Hakuna timu iliyofanikiwa tz tusidanganyane umefanikiwa kwa lipi hasa hata kucheza fainali hujacheza Achilia mbali Kombe unajiita Jayanti kwa mafanikio gani 😂😂
No za CAF ndio zinasema sio wew mafanikio ya Simba kitaifa na kimataifa yapo na ndio njia ya timu zote Tz wameshawishika kwa ajili ya Simba. Bado uwoni wasikikize viongozi wako miaka 3 nyuma. kauli zao kuhusu mafanikio ya Simba na wao kutamani kufika alipo Simba.
Hyjui mpira😂 SIMBA SC ndio timu iliyoleta hamasq ya vilabu vyote kutaka na kuwa na ham ya kushiriki mashindano makubwa ya CAF CL na CAF COFEDARATION, anae jua anajua Acha ushabiki mandazi wewe,😂 mpe mtu sifa anazo stahili kama anazo usikaze uso buree
Mimi yanga lakini nakupenda 😂 sema kweli moyo upone😂
Uko vizuri kaka
Hongera saana semaji wambie ukweri
Msemaji wetu uko vzr
Mm pia ni yanga lkn semaji ananionesha sana
Hujui chochote simba hajafika fainali upo dinia gani ww
Kihelele azm ata mimi nimefurai
Simba hatolewi
🎉🎉🎉🎉🎉🎉ah_ med_al_i
Simba yanga na Azamu hawana tofauti lengo ni kuleta kombe nyumbani sio kufika robo au nusu tofauti Yao ni muda wa kutoka.
Ukweli mtam japo unauma amewapa ukweli
Simbaa atolewee wapi labdaa atolewee bib yako
Ok
Komedian mkuu wa Simba akiwa kazini
Deuji atambe hata fainali hajafika anaishia robo tu baba yenu ni yanga aliyefika fainali
Aende final ya caf champion league sio caf federation cap maana combe la watu walio shindwa kama simba sasa iv haha 😂😂😂😂
Simba mtasugua benchi 😂tena
Semaji mipasho , aende modern taarab
Hakuna timu iliyofanikiwa tz tusidanganyane umefanikiwa kwa lipi hasa hata kucheza fainali hujacheza Achilia mbali Kombe unajiita Jayanti kwa mafanikio gani 😂😂
No za CAF ndio zinasema sio wew mafanikio ya Simba kitaifa na kimataifa yapo na ndio njia ya timu zote Tz wameshawishika kwa ajili ya Simba. Bado uwoni wasikikize viongozi wako miaka 3 nyuma. kauli zao kuhusu mafanikio ya Simba na wao kutamani kufika alipo Simba.
Hyjui mpira😂 SIMBA SC ndio timu iliyoleta hamasq ya vilabu vyote kutaka na kuwa na ham ya kushiriki mashindano makubwa ya CAF CL na CAF COFEDARATION, anae jua anajua Acha ushabiki mandazi wewe,😂 mpe mtu sifa anazo stahili kama anazo usikaze uso buree
Nafasi ya 7 Africa siyo mafanikio.Mnajitoga ufahamu nyiyi watu duuu.hiyo roborobo ndiyo imetupa hiyo nafasi
❤❤❤❤❤😂❤❤❤😂
Wambie hao
Ahmed usifanye hivyo
😂😂😂😂😂😊😂😂😂😂😂😂 semaji unatutesa sisi lamba lamba
nikumbuken haya maneno yangu, jaman bado simba kutolewa shilikisho....!
Nenda hospital ndugu😂
Bado utopolo
Na utopolo hafiki popote
Mbna hujisem wew na timu yako simba inakuhus nn
Shindwa pepo kashkash
Hili semajii la shirikisho mh
Acha hizo hii n kimataifa ungewatia moyo ila ipo ck watafanya vzr
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyo ndiyo semajii bwanaa😂😂😂❤❤
😂😂😂kashabiki kayanga
Wewe Ahmed Ali si ilifurahia AZAM kuifunga YANGAA ? Haujui kama pale ndipo ulipokula kitanzii?
Huyu ni mjinga Azam ni timu yetu coast union unafurahi nn
Azam piga ndani nje madunduka kwanye ligi kuu.
Yaan km Kuna mwaka utawaonea huruma Hawa mashoga zako azam bx mwaka huu
Sio wewe tu sote tumefurahiiiiiiiiiiiii sana
Sasa kama timu ilikuwa mbovu mbona aukutuambia alikuwa unatuongopea msimu uliopota
Hivi Simba amefanikiwa wapi jaman😢😢 au nafasi ya 07 ndo mafanikio yenu jaman😂😂
Jibu SI unalo?
Hawajatolewa wamepunyuliwa mbwa wale
Iv nyie mnajua kumhoji mtu na mbona hamumulizi maswali mnaacha anapayuka tu muulizeni maswali ya maana
Punguza komedi Kaka.Mambo ya kimataifa upunguze mihemuko.
Mimi Yanga lakin semaji huwa nalikubali
We ni kolo tunakujua
Hakuna yanga mpuuz kama wewe
Ww nn unachosema Tim yako mbovu unabora ngan hujacheza ukija kufugwa utasemaje kaa kimya chuga mdomo wako
Comedian hilo 😂😂
Ubakishaje maneno usitukane mamba wakati hujavuka mto mbwa ww
Matusi yanatoka wapi ? Mbona povu!!!
Mliambiwa mshindwe kupambania nafasi yenu yapili, wabovu nyie. Nabado mtaburuza sn mkia nyie
nd kazi yake kuongea abakizi ili iwaje
😂😂😂
Usitukane mkunga uzazi ungalipo.
Bad we
Unaonaj ukianza kutoka wewe
Basi ata msimu huu timu bado mbovu
Mbovu wakati ndiyo inaongoza ligi.
Mbovu wakati ndiyo inaongoza ligi.
Uko vizuri kaka