ni rehema kwa watuwote
Abdulrazak Allah Maghfirlahu wairhamu waisqinu fil Jannah
Mnakusanyika na kuanza kukosoa kazi zake Allah, mnajivua katika uslam bila nyie wenyewe kujua, kumsifu mtume sio jambo baya na wala haliitaji mkusanyiko huu, inaonekana kwamba shetani amewaita kwenye mkusanyiko haram na nyinyi kama waislam, mmemuitikia, na kuanza kukosoa kazi zake ALLAH
Hamisa Maundi kumsifu mtu si Ibada ......kumswalia mtume Niko Ibada..mnafanya mtume jinsi makafiri Na manaswara wanavyomfanya Isa bin Maria.jambo ambalo halikubaliki..
Mungu akuweke pahali pema peponi sheikh ahmad Mohammad msalim
Ameen
Tuswaliye mtume wetu tunampenda sana sana❤❤❤❤
Kumpenda mtume kwako ww ni kujistiri, kuswali, kuacha zinaa, kumtii mumeo km unae hayo ya madufu hayakupeleki peponi
+Rostam Kamazima Al ishayeedul khawariiyun kama wewe ndio fitna kwa uisilaamu leo hii
@@rostamkamazima1012 mtu hakufanya zinaa?
Maulidi ni ibada katika ushahidi gan shehe wangu ni bidaa tupu na kumzushia mtume ajiandae mtu mbele ya haki
Yaani ameshindwa kusema moja kwa moja ni ibada ama si ibada
Kuteza vugo nayo ni Ibaada pia ama
Kumsifu mtume si ibada ila kumswalia mtume ni ibada.... Na hakuna ibada inayoitwa maulid
Ukimswalia utamtaja na ukimtaja wamsifu kwa sifa zake kua yeye ni hivi ni vile ana hivi ana hivi hio ni ibada
Kweli mtume hataki kusifiwa ataka kuswaliwa
Sheikh kumsifu mtume inafaa kama humsifu wewe. Peke yako wacha kuwapoteza watu sisi tutamsifu mpaka mwisho wetu
@@abuahmad1206 duh eti mtume hataki kusiwa ataka kuswaliwa hiv umesoma kwel we au waongea bangi rejea madrasa acha kuongea utumbo
@@abuahmad1206 wamjua hassan bin thabit wewe???... alimsifu ama hakumsifu?
Mtume Muhammad s.a.w amesema ikhtilafu ni rehma.na suala hili la maulidi halikuanza Leo mjadala wake na hautokwisha ,je mnafikiri kufanya hivyo ndio kuendelea kwa uislamu au kuudidimiza zaidi ,nandio mnafikiri mtajenga umoja kwa namna hiyo.zindukani ikhwaani.
Hayo maneno umeyatowa wapi ya Kusema Ikhtilaafu ni Rehma!???Mtume hakusema Hivyo Mtume kasema Huu umma wake utakhitilafiana Mpaka Kugukia makundi 73 Lakin kundi moja ndio ni la Peponi aLipoulizwa akalitaja sifa zake kuwa ni watakaokuwa kama Sisi Tulivyo yaani Mtume na Maswahaba wake .Yaani wanaofuata Kitabu na Sunna kwa ufaham wa Maswahaba
Acheni kumpa nguvu shetani, mijadala kama hii inaondoa imani yako wewe muislam, mambo kama haya shetani ndio anayoyapenda na kumuonyesha kwa hamna imani na dini yenu, hebu muogopeni mungu katika hili tuwe kitu kimoja
Uwe kitu kimoja na Masufi,Mashia,Ahmadiyah,Qadiriya,Washirikina na Wazushi Huo umoja aina gani??Umoja aliouzungumza Allah ni watu kushikamana Na Haki
inallah wainallh rajuni waisilamu mbona 2napotea wanakaa chini wanabishana jee tunafkia malengo kweli tunaacha mambo mhimu
Enhee tunaacha Mambo muhim yepi??
nahili muhimu
UKITAKA KUWAJUA MAADUI WA ALLAH NA MTUME SAW INGIA UTUBE UTAWAONA AKIWEMO BACHU NA WENZAKE ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA
Sayyid abdul qadir aksante umetutoa ushahidi tens kutoka kwa ibn taymiyyah lkn kwao wao mawahabi bado hawatauona ukweli huo ,
Mawahabi wanajadili jina la maulid wanayaacha yanayofanywa ndani yake
Kabla ya kuja Sh Adam Eldoret Town miaaka ya 86, waislamu walikuwa Ahlu Sunnah Wa Jamaa. Lkn baada ya kueneeza sumu hii ya waahabiya, vizazi vilivo saliwa baada ya miaaka hii wakawa wanafunza kwa mbinu za kisheytaani na vizazi viza ma khawaarij katika mji huu
Mawahabi Ndio wamekuja Kuleta Tasfiyah Ule Uislam Wa Sawa sawa Sio hao wapotoshaji Kila wakiulizwa Wababisha kutowa majibu ya uhakika.Hawana Hoja Madhubuti
Nyny mnafanya happy birthday AMNA UTOFAUTI NA WAKRISTO WANAVYO MFANYIA NABII ISSA, YESU NYIE KILA KITU KUIGA IGA TU ATA AMUWAJUI WAANZILISHI WA IYO MAULIDI KAMA HAPPY BIRTHDAY NANYNY IMEBAKI SASA KUMUITA NABII MOHAMMAD KUWA MUNGU KAMA WANAVYO MUITA WAKRISTO NABII ISSA KUWA MUNGU KWAKUWA NYNYNY CMNAIGAIGA WAPI UMEPATA DALILI KTK QUR.AN AU HADITHI YA KUKUSANYIKA WATU KISHA WAKAMCFU MTUME AU TUWENI DALILI KWAWEMA WALIO TUTANGULIA KAMA WAME FANYA JAMBO ILO ANZANI KWA MASWAHABA MJE KWA MATABII NA TABII TABIINA AU KWAMAIMAMU WANNE KAMA KUNA IMAMU ALIE FANYA JAMBO ILO
A/s, nina waona ndugu zetu wa islamu Ku shinda na Ku poteza wakati na ku kufuru , tukarudi sifa zaa wasahaba wote walikuwa wanazo sifa zakupenda kwa ajili ya Allah na ku mpenda mtume S/w na sifazake zote , wasahaba wote wame nfayiya furaha mwulidi wakati ya mtume S/w kutoka makka ku hajirika maddina , nawasahaba wamekufuru wakati huwo kufanya sherehe ama furaha yamtume S/w kwa ajili ya Allah aw tuna zaidi yama somo kuliko wa sahaba? Nawa omba ndugu piganeni na shaitani siyo na ndugu zinu was islam, bahati mbaya tumeja naujauri na kukorofiana na matukano bila hishima hizo ndiyo sifa tulo baki Nazo, tuna tegemea jannatu fardosa, kweli hatuna Haya hata kidogo.
Mohamed Mohamed UJUI UNACHO KIONGEA
Kumbe ninyie Ndio mnasema nikajuwa nidini Ndio inasema
Tukiambiwa waislam vilaza hatutaki
Mawulid si ibaada
Haya ndio madhara ya mjadala watu bidaa yutowa shubha
الله المستعان
Waislam ebu tubadilike chamsingi kusoma tu na kufanya kitu kwa dalili
Mmi sioni kosa Linalo fanyika katika maulidi naona yote mazuri tu ila za watu ndo Wanao halamisha maulidi
Je,Ukisoma Suurat Ikhlaaswi wakati wa kuingia Chooni Yafaaa??
Ibn Kathir Praises the Night of Mawlid
One of the most renowned scholars is Ibn Kathir. Ibn Kathir was a muhaddith from the followers of Ibn Taymiyya. Ibn Kathir, in the last days of his life wrote a book entitled Mawlid Rasul Allah (s) which was spread far and wide. That book mentioned the permissibility and recommendability of celebrating the Mawlid. In it Ibn Kathir says:
"The Night of the Prophet's (s) birth is a magnificent, noble, blessed and holy night, a night of bliss for the believers, pure, radiant with lights and of immeasurable price."3
Ibn Taymiyya: "Laylat al-'Israa' wal-Mi'raj is Greater than Laylat al-Qadr"
"Shaikh ul-Islam Ibn Taymiyya was asked, `Which is better, Laylat al-Qadr or Laylat al-'Israa'?' and he answered, `With respect to the Prophet (s), Laylat al-'Israa' is better than Laylat al-Qadr.'"4 This is Ibn Taymiyya's Salafi opinion, but we say, as Ibn Marzuq, the reknowned student of Imam Nawawi said: "Laylat al-Mawlid is better than Laylat al-Qadr."
Zakiya m I appreciate u for having alot of knowdege concerning our topic
Acha Urongo wew??Huyo Ibn katheer Kayatowa wapi hayo Mawlid??Dini nibKumfuata mtume Kile alichofundisha Na Allah kashasema Dini Imekamilika.
Imam Al-Albani Debates a Supporter of Celebrating the Prophet’s ﷺ Birthday.
th-cam.com/video/ZoEb_obDr_k/w-d-xo.html
Stop lying..fear Allah ..ibn kathir is far away from your dirty celebration...
@@أبوفيصل-د3ش hapo ndo utajuwa uwahabi ni ujinga.utazijuaje sunna kama hukuzisoma kwa Akina ibnikatheer
فقال عمر: "يا بن رواحة أفي حرم الله وبين يدي رسول الله صلى الله عليه وسلم تقول هذا الشعر؟"، فقال رسول الله صلى الله عليه وسلم: «خل عنه يا عمر، فو الذي نفسي بيده لكلامه أشد عليهم من وقع النبل
elimu ni kitu muhimu sana
Inaskitisha,kama sisiote waslam malumbano haya yanatoka wapi????????????? Waislam sisi wote ni kitu kimoja, wote tunatakiwa tufuate suna za mtume Muhammad, sasa mijadala kama hii inatoka wapi??
Naaa ni ibada
Duu hatari kweli wanamacho lakini hawaon wanackio hawackii.nikweli mteme.alisema mawazo wa kiyama ni elimu itaondoka na ujinga utazidi kuonekana
waislam tunalumbana sisikwasisi Allah huwakbar wachamakuffar wazidikutupiga vita kwasababu ss wenyewe hatupotayari kushikamana nakuwa kitukimoja dah! mijadalakamahii nihatwar wapo watakao yumbakiimani nawapo watakaokufuru kupitiyamijadala kamahii huunimsiba
Tuwe kitu kimoja au Huo Umoja wa Wapi??Wakati Kuna Watu Wana kufru Wanatukana Maswahaba na Wamezama kwenye Shirki na Uzushi. Umoja wa Masufi,Ibadhi,Ahmadiya,Shia,Askaria,Qadiria,Doebandiyuuna (Matablighi) Na Ahlu sunna wal Jamaa??
xmass ya waislamu hatari sn hapa
Ni ibada kwasababu wako wene hawataki ata kumusikiya wanamufnyia chalenge nahawajuwi kwamba yupo katiyao mutume wazamazale kwanini asisifiwe atangazwe watuwajuwe sifazake namazuri ya kumukubali
Upuuzi mtupu hauna maana pesa mbili
Maswali mengine hayana vichwa
Jibu ni ibada!!!
Bado tunabishana Maulidi inafaa au haifai wakati ndugu zetu wanauwawa na kuuwana kila siku hapa hakuna nusra ikiwa tunaongozwa na watu kama hawa tunasubili kiyama tu.
Kwa hiyo kama Wanauwawa Sisi tufanyaje,??Allah asema Kila baya likiwafika watu basi Ni Kwa Uovu walio nao.
Watu hawafahamu bado adabu za kiislamu wewe fuata yako kwann walazimisha watu wafanye mnavyotaka nyie pia mue na adab ktk masuala yenye ikhtilaaf na ALLAH NDIE MJUZI NA NDIE HAKIMU .
Hakuna khilafu katika suala la maulidi
Simba Al-Ahdaly😂
Hawamuezi ....wamekata part ya jibu lao mawahabi baada ya simba kutaja maneno ya ibn mas'ud 😅😂
Kwani maulid ni nini?
Na kitu gani kinachofanyika kwenye maulid?
Na je vinavyofanyika kwenye maulid vinafaa ama havifai?
Maulidi ni kiarabu , kwa kingereza ni happy birthday
@@hassansingano1150 hahaha basi toa jina la maulidi. Sisi twanfanya kumswaliya mtume. Sisi twafanya kusoma quran. Jina la MAULID toa kabsaaaaaaaa. Je, bado wasema kumswaliya mtume s.a.w na kusoma quran ni happy birthday?????
Musa Horn AVIFAI VOTE VINAVYO FANYIKA UKO KWASABABU MKUSANYIKO HUO AUNA DALILI
Omar Sharif Ali TATIZO WAISLAMU WENGI BENDERA FUATA UPEPO AWAJUI KAMA JAMBO ILO WAISLAMU WASIO JITAMBUA WAME WAIGA WAKRISTO WANAVYO MSHEREHEKEA NABII ISSA, YESU
Vinavyo fanyika ktk maulidi si vyote vibaya, kibaya nionacho Mimi niupigaji wa ngoma, tunajua ngoma no haramu. Vp Apo?
Maulid si ibaada..maulid ni sherehe ya siku ya kuzaliwa mtume. sasa hii ndo ibaada.the birthday of the prophet kama vile wanaswara Christmas.
Kufunga juma3 ni ibada si ibada?
Jambo jengine kila harusi inafunguliwa kwa Quran wakati hili lilikua halipo lakini ni jambo jema
Sioni jema ktk bida'a
duh
Sawajema je mtume amefanya km. hajafanya bidaa
Bid'aa ni bid'aa tu, hakuna bid'aa njema
Wanafungua kwa quran kisha mziki mwanzo mwisho hatary
Badala mjadiliane kuhusu mtaendeleza vipi dini yenu wasio waislamu mtawasomeshaje waujuwe uislaamu waingie kwenye nuru mwashindana Maulidi ni ibada jibu rahisi tuu, NDIO Maulidi niibada, maana ya Maulidi ni kuadhimisha mazazi, kwahiyo tukisema Maulidi ya mtume s. a. w, ni maadhimisho ya mazazi ya mtume s. a. w, niibaada
Sharti ya ibada ni lazima iwe ina igwa kutoka kwa mtume saw isipoigwa kwa mtume itakuwa ni kitu kilicho ongezwa kwa dini na hivyo ni bida... Sababu ukisema fajri nitasali rakaa tatu kisha useme si ni swalaa tuu ni ibada itakuweje? Tutasema sio ibada sababu umemkhalifu Allah na rasuli wake...sasa maulidi imeigwa kutoka kwa Nani? Haikusherekewa na rasuli mwenyewe baali alikuwa anafunga saumu siku ya jumatatu na alkhamisy alipoulizwa alisema ni siku niliozaliwa na ni siku nilioteremshiwa wahyi!!!! Sasa wewe ambao unasherekea maulidi umemwiga Nani??? Tumwogope Allah tusizidishe kwa dini kwa matamaniyo za nafsi
i dont have time for these al khawarijiyuun
kama ni hvy na wewe ukifunga juma tatu wakt umezaliwa ijumaa itakuwaje hapo.?
Chizo...mtume alikuwa anafunga siku ya jumatatu na alhamisi kwa sababu tatu ya kwanza ni haswa siku ya jumatatu ndiyo alizaliwa
kutoka kwa Abu Hureira t kwamba Mtume ﷺ amesema: “Hupandishwa matendo (juu kwenda mbinguni) kila jumatatu na alhamisi, basi napenda matendo yangu yapandishwe hali ya kuwa nimefunga” [Imepokewa na Tirmidhi.].
mbona tunalumbana tena au hamuoni kuna mambo ya mhimu mbona mnakata mauldy je mnacho fanya hapo ni sahihi kweli si heri msome maulidi kuliko mnacho kifanya
Masuala yepi muhim Mzee.Au wew Khawaarij
Mashehena hamna kazi
hunakazi ww
Kila ibada ina nguzo na mashatti je nguzo za ibada ya maulidi ni ngapi na Mambo yanayobatilisha ni mangapi
Ibada ni nini ?
Ibada ndo nini kila kinachofanywa na Allah anakirizia kwa vitendo, maneno, kama vile duwa, hija, kuchinja kwa jiili ya Allah sasa tujiulize maulidi km ibada je kitendo gani kinachofanywa kwenye maulid ni ibadaa.
Huyo mselem ni katk mashaiykh khatari xana kwa ummah wa kiislam
Weka ubwabwa wa maulidi kwanza
u
Yani watu wanapinga kheri zinazofanywa kwenye maulid wakati vitu vingi vinafanywa na vilikua hakuna kipindi cha bwana Mtume SAW lakini vinafanywa dunia nzima kwa mfano kufanya mashindano ya Quran na kukusanyana watu kila pahali na kutoa mazawadi tele wakati jambo hili lilikua halipo lakini ni jambo jema
Mawlid Hakuna Kheri yoyote zaid ya Kucheza Ngoma Ambapo Allah Ameita Ni Njia ya Shetani ya kuwazuia watu katika Njia ya Allah.
Kasome kijana
Rudi chuoni uanze Alif huenda ukajua japo ulisemalo
Hili ni tatizo kwa waislam, khitilafu kama hizi isiwe sababu waislam kufarakana. Wanaosoma maulid kama hawatoki nje ya mipaka ya kiislam waendelee na wasiosoma waendelee hivyo, kila mtu ana mapungufu yake wengine mashekhe wakubwa2 lakini mambo wanayofanya wakiwa falagha hata shetani mwenyewe hakuwahi kufanya, mijadala kama hii hakukua na sababu ya kurusha mitandaoni au kurekodiwa mngekaa wenyewe kwa wenyewe mkajadili, mkishindwa kufikia muafaka basi kila mtu abaki na kile anachokiamini, mnawapa nafasi makafiri2 ya kuongea
Wanatoka wasoma maulid na wanamsifia mtume kupita maelezo had sifa zingne za uongo na shirik ipo kweny maulid ndio maan tuna kataza ivi unazani allah kama atamrudisha mtume atakuja kupiga dufu
tatizo mwanagu
Jibu maulid ni ibada waruruka pambavu
Wacheni matusi wote ni waislamu
Mijadala kama hii inaupoteza uislam, inabidi istopishe🤨
"acha likutialo shaka kwa lisilokutia shaka" hadith ya amehifadhw hassan swibt( RAW)
Katika mikusanyiko kama hii akuna malaika yeyote anaeuthuli, mara nyingi shetani ndio anauthuli, na sababu mnazijua
Makafir wanarumbana kuhusu mawlid yote haya nimapote Allah atukinge nayo wanopinga nawanao pingwa wote pigaX
HAWA WOTE WAJINGA
itakilaha
Wawe ni mjinga zaidi kuliko wao
mashehe wengi wa kenya ni wanafiki
Bora wa Kenya hukaa wakajadiliana, natamani kuwaona masheikh wa Tanzania nao wakikaa kwenye vikao kama hivi kujaribu kuziondosha fitna ziliopo katika mujtma'a
Ulijuaje kwa nini unasema hivyo
wazee watu wazima maulid mauled mauled jina LA MTU na uwo ujingawenu
عن أم المؤمنين عائشة رضي الله عنها قالت قال رسول الله صلى الله عليه وسلم من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد، رواه البخاري ومسلم، وفي رواية لمسلم،، من عمل عملا ليس عليه أمرنا فهو رد،،
Waziri Islam ndugu yangu , umekuja nadalili hadithi zamtume S/W, kupingana Siku ya kuzaliwa mtume wetu Mohammed unataka we we ujuwe hazi husiani na hizo hadith ndugu yangu,
(1) mtume wetu S/W amesema katika hadi yake kila siku ya juma tatu napenda Ku Fanya ibada aw kufunga soum , kwa ma ana siku nilipo zaliwa,
Hapa MTU wetu yeye mwenyewe AME sherehe siku yake yaku zaliwa natena kila juma tatu ma'ana yaki arabu muwalid, ? Kwa hakika waislamu maulidi ni ibada sio mwaka peke yake tu kila juma tatu kumkubuka mtume S/A.
je kucheza ngoma na wanawake ustadh msalam ni ibada?
mamito mamita UYO ANA HOJA ICPOKUWA WANA WABABAISHA WAISLAMU WASIO SOMA KAMA ANASEMA NI IBADA ATULETEE DALILI KTK QUR.AN AU KTK HADITHI MFN SWALA AYA INAYO AMRISHA WATU WASWALI IPO ZAKA HAJJI NDOA SWAHUMU NK SASA ATULETEE DALILI YA KUSHEREHEKEA MAULIDI
wewe msallam utamfundisha nani nini????
kwanza rekebisha wasichana wako na nyumba yako.
hatukuja kutoleani aibi ni mjadala watu wanufaike na ikwa ni aibu kila nyumba haikosi aibu toka wakati wa mitume
Hapa sio swala lakujadili shemsalama wala wanawe swali hapa je maulidi ni Ibada ama sio Ibada
Unataja aibu za mwenzako hapa jee wewe tukitaja aibu zako hutokasirika? Basi tengeneza aibu zako kwanza kisha ndio utoe za mwenzako huo sio uungwana, ubabe wala uhodari ndugu yangu Muogope Mola wako
watu wengine kama wamelogwaaa husika na madaa sualaa LA malezii nijambo lakutaka msaada kqa Allah
I
Badala mjadiliane kuhusu mtaendeleza vipi dini yenu wasio waislamu mtawasomeshaje waujuwe uislaamu waingie kwenye nuru mwashindana Maulidi ni ibada jibu rahisi tuu, NDIO Maulidi niibada, maana ya Maulidi ni kuadhimisha mazazi, kwahiyo tukisema Maulidi ya mtume s. a. w, ni maadhimisho ya mazazi ya mtume s. a. w, niibaada
Abdallah Omari TOA DALILI KTK QUR.AN AU HADITHI KAMA MAULIDI NI IBADA
@@waziriislam2455 nawewe waeza nitolea aya inayo sema Maulidi niharamu, nnaninakuuliza, kumjua mtume mkiwa mmekusanyika ni haraamu?
Abdallah Omari NICKILIZE KAKA ABDALLAH DINI AIENDI KIUSHABIKI KAMA MPIRA DINI YAFATWA KIHOJA NA DALILI ZA KISHERIA KTK QUR.AN NA HADITHI ZA MTUME WETU MOHAMMED SWALA NA SALAM ZIMUENDEE UNAPO SEMA MAULIDI NI IBADA INATAKIWA ULETE AYA AU HADITHI MM NAKUAMBIA JAMBO ILO NI UZUSHI AU HARAMU KWASABABU JAMBO ILO ALIPO KTK QUR.AN WALA HADITHI KWANN ATUSEMI SWALA AU NDOA AU ZAKA AU SWADAKA AU HAJI, KUWA NIUZUSHI ATUSEMI KWAKUWA VITU IVYO VIPO KTK QUR.AN NA HADITHI
Abdallah Omari ANGALIA KTK KITABU CHA IMAMU ANNAWAWI KIITWACHO الأربعين النووية HADITHI YA TANO VP MTUME WETU MOHAMMED SWALA NA SALAM ZIMUENDEE ANASEMA KUUSU WATU WANAO ZUA KTK DINI YA ALLAH MAMBO AMBAYO MJUMBE ALIE TUMWA KUJA KUIFUNDISHA DINI HII MAMBO HAYO AKUYAFUNDISHA KWAHIYO NYNY MNAJUWA SANA KULIKO ALIE FUNZWA NA ALLAH
@@waziriislam2455
Tumia hekma na akili acheni mizozo mnapoteza muda wenu bureee hakuna hata chamaana hapo mnachokizungumza utumbo mtupu munao jadiliana kutengeneza matabaka. Tu ndio mnayofanya.