MUNGU WANGU MKUU ( 145 NW )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • 145 MUNGU WANGU MKUU
    #Nyimbozawokovu
    1. Mungu wangu mkuu,
    wanijaza mwenyewe,
    na uzima u katika wewe.
    Nina raha moyoni
    na amani halisi,
    ninaishi katika upendo.
    2. Sasa ninakusifu wewe, Yesu Mwokozi,
    unakaa rohoni daima.
    Kila ‘nachohitaji wanijaza kwa pendo.
    Wewe yote, na mimi si kitu.
    3. Jina lako ni pendo, kulijua hakika
    kunafanya safari nyepesi.
    Mimi mtu dhaifu,
    ila kwako ni nguvu;
    niongoze katika safari!
    4. Mbele ya uso wako giza yote yatoka;
    nuru inaangaza moyoni.
    Yamepita ya kale,
    sasa yote ni mapya.
    Ni maisha ya heri ajabu!

ความคิดเห็น • 23

  • @estellarcymanirambona8398
    @estellarcymanirambona8398 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika naishi katika upendo.nabarikiwa hakika sijaona upendo kama wa Mungu MKUU

  • @dorcas8032
    @dorcas8032 3 ปีที่แล้ว +1

    Jambo mutumishi wa Mungu. Tumebarikiwa sana kweli na nyimbo izi Mungu akubariki sana tena sana kila wakati ninapozisikia nakumbuka kanisa letu la Congo , Bukavu.
    Ubarikiwe tena, be bless bless.

  • @stanfordgrace5354
    @stanfordgrace5354 2 ปีที่แล้ว

    Aksante saana mutumikishi wa Mungu. Na Mimi nyimbo za wokovu zina nikumbusha kanisa yetu ya Bukavu. Mungu azidi kuwa kumbuka😘😘🙏🙏

  • @vumiamoni4342
    @vumiamoni4342 หลายเดือนก่อน

    Amen ❤

  • @jerometite5370
    @jerometite5370 ปีที่แล้ว

    Aksanti baba

  • @luciantayitunda7035
    @luciantayitunda7035 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @user-pg3oi8it6q
    @user-pg3oi8it6q ปีที่แล้ว

    Asante mungu

  • @manunu6140
    @manunu6140 2 หลายเดือนก่อน

  • @mmbondolukanda8298
    @mmbondolukanda8298 2 ปีที่แล้ว

    Yesu wangu ni samee mimi mwenye zambi

  • @mapendomonique9719
    @mapendomonique9719 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki Sana

  • @Pendeza_Nay
    @Pendeza_Nay 3 ปีที่แล้ว

    Amen, Thank you Jesus Christ! Mungu wetu wa mapendo

  • @badesirefortune4725
    @badesirefortune4725 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo Nzuri jamani

  • @estherkyevu5535
    @estherkyevu5535 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙌

  • @johndouglas7459
    @johndouglas7459 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @mathildepongakubota4074
    @mathildepongakubota4074 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen !!
    Mbarikiwe sana kwa nyimbo izi, na Mungu Baba Azidi kua tiya nguvu.
    naitaji nyimbo ya 131 mimi mkristo na 115 pendo la Mungu ni kubwa.
    Svp.

  • @justineniyukuri5120
    @justineniyukuri5120 4 ปีที่แล้ว

    Amen amena God bless you so much

  • @davidbulambo6332
    @davidbulambo6332 4 ปีที่แล้ว

    Salamu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Tumebarikiwa na nyimbo hizi. Ninaomba ruhusa ku publier nyimbo hii kwenye TH-cam yangu, kama inawezekana. Asante.

    • @shemkabanza6283
      @shemkabanza6283  4 ปีที่แล้ว +1

      Salamu Mpedwa; Mungu Apewe sifa. Unaweza publier bila shida; yote ni kwa utukufu wa Mwenyezi Mungu

    • @davidbulambo6332
      @davidbulambo6332 4 ปีที่แล้ว

      Shem Kabanza asante!