WAZIRI MKUU ALIVYOSHTUKIA UPIGAJI WA FEDHA YA WATUMISHI 10 WA KIGOMA,AWABANA MAWAZIRI KWENYE KIKAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @RamadhaniMwandambo-fx9sb
    @RamadhaniMwandambo-fx9sb ปีที่แล้ว

    Shukrani waziri mkuu, Hawa wachache wanaiharibia serikali na kuichonganisha na wananchi, hatua za kisheria Kali zichukuliwa dhidi Yao.

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 11 หลายเดือนก่อน

    Sübhanallah

  • @Bigfmedia
    @Bigfmedia ปีที่แล้ว +1

    HALAFU MPO BIZE NA KUTAFUNA VIKOKOTO😂😂 WAZIRI ANAONGEA NYIE MNATAFUNA😂😂😂 KWELI WEZI HAWATOKI MBALI

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 ปีที่แล้ว

    Kwa taarifa hiyo maana yake zichunguze halmashauri zote, wasiishie hapo wawachunguze na wahusika mali walizo nazo wamezipata kwa halali kulingana na mishahara yao?

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 ปีที่แล้ว +2

    Nina iman kubwa sana na ww

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 ปีที่แล้ว

    Ameshtukia hizo tu!! Watu wameshapigwa pesa zao wakafatilia mpaka wameshafariki😢

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 ปีที่แล้ว

    Hao wakipatikana na wizi tu jela na wasipate tena kazi ndani ya Serikali ya Tanzania kuajiliwa ndio watu wanasema CCM inaweka wezi kwa sababu huwa wanamishwa na kupelekwa mikoa mingine wanaweka kwenye mfumo hawato ajiliwa tena nchi Tanzania

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 ปีที่แล้ว

    Naona Kigoma Wanachota tu au sio ?

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 ปีที่แล้ว

    Uwezo wa kusimamia mambo ndio udhaifu mkubwa sana Africa. Magulification of Africa ni phylosofia inavofanya kazi, usipofuatilia utaligwa tu. Hata gari mpya inaegeshwa miaka miwili halafu wanajiuzia.