UKICHUKULIWA NA MASHAKA YAKO (140 NW)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 มิ.ย. 2020
- 140 UKICHUKULIWA na mashaka yako
1. Ukichukuliwa na mashaka yako
na kuona hufu kwamba utakwama,
uhesabu mibaraka yake Mungu,
na utashangaa kwa rehema yake.
Pambio:
Uhesabu mibaraka yote
Mungu aliyoyakubariki!
Ukumbuke mambo yote pia,
na utashangaa kwa rehema yake!
2. Na ukiudhiwa na huzuni nyingi,
ukiona msalaba ni mzito,
uhesabu mibaraka kuchwa pia,
na kwa moyo wote utasifu Mungu.
3. Wengi watamani mali ya dunia;
utajiri wako ni Mwenyezi Mungu.
Uhesabu mibaraka na kumbuka:
Mali haiwezi kufungua mbingu.
4. Na katika mambo yote huku chini
ukumbuke pendo kubwa la Mwokozi!
Na ujumlishe mibaraka yote,
tena mwisho atakuchukua kwake!
#Nyimbozawokovu #UKICHUKULIWAnamashakayako
I like this song
Kweli huwimbo sichoki ku u imba kila ni amkapo mubarikiwe sanaa
Amen amen
Asante sana kwa nyimbo za wokovu
Dieu est bon
mungu wetu ni wa rehema nasi tujiweke tayari ili mibaraka isitupite
Mungu weka macho dhidi ya wana wako. Prince KAMBALE HERY MIP nawapata alive nikiwa BENI town mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🙏🙏🙏🙏🙏👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾❤️❤️❤️👍
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉amina
L'éternel notre créateur bénisse tous les chrétiens du monde entier surtout mes frères et soeurs des toutes les tabernacle du monde entier dans le nom de notre sauver Jésus-Christ de Nazareth
amen amen les vraies adorateurs
Amen
Mungu akuzidishie
Amen kubwa
Wimbo wa kubariki sana asante. Amen Amen
This song makes on me the holy spirit. My god bless you
God capital G not small g God bless you thenk you
Asante sana kutuleteya nyimbo zaku fariji mwoyo
Asante
The song really blesses me
Good
Amen....ndugu mupendwa uhesabu mibaraka yote Mungu aliyokubariki ukumbuke mambo yote pia na utashangaa kwa rehema yake.
==Keep remembering that, despite wengi Wana tamani mali ya iyi dunia ya muda kidogo.... Just keep reminding yourself that _ utajiri wako ni MWENYEZI MUNGU and mali ya dunia iyi aiwezi kufunguwa mbingu.
May God bless you
Love the song
🙏🙏🙏🙏🙏
Amen mungu akubariki
Amen Amen
Shem Kabanza 🙏🙏
Amen mungu apewe sifa
Amen
Safi sana
#Hataniacha
th-cam.com/video/qvCghs6sUHc/w-d-xo.html
O999jjki...
Æ za fnå
Amen
Amen
AMINA
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen