ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mmmmh Kwa kweli kabisa 🎉🎉🎉😅😅😅😅
Mwandishi maswali sio ya uanamichezo ni maswali ya mashabiki
Kweli kabisa Elimu ndogo ndo tatizo anatia aibu tupu kwakweli daaah taaluma yake haimruhusu hayo
Timu imeshinda ni jambo zuri! Yanga wana kapu la point makolo wana kapu la magoli, huo ndio utofauti wao.
Waandishi wengine maswali yao mchoko kweli kweli daaah aibu tupu kwakweli
Mbona unatetemeka sasa kwanza huwezi kuongea bila kuitaja simba kwa Nini