i’m no longer a slave of anxiety, depression, self harm, social standards, anorexia, suicidal thoughts, or invasive voices in my head. I AM A CHILD OF GOD
Naona wazi saaaana muziki wa injili ukichukua nafasi kubwa katika masikio na mioyo ya watanzania.... Keep it live keep it alive.... Gospel music to the nations....
Beyond the vocals, harmonies and instruments, there is such a powerful message here: Nikumbuke nami, Mungu wangu: When God remembers you, whatever happens after that can only be attributed to God. For those who have been in tears for long, God is going to remember you, just call on Him and serve Him with GLADNESS. THEN THERE IS JEREMIAH 33:3 "CALL ON HIM AND HE WILL ANSWER" - He's a faithful father, He will answer. Just call on HIM.
Watumishi, next recording fanyeni Arusha! The city of Praise! There are two kinds of people here... Drunk of weed or those drunk of the Holy Ghost! And with the Holy Ghost we dance and praise like David!
Huu wimbo una kasi sana wapendwa... Kikundi hiki muongezeke sana ... Huku Kenya mmna wafuasi sana . Huyo jamaa aliye na na bass guitar apokee salamu sana yuko na kipaji sana aminaaa 🇰🇪🇰🇪💟
bro, i thought i was the only Nigerian here, glad to see it, despite not understanding the language, they sound amazing and catchy. great singer, great instrumentalist.
How do you do this song sure....hii Ni entertainment..do spirit filled songs please..as worship minister's we're losing it slowly to the world of trend's,skills and noises then end up missing the ultimate goal of heaven
Aise Sesilinatatu kaupiga mwingi mpaka raha!!!! hahaha!!! Glorrrrry somebody!!!! My regards to Yeremia Sesilinatatu! The Gospel is being preached! Nawapenda sana! Salamu special though kwa SESILINATATU!
Mungu mkubwa abaliki Kazi ya mikono yangu mwaka huu uishe salama na mwaka ujao ukawe wa Mambo makubwa kwangu sifa ziwe kwako muumba wa mbingu na aridhi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
You are blessed family!! Muongezeke sana sana
Be blessed too dear
Amen minister , Glory to almighty God 🙌
Amen 🙏
Wimbo wako wa "neema",,,,imenibariki Sana,much love from Nairobi, Kenya 🇰🇪🇰🇪
Haleluya mnanibariki sana
i’m no longer a slave of anxiety, depression, self harm, social standards, anorexia, suicidal thoughts, or invasive voices in my head. I AM A CHILD OF GOD
Mooto sana 🔥🔥🔥.. Kama kawaida team Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuko ndaani
Moto
OK 7mkkkll
The music is 🇨🇩
Agape gospel Band huku Kenya twawatambua sana 🇰🇪
Wàkwitu,
Naona wazi saaaana muziki wa injili ukichukua nafasi kubwa katika masikio na mioyo ya watanzania.... Keep it live keep it alive.... Gospel music to the nations....
Jeremiah 33:3 best part
Hallo mbinguni naomba Mungu anivushe kipindi hiki salama
Halllooo mbingu nataka kupita kcse
Work hard, trust God
Hallow binguni nataka kazi,,,,I know God will do it for me,Amen team of God
The bass guitar man- ni cheche !!! be blessed AGB wote..
Nafurahi sana maaana ni viwango vingine tunaenda Sasa kwa utukufu wa Mungu 🙇🏿♂️🙇🏿♂️🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Huu wimbo nishausikiliza zaidi ya mara 1000 be blessed u guys
From kenya 🇰🇪 Reedmed gospel church athiriver praise and worship team we love this song 🎵 ❤ we sing it every Sunday 🎶 wapi 👍 likes kwa hello mbinguni?
❤❤❤❤❤❤so much 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿yangu mungu wetu magari tunapokea mm nimemepokea prado
Halooow Mbinguni 📞📞📞📞📞📞☎️ Baba Nataka Toyota Land Cruiser Air Bag V8 new model from Australia
😁😁😁😁
Pokea 👍🏾
Safiii
Beyond the vocals, harmonies and instruments, there is such a powerful message here:
Nikumbuke nami, Mungu wangu: When God remembers you, whatever happens after that can only be attributed to God.
For those who have been in tears for long, God is going to remember you, just call on Him and serve Him with GLADNESS.
THEN THERE IS JEREMIAH 33:3 "CALL ON HIM AND HE WILL ANSWER" - He's a faithful father, He will answer. Just call on HIM.
🤲
Mungu awape Neema ya kuvuka mipaka kwa Jina la YESU ,u guys are amazing
Mubarikiwe ninyi nyoooooote mliomwimbia yesu kwenye huu wimbo,ila victor 🔥🔥🎤
Mungu awainue sana Agape viwango vya juu zaidi kwa ubunifu wenu.
Watumishi, next recording fanyeni Arusha! The city of Praise! There are two kinds of people here... Drunk of weed or those drunk of the Holy Ghost! And with the Holy Ghost we dance and praise like David!
hghdrgjgtyfyyt
This band🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂💎♦️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥💪💪🤗🙌
th-cam.com/video/_4zLBwMczzU/w-d-xo.html
Gg
Wow!! Great praise team
A great Praise leader 🙏
May the good Lord allow me host this great band in my Thanksgiving service 🎉🎉
Bassist🙌🏻
Mungu azidi kuikuza huduma yenu .... Ninyi ni baraka sana🥰🥰🥰🥰
kama kawaida.
Team kenya tunasema, Kazi safi.
kufunga imefungwa kweli kweli.
9:11 is just Psalm of David
Much love from Kenya
🇰🇪
Kuna Guitar lina pigwa hapo kuanzia dakika ya 4.28...........kazi nzuri sana. Mungu awabariki.
Jamma yuko juu sana. mwoto kama pasi.
🥶🥶🥶🥶🥶🥶@@samuelokongo3383
The guitarist is 🇨🇩 Culture
Huu wimbo una kasi sana wapendwa... Kikundi hiki muongezeke sana ... Huku Kenya mmna wafuasi sana . Huyo jamaa aliye na na bass guitar apokee salamu sana yuko na kipaji sana aminaaa 🇰🇪🇰🇪💟
Wawe wanajibu basiii
Utukufu kwa Bwana
Amen
The bass guitar man is next level jamaniiii nilidhan kama naona peke yanguuu, utukufu kwa Mungu
AMEN glory to God
The influence of Congolese music🇨🇩🔥.
When I listen to them, I hear the style of Michel Bakenda, Alka Mbumba, Fiston Mbuyi, etc.
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Hatareeeeh sana
Mungu nsomba ufanye moyo wangu uwe wenye kuyawaza na kuyatenda mapenz yako
Dah nimeipenda hapo kanisani hapatoshi usipocheza una matatizo tumwimbie Mungu na kucheza mbele zake
Katika kitabu cha Zaburi
Naupenda huu mziki hatar
Nawapenda sana.... Nawatarajia nkiwa Malindi Kenya
I'm addicted to this song😢
haloo mbinguni on fire barikiwen ndg zangu
Wow guys I really love ur ministry, Nzambe a pambola bino mingi
awesome team awesome praise awesome family awesome God Almighty Jesus is Lord Amen
👍🙏🏿 best worship, overwhelming , so powerful, "napokea gari,shamba ,ndoa na maisha mema_"
th-cam.com/video/_4zLBwMczzU/w-d-xo.html
From Nigeria❤❤❤❤
bro, i thought i was the only Nigerian here, glad to see it, despite not understanding the language, they sound amazing and catchy. great singer, great instrumentalist.
Aisee😀😀 nyie kwa YESU raha 👏👏👏👏
Mungu aizidishe chenye kiko ndaniyenyu.... mumenibariki sana na simu ya mbingini...... hello mbinguni
We sang this song Sunday it was fire 🔥🔥 hallo binguni 🥰
th-cam.com/video/_4zLBwMczzU/w-d-xo.html
How do you do this song sure....hii Ni entertainment..do spirit filled songs please..as worship minister's we're losing it slowly to the world of trend's,skills and noises then end up missing the ultimate goal of heaven
Unadhani daudi ndio nguo zianguke alilala he sang praises na hazina conditions Kwa bible please
naona umechangaanyikiwa, acha watumishi waendelee kueneza injili... better stay silent @@2023padre
Aise Sesilinatatu kaupiga mwingi mpaka raha!!!! hahaha!!! Glorrrrry somebody!!!! My regards to Yeremia Sesilinatatu! The Gospel is being preached! Nawapenda sana! Salamu special though kwa SESILINATATU!
Heaven is not a place to miss
Barikiwa sana 🙌🏽🙌🏽
th-cam.com/video/_4zLBwMczzU/w-d-xo.html
Nawapenda sana Mungu awainue viwango vikubwaaa zaidi🙌🙌🙌💃💃💃🔥🔥🔥🔥
Kwa yesu kuzuri janiiiii🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
GUITAR-BASE AND DRUMS... HATARI, WANAJUA SANA, NIMEWAFATILIA NI WATU WANAOPIGA VYOMBO KATIKA WORSHIP MBALIMBALI SANA,
Nyie Agape nyie , Mungu azid kuwabarik.......kazi yenu ni njema.
Aloooo huko mbinguni sijui itakuaje 🔥🔥
Napenda sana music yenu nilikuwa nimesubilia hii kwa hamu sana
Hiii kitu imesimama wimaaaa..
Kazi safii saana.
Mungu awabariki @agape
Umeona eeee
Bonge la wimbo.
Hallo Mbinguni ... Bariki Hawa Watumishi
with this kind of music even the angels at heaven are rejoicing
..#sebenelovers
th-cam.com/video/_4zLBwMczzU/w-d-xo.html
Soo loving song😍😍😍😍❣❣❣❣❣❣❣
I love everything there... drummer is on fire..
Moto sana . Neema ya Mungu izidi sana juu yenu
Agape Gospel Band to the world. Continue singing and spreading the gospel through your songs. Your songs give people hopes. Hallo mbinguni
Eiy woww powerful lit 💝💝💝
Wueeeh,...hii ni kali ❤️
Mungu atukumbuke nasisi. Amina good song .
This song make me feel better. Be blessed 🙌🙌 this group
th-cam.com/video/_4zLBwMczzU/w-d-xo.html
Wow the Congolese you always don't disappoint when coming to sing gospel songs kudos the zairen keep it up higher levels Guy's
wow Mungu awabariki kazi ya mikono yenu nimebarikiwa sana na wimbo huu yaani ni MOTOOOO
Nimebarikiwa❤
My prayer is that God takes this sound to the nations of the earth. Na pia naomba mje Kenya 2024 for Rhema Feast. 🎉🎉 Eeh Bwana sikia ombi langu
Rhema feast 2023 was fire 🔥 can't wait for this year ❤
Kazi legit sana.. Mbarikiwe... You guys need to come to kenya
Nabarikiwa sana na huu wimbo mbarikiwe sana ili mzidi kulitukuza jina la mungu baba❤❤
I now love you even more Agape band,because of the guitarist from the essence of worship.may God continue to lift you people.
Glory to God
Amen !
th-cam.com/video/_4zLBwMczzU/w-d-xo.html
Waaaaaaah This song💥💥
Mungu azidi kuwatumia Zaid vijana wang Mme mfanya mwanang umekuwa wimbo wake wa maisha❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Baba I love this one Eti tupamuguhu Congolese with seben. Original version sembola loboko nzambe yalola
Watu wangu wa nguvu, wa maana mnooooo wamo humu aisee......!! JP Bass, Inno, Ngowi, Jocelyn......na timu nzima......nawakubali mnooo......🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ni watanzania hawa ama kongo, wapo vizuri sana
Hallo mbinguni📞📞📞☎️☎️ yeremia 33:3 Mungu awabariki mnooo utumishi wenu mwema sanaa
Hallo mbingunii🥰🥰🔥🔥
Aisee hii Band inakua my Favourite ,,, Vyombo vinapigwa mziki unasikika,,Waimbaji wapo on point
Hallo mbinguni nataka gari ndoa😊
You guys are amazing Muongezeke mpaka mshangae
Mungu awatunze sana
Naanzaje kukosa ibada kwenye utukufu sehemu kama hapa ahhhhha mambo tupa muguu
Powerful 🔥🔥🔥🔥🔥🔥nataka ndoa
Mungu awabariki sana very powerful song
God blessed you all🙏🙏from Burundi 🇧🇮
Fanye nguvu wandugu munaimba muzuri Ila musikose mbingu
there's anointing in this song. I don't understand the language but I can feel it eeeish😭😭😭
the basist needs a firefighter he is on firee
🔥🔥🔥🔥🔥
Hajapoa ni 🔥
Kaitendea haki kwakweli
❤
🤣🤣 Or it's you he's set ablaze?
Allo Mbinguni
Unaisikia solo
Hello Mbinguni nataka kazi
Hallo Mbinguni
Halo mbinguni 🤳
🔥🔥🔥🔥
Safi sana, solo guiter nakuelewa sana, nafurahi kuona live music in Tanzania, hongereni sana kutoka kwa kijana mwenzenu Emmanuel wa macadamia Africa
Mungu amuongezee kipawa amina.
Bass....fantastic
God continues the good in the spirit in this praise 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 ❤ God bless them (mwarahezagiwe cane 🙌)
th-cam.com/video/_4zLBwMczzU/w-d-xo.html
Bado niko hapo kwa ,,,Hello Mbinguni!!! noma sana!
Good job bana Mboka tokossss
😆tokoss tukul
shalom🎉
Hallelujah...Hakika Jesus is soooooooo Goooood...🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu mkubwa abaliki Kazi ya mikono yangu mwaka huu uishe salama na mwaka ujao ukawe wa Mambo makubwa kwangu sifa ziwe kwako muumba wa mbingu na aridhi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sifa na utukufu ni kwa bwana
Tupa muguu😅mko juu!
Jeremiah 33:3 Hallo Mbinguni📞📳🙌
Always on 🔥🔥🔥🔥
Ni moto sana