ALMAH CONE _ WAMEZINGATIA UBORA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024
- Almah Cone_ Wanakukaribisha kupata kinywaji na chakula safi kabisa.
Wapo Moshi mjini Kilimanjaro ndani ya jengo la uchumi.
Uigiapo ndani ya jengo la Uchumi ulizia Almah Cone, ili ufurahie
huduma bora .
Njoo mwenyewe au njoo na wageni wako kupata huduma nzuri..
Kwa maelezo zaidi piga +255 658755826 ili uwe wa kwanza kufunga
na kufungua mwaka ukiwa na sehemu nzuri ya kupumzika na
kupata chakula kitamu , kando ukiburudika kwa kinywaji safi.