ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
BWANA ATUREHEMU 🙏🙏 Ubarikiwe sana 𝐌𝐭𝐮𝐦𝐢𝐬𝐡𝐢 WA BWANA WA MAJESHI KILA MWEYE MASIKIYO ASIKIYE MANENO YA ROHO MTAKATIFU
Amina mtumish tumeelewa
Jamani hii kukata viuno na hizi Sarakasi naona, kabisa sio za Mbinguni, kwa kweli Mungu atusaidie Sana. Barikiwa Nabii na Mtumishi wa MUNGU.🇰🇪
Senga aneshaokoka
Amen
Hawa wanaabudu mungu na miungu, ni ushetani tu, hamna nyimbo ni kutafuta pesa tu, ni ushetani mkubwa.
Mtoto wa dictetor
Yani uyu nyimbo zake mmmh!!. Yani azina roho mtakatifu kabisa. Kukatika viuno tu kama daimond. Mungu atusaidie sana
Barikiwe sana Prophet Justine hakika Mungu akusimamiye kwa jambo hili hawa wote wanakwenda kuayimbika ni lazima Kanisa limrudiye Yesu kristo, sema mtumishi tupone, huyu Amani Anoint hii hali yake yakunyonga viuno ni ushetsni 100/100,
Mungu wa Mbinguni atukomboe please 🙏🙏
Mwanaume anakata viuno dah
Mi kunabaadhi ya nyimbo za huyu ndugu nazipenda ila ssa kucheza kwake na hizi kushirikisha Hawa waimbaji wadunia aky ndo hunibore
Kumbuka Sikila Neno Lisemwalo Lina Nguvu Ndani Yake Usimhujumu Mtumishi Wa Jehovah Annoint Songa Mbele Baba Nahumu 9=1
Hakika ni kweli 🎉
Amena
Ubalikiwe sana mtumishi WA MUNGU
Huo sio uchezaji hapana kwa kweli
Amina mtumishi waimbaji wengi wanahitaji pesa
Wenae umemwona sengatu hizolokesheni za mabaa mnazotumia zenyewe hujaziona watumishi mnazingua
Amina mtumishi
Hata kucheza kwao tu utadhani diamond michozo yao ni disco
Ameeen 🙏🙏
Pasua pasua Aminaaaaaa🎉
@@Visionofeagle9689 wataelewa tu, wataelewa!!
Anasoma bible Tena. Wanatafta pesa TU amana kitu apa
Usihukumu usije ukahukumiwa mungu akusamehe mfano annoint amani kafanya nini maskini mbona wengine mnawaonea jamani
Kuonya ni mojawapo ya kazi za Nabii lakini Pia soma 1wakorintho 5:12 uelewe zaidi mambo na kuhukumu
Ukiwa unasikiliza NYIMBO ZA huyu jamaa na zinakukaa rohon ujue wewe ni mwanachama wa kuzimu
Ww ndio ajent kwani nyimbo zinashida Gani acheni kuchafua watu au na ww nabii wa uongo