MAZOEZI YA MWISHO KABLA YA FAINALI YA NGAO YA JAMII DHIDI YA AZAM FC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 140

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 หลายเดือนก่อน +22

    Mungu wasaidie wachezaji wetu kesho tushinde tutwae kombe la ngao ya jamii Daima mbele nyuma mwiko🇹🇿🔰✔️

  • @HamimSaid-g5p
    @HamimSaid-g5p หลายเดือนก่อน +42

    Km ww mwananch weka like kubwa hapa kwa ushindi wa kesho ❤

    • @user-ro7cs9yn5g
      @user-ro7cs9yn5g หลายเดือนก่อน +1

      Mmmmh kwani wewe huongopi?

  • @robinsonprashid8943
    @robinsonprashid8943 หลายเดือนก่อน +11

    PACOME am weiting for you I need a goal on tomorrow this season you gonner be MVP

  • @mwajayhaxxan5507
    @mwajayhaxxan5507 หลายเดือนก่อน +17

    Kila la kheri wapambanaji wetu,, Allah awajaalie afya njema, awaepushe na majeraha ktk mchezo wa kesho. Awaajaliee muweze kupambania nembo ya Yanga na Ngao ije jangwani In Sha Allah

    • @hawajohn749
      @hawajohn749 หลายเดือนก่อน +1

      Na ivi azam wanajuaga kuwaumiza

  • @BabuuBar
    @BabuuBar หลายเดือนก่อน +7

    Kila la kheri wanchi mungu awaepushie na mabaya 💚💛💚💛💚💛🔥

  • @lekungaMbototo
    @lekungaMbototo หลายเดือนก่อน +9

    Kila laheri mungu ibariki yanga Kila iendapo naitakia ushi kubwa 💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @nkunsimeon5148
    @nkunsimeon5148 หลายเดือนก่อน +9

    Chama chama kesho usituangushe. Hatujaona ule moto wako. We still waiting for your skills and your talents.

  • @claratango9262
    @claratango9262 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏

  • @HALIMASHABAN-xd9rj
    @HALIMASHABAN-xd9rj หลายเดือนก่อน +6

    Inshallah na iwe khel kwetu kesho 💛💚🖤

  • @user-ug1nv3xl4d
    @user-ug1nv3xl4d หลายเดือนก่อน +4

    Allah awatangulie tutashinda kwa uwezo wake inshallah

  • @AgataNkuva
    @AgataNkuva หลายเดือนก่อน +5

    Kila laheri mungu aibariki yanga💚💚💚💚💛💛💛💛🤏🇲🇿

  • @SalmaKhalifa-lz9ol
    @SalmaKhalifa-lz9ol หลายเดือนก่อน +5

    Ikawe kheri inshallah 💛💚💛💚💛💚💚

  • @sadasadala8942
    @sadasadala8942 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu ibariki yanga yetu Inshallah.

  • @user-yk7ff9ks6q
    @user-yk7ff9ks6q หลายเดือนก่อน +4

    Allah wape nguvu na ari wachezaji wetu wa yanga amin

  • @gervas58
    @gervas58 หลายเดือนก่อน +10

    Gonga like ..kama umeona Gamondi anaita mchezaji mmoja mmoja peke yake wale muhimu ..kuwapa maelekezo

    • @herrysonk.edward609
      @herrysonk.edward609 หลายเดือนก่อน +3

      Upo sawa mwananchi ila rekebisha kdg apo yanga hatuna mchezaji muhimu na asie muhimu wote wanatumikia kilabu kwa usahihi kuringana na mahitaji ya mwalimu mwalimu kawaita kuwapa melekezo kuhusu nini wafanye kuringana na nafasi zao wanazocheza uwanjani wapi waboreshe zaidi
      All in all yanga bingwaa

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 หลายเดือนก่อน

      @@herrysonk.edward609I second you

  • @abdulkombo995
    @abdulkombo995 หลายเดือนก่อน +7

    Daima mbele 💚💚💚💛💛💛

  • @FrankMasala-z1n
    @FrankMasala-z1n หลายเดือนก่อน +7

    Naitakia kila la kheri timu yangu ya Yanga

  • @user-ug1nv3xl4d
    @user-ug1nv3xl4d หลายเดือนก่อน +2

    Jezi za mazoez nzuri sana nimezielewa

  • @MagdalineMambo
    @MagdalineMambo หลายเดือนก่อน

    Nawaaminia wanangu, mwenyezi awahifadhi na ajali,Ili mpate ushindi Amen

  • @nasibmussa2014
    @nasibmussa2014 หลายเดือนก่อน

    Mungu ibariki Young Africans, uwape ushindi leo team yetu, haina hila wala husda na yoyote, weka Baraka zako baba.. AMEEN🙏

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน +1

    Tunawapenda sana wachezaji wetu. Hatuishi kuwaombea. Mungu awalinde na kuwapigania.

  • @ramadhanikuchuna5410
    @ramadhanikuchuna5410 หลายเดือนก่อน +3

    Inshaallah! ,, 🥇🥇💚💚⚽⚽

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu หลายเดือนก่อน +6

    Yanga bingwa na kesho inshallah tutashinda goli 3

  • @EdithaJoseph-x6n
    @EdithaJoseph-x6n หลายเดือนก่อน

    Mungu ibariki yanga yangu ipate ushindi mwema💚💛💛💛

  • @muddyshaban7031
    @muddyshaban7031 หลายเดือนก่อน +4

    💚💚💚

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k หลายเดือนก่อน +4

    Utaifungaje hii yanga au Mimi sioni vzr😅

  • @user-rd4fk7ec3q
    @user-rd4fk7ec3q หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ajalie ushindi Ila nataman kumuona farid uwanjan lakin asiwe beki

  • @jmasutv2228
    @jmasutv2228 หลายเดือนก่อน +1

    Love You Yanga "Jackson Masumbuko Wambura is watching

  • @YusuphBupamba
    @YusuphBupamba หลายเดือนก่อน +1

    💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛

  • @yusuphally6420
    @yusuphally6420 หลายเดือนก่อน +6

    Kesho ni Triple C Day chukua iyo

  • @user-ox9wj6tu3c
    @user-ox9wj6tu3c หลายเดือนก่อน +5

    Sijamuona aucho💚💛💚💪💪💪

    • @KennedyJohn-p1i
      @KennedyJohn-p1i หลายเดือนก่อน

      Anglia kw makin maan aucho nd nweny raxta pekoe nadhan anaonekana vrz 2

    • @barikilangoy4737
      @barikilangoy4737 หลายเดือนก่อน

      Tumia macho ya kiroho utamuona

  • @HamzaMohamedi-p1n
    @HamzaMohamedi-p1n หลายเดือนก่อน

    Yanga bingwa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @FikiriGaleki
    @FikiriGaleki หลายเดือนก่อน +1

    Yanga bingwa❤❤

  • @user-mc3vw3ex2n
    @user-mc3vw3ex2n หลายเดือนก่อน +2

    💚💛💚💚💛💛💚💚💚💚

  • @user-MIO5pu1iv7o
    @user-MIO5pu1iv7o หลายเดือนก่อน

    Asante MUNGU 🎉 wachezaji wote wa Yanga ni wamoto sana wana viwango vya juu
    Mungu tunaomba wape viwango vingine zaidi uwapandishe wote kila mmoja kwa nafasi yake aibebe timu kwenye kila mchezo wawe wa kwanza Amina.🎉🎉❤❤❤❤❤ i love Yanga

  • @dicksonnasibu
    @dicksonnasibu หลายเดือนก่อน +3

    Yanga bingwa

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm หลายเดือนก่อน +1

    I LOVE YANGA MWAAAAAAH!!!!!👏😜😜✊🎁🎁🎁

  • @terrence9477
    @terrence9477 หลายเดือนก่อน +4

    Naomba Pacome alindwe maana azam zao ni kutuumizia wachezaji wetu

  • @user-xe7kp9dr4i
    @user-xe7kp9dr4i หลายเดือนก่อน

    Mungu mbeleee🎉🎉🎉

  • @benorddesideri
    @benorddesideri หลายเดือนก่อน +4

    Hiyo jersey ya mazoezi tunaitaka bhana

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku หลายเดือนก่อน +1

    Yanga kubwa sana

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 หลายเดือนก่อน

    Kila laheri na mazoezi mema ktk mchezo wetu wa kesho MUNGU wetu awalinde na majeraha mkapambane tupate ushindi inshallah 🙏

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo หลายเดือนก่อน +1

    Mungu pamoja nasi

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 หลายเดือนก่อน +1

    Okey nimemuona

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 หลายเดือนก่อน

    Allaah Akbar

  • @Cosmassr
    @Cosmassr หลายเดือนก่อน +3

    First to view😊

  • @eduwadiMboopo
    @eduwadiMboopo หลายเดือนก่อน

    mungu ni mwema kwa yanha

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo หลายเดือนก่อน

    Kazi njema kwenu

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj หลายเดือนก่อน +1

    Mna nguo nzr sana

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p หลายเดือนก่อน +1

    kila la heri wachezJi we2 ameen

  • @GodsonMushi-oc6oh
    @GodsonMushi-oc6oh หลายเดือนก่อน

    Daim mbeleee wananchiiiiiiiii

  • @user-er1dk6zj6u
    @user-er1dk6zj6u หลายเดือนก่อน

    Watu wa kazi

  • @DanielMaksiro
    @DanielMaksiro หลายเดือนก่อน

    INSHALLAH TUNASHINDA 💛💚

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 หลายเดือนก่อน +2

    Endeleeni kupambana wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi

  • @JumaMngumba
    @JumaMngumba หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉💚 💚 💛

  • @DavidPoul-y8k
    @DavidPoul-y8k หลายเดือนก่อน

    Mungu awasaidie mtupigie mtu kesho

  • @innocentmmandago3029
    @innocentmmandago3029 หลายเดือนก่อน

    All the best

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥💚💚💚

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 24 วันที่ผ่านมา

    💛🖤💚

  • @user-rr5zm7ly6p
    @user-rr5zm7ly6p หลายเดือนก่อน

    Yanga Africa

  • @NdevuKamdini
    @NdevuKamdini หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @robertchazya2351
    @robertchazya2351 หลายเดือนก่อน +1

    Aziz Ki aongeze usharp na userious, awe faster yaani, speed.. accuracy. Awe anafight pia, aache ulegelege

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa kifupi aache kucheza ki staa,ajifunze kwa Pacome jamaa anajua sana aafu hana shobo

  • @BhassaTanzania
    @BhassaTanzania หลายเดือนก่อน

    Kila heri wachezaji wetu Inshalah Mungu atawajalia ushindi mnono na uchezaji mzuri

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances หลายเดือนก่อน +1

    CHAMA KUBWA BARANI AFRICA HATÀ Mamelod n̈a Waaĺabu WÀNAZIJUA HIZI MASHINE«

  • @MasekeEmmanuel
    @MasekeEmmanuel หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @boldedits5187
    @boldedits5187 หลายเดือนก่อน +1

    First❤❤

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 หลายเดือนก่อน +1

    Kila la kheri wapambanaji wetu umakini unahitajika na utulivu na pia msiingie kwa kujiamini muingie kimkakati na kutumia nafasi kwa usahihi pia kutokuwa wabinafsi na aziz ki ajitahidi hasiwe anapoteza mipira najua kasi kubwa hana ila awe shapu kuiwahi mipira mingine ni myepesi kwake

  • @MuhajirHamis
    @MuhajirHamis หลายเดือนก่อน

    Duah nene kwa club yangu ya YANGA hapo kexho panapo majaaliwa

  • @user-it2pz1hf9t
    @user-it2pz1hf9t หลายเดือนก่อน

    Allah wajaalie wapambanaji wet wamaliz mchez w kesh salm n kupat ushindi pia.

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania หลายเดือนก่อน

    Aucho yupo

  • @harunamashaka6200
    @harunamashaka6200 หลายเดือนก่อน

    🔰

  • @fredmbossa-kc3qn
    @fredmbossa-kc3qn หลายเดือนก่อน

    aziz k atakuwa ameonywa na gamondi inaonesha kiwango chake dhidi ya mtani hajakielewa

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 หลายเดือนก่อน

    Narudia tena wachezaji msiwe wachoyo kupasiana pasi za faida na timu sio lazima kulazimisha kufunga pasipowezekana

  • @robinsonprashid8943
    @robinsonprashid8943 หลายเดือนก่อน +1

    Chama tunaomba uprove wrong kwa hao makoloo ukipata nafasi jitume wala usibase na mawazo ya watu

  • @user-qk8mh1hb6o
    @user-qk8mh1hb6o หลายเดือนก่อน +1

    𝑯𝒖𝒎𝒖 𝒕𝒖

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 หลายเดือนก่อน

    Kesho tunataka ushindi mashabiki went kwaio tunawaombea dua zakutosha kila la kheri apo kesho sisi tuna MUNGU

  • @PatrickOrio-o1b
    @PatrickOrio-o1b หลายเดือนก่อน

    Kesho linakufa jitu

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa หลายเดือนก่อน

    Kuna wachezaji baadhi wanafanya uvivu kwenye mazoezi😢😢

  • @ikwabemagesa5876
    @ikwabemagesa5876 หลายเดือนก่อน

    Sijamuona Dube

  • @KingimmaKelela
    @KingimmaKelela หลายเดือนก่อน

    Kila la kheri yanga hapo kesho..🙏🙏💚💛

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน

    Aziz k, makolo wanaanza maneno. Prove wrong to them.

  • @user-ql2hc7zt6b
    @user-ql2hc7zt6b หลายเดือนก่อน

    Kesho tunafungua kabati

  • @medimajogoo
    @medimajogoo หลายเดือนก่อน

    kila la heri chama langu yanga

  • @user-ph4ch9qx5p
    @user-ph4ch9qx5p หลายเดือนก่อน

    Naitakia timu yangu Yanga ushindi dhidi ya Azam..

  • @muddyshaban7031
    @muddyshaban7031 หลายเดือนก่อน

    💚💚💚

  • @mgobanyapazi7738
    @mgobanyapazi7738 หลายเดือนก่อน

    Ubaya Ubwege
    Ubaya uwabwelela

  • @redforcemagume958
    @redforcemagume958 หลายเดือนก่อน +2

    Kesho inatakiwa dube awawake

  • @NdevuKamdini
    @NdevuKamdini หลายเดือนก่อน

    Mybteam

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @user-ok3bc8of5q
    @user-ok3bc8of5q หลายเดือนก่อน +1

    Shadrach bokaaa

  • @HamisRashid-y9k
    @HamisRashid-y9k หลายเดือนก่อน +1

    Khamiss,nyang,oyeee,3,+0

  • @prosperabison1368
    @prosperabison1368 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @nickkyteys-ff1ow
    @nickkyteys-ff1ow หลายเดือนก่อน

    Chama kubwa ili ushindi lazma.😊

  • @chacha-255
    @chacha-255 หลายเดือนก่อน

    04:25 Mkude acha kutegea mazoezi 😀😀

  • @RamadhanIddi-c8m
    @RamadhanIddi-c8m หลายเดือนก่อน

    Uhakika

  • @user-ik7vr2yw5x
    @user-ik7vr2yw5x หลายเดือนก่อน

    Nawaonea huruma azam watapigwa nyingi

  • @zakayomaendeleo
    @zakayomaendeleo หลายเดือนก่อน

    💚💛

  • @vincentmbaga7668
    @vincentmbaga7668 หลายเดือนก่อน

    🔥

  • @jaywhite9907
    @jaywhite9907 หลายเดือนก่อน

    Yanga washajua drill yaani kocha anasema tu fanyeni kitu fulani kisha anakula bata pembeni wachezaji wanaendelea wenyewe na hawakosei

  • @HousenAhmadi
    @HousenAhmadi หลายเดือนก่อน +2

    Kila rakheri wananchi na timu yetu pendwa