ALIKIBA ATANGAZA VITA NZITO UZINDUZI WA VIPINDI CROW MEDIA USIPIME SHILOLE ASHIDWA KUJIZUIA BALAA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny - บันเทิง
Shishi nakuona❤❤❤
❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Cool Bron
Brother nakukubali sana na huaga spendi mtu akuongele vibaya huaga nachukia sana
Nakukubali sana braza mkubwa
Saluti broo
Mungu akutangulie utafika mbali sana mpendwa jamani hao wanao shauri kuhusu dress code kumbukeni yeye ni msanii pia halafu huyu hanaga mambo mengi kumbuka hilo pia
Ali Kiba jifunze manners huwezi kuongea na hadhara huku mikono iko mfukoni.Pia dressing code yako lazima ifanane na shughuli nzima sio unavaa bugabuga wakati hapo ujue wewe umesimama kama CEO.
😂😂😂😂😂😂😂bugabuga mbkna
Jifunze ww kwanza na Asante kwa ushaulii
@@Madam_Mack_tv nafikiri dada wewe ni tatizo mimi nilimshauri tu kama wewe unaona alikuwa sawa jambo jema.
@@gordiansoko9113 kilamtu anajipangia awejee katika maisha ilakikubwa ifike mbalii bas
Ushauri nzuri tu ila ss wa tz hatukubali kwa ushauri bado tuko nyuma😅
Huna baya kiba
Iyoo eeeh ndio nn kaka hebu jiamini bhana halafu ww Boss unaongea kisela sela
Wwe uyo boss afu msani jiongeze
Sababu yye kipenzi Cha watu alafu Msela siku zote Tikeli
Kin kiba 4 life ❤
Acaha chawa wewe