Timu Yote ya Wasafi Media, Hongereni sana kwa Ubunifu mliouonesha hapa La Kuhamasisha Daftari Letu La Upigaji Kura, Kwa kweli Hiki Ni Kipaji cha hali ya Juu Mungu awalinde, Mungu Ibariki Tanzania, Aamina.
Kweli Wasafi Baba Lao, Naomba Tangazo hili Lisiishie hapa, Liendelee kuwepo hata kama Siku za uandikishaji zimekwisha, ili Watu tuendelee kuhamasika katika Masuala mengine ya Kitaifa, Hongereni sana.
Askari anaulizwa.. Eti wee mwenyewe unakitambulisho au unatafuta sifa to. Haaaaa huyu kitenge nae kapewa lake eti unatafuta sifa kampuni ya baba ako hii. Duh. Zembwela mikono nyuma atareeee.
Dalili zinaonyesha hakuna uchaguzi utapooza kama wa mwaka huu inaonyesha watu hadi watalazimishwa kupiga kura MANA MAISHA NI MAGUMU MNO NA WATU WAPO KIMYA HIVYO HIVYO KWAIYO WATU ASAIVI HUWA HAWAJIUSISHI SANA NA MAMBO YA SIASA
Timu Yote ya Wasafi Media, Hongereni sana kwa Ubunifu mliouonesha hapa La Kuhamasisha Daftari Letu La Upigaji Kura, Kwa kweli Hiki Ni Kipaji cha hali ya Juu Mungu awalinde, Mungu Ibariki Tanzania, Aamina.
Hahahaaaa wasafi endelea kutukera Ahsante kwa kazi nzr
Dah nimependa walivyo liweka tangazo
Kweli Wasafi Baba Lao, Naomba Tangazo hili Lisiishie hapa, Liendelee kuwepo hata kama Siku za uandikishaji zimekwisha, ili Watu tuendelee kuhamasika katika Masuala mengine ya Kitaifa, Hongereni sana.
Daaaaaaah
Hongelini Sana mnajitaidi kuwa wabunifu Sana
Mzee mwenzangu ktk hili tutasameheana
Mtu anageuka tu mlango mbaaa dar umetisha sana
Wasafi hadi raha jamani💪💪💪🔥🔥🔥
Nimeipenda iyo , zambwera kutii bila kushulutishwa ,kitambulisho muimu bn wevipi bn kajiandikishe uingii umu
Jaman hili nitangozo la uhamsisaji wa kujiandikisha kwahiyo musielewe vingine huo niubunif tu wamefanya
Very creative Maulid Kitenge na wenzio
Kweli niamealijia hpa kufanya kazi na sikuajiliwa hapa kupiga kura
WASAFI MEDIA ni ya kwetu sote! Ahsante Chibu Dangote kwa kutuletea burudani mwanana endeleeni kutuletea maudambwidambwi kama yote!
Nice
Mko juu nawapenda
Love you wasafi media mwaaaaaa
Nimempenda zembwela yaani kama live ila kitenge anaonekana anaigiza kabisaaaaaaa
But I like it mmetisha sanaaa
abdallah hussein zembwela ndo utaalamu wake uo kaka 😂😂
Kwa kweli tangazo lipo vema sana nimelipenda
WASAFI media nawakubali sanaaaa
Nimeipenda hio beberu umepatikana leo
Watu Na Kazi Zao Wasafiiii 4lfe
Kitenge wafurahisha
Nawapongeza kazi mzuri sana wana
Dah meuwaa wazee yani ujumbe umefika mbavu sina yani burudani plus elimu hao ndoo wasafi bwanaa
Mmelipwa pesa kufanya tangazo 🔥🔥🔥✌️
Kawaida
AmaniAfricanBOY VEVO ulitaka wafanye bure?
There is no free lunch in economy
Shida iko wapi kwani pewana wewe
@@maujanjatv24h41 mwehu huyu kitu gani kibaya wamekifanya hapo
Kitenge na zembwela ni moja yawatamgazaji Bora wanafurahisha san
Nice mkuu
Wanyama wawili wamekutana mmetisha sana
Zembwela yuko vizuri anajua kuigiza
Shati jeupe, unatafuta sifa kampuni ya baba yako hii!!!!
Hawa jamaa wako very creative
Victor Junior dar,,mmetisha lle mbaya,,
Nilitaka kuandika hivi pia umeniwah bro, jamaa wako vizur
WAPILI KU COMMENT TOKA SOUTH AFRICA DURBAN
Mauridi WaKitenge Noma Sana Na Ndimu Atari.
Wasafi media mnatufurahisha
Mnastahili sifa zapekee kwakitendo hiki
Hi nimeipenda sana
Kitenge noma kweli jamani hahahahahah dah kituko kweli Yani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
one of the best....
Kelvin emelia
Mmekosa kazi sasa
Kumbe kitenge upo vizuri kuigiza
Kitenge umetisha 😜😜😜😜
Alaaa kitambulisho kwanza hakuna janjajanja wcb
Creativity nzuri
Sana timu wasafi
Very nice
😂😂😂😂😂😂et kampun ya babaako hii zembwela kamind ila mijitu kama kitenge ipo sana inajifanyaga mijuaji kweli ila Safi mmeamasisha vizuri
Tangazo zuri
#Wasafi_media_I see youu number one in tz
Hahahahahahaaaa lakini bwana kitenge mbona ww hujatuonyesha kitambulisho chako Hahahahahahaa
mambo ya nida hayo😃😃😃😃
Kweli kabisa tulip wengi vijana bado kutokana na kua mda hawakutoa wakutosha
Sema hawaa jamaaa 😂😂😂😂🙌🙌🙌
Askari anaulizwa.. Eti wee mwenyewe unakitambulisho au unatafuta sifa to. Haaaaa huyu kitenge nae kapewa lake eti unatafuta sifa kampuni ya baba ako hii. Duh. Zembwela mikono nyuma atareeee.
Hata mm nimependa hapo tu nimecheka mpak chozi limetoka 😂 😂 😂 😂 😂
Mmefanya Pouwa Sanaaaa Kuhamasishaa
Ndim Bwana Eti Wataongeza Mda
Nice 👏👏👏👏👏👏
Zembeeee wee ndiio pekeee umefanikisha hapa
Ziwia wote
rah sana kuwa wasafini
Ambagilee😁😁😁😁
Maulid mbunifu sana huyu jamaa
Kampuni ya baba ako hiii😂😂😂😃😃😃hapo sina mbavu
Wooooow, 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nan kasikia kitambulisho kikubwa kuliko vyote😂😂😂
Wasafi ninawapenda
Safi
kampuni ya baba ako hiii 😁😁😂😁
Wasafi mpka kuigza tunaigza😂😂😂
Nimecheka Hadi kulia
Ila maulid kitenge kwenye comedy bado sana
Zembwela Anakwambia Me sijaajiriwa Apa kuja kupiga kura😂😂😂😂
Wako vizir
Sijapenda alivyofaya loh
Mlinzi piya amepewa lake,"wemwenyewe kitambulisho huna,ama nawewe unatafuta sifa"? 🤣🤣
Mpeni Lissu. Kurayenu
Fantastic
Unatafuta sifa kampuni ya baba ako hii😂😂😂😂😂🤸♂️🤸♂️
Hahahah!! Umetisha mzee baba inabid wakupe ubarozi hawa tume ya uchaguz
Aminia Beberu najua hili ni wazo lako mana ushandaa vipande kama hivi kwenye Mizengwe zaidi ya miaka kumi.
Sawaaaa nachekaaa mimi
Hpna bwana ndimu 🤣🤣🤣🤣🙆🏼♂️🙆🏼♂️
Safi saaaaana
Unatafuta sifa,, kampuni ya babaako hiii???😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂woooooiiii
Creativity ... very nice 😂😂😂
Dalili zinaonyesha hakuna uchaguzi utapooza kama wa mwaka huu inaonyesha watu hadi watalazimishwa kupiga kura MANA MAISHA NI MAGUMU MNO NA WATU WAPO KIMYA HIVYO HIVYO KWAIYO WATU ASAIVI HUWA HAWAJIUSISHI SANA NA MAMBO YA SIASA
Safi sana!!!
Good ida
Hivi ilikuwa ni kweli ama ndo maigizo
Zembwera 😂🤣🤣🤣
Wew kitenge unacho ukute unazuia watu wew huna.
Noma sana kitenge
Zembwela anazingua 😂😂😂😂
WATAONGEZA MUDA
Like za yusuuf mkule
Mimi sijaajiliwa hapa kupiga kura.
😀😀😂😂😂 Zembwela wa mizengwe yule😂😂
Sawa
Nzr
Bro kitenge nakukbali sn
Ko zembwela nae no wasafi skuiz duuu amebaki Millard Ayo kuibiwa clouds
Nyie mnanipa raha
Imani nyondo
Nimecheka eti unatafuta sifa campuny ya Baba ako zembwela noma