I'm from Nigeria but live in the US 🇺🇸. I don't understand what this guy is saying but I love everything about this song, I'm in tears and I kindly subscribe. One love African people
😓😓😓😓😓ukweli wengi tumejikuta tukijisahau tuna hukumu tuna laumu na vile vile tuna nungunika ahsante paulo kunikumbusha Eee Yesu nisamehe mm mwenye dhambi😥😥😥😥😥🙏🙏Jahe bless
Mungu nisamehe,nimehukumu watu wangine pasipokujua malanyingine kwa kujua,wimbo wa Usihukumu na sijui kuimba,baada ya kusikiliza naendelea kujifunza mambo mengi jinsi ya kuishi na jamii,ili nimpendeze Mwenyezi Mungu.
Huu wimbo hakika umeniguza..🙏🙏umenifunza..ehh mungu nifunze kuvumilia..nisiwe na moyo wa kulaani..nifanye kua wako yesu🙏🙏🙏❤️❤️
Safi kionqozi kweli tuliowenqi tuwatendadhambi
😢paulo wacha mungu akujaze ski hiyo wimbo unanijaza sana
Amina ubalikiwe sana napenda sana nyimbo zako haswa ulizoimba kwa kiswahili
I'm from Nigeria but live in the US 🇺🇸. I don't understand what this guy is saying but I love everything about this song, I'm in tears and I kindly subscribe. One love African people
it simply means don't judge so that you may not be judged coz God is the only just judge
OO
Amina kubwa sana mungu akukuzie kipaj zaid iriuzid kutuenezea injir kupitia nyimbo zako ubarikiwe sana amen
Judge not. That's the message!
tuko wapi hii mwaka 2021 usihukumu napenda hii wimbo barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
Amen hakuna kumuhukumu mwezio kabla wewemwenyewe
Ubalikiwe sana❤
Watu wakasambalatika na watu wakachanganikana duuuu yani bro we nimekukubadiii sanaaa tena sanaaaaaaa nitakuwa nakufuatilia sana mimi
Usihukumu ili nawe usihukumiwe wimbo mia mia MUNGU akubariki sana Mtumishi
Konk
Ndagukunda p nubwo ntumva ururimi rwanyu ariko. Nkunda indirimbo zae
❤❤❤ Asante sana kwa ujumbe huu Paulo 🇹🇿✅🙏
Really Paulo Siria your song teaches and touches
😓😓😓😓😓ukweli wengi tumejikuta tukijisahau tuna hukumu tuna laumu na vile vile tuna nungunika ahsante paulo kunikumbusha Eee Yesu nisamehe mm mwenye dhambi😥😥😥😥😥🙏🙏Jahe bless
Yo soy de haïti me gusta mucho las canciones de Paulo siria yo tengo todos los vídeos
Eu sou de mocambique niassa gosto muito de gospel do paulo siria
Asante sana nimependa huu wimbo
Hakika wimbo uko vizur sana
Napenda nyimbo zako zote palikiwa sana mkenya nikiwa saudia arabia
Barikiwa zaidi ya kuimba umehubiri na kufndisha
Kama umependa gonga like twend sawa
Hamza Chonya
Hamza Cho
nya
Safi masai.Mungu akubaliki sana
Safi
I like the songs xoo muchu
Mungu asifiwe kweli paulo.
Shapata mwimbo wa kusikiliza kwenye gari yangu Bado TU kununua gari
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
@@sarahwawuda5164 unanicheka?
@@officialmologa umenifurahisha ni maono mazuri
@@sarahwawuda5164 sàwa Mamii
Ubarikiwe sana karama yako inatukomboa wengi Mungu akuzidishie
nauliza hawa watu wa unlike shida ya hii wimbo iko wapi? sitawalaani nisilaaniwe, but Mungu awahulumie
Nyimbo zako zinanibariki.
Ujumbe mzuri sana
Mungu azidi kukubariki
😍😍😍🙏🙏🙏
Andante kwa ujumbe mzur mungu akuongee maisha
Walitawanyika had walichanganyikan Hakika Mungu mwache aitwe Mungu
Ubarikwe sana Siria..wimbo unaishi zama zote
Big up sana brother,
Aise wanaimba vizuri sauti imetulia ujumbe mzuri ipo siku natawaarika kanisan kwetu
Mungu nisamehe,nimehukumu watu wangine pasipokujua malanyingine kwa kujua,wimbo wa Usihukumu na sijui kuimba,baada ya kusikiliza naendelea kujifunza mambo mengi jinsi ya kuishi na jamii,ili nimpendeze Mwenyezi Mungu.
Asanteni wapendwa.Paulo,nakpenda sana.Mungu azidi kukbariki.
Nasikiza kutoka Kenya
Uxhukumu kama hauna ukweli🎉🎉
Nabarikiwa sana na nyimbo jaman mungu akubaliki sana🙏🙏
Thanks My brother Paulo, now this is what I call well sequenced gospel music. KEEEEEEEEP IT UP BRO
Watu wametoka mbali sana 😢
Hallelujah 🙌 injili ya Mungu iendelee barikiweni watu wa Mungu
Hata mm umenigsa siria mungu akusaidie
Mungu akubariki sana ❤❤❤❤
I love your good news God bless you keep it up for good songs blessed l am🙏🙏from Kenya
Am happily enjoying this song to the fullest❤❤ hii ndio kazi safi.
Nimebarikiwa na uimbaji shalom Mungu awalinde
Emen🙏 Mungu anisaidie nisihukumu hiyo siyo kazi yangu nikazi ya Mungu
Wimbo poa sana ubarikiwe siria
Barikiwa pamoja na team yako siria mungu anawapenda. Nikiwa rebanoon mkenya napenda sana nyimbo zako be blessed
Amina ubalikiwe baba
This the gospel we want,you are blessed,keep it up brother
Good work,,,nyimbo zako zanibariki sana
Mungu akujarie maisha marefu, injili ende mbelee.
Wimbo nzuri congratulations
Mungu akuzidishie kwa kazi nzur
Kiukweli jamn mimi huyu jamaaa amenibarikiii sana Mungu ampiganie
Amina,,mtumish Kwa ujumbe nimepokea🙏🙏🙏🙏
Raha kwel barikiwa mtumishi
Mungu wa mbinguni awabariki na kuwatendea mema
Uko vizuri mpendwa mugu akutie.nguvu
God bless you mtumishi
Mungu akubariki mtumishi
Wow bro you song inanibariki sana may God bless you
This song imenikumbusha my neighbor who WS a Maasai I used to call her son sigilia aaii
I love her kids he was called lembiris miss them soo much
Imana iguhe umugisha
Nice mungu akubariki
Mungu akubariki
Kenya is watching you are a true Savant of God❤❤❤be blessed
Mubarikiwe wapendwa
Ameen nyimbo hii haina expiring time
Ujumbe mzuri sana brother be blessed.
kiongozi ubarikiwe na Bwana wa Mbinguni nyimbo zako zimenibariki sana
pouan koreka Mkundwa
pouan koreka Mkundwa un
Mwenyezi mungu akubariki sana mtumishi wa mungu acha mwenyewe ahukumu
Yeah anatosha ahsante sana paulo siria
Kijana uko vzr barikiwa sana
Ata nimedownload. So inspiring.
Ubarikiwe mdogo Wangu ,nyimbo zako siko poa ,sina ujumbe unaoelimisha mungu akubariki sana
kwakweli nimemkubali sana huyo paulo
Ni kweli tujifunze kutokuhukumu mdogo wangu
ubarikiwe sana Paulo nimependa sana wimbo huu.
Paul keep moving forward
Siria thank you for your songs is important to my heart❤❤❤
😭😭hii wimbo hataka umekosewa unasamehe tuu
Endelea na hiyo kipawa itakufikisha pahali kakangu
Amen mungu kabariki sana brother ❤❤❤❤❤
Wow napeda sana ua songs sinanibariki sana
Jaman nzuuuur saaaan!! Mungu akuinue Zaid saaaan
Mubalikiwe Munguwambinguniawaongezeekarama nikweli namina naomba musamaa
Paul sorry nyimbo zako ninzuri sana
Nabarikiwa sana na nyimbo zako Mungu akubariki sana
Wamaasai tat is nice I like this keep it up 👌
Aminaa kutoka marekani
Kwa kweli ujumbe umefka, ongera Paulo,karibu bukoba muleba cku moja
Welcome moiben area
Watu wakachanganyikana umedikiaaa. Au
Barikiwa mtu wamungu usiishie hap
Wimbo poa sana God bless you
Nyimbo nzuri sana sana ujumbe mzuri
Asante Sana mtumishi nakupenda bule mungu azidi kukubaliki
Mekuelewa Sana mzee
Unaponyoosha kidole mbele vingine vinakutizama
Hakika nabarikiwa na kwaya hii
Bee Bee nii very nice 💯
Hongera san ongeza bidi
Mungu nisaidie nisiukumu
my dear ubalikiwe sana na mwenyezi Mungu kwa ujumbe wako, asante sana kwa kumutumikia Mungu
Mungu akuinue zaidi
Mungu anisamehe