Muridun Kufari... wewe sio muislam acha kuzuga... kama wewe ni mkweli mbona hauwapingi wale wanaoritadisha na kuwaibia watu kwa miujiza feki kwenye mahekalu. Umeshashtukiwa hii ni misheni ya kuwatoa watu ktk reli ili wakaombewe na wale jamaa zako halafu waritadi. Acha kuzuga...
Mashallah mwanangu Allah ikihifadhi kipaji chako fill dunia wall akhera
Allahu akbabar, Allah akuzidishie elimu dada Sharifat
Masha Allah Allah bless you 🙏 💖 amin
Mashaalah Baraka llahu fiq
Mashaallah mola utuajaliye wasiokuwa waislamu mola uwajaliye wazd kuingia Katika dini yako
Maashaanllah anllah amuafikishe mtoto huyo na sie atupe vizazi kama hivyo ishaanllah 😍 🤝🏼🤲🏼🙏🏽❤❤❤💋
Maa shaa Allah
I love you
Mashallah
Ao watu wanasilimu au ndo katika jumla ya kuondeleza utapeli wenu
Unapinga hata watu kusilimishwa, usizuge wewe sio muislam
Waislamu fikirieni hata huyu mtoto akishakua Mkubwa watu wangapi wametapeliwa
Mswalie mtume
Nawewekataprli
Wabongobwana duuu
Mtihani👏👏👏💔💔
Muridun Kufari... wewe sio muislam acha kuzuga... kama wewe ni mkweli mbona hauwapingi wale wanaoritadisha na kuwaibia watu kwa miujiza feki kwenye mahekalu. Umeshashtukiwa hii ni misheni ya kuwatoa watu ktk reli ili wakaombewe na wale jamaa zako halafu waritadi. Acha kuzuga...
Huo ndio wizi mpya unaofanyika kwa jina la Allah
Wewe dini huna ndo maana unasema hivyo
Afu makafir muna matatizo
Mbona unateseka ndugu Allah akusamehe
Wewe sio muislam acha kuzuga