Agape Gospel Band - Niseme Nini Baba (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Hallelujah !!
    Wimbo huu ni Wimbo wa Shukurani kwa Mungu wetu , wakati mwingine tunakosa maneno yakusema tunajiuliza " Tuseme Nini kwa wema wa MUNGU katika maisha yetu "??
    Tunapofikiria habari ya wale wakoma kumi katika kitabu Cha Luka 17:11-19 neno la Mungu linasema ,
    [11]Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya.
    [12]Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali,
    [13]wakapaza sauti wakisema, Ee Yesu, Bwana mkubwa, uturehemu!
    [14]Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.
    [15]Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu;
    [16]akaanguka kifudifudi miguuni pake, akamshukuru; naye alikuwa Msamaria.
    Barikiwa sana 🙏🏾
    Musicians
    Main keys : Innocent Nelson
    Aux keys : Michael Lowkeys
    Guitarist : Kaz Benjamin
    Bassist : JP kazire
    Drummer : Hans Lugwisha
    Back Ground Vocals
    SOPRANO :
    Jocelyn Bryson
    Neema Mlay
    ALTO :
    Jonas Moshi
    Hannah Joseph
    TENOR :
    Justin
    Pascal Guveti
    Lead Singer: Victor Maestro
    Mixing and Mastering by Baraka Ngowi
    Sound Engineer: MUJWAHUKI
    Venue: The Reality of Christ Church
    Video Directed by ROC Media /Baraka Adam wapili
    #AmefanyaMengiYesu #AgapeGospelBand #LiveMusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

ความคิดเห็น • 234

  • @PraiseGodall
    @PraiseGodall 11 หลายเดือนก่อน +22

    I'm no longer a slave to childhood trauma, rejection, suicide, divorce, fear, and sexual abuse... I AM A CHILD OF GOD!!!

    • @steveobwoge3315
      @steveobwoge3315 5 หลายเดือนก่อน +2

      Hallelujah, the be set free in Jesus might name, the Name above all names. 👏👏👏👏

  • @joshdrummer7465
    @joshdrummer7465 ปีที่แล้ว +39

    Long Awaited song....Aiseee Mungu awabariki kutoka Kenya tuna wapenda🙏❤️

  • @abubakarnyondo5493
    @abubakarnyondo5493 4 หลายเดือนก่อน +6

    Jamaa wa guitar nakutolea kofia

  • @RoyaltyEffie
    @RoyaltyEffie ปีที่แล้ว +10

    Me I'm always blessed with his songs I don't know about you reading this comment

  • @kudziemutseka1265
    @kudziemutseka1265 5 หลายเดือนก่อน +5

    When are you coming to Zimbabwe guys your music is blessing us

    • @ReyKatta
      @ReyKatta 4 หลายเดือนก่อน

      Manje manje

  • @habatiminja2970
    @habatiminja2970 ปีที่แล้ว +19

    Solo guitar 🎸 on next level jaman khaaa miziki imelia mnoo utukufu kwa Mungu

  • @Dr.ElijahClintone
    @Dr.ElijahClintone ปีที่แล้ว +23

    3:43 Soloo guitar 🔥
    11:29 1st transition
    11:38 2nd Inversion soloo Minor🙌😁🍸🍸🍾

    • @ReyKatta
      @ReyKatta 4 หลายเดือนก่อน +1

      Luxembourg kimbangu solo na les samourai

  • @SoloKarani
    @SoloKarani ปีที่แล้ว +10

    The drummer 💯

  • @williamalex4792
    @williamalex4792 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani mpiga solo ni wa wapi jamani

  • @wangechivee6843
    @wangechivee6843 ปีที่แล้ว +9

    I love the lingala kings when it comes to singing for the King of Kings

  • @ReidaldiPerez
    @ReidaldiPerez 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aleluyaaaa alabadovsea nuetro señor Jesucristo hermanos

  • @godblessmmari3331
    @godblessmmari3331 ปีที่แล้ว +3

    brother Jonas namuona hapo,from Agape lutheran junior seminary praise hadi Agape gospel band,Hakika Mungu ni mwema

  • @abrahamlynchlee7879
    @abrahamlynchlee7879 ปีที่แล้ว +5

    Bassist ❤🎉

  • @bullindamichael2470
    @bullindamichael2470 ปีที่แล้ว +5

    Mnanibariki sana Agape bGispel band, nyimbo za Mungu ni kufurahi kuqnziq ndani mpaka nje, Mungu hapendi vitu vinyonge au dhaifu.

  • @tsundzukatlhabane5288
    @tsundzukatlhabane5288 5 หลายเดือนก่อน +2

    When are you guys coming to South Africa 😢😢😢😢

  • @bernmadole6489
    @bernmadole6489 ปีที่แล้ว +8

    The best gospel band in town..Mungu azidi kuwainua.

  • @abdillahissa5336
    @abdillahissa5336 ปีที่แล้ว +3

    Ujumbe mzuri,mpangilio mzuri wa sauti na mziki,Mungu awabariki sana nasikiliza huu wimbo zaidi ya mara 10 kwa siku

  • @jouleselftaiwo9604
    @jouleselftaiwo9604 22 วันที่ผ่านมา

    Good good 🇳🇬🇳🇬

  • @suzancharles8897
    @suzancharles8897 4 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥🔥hallelujah

  • @JoyShaneez
    @JoyShaneez 9 หลายเดือนก่อน +3

    I want to be greatful, for everything my house my family my husband ❤️ and everyone watching this thank you Lord for everything 💖

  • @calebmeshack1190
    @calebmeshack1190 ปีที่แล้ว +2

    Sijawahi kosa Raha kwa Kila wimbo wenu Bali nashukuru tu na utukufu kwa Mungu Alie juu

  • @kdavis2544
    @kdavis2544 ปีที่แล้ว +8

    A New sound is rising from east africa....glory to God,much love from kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @nicksonmbelwa1164
    @nicksonmbelwa1164 6 หลายเดือนก่อน +7

    Tuliotoka tiktok kwa sababu ya kuona style tujuane😂😢

  • @mosessichinga7376
    @mosessichinga7376 8 หลายเดือนก่อน +1

    This is nice song tunawapenda kutola Malawi ❤❤❤❤

  • @geofreymfello
    @geofreymfello ปีที่แล้ว +3

    Nzambe na Nguya kita osala💥

  • @mamasmartcollection7063
    @mamasmartcollection7063 ปีที่แล้ว +1

    Vijana wa Mungu awabariki sana

  • @prospermayi3270
    @prospermayi3270 3 หลายเดือนก่อน +1

    Following you from Zambia❤❤..am being blessed by your ministrations

  • @scovialivingstone4425
    @scovialivingstone4425 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana🙏 Ufalme wa Mungu usiondoke kwenu mzidi kutumika kwa ajili ya utukufu wa Mungu 🙏

  • @JustPlayitc00l
    @JustPlayitc00l 3 หลายเดือนก่อน +2

    😅😅😅 So much joy in right now😂
    Anointing dey here

  • @davidawet3214
    @davidawet3214 ปีที่แล้ว +1

    Huyo jamaa anapiga solo Ni hatari

  • @SylviaMbabazi-vx6ol
    @SylviaMbabazi-vx6ol ปีที่แล้ว +1

    Uganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙌🙌🙌🙌Asante Bwana🙌🙌🙌🙏🙏🙏

  • @hermankiondo3451
    @hermankiondo3451 ปีที่แล้ว +6

    Hatareee🔥🔥🔥🙌🙌🙌 sebene moja la nguvu ... Tunaisubilia Tar 20/11/2022 kwa hamu sana

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 ปีที่แล้ว +1

    Yesu aza mobikisi nanga

  • @ThomasBaraka-cu9oe
    @ThomasBaraka-cu9oe 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bassist sallute daddy

  • @jamesmelack9634
    @jamesmelack9634 ปีที่แล้ว +1

    Baba nasema Asante 🙏. Asante concert 🔥. Nawaelewaga Sana sana

  • @rooseena2983
    @rooseena2983 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tunawahitaji kenya🇰🇪

  • @magygulaine4166
    @magygulaine4166 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @IAMLEVIPRO
    @IAMLEVIPRO ปีที่แล้ว +2

    I LOVE THIS ❤

  • @cantyurassa3089
    @cantyurassa3089 ปีที่แล้ว +1

    Baba nasema ahsaaaaaante,,,,, Agape band on 🔥

  • @user-oq4ld4ti3w
    @user-oq4ld4ti3w ปีที่แล้ว

    Na lola kaka boye. Alingaka nde boye❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mwanakongo4749
    @mwanakongo4749 11 หลายเดือนก่อน

    Petit yangu umekomala Mungu akubariki

  • @KevinOdhiambo-uz6gi
    @KevinOdhiambo-uz6gi 6 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you all from kenya

  • @farajamusic9672
    @farajamusic9672 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki nakuwalinda nakuwatiya ngunvu msonge bele zaidi ya apo

  • @drdbauleth9553
    @drdbauleth9553 7 หลายเดือนก่อน +1

    good music
    a big thank you from namibia
    listening this band for the first time
    makes me feel i know this this song already

  • @user-kh7jx9mg9j
    @user-kh7jx9mg9j ปีที่แล้ว

    Moto wa kuotea mbali Kwa yesu rah sana I 🔥🔥🔥🔥

  • @JohnBlessing-sm4ls
    @JohnBlessing-sm4ls 4 หลายเดือนก่อน

    Guitar 🎸 Inaraha yake byakweli washaaaaaaaa

  • @rukundoolivier2722
    @rukundoolivier2722 ปีที่แล้ว

    Nguvu na mafuta kutoka kwa Bwana Yesu iwe juu yao

  • @albertk5323
    @albertk5323 ปีที่แล้ว

    Mungu hawabari mno nyie ni baraka kwa izi nyombo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joshualugendo
    @joshualugendo ปีที่แล้ว

    Nawakubali na kuwaombea kabisa mfike kule MUNGU amekusudia mfike

  • @apostlempmillan5155
    @apostlempmillan5155 2 หลายเดือนก่อน +1

    This solo man 😮

  • @WashingtonKiprono
    @WashingtonKiprono 11 หลายเดือนก่อน

    Wallahi hii ni more fire 🔥🔥🔥🔥 all the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Seguin-kafana
    @Seguin-kafana ปีที่แล้ว +1

    name's God be glorified 🙌🙌

  • @johnmsemo3238
    @johnmsemo3238 ปีที่แล้ว +3

    What a powerful Praise moments , Mungu awabariki kwa kazi nzuri

  • @habatiminja2970
    @habatiminja2970 ปีที่แล้ว +8

    Combination of Hans and jpkazire is something else, I did miss this combination ooh glory to God. Thank you agape band for this masterpiece

    • @graceandrew6718
      @graceandrew6718 ปีที่แล้ว

      Sebene la Yesu, Mungu awabariki sana, Pia tunawaombea jamani mdumu bendi nyingi zinaanza alafu zinaishia njiani.

    • @graceandrew6718
      @graceandrew6718 ปีที่แล้ว

      Mkipata changamoto mwiteni Yesu.

  • @danielkimulwo5179
    @danielkimulwo5179 ปีที่แล้ว

    kazi safi benjamin kwakilisha pale kwa sebene

  • @douglaspaulomuteerwa2711
    @douglaspaulomuteerwa2711 6 หลายเดือนก่อน

    I don't understand what they are saying but i can feel the Holy Spirit, and as the word of God says, every knee shall bow and every tongue shall confess that you are God. Thank you Agape Gospel Band, please keep blessing us with such great sound.

  • @vailetyonesmo8782
    @vailetyonesmo8782 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana nyimbo zenu zimekuwa faraja kwangu

  • @user-od2bz8vm2l
    @user-od2bz8vm2l ปีที่แล้ว +3

    Wow...its really a blessing...from Kenya we love you great ministers...God bless you

  • @ngaoemmanuel6747
    @ngaoemmanuel6747 9 หลายเดือนก่อน

    ❤i love it bass guitar 🎸 mambo yangu huku Kenya

  • @abigaelsimiyu7873
    @abigaelsimiyu7873 2 หลายเดือนก่อน +1

    Blessings

  • @emanuelbahati2796
    @emanuelbahati2796 ปีที่แล้ว

    💥💥💥💪💪💌niseme nini Baba yangu nashukuru kwa yote Kabisa

  • @FredGDangote
    @FredGDangote ปีที่แล้ว

    Kazi safi band wow👍🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉🎉❤️❤️❤️❤️

  • @mvuko3989
    @mvuko3989 ปีที่แล้ว +1

    Hee be blessed bana hii ni moto sanaaa 🔥🔥sasa nasuburi "AMEJIBU MAOMBI"😊😊

  • @ericmutonyi7395
    @ericmutonyi7395 ปีที่แล้ว

    Minute 4.04 Bass guy 🙌🙌

  • @jameskenny1808
    @jameskenny1808 ปีที่แล้ว

    kwa mecho tu ya kibinadamu naomba utazame kama hapa kuna Mungu,wala uwepo wa Mungu, kama si biashara ya youtube na wateja wake.

    • @ichicarodan6931
      @ichicarodan6931 6 หลายเดือนก่อน

      Sawa hakimu wa mbingun

  • @doreenbondo893
    @doreenbondo893 ปีที่แล้ว

    Nyinyi ni wa kimataifaaaa mukooo fayaaaaaaaaaaaaaaa

  • @rensonngala2480
    @rensonngala2480 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Sana Wana Agape.....si Jehovah awatunze

  • @jemedarizeddyofficial4239
    @jemedarizeddyofficial4239 ปีที่แล้ว +1

    Very Blessed, Niseme nini baba

  • @KuteesaPeter
    @KuteesaPeter 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wow i like the grooves of this church

  • @witsonjames
    @witsonjames ปีที่แล้ว

    Hii ndo miziki yetu

  • @barakakapele421
    @barakakapele421 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥💪 wazee wa mwendoooooooo kaaaaasiiiiii👮‍♂️

  • @grapetwingospel1438
    @grapetwingospel1438 ปีที่แล้ว

    Wow nice kazi nzuri sana my family

  • @edwardodoyo76
    @edwardodoyo76 ปีที่แล้ว

    Nashindwa kunena

  • @leonardsimkoko6656
    @leonardsimkoko6656 9 หลายเดือนก่อน

    Chukueni maua yenu 🎉

  • @obedjoseph5588
    @obedjoseph5588 ปีที่แล้ว

    Congratulations kwa team yote asee

  • @NobertSaun-zw1qp
    @NobertSaun-zw1qp ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe saaaaanaaa kahama tunawapenda pia

  • @isaacandechesnr4754
    @isaacandechesnr4754 10 หลายเดือนก่อน

    Ahaha 😂🤪😜🙈🙈🙆🙆 once again my guy on the drums killed it; this guys drives me nuts 😂

  • @amirbarry2079
    @amirbarry2079 ปีที่แล้ว

    Nitawaambia wajukuu zangu nilikuwepo hapa wakati wa hii live recording

  • @wycliffjustus4018
    @wycliffjustus4018 ปีที่แล้ว

    Kwa yote nashukuru eeeh Mungu wangu Sina la kusema

  • @KevinThiga
    @KevinThiga ปีที่แล้ว

    kwa yote( mazuri na mabaya) Baba nashukuru 🙏🙏

  • @mabitajunior
    @mabitajunior ปีที่แล้ว +4

    Aaaaaaaaaahhhhhh!!!what a blessed ministration from you brothers,Mungu awabiriki much Love from Kenya.

  • @monicazacharia9700
    @monicazacharia9700 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki kwa kazi yenu njema 🙏🙏🙏

  • @Worldfootball942
    @Worldfootball942 ปีที่แล้ว +2

    Love Congolese people ❤❤❤

    • @jamestembo8231
      @jamestembo8231 ปีที่แล้ว

      This is wat we call real praise

    • @mahomamahoma775
      @mahomamahoma775 7 หลายเดือนก่อน

      Are they Congolese?

  • @brizzybmusic2118
    @brizzybmusic2118 7 หลายเดือนก่อน

    This is super 🔥🔥🔥

  • @graceandrew6718
    @graceandrew6718 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki watumishi, pia tunawaombea Mungu awasaidie mdumu milele. Bendi nyingi zinavunjika.

  • @Dorise_Zablon_Gospel_Minister
    @Dorise_Zablon_Gospel_Minister ปีที่แล้ว

    ninakosa ni mengi sana Bali ninashukuru

  • @joannewairimu8137
    @joannewairimu8137 3 หลายเดือนก่อน

    What should i say to LORD for what you have done to all i can just say am greatful.......

  • @joelngovisolaro7482
    @joelngovisolaro7482 ปีที่แล้ว +3

    ❤️❤️❤️ Glory to God

  • @user-zx5tl6bt4g
    @user-zx5tl6bt4g 11 หลายเดือนก่อน

    wow

  • @jeanpuerre4137
    @jeanpuerre4137 4 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ndahanistephen9918
    @ndahanistephen9918 ปีที่แล้ว

    Nawakubaliiii sanaa agapee

  • @IshmaelOkongo
    @IshmaelOkongo 6 หลายเดือนก่อน

    so nice song 🙏🙏🙏🙏 from Kenya 🇰🇪💪

  • @denisernest6266
    @denisernest6266 ปีที่แล้ว +1

    Mwingi mpaka unamwagika. Utukufu wa Bwana 🔥

  • @felixobare8135
    @felixobare8135 ปีที่แล้ว

    hatariiii sanaa

  • @jennifermuli9148
    @jennifermuli9148 ปีที่แล้ว +2

    I was singing this song in the dream,my spirit is thanking God for what he has done,thank you jesus 🙏

    • @rahelchilale1075
      @rahelchilale1075 ปีที่แล้ว +1

      AMEN,but try to write the name of Jesus by starting the capital letter dear.

    • @jennifermuli9148
      @jennifermuli9148 ปีที่แล้ว +1

      @@rahelchilale1075 Noted with thanks.

  • @emanuelluzolo3745
    @emanuelluzolo3745 3 หลายเดือนก่อน

    Parabens Deus seja louvado, gosto muito da maneira que você gosta de louvar. Gloria a Deus.

  • @evansdouma
    @evansdouma ปีที่แล้ว +1

    This is what we call gospel music,, I love it wow wow

  • @fridadenis
    @fridadenis ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥niseme nini baba bali ninashukuru

  • @victormaina6407
    @victormaina6407 ปีที่แล้ว

    Hii sebene ya moto sanaaa

  • @user-xw6yj2sk9y
    @user-xw6yj2sk9y 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki am edu from kenya