GB 64 ACHUKIZWA NA CHE MALONE "WASIMUANZISHE TENA ANATAKA AJIONE YEYE NI NANI SIMBA? MATOKEO MABAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 32

  • @CarlosKapinga-l4m
    @CarlosKapinga-l4m หลายเดือนก่อน +7

    brooo unajuaaa nakufatiliaaa kinomaaa unaongeaaa vitu really mekukubar broo

  • @MamboStambuli-u3d
    @MamboStambuli-u3d หลายเดือนก่อน +5

    Mchezo ulikuwa mgumu,,,ila wachezaji wanatatizo

  • @chapaudindiudindi8804
    @chapaudindiudindi8804 หลายเดือนก่อน +1

    Beki wa alizingua maoni yangu watafute beki mwengine aboa sana Kila wakati makosa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf หลายเดือนก่อน +1

    64GB huwa nakuona unajua ball lkn leo umejidhihirisha usenge wako . Hivi Che Malon umuweke kwenye mbao unafikiri tutapona .....? Karaboue mzito akute waarabu bado wanakuja kwenye box unafikiri Camara mtamsfia au mtataka naye akalie ubao ? Acha kuongea utumbo . Chamsingi Che Malone anatakiwa umakini tu na apunguze kujiamini . Pale alikuwa na uwezo wa kukokota mpira pembeni kisha ageuke , Lkn akataka kucheza na kipa na kufungua kwa haraka kitu ambacho kikawa kigumu kwa akili yake akadhani kacheza mpira kumbe kapiga upepo na kipa akatoka akasita akarudi nyuma jamaa akaset akapiga .
    Chamsingi marekebisho ya mbinu kuanzia defense , midfield kidogo na foward line . Defense na foward ndio sana utoto umekuwa mwingi , fowardline hawajui thamani ya mpira maeneo ya mpinzani . Ndani ya box mtu anapiga tu kama anaokoa au anapoteza mpira kizembe au hajui ajiposition wapi afunge .

  • @ramadhaniharuna5441
    @ramadhaniharuna5441 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli kuna wachezaji mizigo tu pale,
    Wanakula.pesa za bure,
    Akiwemo na Ngoma.

    • @Visionaria_HD
      @Visionaria_HD หลายเดือนก่อน

      bro mutale kubabake atoke

  • @MarcoAthumani
    @MarcoAthumani หลายเดือนก่อน +2

    Sahihi GB 64

  • @eddyTass-l6l
    @eddyTass-l6l หลายเดือนก่อน

    Ni sahihi kabisa yaan kosa vile useme asianzishwe tena daah

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 22 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli che Malone asianzishwe

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s หลายเดือนก่อน

    GB64 yupo sahihi kabisa 👏👏👏👏👏👏

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 หลายเดือนก่อน

    Che Malone aliharibu Kaitaba mwaka jana, Algeria kwa Costantine goli la 2 na leo...Dàah

  • @KhadijaMohamed-k3c
    @KhadijaMohamed-k3c หลายเดือนก่อน +1

    Jaman 64 ndo mzungumzaj na mrekebishaji wa timu yetu hajawah kukosea sehem

  • @JaphetyFunny
    @JaphetyFunny หลายเดือนก่อน

    Safi sana kakw

  • @TongoroYusuph
    @TongoroYusuph หลายเดือนก่อน +2

    Wanaomiliki media wanashindwa nn kumpa nafas hyo jamaa kwenye vipindi vya michezo jaman wasafi media crown na nyigine nyingi

  • @mwemajulius5036
    @mwemajulius5036 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅

  • @Orgy-go1gj
    @Orgy-go1gj หลายเดือนก่อน +1

    Fundi GB128 pongezi zako

  • @clementgabriel1708
    @clementgabriel1708 หลายเดือนก่อน

    Bro mpira mchezo wa makosa hata wewe kwenye mambo yako huwaga unakosea kafanya mangap mazuri mda mwingine tusiwe tunalaumu tuwatie moyo wachezaji wamekosea wakalekebisha tumepata matokeo safi ila kuhusu makosa ndo mchezo wa mpira huo

  • @frankmsai7461
    @frankmsai7461 หลายเดือนก่อน +1

    Kwel

  • @AdinaniFwajani
    @AdinaniFwajani หลายเดือนก่อน

    Point...

  • @stellakagemlo8095
    @stellakagemlo8095 หลายเดือนก่อน

    Na no 6 og hatuna Kagoma usipokuwepo kati hapatoshi

  • @drgeofreykupaza7707
    @drgeofreykupaza7707 หลายเดือนก่อน

    Muacheni fondo acheni ujinga

  • @MagrethEmmanuell
    @MagrethEmmanuell หลายเดือนก่อน

    Jmn GB sio shondo ni fondoh😂😂😂😂

  • @AbdusidMohammed-hi5ib
    @AbdusidMohammed-hi5ib หลายเดือนก่อน

    Uko vizul kaka

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa GB umeongea ponti

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja หลายเดือนก่อน

    Tunawakumbusha mpo shirikisho mnashangilia kama mmeshinda fainali clab bingwa😂😂😂

    • @AishFesito
      @AishFesito หลายเดือนก่อน

      Uto 😂😂😂 unachekesha sana umeshiriki miaka mingapi leo hii unadharau ulipo kuwa unaifanya furaha yako ipatikane leo hii mna jeuri kama hiyo

    • @saidimohamedligomaligoma1795
      @saidimohamedligomaligoma1795 หลายเดือนก่อน

      We uliko unashikilia mkia sio kubuluza

  • @Zaburi-
    @Zaburi- หลายเดือนก่อน

    Timu mbovu mnasaidiwa na marefa

    • @kibaikiramadhani1475
      @kibaikiramadhani1475 หลายเดือนก่อน

      Ww ni chokolate

    • @ELISHAALONE
      @ELISHAALONE หลายเดือนก่อน

      Yakwako ipoje

    • @exaudmmary
      @exaudmmary หลายเดือนก่อน

      vip.yako ina point ngapi na unateseka ukiwapi na upo nafasi ya ngapi club bingwa