Moyo ni Kiungo Tete sana - Sheikh Msellem Ally

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Asiposikia alie ambiwa kosa linakuwa lake ila asipo ambiwa anaekosea kosa linakuwa la wote maana madhara ya kosa lake yataikumba jamii nzima...
    Hii nadharia Sheikh Msellem ameizungumza kwa mapana katika Darsa hili lililo fanyika vikokotoni Zanzibar kwa kuiunganisha na visa mbalimbali katika kipindi cha mitume.

ความคิดเห็น • 7

  • @eliasnavytanga
    @eliasnavytanga ปีที่แล้ว +5

    Katika Ma Shekhe ambao naweza kumsikiliza siku nzima ni Sheikh Msellem.

  • @Fadhakir21
    @Fadhakir21 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe kila LA kheri kwako mana unatukosha roho hakika wewe ni msellem ally

  • @MohammedAlnabakhany
    @MohammedAlnabakhany ปีที่แล้ว

    Upo vizuri MaaAllah

  • @hassanhassan2567
    @hassanhassan2567 ปีที่แล้ว

    Mola umuhifadhi ni wanadhuoni wachache Sana duniani wanaongea ukweli halisi ya kitab chake Mola na huyo hapa inshaAllah ninamtarajia kuwa miongoni mwao na ni wajibu kuwalinda Huyu mwanazuoni

  • @KingPrince1917
    @KingPrince1917 ปีที่แล้ว

    MashaAllah maneno mazuri sana yenye busara ,ahsante sheik wetu Allah akuifazi .

  • @saluyaadamz
    @saluyaadamz ปีที่แล้ว

    Maashaallah ALLAH akuifadh sheikh wangu mselem ally mselem