MUME MASKINI KUENGEZA MKE WAPILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 ปีที่แล้ว +3

    In sha Allah, ALLAH atupe nyoyo za Imani tuwastiri wenzetu wanaume iwapo tunauwezo🤲🤲🤲

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 4 ปีที่แล้ว +1

      Hawana fadhila hawa waume wa zama hiz bora ujipe shughuli

    • @mariamhussein7554
      @mariamhussein7554 4 ปีที่แล้ว

      @@rehemasalim4590 😂😂

  • @hashimjuma1217
    @hashimjuma1217 4 ปีที่แล้ว

    Asante Shekh Izudin kwa mawaiza yko mazuri

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 3 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH ALEIK

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 ปีที่แล้ว +1

    Allahumma Sali A'ala Sayyidinnaa Muhammad WA A'laa Aalih SWALLA LLAHU ALAYHI WASALLAMU ❣ ❣ ❣ ❣ ❣ ❣

  • @ag3044
    @ag3044 4 ปีที่แล้ว +1

    Walah Sheikh we khatar sanaaaaa

  • @asyaluay5787
    @asyaluay5787 4 ปีที่แล้ว +8

    Hiyo "sitaki chochote nakutaka wewe tu" hua n chambo tu, muoe uone show😆😆😆 hakuna mke wa bure
    Pia wanawake sisi wajinga kwanini ujiingize mahali wajua mume hana uwezo mke wake mwenyewe ateseka na ww ukateseke zaidi?😅

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 4 ปีที่แล้ว +2

      Mapenzi Bibi kuku wewe shekh mi uwezo ninao kidogo nikipata mume niliachika mda nikarudi home nikapata mume nikazani anauwe, o ananipandisha magari anabadilisha kumbe si yake ilipofika muda naona apokonywa minikamuliza mbona ulisema yako nilikuwa namuliza akanambia anadai pesa sasa namuliza ndio upokonywe gar basi mi nikaanza kutumia changu nilimpenda Sana toka kumbe Jambazi mkubwa anadaiwa kila pembe akaniowa nikamalizika dhahabu gari kiwanja sikujenga nikarudi zangu akanimaliza kabisa namøeleka Mpaka dubei Oman kumbe amemaliza Mpaka dada ake kamuzia banda lake hana hanani anakula na polisi ukimueka ndani Leo atoka kesho Mi hajaniacha wala iyo talaka siitaki mana naona hakukuwa na ndoa ni ndoana eti bado watu washanambia jambazi mkumbwa Jesi nilioneshwa Mpaka police ado anakataa wakati rafiki yake wote waliniambia hatukuweza kukwambka ila tumesikitika huyu ni lana sas nikachana nae toka 2016 kazuka simulizi kazuka tena kipindi Cha korona aniuliza hali mi nimenaa ulaya Sana Leo nilienda home kujijenga nikavamia mtu smjui nikasemeshwa Mpaka na familiya mi sikuaminii alivyo mtulivu anatrmbeza Macho tu na akiwa a nataka kwangu mi mwanzo dola Mia tano na akanodanganya mengi Sana alingia ajali ya gari gari ya rafiki iliharibika mi niliagiza dubai tena yeye kwa pesa zangu akasema kaka ake atahamaki tutafanya nini au tumpe ile tuloagiza ikaletwa mi nikatoa mara ya mwanzo tulipo kutana alinipa pipi kali nikawa nala tu kumbe Pia nikaja nikambiwa anatumia ushirikina allahu ya allam eti chuma uletena mi kumpa kitu mtu sijui ningumu ila Nina roho ya nzir Sana ila sina bahati sushi kudhullumiwa na nijadho langu ni nzito ila nitapata kwa mngu ila ni. Wemwambia simsamehe Mpaka kiama mana nishachoka ulaya na nikitizama sina kiitu na hivi narud nyumban nishachoka umri 45nichoka Sana Salam aleykum mwenye maudhui mazur anipe allah awahifazi wanawake wema Amin

    • @mjombasaidi9334
      @mjombasaidi9334 4 ปีที่แล้ว

      @@TeamKRX pole dadangu mungu atakufungulia

    • @abdiazizali7783
      @abdiazizali7783 4 ปีที่แล้ว

      M.a

    • @asyaluay5787
      @asyaluay5787 4 ปีที่แล้ว

      @rausa pole sana Mungu atakufungulia kwenye kheir na wewe
      Mitihani ndio dunia. Mara nyingine chunguza mtu kwa undani kabla ukubali kuolewa. Matapeli ni wengi

    • @dottnatta310
      @dottnatta310 4 ปีที่แล้ว

      Rausa beni pole sana Allah akufanyie wepec kwa kila zito

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah khayran

  • @salimfeisal7592
    @salimfeisal7592 3 ปีที่แล้ว

    Naombeni jibu 🙏

  • @mwidinijuma8214
    @mwidinijuma8214 3 ปีที่แล้ว

    Mashaalh

  • @abbdiibrahiimadan1959
    @abbdiibrahiimadan1959 4 ปีที่แล้ว

    MASHALLAH Sheikh mawaidha mzuri

  • @salimfeisal7592
    @salimfeisal7592 3 ปีที่แล้ว

    A.a naomba niulize je ukitaka kuongeza mke WA pili mzazi a naeza kuzuilia au laa

  • @awaznasor2913
    @awaznasor2913 4 ปีที่แล้ว

    jazakallahu khairah sheikh

  • @jsjsusdjid376
    @jsjsusdjid376 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂fanaaleki kufa hakuna breki n kweli shekhe wanaume wakosea hapo tu uwezo unakuwa mdogo lkn bado anaenda kuongeza mtihan

  • @abdiazizali7783
    @abdiazizali7783 4 ปีที่แล้ว

    Mashaalh shek

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว

    Huyu shekhe ana suta una ona haya kuangalia kama Juma Amir. Hasidi wahed. 😂
    Kuna nyingine alisema tangu lini mwanamke akaswali witri msikitini Kama sio wataka kuranga

  • @memochep9637
    @memochep9637 4 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 4 ปีที่แล้ว

    Mmh..kwa Allah mbaali

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 4 ปีที่แล้ว

    Jazakallah lkheer

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 4 ปีที่แล้ว

    😁Alhmdullillahi. Yaa Rabb sitara

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 ปีที่แล้ว

    Together nice for the batter
    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @yusoboy_tz
    @yusoboy_tz 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @ahmedathman1624
    @ahmedathman1624 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo wajitaftia maafa

  • @user-qc4lb4rc7b
    @user-qc4lb4rc7b 4 ปีที่แล้ว

    Hassidi waaaaaaaaaaaahidddddddiiii😁😁😁😁😁

  • @lucypiucy4175
    @lucypiucy4175 4 ปีที่แล้ว

    Asante shehe

  • @aminaabbas2840
    @aminaabbas2840 4 ปีที่แล้ว

    mashallah

  • @suheylakibohora956
    @suheylakibohora956 4 ปีที่แล้ว

    Wakati huu Kakuna wake wala waume

  • @safiamajaliwa7683
    @safiamajaliwa7683 4 ปีที่แล้ว

    je shekhe kama mume anakupa kula lakini haitimizi mpaka na wewe mke uhangaike ala hajawahi kununua nguo unapewa kwenu na nyimba pia haiko vizuri watoto wanasumbuka je mume huyu anafaa kuongeza mke mwengine

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว

      Msikilize kuanzia pale mwanzo. Haifai kuongeza ilhali hawezi hata kukulisha

  • @abubanat7403
    @abubanat7403 4 ปีที่แล้ว

    Ahsant alhabib

  • @omanseeb8609
    @omanseeb8609 4 ปีที่แล้ว

    Maneno swadakta

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH ALEIK