MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA INYONGA MKOANI KATAVI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ค. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwasalimia na Wananchi wa Inyonga mkoani Katavi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 13 Julai, 2024.

ความคิดเห็น • 7

  • @kuntaalkinte5415
    @kuntaalkinte5415 24 วันที่ผ่านมา

    Hongera mama❤

  • @YangaNews
    @YangaNews 25 วันที่ผ่านมา

    Mama hamna kitu

  • @user-xy2hf5pl5y
    @user-xy2hf5pl5y 25 วันที่ผ่านมา

    Mh mkuu wa nchi tunapenda kukujulisha hapa muleba umeme unazima Kila siku mpaka sisi wakereketwa tunashindwa kujibu hoja tusaidie mama

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 25 วันที่ผ่านมา

    Hahaha nacheka ya huzuni kweli yani Samia kwenye inchi za wenyewe anawapatiya Wanaume Mikono sasa kwenye inchi yake ya Tanzania anawanyima Mikono hahahahah twangaliye Mbaliiiiiiiiii

    • @GeorgeSaimon-kt2kh
      @GeorgeSaimon-kt2kh 25 วันที่ผ่านมา

      Rais umeupigaa mwingiii🎉🎉🎉

  • @AntonyIbrahim-d2w
    @AntonyIbrahim-d2w 26 วันที่ผ่านมา +1

    Ndoo nini????