Mishono ya Vitambaa ya guberi african women Dress Fabric dress

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Uhali gani wapendwa wangu Karibuni tena kwenye chnnel yangu leo wapendwa nimewaletea mishono mizuri Sana ya guberi.
    Guberi ni aina ya mshono unakua mpana haishiki mwili unawekewa urembo wa dizaini tofauti tofaut Kama utakazoziona hapo kwenye video
    Mshono huu unaweza kushonwa na watu wa rika zote wanene wembamba wanaweza kushona pia unaweza kushonwa kwenye kitambaa kitenge khanga wewe tu upendavyo
    FACEBOOK
    dawa mseba
    INSTAGRAM
    Dawa_mseba
    Unaweza kutembelea account zangu izo kwa mawasiliano zaidi Karibu.
    Copyright Disclaimer Under section 107 of the copyright Act 1976, allowances is made for "Fair use" for the purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright Statues that mightwise be infringing. Non profit, education or person use tips the balance in favor of fair use.
    ALL RIGHTS BELONG TO THEIR RESPECTIVE OWNERS.#mishonoyavitambaa#mishonoyavijora

ความคิดเห็น • 82

  • @sunivamrema253
    @sunivamrema253 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana

  • @hawaomary3312
    @hawaomary3312 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante mpenzi kwa mishono mizuri! Nakupenda sana dear 🥰🥰🔥

    • @msebachannel
      @msebachannel  2 ปีที่แล้ว

      Asanteee sana hawa nakupenda pia 🥰🥰

  • @zuhurabilal5321
    @zuhurabilal5321 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah mishono mizur gubeli zaukweli ukovizur sana hongera.

    • @msebachannel
      @msebachannel  2 ปีที่แล้ว

      Asanteee sn mpnz 🙏🙏🙏

  • @LeahYona-zk4fh
    @LeahYona-zk4fh 6 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hongera

  • @ArafShaban
    @ArafShaban 2 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzuri

  • @NitiMasasi
    @NitiMasasi 2 หลายเดือนก่อน

    hongera kwa kz mzur

  • @aishajustin8988
    @aishajustin8988 ปีที่แล้ว +1

    Nimenda sana iyo mishono

  • @SalomeMabula-o9t
    @SalomeMabula-o9t 7 หลายเดือนก่อน

    Nimepeda sana

  • @PaskaziaNdyetabula
    @PaskaziaNdyetabula 8 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana mishono

  • @ChristinaMbwana
    @ChristinaMbwana 4 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana mishono

  • @AmidaSefu-hd5is
    @AmidaSefu-hd5is ปีที่แล้ว

    Napenda sn

  • @mwajumambega4291
    @mwajumambega4291 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashah Allah

  • @KhadijaPembe
    @KhadijaPembe 22 วันที่ผ่านมา

    Nimependa

  • @rehemajumajuma6375
    @rehemajumajuma6375 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @EvaPwele
    @EvaPwele 8 หลายเดือนก่อน

    Nimempenda sana kaz yako dada ang

  • @balinzigomichael6898
    @balinzigomichael6898 ปีที่แล้ว +1

    Mishono ni mizuri na nimezipenda sana

  • @ShabanAmiri-qx7kv
    @ShabanAmiri-qx7kv 5 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @LatifaYasini-d9u
    @LatifaYasini-d9u 2 หลายเดือนก่อน

    Majeje

  • @RaissaNaweza-vr9ku
    @RaissaNaweza-vr9ku 5 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda sana mishono yako

  • @quentinsylvia3877
    @quentinsylvia3877 ปีที่แล้ว

    Kazi yako nzr nimeipenda

  • @bintabdulmwakaramu4235
    @bintabdulmwakaramu4235 2 ปีที่แล้ว

    Smart mashaallah 👌

  • @SalomeMabula-o9t
    @SalomeMabula-o9t 7 หลายเดือนก่อน

    Nimepeda sana

  • @PiliMbul
    @PiliMbul 3 หลายเดือนก่อน

    Huna baya mishon pambe

  • @gerrardrafael9732
    @gerrardrafael9732 ปีที่แล้ว

    Dadanimeipendakaziyako ukovizurisana

  • @zakiaadammjema2683
    @zakiaadammjema2683 2 ปีที่แล้ว

    Naomba unijibuu myyyyyyyyu

  • @salimmealii7948
    @salimmealii7948 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda Iko poa

  • @priscarobert4634
    @priscarobert4634 ปีที่แล้ว

    nimeipenda

  • @PiliMbul
    @PiliMbul 7 หลายเดือนก่อน

    Hauna baya dadaang mishono pambe nimepend san

  • @yvonnemukuralinda9278
    @yvonnemukuralinda9278 ปีที่แล้ว

    Nimependa mishono yako hongera dear

  • @victoriadea3021
    @victoriadea3021 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri

  • @hassansassy9444
    @hassansassy9444 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa mishono mizuri

  • @SalomeMabula-o9t
    @SalomeMabula-o9t 7 หลายเดือนก่อน

    Nimepeda sana mshono
    3:27

  • @innocentmbowe8284
    @innocentmbowe8284 ปีที่แล้ว

    Iko vzur

  • @aminasimba817
    @aminasimba817 2 ปีที่แล้ว +1

    Ongera mishono mizuri

  • @SophiaKassmu
    @SophiaKassmu ปีที่แล้ว

    Mishno mizur san

  • @saumumwinyi8297
    @saumumwinyi8297 2 ปีที่แล้ว

    Safe sana

  • @fundimasai3546
    @fundimasai3546 2 ปีที่แล้ว

    Hbr ningeomba unitumie hy kot nyekundu tu

  • @AshaSaid-ru1dg
    @AshaSaid-ru1dg 4 หลายเดือนก่อน

    Nimependa saana hata sisi unatusaidia

  • @ngomamsonde8363
    @ngomamsonde8363 2 ปีที่แล้ว

    Naomba nambayako natumia sim yamume wagu

  • @imeldakihwele-qb8fx
    @imeldakihwele-qb8fx ปีที่แล้ว

    Nakuomba nijifunze

  • @sadaali3469
    @sadaali3469 5 วันที่ผ่านมา

    Mishono ya vitambaa

  • @rehemaafricamsera783
    @rehemaafricamsera783 ปีที่แล้ว

    Naomba unifundishe jinsiya kukata mchono wa bubeli

  • @AbdulrahmanShaffi
    @AbdulrahmanShaffi ปีที่แล้ว

    naomba mishono ya vitambaa vya shifoni

  • @JohariKwelelwa
    @JohariKwelelwa 3 หลายเดือนก่อน

    Mishino ya kudariz mabazee

  • @liliankasambara2327
    @liliankasambara2327 ปีที่แล้ว

    Mm naitaji hii video napataje

  • @IssaNdupa
    @IssaNdupa 7 หลายเดือนก่อน

    Tuma surual na blauz za vitenge

  • @leoniemlilapi1429
    @leoniemlilapi1429 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni fundi?

  • @akinyibibiana7517
    @akinyibibiana7517 ปีที่แล้ว

    Nataka nguo

  • @ramlasalim2519
    @ramlasalim2519 2 ปีที่แล้ว

    How can I get one and how much is one

  • @mariamwinuka4185
    @mariamwinuka4185 ปีที่แล้ว

    Munapatikana wapi naomba namba yasim

  • @mysalahbuchwa9027
    @mysalahbuchwa9027 2 ปีที่แล้ว

    Fundi wew mwenyewe au unapatikana wap

  • @zakiaadammjema2683
    @zakiaadammjema2683 2 ปีที่แล้ว +1

    Nishaur nitafute kitambaa gan na nishone mshono gan ili nipendezeeeeeee naomba unisaidie aina ya kitambaaa

    • @msebachannel
      @msebachannel  2 ปีที่แล้ว

      Nunua kitambaa English satini mshono shona half ya kuunga chin itapendeza my

  • @telesiamaganga9042
    @telesiamaganga9042 ปีที่แล้ว +1

    Mishono mizulo ila naomba uonyeshe na Jin's ya kaka a

    • @telesiamaganga9042
      @telesiamaganga9042 ปีที่แล้ว

      Uko vizur sana nataka nijue Jinsi ya kukata

    • @msebachannel
      @msebachannel  ปีที่แล้ว

      Aya my ntafanya ivyo 🙏🙏

  • @ngomamsonde8363
    @ngomamsonde8363 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumieni mishono ya maguberi kwenye tikitok Mimi nimpezi wenu

    • @msebachannel
      @msebachannel  2 ปีที่แล้ว

      Aya Mrs msonde asanteee sana ntafatilia 🙏

  • @mwajumajumanne382
    @mwajumajumanne382 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @mohamedmwinchande3378
    @mohamedmwinchande3378 2 ปีที่แล้ว

    Ww fundi kma fundi twambie mana utachukuwa mshono fundi ndo mtihani

  • @FabianMagabiro-uv4sv
    @FabianMagabiro-uv4sv ปีที่แล้ว

    Nimependa mishono yako

  • @leilajuma3285
    @leilajuma3285 2 ปีที่แล้ว +1

    Mishono mizuli San

    • @msebachannel
      @msebachannel  2 ปีที่แล้ว

      Asanteee sn mpnz 🙏🙏

  • @FloraDeo-yf4mi
    @FloraDeo-yf4mi 4 หลายเดือนก่อน

    Tupiamishono mifupiya kitambaa

  • @daliadayana4428
    @daliadayana4428 2 ปีที่แล้ว +1

    mishono pambee ata mtu mwembamba c anaweza kushona na akapendeza

    • @msebachannel
      @msebachannel  2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio my anashona inapendeza sn🥰🥰

    • @daliadayana4428
      @daliadayana4428 2 ปีที่แล้ว +1

      @@msebachannel sawa dear pia mi ni mweupe ni rang gan ya vijora itanipendeza ukiacha maroon dark blue na nyingne

    • @msebachannel
      @msebachannel  2 ปีที่แล้ว

      @@daliadayana4428 Kuna hii blue Masai mpnz ni tram utapendeza sana

  • @babyjackson8122
    @babyjackson8122 2 ปีที่แล้ว +1

    Nina kitambaa mita mbili na taka nishono hivi

    • @msebachannel
      @msebachannel  2 ปีที่แล้ว

      Kama ni kitambaa cha mapana 60 kinatosha

  • @mwanakombomwakizungu3124
    @mwanakombomwakizungu3124 ปีที่แล้ว

    Mishono mizuri dada

  • @zakiaadammjema2683
    @zakiaadammjema2683 2 ปีที่แล้ว

    Aina ya vitambaa na majina

  • @ZaitunSaid-d4f
    @ZaitunSaid-d4f ปีที่แล้ว

    Pambe

  • @mwarepwahuseni6750
    @mwarepwahuseni6750 หลายเดือนก่อน

    Tupe namba wasap