Mtume MWAMPOSA (Bulldozer) afunguka haya baada ya kufika kwenye MKESHA usiosahaulika 'CHAKO ni CHAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @benotayari5970
    @benotayari5970 2 วันที่ผ่านมา +27

    Mimi nilikuwa kama wwe mbishi na nilimtukana sana mwamposa na kumsema vibaya lakini mtoto wa brother angu alisumbuliwa na kifafa tulimpeleka kila sehemu unayoijua wwe hapa duniani kwa gharama yoyote Ile ilishindika kupona. Lakini tulipokubali kumpeleka kwa mwamposa na kuombewa na yeye alipona cku ileile mpaka leo mwaka wa sita ajawai kuanguka tena na yupo shule anaendelea na kusoma. Kwa hiyo hivi vitu ni rais sana kusema kwa kuwa aujawai kupatwa na shida Mungu akusaidie sana.

    • @alexwaspongamachumbe428
      @alexwaspongamachumbe428 2 วันที่ผ่านมา

      Weweeeeeeeeee....... Acheni tu Utapeli na Kusizisha Akili za Viumbe wa Mungu kwa Manufaaa yenu wenyewe..

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 2 วันที่ผ่านมา

      K​@@alexwaspongamachumbe428uyu jamaa hana tofaut na TB JOSHUA

    • @faridmichael1307
      @faridmichael1307 วันที่ผ่านมา

      Kbs mwamba​@@alexwaspongamachumbe428

    • @ROZITHOMAS-y4q
      @ROZITHOMAS-y4q วันที่ผ่านมา

      Yani usipokutwa na majanga huwezi kumuelewa mwamposa

    • @EricUbalijoro-x1l
      @EricUbalijoro-x1l วันที่ผ่านมา

      Wanaomtukana na kumbeza Mungu awasamehe hawajuwi walisemalo

  • @TumaKaminyoge
    @TumaKaminyoge 38 นาทีที่ผ่านมา +1

    AMEEEEEEEEEN

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py วันที่ผ่านมา

    Mimi mwenyewe ni shuhuda tosha niko tabola, Yani bila mwaposa sijuwi ningekuwa wapi, mungu akulinde, huyu mtu nikweli ametumwa na mungu, madhabahuu ya mtumishi huyuyanatenda Mimi ni shuhuda tosha, Yani kama ayajakukuta uwezi juwa, mungu akupe maisha malefu mtume,

  • @leahmafwenga4695
    @leahmafwenga4695 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani wanaosema watu wanaoamini kwenye madhabahu ya Mwamposa kinawauma nini katika nchi yet kila mtu ana uhuru wa kuamini na kuabudu anapojisikia Ana amani. So mnaokosoa mnafanya yasiyowahusu fuata yenu other wise hamna kazi ya kufanya

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 วันที่ผ่านมา +1

    Na magari ya kifahari tena ya hali ya juu amenunua lakini wewe unaenda pale tena na watoto wadogo u akosa usafiri wa kukurudisha nyumbani, yeye huyoo anakuacha unaangaika kutafuta usafiri huku watoto wanalia njaa yeye tayari ameisha kusanya pesa kibao, ameiza maji, ameuza mafuta ya korie kwenye vichupa huku wewe unashangilia. Khaa hakika tu atakiwa tumuombe sana Mungu aweze kutupatia maono yenye nguvu ili tuweze kung'amua yote haya. Mungu atuongoze vyema

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwemaaa

  • @RachelRenatus
    @RachelRenatus วันที่ผ่านมา +1

    Mnao sema anapotosha mala mshirikina hebu jalibuni nanyie kama mtaweza😅 kila mtu asimame na iman yake

  • @miriamwinston9908
    @miriamwinston9908 2 วันที่ผ่านมา

    Wa kwanza kucomment❤ I LOVE U PAPAAA

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 วันที่ผ่านมา

    NAKUPENDA BABA YANGU WA KIROHO. MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU AKUPENGUVU ZAIDI MALAIKA WAKUZUNGUKIE WAKULINDE SIKU ZOTE.❤❤❤❤

  • @zuberimohamedi5761
    @zuberimohamedi5761 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wamejichanganya wenyewe,we wapige noti mpk wapate akili

  • @laxmajor
    @laxmajor 2 วันที่ผ่านมา +1

    ❤️

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ila nanyie kiboko mbona wepesi saana kudanganywa huyu mtume?

  • @AHYAANKHALID
    @AHYAANKHALID 2 วันที่ผ่านมา

    Sio mtume huo bana acheni ku mkosea mwenyezi mungu

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 2 วันที่ผ่านมา

      TB JOSHUA ALIISHIAGA WAPI

  • @jumabandikwa3621
    @jumabandikwa3621 2 วันที่ผ่านมา

    Kweli kunawatu wamepotea munajua mana ya mtume kweli

  • @jumabandikwa3621
    @jumabandikwa3621 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kama anamiujiza aende muhimbili akaufanyie hpo ache kupotosha wtu

    • @LydiaKibona-zn1px
      @LydiaKibona-zn1px วันที่ผ่านมา +1

      Aende muhimbili wameamini? Kikubwa ni Imani uamini kwanz ndpo uombewe Sasa hko muhimbili wameamini neno? Msihukimu watumishi wa mungu

    • @samehewaliokukoseya2605
      @samehewaliokukoseya2605 วันที่ผ่านมา +1

      Umemujibu vizuri kiekima zaidi. IMANI YAKO IKUPONYE🙏🙏​@@LydiaKibona-zn1px

  • @JustinaMadoido
    @JustinaMadoido 2 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu si mtume wa Mungu... sijawai elewa mbona watu wanadanganyika kirahisi... kazi rahisi tu..soma maandiko kwenye Biblia... linganisha Injili iliyohubiriwa na manaabii wa Agano la kale, mahubiri ya Yesu mwenyewe na mahubiri ya Mitume wa Yesu.. halafu linganisha na mahubiri ya huyu hapa

    • @matildamushi1741
      @matildamushi1741 2 วันที่ผ่านมา

      Pole

    • @SuzanMoshi-m1s
      @SuzanMoshi-m1s 2 วันที่ผ่านมา

      Tu Liza komwe mwaya kama ayajawai kukuta usijudgee wenzako

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 2 วันที่ผ่านมา

      @SuzanMoshi-m1s I don't judge...the Word of GOD judges...as Christians we only use the Bible (Word of GOD) as a common denominator

    • @SuzanMoshi-m1s
      @SuzanMoshi-m1s 2 วันที่ผ่านมา

      @@omondiowino7875 it is what is n ur heart since u wrote it shows how u feed urself a dominating things..May the good lord give u a grace to see things in a positive way earlier before ujapatwa na chochote kitakachokulazimu kukimbilia maombi kwa uyu baba.

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 2 วันที่ผ่านมา

    Duh

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 2 วันที่ผ่านมา +1

    Nikosa kuponda uganga mbona yeye hawamupondi uganga niasili yetu usiponde maana hujuwi

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂Acha ushirikina dear wewe amini uganga wako yeye hajaponda amesema tuh wewe kaa huko wengine shida zao wanapeleka madhabauni

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 2 วันที่ผ่านมา

      Ushindwe na UCHAWI wako

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita 2 วันที่ผ่านมา

      @@malkiarosemuhando3310 tena kwa Jina yesu

  • @BettyMsongole
    @BettyMsongole 2 วันที่ผ่านมา

    sema baba mtume unàyetukànà enderea kutukana

  • @MomadeNtambo-m8o
    @MomadeNtambo-m8o วันที่ผ่านมา

    We ntangazaji ni mpumbavu sana uyu jama ni pasta tu wala siontume uyu nyinyi wacristo muna wapa watu majina makubwa

  • @GreysonMdee-x3n
    @GreysonMdee-x3n 2 วันที่ผ่านมา

    Ni masikitiko makubwa sana eti mpaka leo kuna watu bado wanaamini Yesu ni Mungu na ukristo ni dini ya haki, huu ni msiba mkubwa sana. MWENYEZI MUNGU awanusuru.

    • @jacobmaganga3354
      @jacobmaganga3354 2 วันที่ผ่านมา +2

      Ni masikitiki makubwa kuwa kuna watu wasioamini Yesu ni mwana wa Mungu na ndio njia ya ukwel na uzima

    • @matildamushi1741
      @matildamushi1741 2 วันที่ผ่านมา +1

      Pole Sana Mungu akusamehe

    • @filskischannel9737
      @filskischannel9737 2 วันที่ผ่านมา

      Yule Allah ambae ni Lucifer jadal mamluki ndo mungu wenu ninyi pumbafu wapotevu...mfateni yesu na mtaokoka maisha yenu yote.

    • @elesianakabuje5832
      @elesianakabuje5832 2 วันที่ผ่านมา +1

      Jisikitikie ww mshamba ambae mpaka Leo unaishi kwenye mfumo wa udini..yesu ni njia ya kweli Tena na uzima..utakufa vibaya nakuhurumia mshamba ww

    • @jacobmaganga3354
      @jacobmaganga3354 2 วันที่ผ่านมา +1

      @elesianakabuje5832 😂😂punguza makasiriko, Yesu mwana wa Mungu akuhurumie katika jina la Yesu amina

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 2 วันที่ผ่านมา

    Wagonjwa wapo kibao mahospitalini watoto wadogo wanateseka kwa kansa muhimbili wanakufa kila siku walemavu vipofu wamejaa kila sehemu hii ni saikolojia tu kucheza na akili za watu hamna miujiza wala nn

    • @apostlemussaonlinetv
      @apostlemussaonlinetv 2 วันที่ผ่านมา +1

      Hata Yesu hakuwamaliza kawabebe uwalete acha ujinga kichwani

    • @0001Simonfx
      @0001Simonfx 2 วันที่ผ่านมา +2

      Imani Yako ndo itakuponya.....wapelekwe ...na waamin watapona

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 วันที่ผ่านมา

      Hivi kwa mateso ya mgonjwa wa kansa hatakuwa na imani kweli? Aende na huko jaman MUNGU hana mipaka

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 วันที่ผ่านมา

    NAKUPENDA BABA YANGU WA KIROHO. MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU AKUPENGUVU ZAIDI MALAIKA WAKUZUNGUKIE WAKULINDE SIKU ZOTE.❤❤❤❤

  • @inezaliliane9430
    @inezaliliane9430 2 วันที่ผ่านมา