Maneno yawe machache, kikombe cha kubeba hiki ..Unaongea ujinga eti tuongoze ili tupate timu dhaifu,hiyo hiyo dhaifu siajabu ikitutoa,sisi tushinde mechi zetu tuchukue kikombe for the first time..
Shida huwa mnajikuta mtu hajui kuchambua anaongea kwamapenzi ya timu yake badala ya kuongelea michezo Hivi maana ya kufanya sub huwa nikumtoa mshambuliaji unaingiza kiungo mshambuliaji sio unatoa beki unaingiza beki hio sio sub huo ni mbadala ndo anachokifanya fadluk davis Ukitaka kujua kocha Mwenye mbinu na nibora mwangalie sub zake
Alafu kama kuachiwa gemu sio yanga waloachiwa ni simba maana ateba mpira aliudaka ndani ya boks na marefa wakapeta munazan mungeupata ushindi paleee kama wangepewa ile penanti, we minywele michafu angalia unachokiongea usijione umekaa apo kweny maiki ukaongopea watuu
Kameumiaa kakoro 😂😂 Mpaka huruma kama koro anatamba kushinda away tena na vitimu vidogo tena shirikisho sisi tusitambe tupo clab bingwa 😂😂Wananchi tambeniiiiii
GB ❤
Chemalon achunguzwe anatumika Kama inonga anatoa assist kila cku kwenye mechi muhimu chemalon Duka anatuhujumu
Ila AZZ KII mguu wake wa kushoto una nguvu sana sana ameisadia tim yake, simba nguvu moja..
Maneno yawe machache, kikombe cha kubeba hiki ..Unaongea ujinga eti tuongoze ili tupate timu dhaifu,hiyo hiyo dhaifu siajabu ikitutoa,sisi tushinde mechi zetu tuchukue kikombe for the first time..
Toa mawazo yako usitukane, unakuwakama huna elimu
Yanga anaouwezo wakumfunga Simba😂 bao 5
aje atufunge basi
Kashindwa kumfunga Tabora kenge ww
Shida huwa mnajikuta mtu hajui kuchambua anaongea kwamapenzi ya timu yake badala ya kuongelea michezo Hivi maana ya kufanya sub huwa nikumtoa mshambuliaji unaingiza kiungo mshambuliaji sio unatoa beki unaingiza beki hio sio sub huo ni mbadala ndo anachokifanya fadluk davis Ukitaka kujua kocha Mwenye mbinu na nibora mwangalie sub zake
Huna unachokijua nyamaza em Quma nn
Tafsiri ya sub umeitoa wapi ili tuelewe?
anachokiongea hakijui we gb 64 si unasem una timu ww tena kwanini unataka ukutane na timu dhaifu
Alafu kama kuachiwa gemu sio yanga waloachiwa ni simba maana ateba mpira aliudaka ndani ya boks na marefa wakapeta munazan mungeupata ushindi paleee kama wangepewa ile penanti, we minywele michafu angalia unachokiongea usijione umekaa apo kweny maiki ukaongopea watuu
Ngogwe kenge mkubwa kafiembele huna akili kabisaaaaaaaaaaa mawazo ya kiutopolo kinyela mmo fc😅😅😅
Ungekuwa unajua mpira ungeanza kuiongelea penati ya kibu na waarabu wa Tunisia kule kwao, mbona ukutoa povu Simba amenyimwa penati? Caf champion wakina kayoko hawapo.
Tafadhali msimtukane GB64,Hana BAYA wewe ni utopilo
Wamemuomba heri ibenge kwa kweli Ile show siyo ya ibenge kabisaaa.
Kameumiaa kakoro 😂😂 Mpaka huruma kama koro anatamba kushinda away tena na vitimu vidogo tena shirikisho sisi tusitambe tupo clab bingwa 😂😂Wananchi tambeniiiiii
Ngogwe kenge mkubwa kafiembele huna akili kabisaaaaaaaaaaa mawazo ya kiutopolo kinyela mmo fc😅😅😅
Duh! Kichwa Yako kuna wire umekatika,timu mlizocheza nazo shilikisho hadi mkafika finally ziko wapi mwaka huu?
Sema ukweli unajifariji tu ukweli unaujua
@@MhabeshiMaluja kichwa chako kinahitaji maombi hakina kumbu kumbu,mnatamba mtaani mlifika finally shirikisho mlikuwa mnacheza na Madrid? Apart from usm alger zote zilishuka daraja muwe mnatunza kumbukumbu
@@RashidiMwiga usibishane na tahira