SAUDIA KWAHILI MMETUKOSEA WAISLAMU Muhubiri Mwaipopo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2021
  • #SHEIKHMWAIPOPO #MUHUBIRIMWAIPOPO #SHEIKHMWAIPOPOTV
    Tafadhali Usiache KuSubscribe katika Channel hii ya TH-cam ya SHEIKH MWAIPOPO TV..Like pamoja na kusharekwa wengine hili wapatwe na Kheri kutoka kwa Sheikh wetu Mhadhiri Said Mwaipopo.MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE:+255 756 361 906..................من فضلك لا تتوقف عن الاشتراك في قناة الشيخ موايبوبو التلفزيونية على يوتيوب..مثل مع المشاركةللآخرين ليتم استدعاؤهم من قبل خيري من الشيخ المحاضر سعيد موايبوبو.

ความคิดเห็น • 432

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 3 ปีที่แล้ว +13

    Nisingekuwa makini kuisikiliza mpaka mwisho ningekuwa wa kwanza leo kukupinga. Al-hamdu lillah nimesikiliza mpaka mwisho nimekuelewa vizuri sana Sheikh Mwaipopo. Allah akuzididhie kila rakheri kwakweli unajitahidi kuongea ukweli

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 3 ปีที่แล้ว +2

    WALLAH MWAIPOPO, WEWE NI SHK UNAEONA MBALI, ALLAH AKUPE UMRI MREFU, AKUKINGE NA SHARI ZA MAADUI, TUZIDI KUPATA ELIMU YENYE MANUFAA.

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 3 ปีที่แล้ว +6

    Congratulations ni zako shekh mwaipopo kwa kweli ni msiba mkubwa mno nut watu wanaliona jambo la kawaida subhallah uko sahihi kbs

  • @bakariali859
    @bakariali859 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah akuzidishie kheri Ishaallah

  • @abdulhamidjabu6530
    @abdulhamidjabu6530 3 ปีที่แล้ว +11

    Sahihi sheikh mwaipopo mimi kama jana nilipo ona watu wanaitzama mpira watu walikuwa wengi wala hawakusema corona lakin jambo letu la hijja tunambiwa corona hivi kama sisi waslamu jambo hili tumeliridhia kuhu si kupotea na mila za makafiri hawa

    • @malemidundo4103
      @malemidundo4103 3 ปีที่แล้ว

      kafili na familia yako na ukoo mzima

  • @hamisijuma3362
    @hamisijuma3362 3 ปีที่แล้ว +10

    mashaalla mashaalla mashaalla mashaalla mashaalla

  • @mansourkassim4872
    @mansourkassim4872 5 หลายเดือนก่อน

    Nguzo ya kwanza ya Uislamu ni kutoa shahada, ila kumuamini Mwenyezi Mungu, hiyo ni Nguzo ya Imani

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 ปีที่แล้ว +22

    Wallahi nakukubali sana mwaipopo pmj na wahubiri wenzako Allah awalipe pmj na waislamu woote kwa ujumla Ameen 🤲🏻

    • @hassanimouigni6648
      @hassanimouigni6648 3 ปีที่แล้ว

      Amine

    • @abdallahsharifu8645
      @abdallahsharifu8645 3 ปีที่แล้ว

      Sheikh Ni sahihi unahosema(Allah Kwanza mengine baadae)

    • @davisfidelis4149
      @davisfidelis4149 3 ปีที่แล้ว

      Na ninakuomba Mwaipopo acha kumsingizia baba yako!

    • @hassanimouigni6648
      @hassanimouigni6648 3 ปีที่แล้ว

      @@davisfidelis4149 hawezi kuacha kusema ukweli mpate kuamka hadi mjilimishe kwa allah ili allah akunusuruni

    • @professorimmah
      @professorimmah 18 วันที่ผ่านมา

      Sana

  • @moasitymemo9894
    @moasitymemo9894 3 ปีที่แล้ว +11

    Mwenyezi mungu akupe umri mrefu hakika wasema ukweli msema kweli mpezi wa mungu

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 ปีที่แล้ว +2

    SHUKRAN JAZELAN AKHI

  • @hawaamohammed6687
    @hawaamohammed6687 3 ปีที่แล้ว +13

    MashaAllah MashaAlla kweli mungu umuongoza amtakae naumpotosha amtakae.Kweli mungu fundi humo humo shekhe simama hivyo hivyo Allah atakuhifadhi

  • @nasmajuma2703
    @nasmajuma2703 3 ปีที่แล้ว +10

    Nakuomba mungu akulinde msemakwli huwa apendwi

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 ปีที่แล้ว +7

    Lahaula walakuwat ilabilah istr yarab ameen mtihani wallahi

  • @sefubin4270
    @sefubin4270 3 ปีที่แล้ว +10

    Mansha Allah 🤲🤲 ukweli unabaki ukweli

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazakaallah sheikh mwaipopo mwenyeezi mungu akutangulie inshaallah

  • @saidlucas1216
    @saidlucas1216 3 ปีที่แล้ว +6

    Masha-allah 💓💓

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwaipopo umewazidi warabu(wasaudia) kwa hikma.
    Umeongea ukweli mtupu.
    Hawa warabu ni shida.
    Kwani tingeenda na barakoa na tahadhali zote pia hija ingefanyika salama...kwa uwezo wake Allah

  • @allymazola6850
    @allymazola6850 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashallaah!!

  • @wahabjuma1539
    @wahabjuma1539 3 ปีที่แล้ว +1

    Marshaallah..hii ni utabiri wa Quran mungu kasema kuwa kutakuja watu wataongoza dini ya kiislamu na watakua thabit (strong) na wewe ustdh mwaipopo ni mmoja wao,mungu akulinde na kila jambo baya inshallah tuko nyuma yako ustdh mwaipopo 🤲🤲

  • @aminially4456
    @aminially4456 3 ปีที่แล้ว +4

    Subuhana llah kwann tusiombe duwa kwa mungu atuondolee hili, ni sawa hiji tumefaradhishiwa kwenda kwa mwenye uwezo ila jee nchi ikiwa inaugonywa tume elekezwa nini kwenye ilo kwa kujihami na ttz lilipo kwenye iyo nchi

  • @issakhams6995
    @issakhams6995 3 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH AKUBARIK SHEH WETU

  • @2003hintay
    @2003hintay 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri she Allah akuhifadhi

  • @guhgghhg8592
    @guhgghhg8592 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe kheri umeongea point kwakwel inasikitish mungu tunusuru kwa hili janga

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 3 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah, Allah akulipe kila la kher

    • @arinestaanton9895
      @arinestaanton9895 3 ปีที่แล้ว

      Wap wewe hizo ni blaa blaa tu ,, kama wewe huriziki ni wewe tuache sisi wakristo , Mungu aliumba mwanaume 1 ambaye ni adam kisha akaumba mwanamke 1 eva , mbona hakuumpa wanawake wawili

  • @maxamedsayid7188
    @maxamedsayid7188 3 ปีที่แล้ว +4

    ما شاء الله يا اخي في الله من الصومال

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukan sana, wafalme wa saudi nivibaraka wa merikani

  • @user-nr1bf7iu8z
    @user-nr1bf7iu8z 3 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah MashaAllah. Jazzakh Allahu kheir

  • @lilianhigilo4255
    @lilianhigilo4255 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekh sana sana wanaonyesha wachache wa imani kabisa

    • @lilianhigilo4255
      @lilianhigilo4255 3 ปีที่แล้ว

      Mungu tukimlilia anasikiliza ,Allah azidi kukupa hidaya

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 ปีที่แล้ว

    Jazaakallahu khaira 🙏 mwenyezimungu akupe kheri na baraka tele Leo nimekukubali saana sheikh wangu mwaipopo 🙏

  • @amurisabiti7037
    @amurisabiti7037 3 ปีที่แล้ว +3

    Man'shallah sheihk wetu

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว +6

    kweli wakristo wamepoteza kifaa.mungu katuletea neema waislam.mwaipopo tunakupenda sana kwa ajili ya ALLAH

    • @plujorilugano9489
      @plujorilugano9489 3 ปีที่แล้ว

      Ukristo hapa umeuingizaje, mtoa hoja mwenyewe hajagusia jambo hili, acha ushindani sisi sote ni ndg na kila mtu anao uamuzi wa kuwa na imani aitakayo. Je, ulitaka waakristo waandamane kwa kumvuta Shekhe Mwaipopo? Upo nje ya hoja

    • @professorimmah
      @professorimmah 18 วันที่ผ่านมา

      Mungu anamchagua amtakae

  • @piliabdallah397
    @piliabdallah397 3 ปีที่แล้ว

    Amina Allah akujalie

  • @muhsenali123
    @muhsenali123 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallaah

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +7

    Masha"Allah

  • @omansohar2245
    @omansohar2245 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah jazaka llah khery tupo pa1 paza sauti tupo nyuma yako

  • @kazungukarisa55
    @kazungukarisa55 3 ปีที่แล้ว

    MaashaAllah shukran sheikh

  • @fatmabengazi925
    @fatmabengazi925 3 ปีที่แล้ว

    shukran sana ndugu muisalam nime furahi kwa ukweli ulio sema mungu akuhifadhi .hilo jambo lilikuwa lanikera sana kuona uwanja wa mpira umejaa watu tena bila ya barakoa ila haram haina watu isipokuwa wachache tuu inauma sana😭😭😭😭😭😭😭

  • @maulidnakubaliwamustafaoma5743
    @maulidnakubaliwamustafaoma5743 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akqibar waipopo tunahukuru kwa ujumbe mzito Allah akupe umli mlefu

  • @issachuwa6413
    @issachuwa6413 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallh tabaraka llh

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 ปีที่แล้ว +3

    Warabu ni vibaraka wa wazungu anachosema mzungu kwao sawa ila mtu mweusi kwao ni shetani hao ndio warabu tujiulize ivi Mwenyezi Mungu asinge ishusha dini ya ki Islam ☪️ kule kwao ange ishusha Ktk nchi yoyote ya Africa wange amini dini ya ki Islam wale ??kwanza wana sema mtu mweusi hana dini.na hawamuoni kama ni kiumbe cha Mwenyezi Mungu Subhanallah

    • @gh7naa
      @gh7naa 3 ปีที่แล้ว +2

      Ni wafalme wa sasa sio warabu wote mtume saw ) alimchagua mweusi bilal kuadhini mwadhana kwanza

    • @salehkhamis8653
      @salehkhamis8653 2 ปีที่แล้ว

      wewe acha kukufuru kwaiyo unamkosoa mungu unampangia sehemu ya kushusha dini jua kwamba mungu hapangiwi wala hashauriwi mtume amemchagua mtu mweusi wa kwanza kusoma adhana ambae ni bilal.. ndio ujue ni jinsi gani watu weusi wanavo thaminiwa katka uislam kuna vitu outmatic haviongelewi ukiongea hivo unavuuka mipaka

  • @modestmasuba4155
    @modestmasuba4155 3 ปีที่แล้ว +8

    Mimi sio muslim lkn kwa hili bro nimekuelewa Sana Sana mkuu

    • @hassanimouigni6648
      @hassanimouigni6648 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akunusuru akuoneshe njia ya haki ya uislam ishaallah sema amine ndugu yangu

    • @saidhamad533
      @saidhamad533 3 ปีที่แล้ว +1

      Mashallah karibu my dear katika uislm

    • @husseinabdul7948
      @husseinabdul7948 ปีที่แล้ว

      Karibu ktk uislam

  • @higahassib6614
    @higahassib6614 3 ปีที่แล้ว

    Jazaka Allahu kheri sheikh Mwaipopo kwani inauma sana

  • @saidmohd7240
    @saidmohd7240 3 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh Mwaipopo nimekuelewa sana tu! Waarabu wamelewa na neema waliopewa na Allah! Kwanini Mpira na Michezo ya olimpiki haijapigwa marufuku?? Good question???

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 3 ปีที่แล้ว +2

    Ma shaa Allah
    Ma shaa Allah
    Ma shaa Allah

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +7

    Mtihan wallah

  • @shekhkhalfanbinshafii1890
    @shekhkhalfanbinshafii1890 3 ปีที่แล้ว +2

    Wallah mungu akuhifaz umesema ukwell na allah atakulipa

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 ปีที่แล้ว +1

    Maneno ya Mungu hayawezi kubatilishwa na mafundisho ya wanadamu,labda waambie waislamu wenzio kuhusu wanawake wengi

    • @deathrow8004
      @deathrow8004 3 ปีที่แล้ว

      Wacha ububusa Wa kukaririshwa mambo
      Soma uislam kwanza

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 ปีที่แล้ว

      @@deathrow8004 pambana na hali yako,kubishana na wewe ni kupoteza muda tu,Yesu Kristo alisema "mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya Mimi" sasa ww unamfuata Mohamed,hakuna uhusiano kabisa

    • @zuhurauwimana7946
      @zuhurauwimana7946 3 ปีที่แล้ว

      Sheh
      Uriwuriza maswari nikujubu
      Mugu arimwabiya yahaya chukuwa
      Kitabu jibu ikimwabiya mutu hivazi quran siyo kumupa kitabu
      Mugu katika quran mahari pegi nishallah
      Ukasema mutume aripewa wutume anamyaka 40 akawowa Ja didjaanamyaka 25 iyo doa irifugwa vipi
      Kira karine inahikima zake babu zako
      warifuga doa kama wewe
      Kuwamaki sana quran watu wegi mwanamuke haiko kwenye quran isipo
      Maryam ukisoma ukaerewa asia muke
      Wa firaun yiko nwenye quran wake wamtume Muhamad saw wapo
      Bira kusoma utafakari hutajuwa
      Ishaallah Allah yedereye kukoza

  • @hamisijuma3362
    @hamisijuma3362 3 ปีที่แล้ว +7

    umesema kweli shekhe

  • @brandonmanjoli291
    @brandonmanjoli291 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana shekh mwaipopo nakupongeza

  • @kibwetere8147
    @kibwetere8147 3 ปีที่แล้ว

    Allah akulinde na kila shar shekh wangu

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว +22

    SAUDIA SASA IPO CHINI YA MAKAFIRI HUO NDIO UKWELI.UMESEMA KWELI MWAIPOPO

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 ปีที่แล้ว +3

      Hakuna unachoongopa ukweli mtupu Makkah ya Leo sio ya Jana wamebadirika mnoo,kubwa jinga,mfalme wao amejenga mijumba ya kifahari uingereza uko,.

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 3 ปีที่แล้ว +1

      @@julihanjosephyjs6361 kwani inakuhusu nini nchi niyakwao hata wakijenga popote wafanye watakavyo ww kinachokuuma nini ulitaka ww uwe mfalme wao au vp

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 ปีที่แล้ว

      Inshaallah kher Amiina

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 ปีที่แล้ว

      @@mamialsawafi8020 ukweli unauma wameshatekwa na wenye akili wasomi mambo mengi yamebadirika uislam ameondika nao mwenyewe Mohammed wengine matapeli mambo yanayofanyika ya hovyo kabisa utakuta baba Zima la kiarabu linakutongoza wasio na akili walombwa ovyoo kwa Tamaa zao wachafu hamna lolote.babaisheji mazuzu wenzenu.ukweli utabaki palepale.

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa sheria zakiislamu zaondosha pole pole juzi wameondoa kusoma Qur'an Kwa speaker waqti wa swala.na sahii time ya swala hamna tena kufungwa maduka.waeza endelea na shughli hata kuswali usiende.

  • @mangobase
    @mangobase 3 ปีที่แล้ว

    Acha kudharau imani za wengine... Ukristo amini unacho amini... Huna jipya

    • @samxx411
      @samxx411 3 ปีที่แล้ว

      kwani umedharauliwa au umeambiwa kweli, ukiambiwa Yesu si Mungu ni kweli yule na sie ni mtume wetu kwanini umwite Mungu??? mbona mnatudharau na nyie

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 ปีที่แล้ว +1

    Iseeeeeeeh wewe ni mtu
    Mtu muhim sana sana hatari
    Unajua sana na unamtazamo
    Mkubwa sana kwenye DIN IH YA ALLAH

  • @issakhams6995
    @issakhams6995 3 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH

  • @nenolamungu631
    @nenolamungu631 3 ปีที่แล้ว

    Asilimia kubwa ya waislamu wameinamia corona kuliko Mungu. Mostly inchi za uarabuni wameogopa corona kuliko Mungu Yani wamesujudia corona kuliko Mungu.

  • @abdillahhussein3020
    @abdillahhussein3020 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 3 ปีที่แล้ว +1

    M,mungu awaongoze

  • @shabandamas1759
    @shabandamas1759 3 ปีที่แล้ว

    Naam Swadakta yaa Akhiy

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 ปีที่แล้ว

    Subhanaallah Baba yangu uko mbali sasa wewe kuzo ya tano nikwenda kuhiji kwa mwenye uwezo kuendea njia hiyo sasa umesha kataliwa utafanya nini utaishia tu kwenye maiki shekhe wenye inch wamesha kataaa 💔

  • @dillaygundya2345
    @dillaygundya2345 3 ปีที่แล้ว

    Mwaipopo mimi ni mtu mmoja anayeheshimu sana imani za watu ikiwa ni pamoja na uislamu,Ila Kuna kitu nataka nikuambie,una Elimu ya kuisimulia uislamu siyo kuujua uislamu historically,Huwezi kupata maana kamili ya dini usipojua asili ya uumbaji,soma mgawanyo wa kikabila za kibinadamu utajua kwa nini Historia ya mwanadamu inaanzia mashariki ya kati,uumbaji ulianzia kule,dhihaka haileti ukweli kaka,tafuta watu wenye Elimu nzuri ya imani na utume, usifanye kitu kwa sababu ya mapenzi,
    MUNGU akupe thawabu na subra

  • @dulaamduni767
    @dulaamduni767 3 ปีที่แล้ว

    MASHALLHA Shee kwaukumbusho

  • @hamismabula5813
    @hamismabula5813 3 ปีที่แล้ว +3

    Ni mkakati wa sheitan kuitawala dunia!
    Anakamata viongoz wa dini na wa kiserikali na hao kupitia kwao, wanaingiza dini zao na mataifa yao chini ya utawala wa kisheitan kwa kutekeleza maagizo yanayoagizwa na kumwacha Allah nyuma!
    Haya yako wazi sana sasa hivi!

  • @zuwenamkwizu337
    @zuwenamkwizu337 3 ปีที่แล้ว +1

    Blessed

  • @roidysimchimba7103
    @roidysimchimba7103 2 ปีที่แล้ว

    Ongeah vyote lkn wee huwez kumpangiah mungu ata siku moja ndy maana akaleta hiz iman mbili hubilin neno LA mungu kukaa kubishana kuhuxu hili wala halitawasaidiah kamwe mawadaa wote wakislaam mungu awalehem mnapenda kujifanya mnajuah kubishana sana

  • @jaffarijembekali2684
    @jaffarijembekali2684 3 ปีที่แล้ว

    Imeandikwa;Waabuduo halisi watamuabudu Mungu katika roho na Kweli so kuabudu ktk roho na kweli haulazimiki tena kuabudia ktk mlima sinai bali popote ulipo ukusanyikapo kwa jina la Yesu naye yu katikati yetu. Mwaipopo kwisha habari yako unalalamika kutoenda hija wakati umekimbia mwenyewe yaliyo ya ukweli ktk Kristo.

    • @professorimmah
      @professorimmah 18 วันที่ผ่านมา

      Ukweli was yesu ni mungu

  • @feiswalfeiswal3836
    @feiswalfeiswal3836 3 ปีที่แล้ว

    Barak llahu fika

  • @shimbo0146
    @shimbo0146 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @thefirst7009
    @thefirst7009 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli waislamu hawajapenda kukosa ibada ya hajj lkn watu waombe ugonjwa uondoke kwanza...corona haitabiriki na haijaisha acha waendelee na tahadhari si vibaya...

  • @mwanakulitafutatakatumba3916
    @mwanakulitafutatakatumba3916 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @davisfidelis4149
    @davisfidelis4149 3 ปีที่แล้ว

    Mungu hakuridhia Abraham kumuoa Hajira,soma biblia tena kwa ufasaha na kwa kutuliza akili wewe Mwislamu wa Kinyakyusa! Utarudi tu kwenye Ukristo,Uislamu ni kwa Waswahili!

    • @ramadhanomar5152
      @ramadhanomar5152 3 ปีที่แล้ว

      Hata wewe soma hiyo bibilia kwa ufasaha utaielewa , ukristo kwa waisrael tu wewe baki hukohuko uswahilini

  • @idrisjames9392
    @idrisjames9392 3 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli nakubaliana na wewe sheikh wangu. 100%

  • @sefubin4270
    @sefubin4270 3 ปีที่แล้ว +4

    mansha Allah 🤲🤲 na sisi tumekatazwa kuswali apa sauza afrika ata Azana isitowe

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekh hapo sijajua una maana gani kuoa mke mmoja haina maana lazma uendelee kuzini nje ya ndoa mpaka upate wengine usitafsir dini kwa fikra mungu hakuwa na maana hiyo kuna mtu anampenda mke wake mmoja tu na ametosheka hafanyi zinaa mungu ametoa ruksa hadi wanne ikiwa unaweza na unataka kufanya hivo usitafsir mke mmoja ni uongo watu wakatafsir kila mwenye mmoja ni mzinifu angalia hilo utaenda ulizwa

  • @aminafesaliaminafesali8105
    @aminafesaliaminafesali8105 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabsa sahiv waislam ndi tunaongoza kwa uqaafir yaani kwanza waislm baadh wamekuwa hawamuamin Allah wanaamin wazungu na binaadam halaf waislam wenye ufahamu na watangaza dini wako kimya k8masirah yao yakidunia semeni ukweli ambao utakae waingiza pepon mashekh mmekaa kimya bora weye sheikh wa kusilim unathubutu kupigana na mashetwan Allah akuhifadh sana

  • @shijahamudu9590
    @shijahamudu9590 3 ปีที่แล้ว

    Sheehe mpaka sasa mimi sijapata majibu kwanini mungu anakosa nguvu kwa hawa hawa wanaosema mungu yupo Leo hii corona imekuwa inanguvu kuliko nguvu tuliyonayombele ya mungu naomba waislam tujitafakari kumbukeni maradhi yapo toka enzi na enzi hayakwepeki na kifo kipo kwa imani yangu halitimii jambo kama mungu hajapanga.

  • @dhaharanijongo9700
    @dhaharanijongo9700 3 ปีที่แล้ว

    nakukubari sna mwaipopo

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 3 ปีที่แล้ว +4

    Sema sema wallah tunaumia sana misikiti imefungwa makah hamna hija naona kwa haya ndio wanazidi kujitia matatizo ni semeni kila nchi ziseme hasaa nihatar sana wallah

    • @sadamsaid4098
      @sadamsaid4098 3 ปีที่แล้ว

      Nani aliekuambia kuwa hkna hijja ?

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @aminasaleh6134
    @aminasaleh6134 3 ปีที่แล้ว +13

    nikwel sheh wanakosea sn waarab kwann mpira hawakataz wazung na corona ipo

    • @aminafesaliaminafesali8105
      @aminafesaliaminafesali8105 3 ปีที่แล้ว +2

      Yaani mie arabi lakin wanochifanya si sahihi we ona inchini kwetu oman mwaka 2 sahiv masid hakuna salat jumaa na kilasku lock down na masjid wanafunga madrasa za quraan hawamuamin Allah wanamin wazung7 wakat toka wameanza kufunga masjid na ibada zinasaliwa moja moja corona ndi inazid tu waislam wasahiv ni maqaafir tu naiumia sana natamani niwe naburaiya wa tanzania maana masjid ziko wazi na zinasaliwa salat jamaa mungu asimame kwa hili wallah hayo amaradh yenyewe yametengezwa na hao hao wazungu ndi maana wanajua sahiv round ya 1 na itakuja round ya 2 na ya 3 walijuwa vp kama inakuja kwa round na kali kulko ya kwanza ? Hao ndi wametengeza haya maradh ila waislam kama wametiwa giza katka akili zao kuwamin maqaafir kulko kukuamin Allah

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 3 ปีที่แล้ว +1

    Inshallah Allah akulipe ujira mkubwa

  • @mohdmbarouk8465
    @mohdmbarouk8465 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiiii kweli kabisa

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 3 ปีที่แล้ว +6

    Wambie awo warabu ukweli tuko pamoja

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 ปีที่แล้ว

    Hii tabia ya watu kusilimu na kuanza kujifanya nawao ni masheikh, wakati hajasoma Uislamu ni hatari kubwa sana ndugu zangu Waislamu.!
    Ndio maana utaona watu wanaharamisha vya halali na kuhalalisha vya haramu kwa kuwa hajasoma Uislamu.
    MWAIPOPO MCHE ALLAH NA RUDI UKASOME DINI

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 ปีที่แล้ว +1

    Rudi UKASOME dini kisha uje kuuzungumzia Uislamu itakuwa khery kubwa sana na kwa umma wa Kiislamu, LAKINI HIVI UNAVYOFANYA KUPOTOSHA UMMA ITAKUKOSTI MBELE YA ALLAH.

  • @moasitymemo9894
    @moasitymemo9894 3 ปีที่แล้ว +6

    مشا الله تبارك الله

  • @abdulrazackkipingu5437
    @abdulrazackkipingu5437 3 ปีที่แล้ว

    Ni sahihi kabisa shekh mwaipopo kwa kuliona Hilo hata Mimi binafsi nafsi yangu ilikua inaweweseka kwa hilo

  • @mariammohd3515
    @mariammohd3515 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah warabu washenzi sana wamepoteza dira tatizo wamemueka kafiri mbele ila wanacho taka kwa mungu watapata tu wache wasubiri

    • @omanatr8729
      @omanatr8729 3 ปีที่แล้ว

      Mtihani kweri kama uku omani maeneo nipo ata ijumaa hawaswari kabisa. Allah atunusuru

    • @justinesteven1036
      @justinesteven1036 3 ปีที่แล้ว

      wewe ni mke wangapi ?mpo wangapi

  • @farhadhassansaid8830
    @farhadhassansaid8830 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mwaipopo, umeongea point sana ila huku mm mwenyewe nipo na watu wamepata ugonjwa na vilevile pia wamefanya hivo Saudia ili waeke usalama ndipo sai kuna watu wanapata chanjo ya Covid-19 ndipo watu waje fanye Hajj

  • @khamisissa252
    @khamisissa252 3 ปีที่แล้ว +1

    assalaamu alaikum warahmatullah wabarakaatuh.
    hebu shekhe mwaipopo tupe maelekezo kutoka kwenye hadithi za mtume wetu muhammad swallallahu alaihi wa sallam juu ya kutoka ama kuingia sehemu zenye gonjwa la twaun

    • @abuuyaasiriibrahimkyone.2911
      @abuuyaasiriibrahimkyone.2911 3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa kwani hadithi anazijua?.
      Mimi nimemshangaa mwanzo kaanza na lawama kwa serikali au ufalme wa saudia, kisha yeye mwenyewe katoa majibu kuwa hayo sio maamzi ya mashekhe wa saudia,bal ni maamzi ya ufalme.
      Sasa kasema na kutoa majibu yeye mwenyewe, sasa analaumu nini?.

  • @mirajisalehe742
    @mirajisalehe742 3 ปีที่แล้ว

    Yesu hakuoa kwa sababu ni Mungu ,Mungu hawezi kuoa kiumbe chake alichokiumba mke ni mmoja ukiongeza wa pili wazini, ukisoma Yohana mlango

    • @nabilsuleimanhaji2437
      @nabilsuleimanhaji2437 3 ปีที่แล้ว

      Ww huna ujualoo

    • @wardaheluwa734
      @wardaheluwa734 3 ปีที่แล้ว

      Wewe yesu alitairiwa alitaiwa alfu una sema ni mungu wewe muongope mungu aliye kuumba.

    • @mohammedmatumla538
      @mohammedmatumla538 3 ปีที่แล้ว

      Mpotevu omba uongofu kwa Allah ta'alaa

    • @zamabuu7707
      @zamabuu7707 3 ปีที่แล้ว

      Mbona alizaliwa na Mariamu, au Mariamu nae Mungu?
      Tafakari ndugu yangu sasa Yesu alizaliwa na kiumbe chake?

  • @petermatonya6890
    @petermatonya6890 3 ปีที่แล้ว

    Yesu anakupenda ndugu, Yesu anakukaribisha leo, usifanye moyo kuwa mgumu.

  • @hamzajuma1473
    @hamzajuma1473 3 ปีที่แล้ว +2

    Shekh mungu akupambe kwa afya njema Na Umauti ukukute Kwenye msimamo huohuo

    • @samirahassan3212
      @samirahassan3212 3 ปีที่แล้ว

      ushamwachasule sasa unawachokonowa warabu wewe ngoja kumbe huwajuwi watakuyeyusha dakika 2 ninyingi

    • @samirahassan3212
      @samirahassan3212 3 ปีที่แล้ว

      aliekutuma atakuponza naatakufikisha mbali nahilodomolako kama puwa languruwe

    • @faridsaid9180
      @faridsaid9180 3 ปีที่แล้ว

      @@samirahassan3212 wewe ndio umemu umba ama yeye amejiumba? Usicheke na usicheze kazi ya Mungu. FUTA IYO COMMENT

    • @habibahadithi5080
      @habibahadithi5080 3 ปีที่แล้ว

      @@samirahassan3212 subhanallah,
      innalillahi
      Tanya utubu ndugu yangu acha kuingilia kaz ya Allah

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa sheikh mwaipopo umesema kweli kabisaa Waarabu wameukosea sana uislam pamoja na Allah corona nini bwana mbele ya Mungu

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah shukran sana sheikh mwaipopo

    • @justinesteven1036
      @justinesteven1036 3 ปีที่แล้ว

      ww ni mke wa ngap?

    • @maryamanalisi197
      @maryamanalisi197 3 ปีที่แล้ว

      @@justinesteven1036 Allah hajanijalia kuwa mke wa mtu 🙏

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 ปีที่แล้ว

    Wasingeziuia ila mwenyeimani angeenda ila sio kujuia huu niyzaifu wa iman mungu anaposema makafili wanapopanga mipango na yeye anaponga kwani nini ataishi milele jamani aya nimajalibu mhazili mungu akulinde namaadui

  • @abdulhamidussimakame1694
    @abdulhamidussimakame1694 3 ปีที่แล้ว +2

    Wambie ukweli baba hta wakinuna

  • @davallamchambe5275
    @davallamchambe5275 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba Mola wetu mlezi amlete Imam Mah'd aje kutugomboa kwakweli

  • @essaumpuma2981
    @essaumpuma2981 2 ปีที่แล้ว

    Njooni mbatizwe mwabudu Mungu ktk roho na kweli ,muachane na Miungu ya alkaba