Waimbaji hawa hatari nawapenda Sana,Mungu amewapa uwezo wakustahimili muziki bila Bekepu kwa Makambi zinazofuatana.Amina mzidi ktk Bwana❤❤❤@Shanny my Alto gal and Lillian sop na kikosi chote,Barikiweni na Mungu.
Amen wanasongambele nawapenda sana nyimbo zenu ni injili inanijenga kila siku twawapenda sana kutoka Vancouver Canada mungu abariki sana watunzi wenu their composition and composition is on another lever keep spreading the gospel
Bila shaka sauti ya Malaika inasikika katika nyimbo zenu ambazo Kwanza ni za kuiinua injili iokoayo ya Yesu juu, pili kwa,andaa watu wa Mungu, ufunuo 22:12, kwa ambao kuko karibu, kurudi kwa Yesu mwokozi wetu Mara ya pili Amosi 4:12. Kutoka Kenya.
Hongereni sana Songambele, mnaimba kwa kujituma na kwa moyo wote, na watunzi wa nyimbo zenu wamebarikiwa kwa kweli. Sichoki kuwasikiliza. Mungu apewe sifa daima
For sure you are special Angels God has send to spread His gospel to everybody far n near. Your songs are full of enriching messages so powerful. May God go before you bless you as you go out to spread his gospel.❤
Amina na Amina! MUNGU awabariki sana hakika nyimbo zenu zinanibariki sana uimbaji wenu ni wa kipekee mmekuwa faraja kubwa sana kwa sisi tulio mbali na huko nyumbani nawapenda sana na nawakubali. najivunia maisha kizaliwa Tanzania na MUNGU kutupa lugha nzuri na yenye upako Love from Furaha Choir Swahili service-LONDON Christopher Shonga
Ameen mungi awabarikiki wimbo huu uko na ujumbe mzito wa kiroho baada kuisikiliza nime pata kulewa vizuri kufuzu dinar moja maanake mm ni mkenya mbarikiwa kutoka qatr
Nahisi nimeuzsikiliza zaidi ya mara 100 sasa, nabarikiwa sana na uimbaji wenu. Mungu atukuzwe 🙏🙏🙏
Mbarikiwe Sana Wana songambele nyimbo zenu zinanibariki sana
Waimbaji hawa hatari nawapenda Sana,Mungu amewapa uwezo wakustahimili muziki bila Bekepu kwa Makambi zinazofuatana.Amina mzidi ktk Bwana❤❤❤@Shanny my Alto gal and Lillian sop na kikosi chote,Barikiweni na Mungu.
Amen Amen Amen, wimbo mzuri Sana, Nawapenda sana wanasongambele
Amen wanasongambele nawapenda sana nyimbo zenu ni injili inanijenga kila siku twawapenda sana kutoka Vancouver Canada mungu abariki sana watunzi wenu their composition and composition is on another lever keep spreading the gospel
Hallelujah endeleeni kusonga mbele mpaka ajapo YESU❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤😊
Bila shaka sauti ya Malaika inasikika katika nyimbo zenu ambazo Kwanza ni za kuiinua injili iokoayo ya Yesu juu, pili kwa,andaa watu wa Mungu, ufunuo 22:12, kwa ambao kuko karibu, kurudi kwa Yesu mwokozi wetu Mara ya pili Amosi 4:12. Kutoka Kenya.
Nimebarikiwa Eric moseti makori kutoka Nairobi Kenya mwangaza church
Nimebarikiwa Eric moseti makori kutoka Nairobi Kenya mwangaza church
Ameeen so songambele church from the book of Ravelation 1:17:18 barikiwa saaana
Hongereni sana Songambele, mnaimba kwa kujituma na kwa moyo wote, na watunzi wa nyimbo zenu wamebarikiwa kwa kweli. Sichoki kuwasikiliza. Mungu apewe sifa daima
Ameni Mungu awabariki zaidi, lakini msiwe mnachelewa Sana kutupatia matoleo ya nyimbo Kwa wakati
Barikiweni sana kwa ujumbe mzuri
Niyonzima.ndabakunda muniyimbabizuli
Amen tuongee mbele yesu mwokozi wetu asubuhi njema anarudi
Mbalikiwe sana naweza kupata no ya mwenyekiti wa kwaya
Hiiii ni kali inginee kutoka kwa watu wangu wa nguvuuu🎉🎉 ase nawapendaa Big choir in Tanzaniaaa ❤❤🎉🎉
B blessed nc song
Amina,,,, mungu awabariki sana wanasongambele,, nyimbo hizi huwa zinanibariki sana
Nawapenda Toka Nyamanoro Mwanza.Mbarikiwe
Mungu kweli amewaonekania na azidi kuwaonekania.
Nyimbo za injili unaolingana na muda tunaoishi
For sure you are special Angels God has send to spread His gospel to everybody far n near. Your songs are full of enriching messages so powerful. May God go before you bless you as you go out to spread his gospel.❤
Amina na Amina! MUNGU awabariki sana hakika nyimbo zenu zinanibariki sana uimbaji wenu ni wa kipekee mmekuwa faraja kubwa sana kwa sisi tulio mbali na huko nyumbani nawapenda sana na nawakubali.
najivunia maisha kizaliwa Tanzania na MUNGU kutupa lugha nzuri na yenye upako
Love from Furaha Choir
Swahili service-LONDON
Christopher Shonga
Listening to this wonderful piece 🎉 may God bless you,,this is one of my best choirs
Songambele mnaimba vyema.nabarikiwa na nyimbo zenyu.nikirudi nyumbani karibuni Kenya nitawatafuta Tanzania ukweli.great songs may God bless you
Waho kwenye shamba Jaman nimempenda😂😂
Mungu atukuzwe kwa kuwafanikisheni kumalza na kuanza mwaka vyema kwa nyimbo zenye ujumbe mzito zaidi kwa kweli mnazidi kupanda kiwango!!!
wooow!! May God bless you all for such a wonderful song with a strong message.🙏
Hongera sana, mungu awabariki sana
Mbarikiwe na mzidi kutubariki kwa uweza wa Yesu kristo.
Joseph nipo serengeti nafarijika sana sana .ungu awabariki
Amina
Aminaa! Wimbo mtamu. Maneno ya Kristo haya yanatufanya kuwa wanyenyekevu lakini🙂 Mbarikiwe sana.
Mungu tusaidie tuweze kufika pale ❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤mbarikiwe sana!
Amina
Wimbo mtamu
Hii ni 🔥🔥🔥🔥
Jamani naomba mwenye mawasiliano hii kwaya anitumie namba.
Wapo makongo juu
Barikiweni watu wa Mungu
Amen amen amen mungu awabariki sana kwa nyimbo nzuri za kusifu bwana yesu kristo mbarikiwe Kwa imani
❤ Amina
nafarijika sana na Wimbo huu
Nawapenda mnoo
Bwana awabalik mmejitahidi
I first heard this song when you people came to Mwangaza Nairobi, a nice and touching piece. God bless Songambele
Dinari mojaàà
Mbarikiwe
I love your songs n you're composed to God's gospel
nice song,barikiwa
Nabarikiwa Sana na nyimbo zenu wacha kazi ya mungu isongembele
Dinari Moja dinari Moja...so nice to hear your voices.GOD bless you all
Dinari Moja dinari Moja...so nice to hear your voices.GOD bless you all
Tooo sweet too short, praise God! I repeat and repeat I can’t have enough of this , mbarikiwe sana
Très bien et cool pour cette chorale Songa mbele, tunawapongeza
Amen 🙏🙏🙏
Amena
Amen 🙏🙏
Amen
❤❤❤❤
Very powerful message
Good bless you people
Amen
Amen
2:02
Amen... What a song.....❤
WOW the song is so amazing, be blessed.
AMEN AND AMEN MORE BLESSINGS 🎉🎉🎉
amen and i fill blessed with this choir i love you my people😘😘😘
May God bless your ministry, we are blessed with your music
Amen amen
Wow Amen
Amen god bless you
God bless u all songambele nimebarikiwa saaaaaana
Blessed
💪💪💪💪💪💪💪
Barikiwa sana kwa wimbo wenu mtamu wenye maono
Amen God bless you
❤❤❤❤❤❤
Wimbo mtamu Mungu aibariki hii kwaya. Hii kwaya inapatikana sehemu gani na kama kuna mtu mwenye mawasiliano yao nayaomba.
Iko mererani kaka natafuta namba nitakutumia
Wimbo kali.....Mungu awainue
Amn amn amn san .rvsd njiro karb san
Mungu asimame nanyi siku sote
mnatubariki san kwa njia ya uimbaji
Nabapnda
Ameen mungi awabarikiki wimbo huu uko na ujumbe mzito wa kiroho baada kuisikiliza nime pata kulewa vizuri kufuzu dinar moja maanake mm ni mkenya mbarikiwa kutoka qatr
Amen barikiweni saaana🙏🙏
Injili inaeleweka Amina
Sifa na Shukrani ni kwa Bwana
❤penda sana mtunzww
Amina watumishi
Ameeeeena!!
Amen.feelinh blessed
❤very nice
Amen..
Amen 🙌🙏
❤❤❤❤
Gai amoradhime
TWAIMBA TWAHUBIRI tuleteeni video yake
Amina wow..wimbo mtamu sana Mungu aweze kuwabariki nawatazama nikiwa Nairobi Kenya
Amen
Mungu awabariki sana